#EXCLUSIVE
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- #EXCLUSIVE: SOPHY wa JUAKALI Asimulia ALIVYONG'OLEWA MENO ya MBELE ili AVAE UHUSIKA wa TAMTHILIA..
Muigizaji Sophy amesimulia jinsi alivyowahi kung'olewa meno ili aweze kuuvaa uhusika kwenye tamthilia ya jua kali.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Hapana,hata kama uhalisiaa,hata kama kutafuta pesa,..lakini si kutoa meno,mimi sijasapoti kwa hilo,hiyo ni kujidhulumu,Mungu kakuumba vizur..umejiharibu kwa maslahi
Wajina wangu nakupenda MNO unajua adi unajua Tena 👍❤️....
Technology ingeweza kutoa hayo meno, na tungeweza ona huwa meno, sio ulivyofanya
Umerogwaaa Kunasiku utakunywa sumu wewe uoneshe uhusika na kuingiza unachokijua kulia tyuu🤗
Hahaha hhahaha
Dada yangu leo umeniacha na maswali mengi yasiyo na majibu. Yani unang’oa meno kisa sanaa ?? Nakuonea huruma sana 🥲..
mjinga
Namshanqaa
Muongo hanaga meno ya meno anavaa ya bandia
@@subiramussa1428 usinambie🤣🤣
@@munakhamis982 kweli kabisa
Sophia nakupenda sana ndugu yangu
Hiiii!!!!! Huyu kumbe zamwamwa eeeh!!!😳😳😳😳
My dear uko vizuri mhh
Nakupenda saana mdogo wangu
Napenda kua mwigzaji Jmn naomba mnisaidie
Mmhh hapana kwa kweli ni upuuzi uliopitiliza
Hili lidada ni liongo alipata ajal meno ya mbele yakatoka huwa anavaa ya bandia aisee sipendi majitu maongo
apo kweli mana yanaonekana yametoka mda mreeefu sio kwa kung'oa mda mfupi
kwanza kikwaida meno ya juu uwezi tolewa ovyo ovyo
Umesema ukweli kbs sasa sijuwi kwanini anadaganya wa Tanzania🥲
Au sío nakúbali kazi zako dadaangu mama jasi
😂😂😂walisia ndo nitoe meno
Mmmh!
Da ulilipwa kiasi gani 🤣🤣🤣🤣🤣
Mwandishi mashaallah anabenzi la kidume
😂😂😂😂😂
Pesa inatafutwa Kwa nguvu kweli yanni ningolewe Jino si wangetafta mapengo tu
Walikuona wew ni mjinga ndo maana wakakwambia duh lakin huyo lamata mbona kama anaanza utumwa sasa
Tokea mwanzo ayo meno huna dada
Jinga ili
Uyu inakua alipigwa vichwa sugunyo anatuongopea tu kutoa meno kwa sababu ya pesa kweli haiingii akilini kutoa meno ya balazani ili uwatemee watu mate😂😂😂
🤣😂 wonders shall never end.
Kesho kwatakiwa kipofu wendatolewa macho🤣🤣💔
Mmmmmh
Waoo
Huo uhalisia unaotaka kuubeba ipo siku utakugharimu dadaa amka
Siungeeka chocolate tuhapo kuliko kung'oa jamani dah umekula ngapi kwalamata
Ashi ili jinga kweli unatoameno kwani umuoni joti ck ingine ana meno ciku ingine anayo
Usitudanganye wewe bwa na ukute ulishapigwa siku nyingi ngumi me no yote ya sebleni yakatoka😂😂 meno yakiwa mazima ata doctor anakataa kukung'oa mie nipo nje ya tanzania jino linatobo mbona doctor halikataa kuning'oa akasema bado gumu haliwezi kung'olewa nikapewa dawa 2 mpaka leo sijalitoa
Huyu toka mwanzo alikuwa hana meno na nilimshtukia kipind flani akiigiza na yusuphu mlela na Neema ndepanya niliona kbsa hakuwa na meno
😮😮eeh hana meno kweli
Ulifumaniwa maeneo ya yombo ukatolewa meno na mwana flani hivi anaitwa fred
Kweli ww dada za mwamwa unajitoa meno yako kisa tamthilia pumbavuuuu kwa umri ulio nao hayaotiii tn menooooo 🤣🤣🤣kwanza ulilipwa Bei gn nakuuliza hapo kwanza Mana ncheke
Muongo
mimi naomba utoe na mengine ya chini sofy
Heee ela zitatuuwa
Hongera kwa kutoa meno bado mguu dada au mikono 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahahhahaaaa hakika
🤣🤣🤣Enti bado miguu ila huyo ni ujinga Sana
Huyu Sophia hilo tukio la moto lilitokea Magomeni mtaa wa Luponda B au sio?
Huu ujinga, basi waigizaji wazungu, wote wangekuwa, hawana meno na miguu, ijinga sana, wenzenu wanapaka rangi,, masi na miguu. Utavunja,
Hongera kwa kujenga dada angu
Subutu sio jino to hata nywele zangu sinyoi😏
Wewe wanibamba wasema ata nywele unyoi mm inategemea n style ya kunyoa ela kipara mmh swezani
Uyu muongo ,meno yake tangu zamani nilishamwona akuwa na meno,kuna muvi alicheza akiwa housgerl meno akuwa nayo
ananikela matibwili yake dar we jeuli
Kuna siku Uhusika utakuhitaji uigize ufe” Kwa jinsi unavyosema eti unampambania Mama yako Na watoto basi wewe utaamua ujipige kisu ufe kweli” Halafu huwezi kung’oa meno hapo hapo ukavaa Meno ya Bandia’ huwenda akawa alichezea kichapo yakang’oka akaona humu humu atokee”
😂😂😂
Meno hanaga ya mbele
Huwezi jua amepitia mangapi baada ya kuunguliwa na vitu vyao ndo alivyopata kazi akaona afanye vyovyote apate nafasi kwenye hiyo tamthilia. Shida haina adabu
Mzuriii lkn fashen ya kukata hapendezi bichwa kubwa linamanundu style hio awaachie akina Wolper na Kajala wao vichwa vyao vinapendezaga na hio style
Yake yanamwendea lkn
Nyoo Kwa kutoa meno Bado,ujinga huo cfanyo
Huyu haoti nywele au hapendi nywele
Huyo lamata hajatenda haki duh,kuigiza ndo ujitoe kiungo
Kesho utaambiwa utoe pua bibie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Fala uyu anatuzuga meno ya mbele alikuw Hana toka muda . Lamata hawez mtow meno msanii wake
Alipataga ajali ya pikipiki kweli
Mbona joti anaekti na mapengo kila day na hatowi meno yake jmniii
Uongo ajatowa meno
He huyu juha ee siku nyingine ikibidi awe kipofu atatoa macho kweli
Hahahahahaaa@aa
🤣🤣🤣🤣🤣 chiz kwel weye sasa utato wa macho siku nyingine acha ujinga
Kwa kutoa Meno nakuona huna akili
Sio siri we mjinga
Huyu alihitaji elimu maana teknolojia ipo... hajui kuna uzee halafu anatoa meno kizembe.
Muongo huyo hanaga meno ya mbele
@@subiramussa1428 , 🤣🤣🤣
Huna akili
uhakika wa kula ndo umempa uchizi wa kutoa meno...
😂😂😂😂
Muongo
Etii!!😀
🤣🤣🤣
Unampongeza ujinga, we mwandishi, kuna filam ngapi, dunian, watu wanafanya uhalisia,, katika watu ambao, hawana akili naona we kiboko,
Ulipata ajali bhana hapo umeongopa
Si angepaka rangi tu kama joti
Toanamikonoyote
Mwwhu kabisa na mshamba
Kama nikweli wewe sio mzima lakini nahisi ulipata ajali kwaajili ya ulevi
Hana tokamwanzo uyu alikua anabandika tu
Huyo muongo mwanzo kabisa kasema alipata ajali meno yakatoka
Meno yalitoka zamani sema ulificha ukaamua kuwa wazi ktk kuect
Kweli kabisa nakumbuka kuna dada nilisoma nae yupo darasa la 5alinyoka meno mpaka leo hakuna atakaye jua hana meno anatumia ya mbandia
Kwanza ktk interview yake amesema alipata ajali
@@cocorita8367 eeeeh hajaenda kutoa kwajili ya interview
U
Huyu alioza meno muda tu akang'oa na akawa ana ya bandia asituzengua kabisa
🤣🤣🤣mbav zangu jmn
Duuh nawaza tu ukipata kakipande Cha kuigiza umekufa Utajiua kwel ili utuoneshe uhalisia
Mjingasana
Ujinga gani huu??
ananikela matibwili yake dar we jeuli
Duuh nawaza tu ukipata kakipande Cha kuigiza umekufa Utajiua kwel ili utuoneshe uhalisia
🤣🤣🤣🤣🤣Yaani nacheka hadi badi enti uhalisi hii kali