WEMA SEPETU ashindwa kuendelea na INTERVIEW kwasababu ya Ugonjwa ''Mimi naumwa, nasikia vibaya''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 64

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 6 місяців тому +5

    Wema mwenyezi Mungu akufikishe salama hata unavyoongea pumzi zinavyotoka hata sura kuna baraka zaje 👏👏👏🙏

  • @GSaleh-xr3vn
    @GSaleh-xr3vn 6 місяців тому +9

    Hakika uzur wa umbo,sura huisha bali uzur wa Imani hubaki milele

  • @DivinebabyDee
    @DivinebabyDee 6 місяців тому +11

    Ila huyu kweli ni last born wa Tz akifika sehem kilamtu attention ni kwawema ❤❤❤❤❤

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 6 місяців тому +19

    Kwenye ujana tujue uamuzi ambao tutauchukua..sababu hilo ndilo tutakaloishi nalo uzeeni..so vijana tuweni makini sana tusije tukajuta na kushutumu binadamu wenzetu kwa kutuendea mbio kumbe ni maamuzi tuloichukua ujanani sasa tunateseka uzeeni... 🇰🇪🇰🇪

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 6 місяців тому +2

      Hana shida yeyote wema kama wanawake tunajua anashida gani Mungu amtangulie atoke salama

    • @kakawamashariki8978
      @kakawamashariki8978 6 місяців тому +1

      Ushauri makini kabisa na ndiyo msingi Kwa kijana anayejitafuta kuanzia. "Maana usipojua nini cha kufanya kwaajili ya Maisha yako basi, watu watakuchagulia nini cha kufanya kwaajili ya Maisha Yao.

    • @KajokaTanzania
      @KajokaTanzania 6 місяців тому

      Siku zote mna akili sanaa wakenyaa.

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 6 місяців тому

      @@kakawamashariki8978 kama ni wema mnasema wema Hana shida yeyote bwana tafuteni lingine

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 6 місяців тому +2

    Pole Wema,hata unavyoongea tu unaonekana unaumwa.Get well soon mamaa!

  • @stellahmhando5863
    @stellahmhando5863 6 місяців тому +4

    She is a mama to be😍

  • @mwajumabinwa604
    @mwajumabinwa604 6 місяців тому +1

    I guess she is pregnant 🤰 now ❤❤❤👌👌👌🙏🙏

  • @samehewaliokukoseya2605
    @samehewaliokukoseya2605 6 місяців тому +7

    Anamimba jo inayo musumbuwa❤

  • @FredinaFransis
    @FredinaFransis 5 місяців тому

    Nakupenda sana wema

  • @TesileaiaNestoly
    @TesileaiaNestoly 6 місяців тому +10

    Ila watanzania bn mbna kapendeza chuki tu,ooh kakonda saamuz yake uyo sio ng'ombe kwamba tutampiga mnada anenepe akonde not your business 😏

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 6 місяців тому +1

      Shangaa na anaumwa tumuombee tuu avuke salama

  • @MrishoRajabu-rx8zp
    @MrishoRajabu-rx8zp 6 місяців тому

    Inshaallah...one day

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 6 місяців тому +1

    Mrembo wangu na sura yetu haipotei

  • @StellahErick-wx5tw
    @StellahErick-wx5tw 6 місяців тому +1

    Yan mekapu zenu mnanzizidisha Hadi kero me kuwa kama paka analamba manziwa kwenye sufuria kuwen jamni sipo siku Moja Moja jamn😮😮

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 6 місяців тому +4

    Mbona wewe umsikilizi. Mama yako wema

  • @RoseKipimo-e4g
    @RoseKipimo-e4g 6 місяців тому +5

    Ajui kuongoza kibaka mwizi

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 6 місяців тому +2

    Jamn wema wangu mbona unazd kuisha hvyooo

    • @KhadijaMzuri
      @KhadijaMzuri 6 місяців тому

      Kafanya sajhar ndio mana ukamuona hivyo

  • @Xuxu-f7j
    @Xuxu-f7j 6 місяців тому

    Age gooo

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 6 місяців тому

    ❤❤

  • @sharifarashidy536
    @sharifarashidy536 6 місяців тому +3

    Sasa hv kimebakiii kichwa

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 6 місяців тому

    Bakhresa achana navpishy qyennaifanya nyota yako izidi kufifia,Brian alikupenda sana hata angeweza kusilimu bt huyo pishyqueen nidunga embe afadhali ungewalika kina kily na cheedy

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 місяців тому +1

    Wewe mala nyingi wema unachelewaga Sana kwenye invent nyingi. Ndo kawaida yako yani

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni 6 місяців тому

    Mbona mama yako tu umeshindwa.kumsikiliza unasema.unafata moyo.unasema nn😅😅

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 6 місяців тому +1

    na tuambiane ukweli...siku hazijawahi kurudi nyuma....

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 6 місяців тому

      Kwani wewe uko hivyo siku zote?

  • @jeanclaudeakili2372
    @jeanclaudeakili2372 6 місяців тому +6

    Amesha fanana ZOMBIE

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 6 місяців тому +1

      Chuki zako zinasaidia nini?

    • @OmanOman-vb4uj
      @OmanOman-vb4uj 6 місяців тому

      Subhanallah Allah atakusamehe

    • @jeanclaudeakili2372
      @jeanclaudeakili2372 6 місяців тому

      @@OmanOman-vb4uj real? Ivi mimi namakosa gani kuongeya ukweli? Please kamuulize!

    • @jeanclaudeakili2372
      @jeanclaudeakili2372 6 місяців тому

      @@hopefully7090 hahahaha chuki yanini? Inauma tu,mademu mazuri huwa wachezea mwili wenu alafu tukiongeya eti chuki hhhhh

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 6 місяців тому +3

    kachoka

  • @jeanclaudeakili2372
    @jeanclaudeakili2372 6 місяців тому +3

    Kasha towa mimba zaidi ya 5

    • @ShaniBihoiki-lx9jl
      @ShaniBihoiki-lx9jl 6 місяців тому +3

      Nikulize ulikuwepo alipo towa hizo mimba 😢muache kuwa mnakifuru buree ?

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 6 місяців тому +1

      Duuh we ndugu wewe!!
      Kwani si binaadamu hai huyu !!kuumwa kukonda ni vitu vya kawaida katka safari ya maisha hizo mimba unazomkufuru ni dhambi zako ww

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 6 місяців тому

      Na baraka za Mwenyezi Mungu atambariki tu

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 6 місяців тому

      Ulikuepo? Ulimtuoa wewe? Shenz

    • @jeanclaudeakili2372
      @jeanclaudeakili2372 6 місяців тому

      @@BarbaraPatience-qt9cc hahahahahaha inauma???? Sasa ninyi mademu mumeshalaaniwa! Mimba munazozitowa lazma mulipuke tu kamamlipuko wakivimbe

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 6 місяців тому

    Kweli bifu sio issue

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 6 місяців тому

    Wema watu wakielekea kuzeeka hawapunguzi mwili bali wanaongeza mwili wa wastani ili kuhimi magonjwa sasa wewe unakuwa kama bado uko kwenye ujana my kula vizuri fanya mazoezi kunywa maji mengi lala kwa wakati mwenzi tu my unipigie video call

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 6 місяців тому

    Mbagala rangi mbili 😅😅😅

  • @KudrahPembe
    @KudrahPembe 6 місяців тому

    Kachoka kawa kijuso

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 6 місяців тому

    Anaonekana kama ni mjamzito

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 6 місяців тому

    Halafu mangers zako naona niwakati sahihi waluwsngoa coz hawako serious ,sound ilikuaje aubwalupokea rushwa waharibu show?

  • @silverman6930
    @silverman6930 6 місяців тому +3

    What a fool you went late … better learn what protocol is about .:: and the make up… ooo my 😢

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 6 місяців тому

    Umeongea pwent waru wasgombne

  • @Mama-A
    @Mama-A 6 місяців тому

    If she's not getting old then her face shows all is not well

  • @hawasaid5286
    @hawasaid5286 6 місяців тому

    You can’t obey your mother who gave birth to you but you can obey her……. Just why you couldn’t continue with the interview…..