MOTO:BANDARI YA PEMBA SHUMBA MJINI YALETA BALAA MSIMAMIZI WAKE AKAMATWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

КОМЕНТАРІ • 12

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz 2 місяці тому

    Kalaleni ukoo musituumishe vichwa

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 2 місяці тому

    Hana ustarabu wa kuzungumza mkubwa haitakiwi uzungumze hivi useme kwa upole na busara 3:10

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 2 місяці тому

    Waheshimiwa mkiona kosa tumieni utaratibu unaotakiwa. Chombo pekee chenye mamlaka ya kumkamata mtuhumiwa ni Jeshi la Polisi kwa sharti kwamba WASIONESHWE mhalifu. RC na wengine ni wawakilishi wa Rais kwenye Serikali sio jeshi. Kila Muwakilishi wa Rais anamuwakilisha kwa mamlaka moja tu. Hivyo RC na RPC wote ni Wakuu wa Mkoa hapana wa kumpa amri mwenzake. Nashauri Polisi mujielewe!

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 3 місяці тому

    Vizury❤🎉🎉

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 3 місяці тому

    Huu sio mwenendo mwema, kuna wakurugenzi , wasimamizi wa miradi kutoka serikalini, wafanyakazi wa bandari na kuna mikataba inayoongoza miradi . Huwezi kwenda kufokea watu wakati wewe si muhusika wa moja kwa moja unaesimamia huo mradi

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 місяці тому +2

    HIZI CAMPUNI ZA DR MWINYI ANZITOA TANGANYIKA KWAO ILI AJILIMBIKIZIE PESA ZA WAZANZIBARI!

  • @karamahfoudh8
    @karamahfoudh8 3 місяці тому

    Langu jicho

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 3 місяці тому +1

    Huyu mwanamke nae ata hapendezi kua ivi.. and not professional at all

    • @Pemba680
      @Pemba680 3 місяці тому

      Tunaongea pumba mzee

  • @AbdallahSalim-is3db
    @AbdallahSalim-is3db 3 місяці тому

    Hadisi miaka 60

    • @xxl5239
      @xxl5239 3 місяці тому

      Atadisa 61