Kaka shida yangu moja wewe je huongiii dj ili wapige ngoma zako au kisa kuwafunika wanaoamini wanaweza kumbe hawajui wanakufutia promo na kuto post ngoma zako Kali za maarifa ya ki genius 🔥🔥🔥🔥
Dizasta vina ni sawa nakina Joh 70, unapokuja njoo Makini. Msanii pekee anayeshikilia nguzo ya Hip Hop. Fid ameshasanda, bado kuimba taarabu tu! Njaa hz mbaya sana
"King km kaka af masta km Yesaya"🎉 uyu jamaa mm ata cpendi kutia neno kwenye michano yke coz hua naona cna cfa za kumcfu cfa anazostahili kwenye hii kazi yke ya michano🎉🎉
Until now am still wondering how you came out with your 9 reasons idea The flow is damn dope Kweeri wee ni bar builder Level 5 sorcerer kutoka far future 😂😂😂😂
Yaan sikuzielewa sababu tisa hadi nilipo ona hizi lyrics...👊
Huyu jama anatoaga wapi hz vitu, ufundi ni mwingi ukmskilza ukiwa TIMAMU!!❤❤❤❤❤❤ NAKUKUBALI sana D ndani ya Vina.
Kaka shida yangu moja wewe je huongiii dj ili wapige ngoma zako au kisa kuwafunika wanaoamini wanaweza kumbe hawajui wanakufutia promo na kuto post ngoma zako Kali za maarifa ya ki genius 🔥🔥🔥🔥
Ni uamuzi tu ukienda mainstream ye anakwenda deep down....mwite blackmaradona
Dizasta vina ni sawa nakina Joh 70, unapokuja njoo Makini.
Msanii pekee anayeshikilia nguzo ya Hip Hop. Fid ameshasanda, bado kuimba taarabu tu!
Njaa hz mbaya sana
"King km kaka af masta km Yesaya"🎉 uyu jamaa mm ata cpendi kutia neno kwenye michano yke coz hua naona cna cfa za kumcfu cfa anazostahili kwenye hii kazi yke ya michano🎉🎉
Dizasta unaandikaga hz lymes saa ngapi jamaa maana daah
Congratulations much love from mombasa kenya nangoja album
Utakujaga uue kwa mistali dizasta vina wew
You’re extraordinarily. That’s a wordplay we call it. ❤
💥🔥💥💥🔥💥💥💥🔥🔥Nakubali sana kaka you are best raper of tanzania
Nakukubal mwananguu tupe madin mwanza mwanza
Dizast ujengewe sanam
Ukute kamjibu khaligraph af hatujamuelewa uyu bwana 😂😂😂😢
Vicheche na chuchu nje,, wakitaka what??? Girls you better listen to this G
Hip hop tz iko salama, kila la kheri "Mbeya boy" DIZASTA VINA"
huyuu jama ni Nyoko sana kwa haya kina kuchikuchi naenae bado sana.. na hizo paka pka pusispusi zao
Kuna edger mmja tyuu ulimwengun nae ni dizasta vinaa❣❣🔥🔥 angalia vina vimenyooka mnooo an hatar snaaa
Naachaga Kila kitu nkionaga dizasta amedrop new hit!
Shikamoo brother 🙏 🙌
Ameanza na 9 mpka 1. umeona huo umahiri???? kasimama kwenye tatu kama utatu.😂❤
Naweza kufuta ngoma za wasanii wengine wote nibakishe za Dizasta tu
Msanii Bora wa Rap
mwalimu wa hiphop ndio huyu hata fdq hafiki kwenye hikikichwa
Unadunia yako mwanangu
Bado nitasema vilevile tu kuhusu wewe broo I DO LOVE YOU 🤝 long live nigga
Toleo la mwisho la watu wa aina hii..BiG Respect janga la milele
Hiii ni ya motooo sana 🔥🔥
Hii ngoma kali sana bro
Genius
Kazi nzuri sana kaka mkubwa tunaendelea palepale tulipoishia
Nakukubar sana the black maradona nusu mtu nusu rap mashine❤❤❤
Hahqhaaaaq 😂😂 kumb hawakujui kuwa ww ndo vina expect unique verses 👌 👏 😎 🔥 🔥 🔥
huyu bro ni chuo cha kujitegemea
Jamaa anajua ad basi🙌🏿
Kitu chamoto sana
Salute niga
Damn it 💥💥💥💥💥💥💥best MC in Tz
Binafsi namkubali sana huyu jamaaa anajua sana 🫡
Kwan akuna tunzo inabid ss mashabiki tuivyomb serikal ivyund tunza za dizaxta vina
🔥 🔥 Keep it up 🎉
Nani tena anataka kukuviruga D
Sijutii kukufollow,,kazi nzuri
Elimu yabure jamn
Master wa mziki huu nakubali hakuna wakubishana na wewe hii tz
Huu unaitwa ufundi D legendary ✊✊
Until now am still wondering how you came out with your 9 reasons idea
The flow is damn dope
Kweeri wee ni bar builder
Level 5 sorcerer kutoka far future 😂😂😂😂
Nitaanza kufa kwanza kabla niwe kolo 😂❤❤
Musisahau producer Ringo beats pia
Kawaida bingwa wakutema 🔥🔥🔥🔥 sio cheche
Dizasta vina number one👆
We noma kaka ❤❤❤❤❤
Niko tayari kufa kwanza kuliko kuwa kolo!!
Kenyans won't get this but it's a sneak diss just a warning huh .....
Tamu za kale
oya mi staki zungumza mengi weka namba ya simu nikucheki mwenyew
Sikupingi kila kitu unachotoa ni 🔥🔥🔥
Number one haijaelezwa bado
BLACK 🖤 MARADONA 🐍 🎉
Nakubar, mwamba.
Vina
Uko vzur jah!
Noma sana🔥
❤
Huyu Jamaa n Fundy sana....ni zaid ya vle watu wamjuavyo amecheza na namba na kila namba ina kitu kaweka
Hujawai kukosea, hii naipata audiomack kweli
Vina upo juu sanaa
Unyama flan iv
Dizasta we ni mkali Sana amini broo
Duuuh jamaa mkali
tuna subili Album
Baba karud 😅😅 watoto wapewe jojo kuimba ni kwa baba
Dizasta vina atari
Ushakula beg vusha majeshi kama mussa
SASA TOA NGOMA YOTE FULL KUDADEK UNARAP TOKA UJAZALIWA
❤❤❤❤
Stainless steel💥💥💥💥
👊
Huku ndiko kwenye hip hop
Master
Hazina ya taifa👊
Dizasta ndo shule yako
VINAAAAA
🤔🤔🤔
Vicheche na chuchu inje
One ✅
Black MARADONA 💪✊
🔥🔥🔥🔥
Black maradona hakuna mC kama uyu bongoo
🔥🔥 1:42
Xku zariwa kuchoka
Nikiwa central usikae karibu na hii zone ni..rs
Sikupingi
🙌🙌🙌🙌
🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤❤
Hakuna wakumes naww
🤦♂️ 🎉🥂
vicheche na chuchu nnje
9-1