Vuruga chakula maarufu kaskazini mwa Tanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 чер 2024
  • Vuruga ni chakula maarufu kwa mikoa ya kanda ya kaskazini nchini Tanzania mjini Moshi mchanyiko huu ni wa kuku wa kienyeji na viazi na huliwa zaidi wakati wa usiku kwenye moja ya barabara maarufu.
    Omar Ramadhani amekuwa akiandaa chakula hiki kwa zaidi ya miaka 15 na amejijengea jina kubwa sambamba na kuwa na wateja wengi ambapo kwa siku huuza si chini ya kuku 10.
    Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds ametembelea eneo hilo na kuandaa taarifa hii.
    #bbcswahili #tanzania #chakula
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

КОМЕНТАРІ • 1

  • @Artiukh
    @Artiukh 12 днів тому

    thanks for subtitles