Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Dah mungu mkubwa sema baba yao inatakiwa haijue sheria kiukweli ni swala lilo tuzunisha watanzania
Alafu huyu mm aliojiwa na wasafi kuhusu bb yao, akasema kuwa na yy anadai anawatafuta pia kwamba awapo kwake, ss inakuwaje tena awe nao yy. Na mseme awakutekwa?
Hiyo ndo kuteka, mama huelewi?
Baba mwizi,wanaume wengine wanahaibu sifa za wanaume wenzao,Mume wangu nakuheshimu lkn dafiri na mwanangu bila taarifa Police itakuhusu ukusaidie
Huyo baba siyo mtu mzuri kwanini achukuwe watoto harafu simu inapigwa anajifanya hajui mpaka watoto wanatangazwa yeye ametulia tu
Sasa alichukuaje watoto bila kukupa taarifa
Kwanini achukue watoto huyo baba Bila kukupa taarifa? Kwanini asikupigie hata cm. Huyu baba asukumwe ndani
Af uyo baba alivyoulizwa akashtuka kama hajui chochote duhuuu