WEMA SEPETU AFANYIWA SUPRISE NA TUNDA KISA KUMFANYIA MTOTO WA WHOZU LOLA BIRTHDAY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • WHOZU AMSIFIA WEMA ANAVYOMLEA VIZURI MTOTO WAKE, KUHUSU TUNDA AJIBU HAYA
    WEMA SEPETU NUSU ADONDOSHE MACHOZI AKIFUNGUKA KUHUSU KUMPENDA MTOTO WA TUNDA NA ANAVYOMLEA.
    MILLARD AYO ATOA MAUA KWA WEMA, TUNDA NA WHOZU KWA HIKI WALICHOKIFANYA KWA MTOTO WAO

КОМЕНТАРІ • 55

  • @janeflorencesajjabi1545
    @janeflorencesajjabi1545 Рік тому +10

    Wema Mwanangu kwa moyo wako ulivyomweupe na Upendo MUNGU hatakuacha iko siku utapakata Mtoto wa Tumbo lako.❤❤❤

  • @neitherherenorthere8367
    @neitherherenorthere8367 Рік тому +5

    The maturity and wisdom of the 2 mamas is beyond! That baby is blessed to have loving and mature adults around her. No drama, just abundance of love for the child.

  • @SylviaSirengo
    @SylviaSirengo Рік тому +1

    For the good and pure heart you have wema... mungu akubariki na mtoto mwaka huu usikupite...we love you sweetheart ❤

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 Рік тому +6

    Tunda una Akili sana sana yani wewe dada niko tu nje ya nchi ningekutafuta nikujue .una Akili sana Tunda . Achana na waswahili wachawi . Mzazi mwenzio hauko nae tena kimapnzi ana mtu mwinginne akzept na furahia maisha yao tena waombee . Itabarikiwa mpaka ushangae. Mimi niliachana na x husbad wangu ila sijawahikumchukia hata nikaondka zangu nikabarikiwa mara dufuuuuuuu . Big up Tunda. Pia wema your the best sikufagiliagi ila for that . Your human. I love you both Tunda na Wema .❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤I. Ich liebe euch.

  • @aminaramambungo4414
    @aminaramambungo4414 Рік тому +8

    Allah yuko pamoja nae naiman ipo siku mungu atamjaalia mtoto

  • @clariceLu93
    @clariceLu93 Рік тому

    Mtoto amebarikiwa na watu wazima wenye upendo ❤❤❤❤. Mungu azidi kukubariki Tunda, we ni mfano kwa wanawake wengi ❤❤❤

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 Рік тому

    in sha allah wema utapata mtto usjar homba sana dua Allah atapokea majibu napenda sana nimefurah sana kuona umeonesha upendo kwa hari ya juu kwa mtto pamoja

  • @omanmct135
    @omanmct135 Рік тому +6

    Safi tunda❤

  • @AgathaOscar-bu3do
    @AgathaOscar-bu3do Рік тому +1

    Tunda umekua.ahsante❤

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 місяців тому

    Wema anapenda watoto mara nyingi waliklokuwa hawana watoto wanapemda watoto ata kuna dada hajapata mtoto anamoenda sana mtoto wa mdigo wangu na kamlea pala alikuwa anamwita mama

  • @omanmct135
    @omanmct135 Рік тому +4

    Mungu atampa mtoto wema❤kwangumvu zamungu

    • @tanzalivetv
      @tanzalivetv  Рік тому

      Kweli kabisa

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 Рік тому

      Wema atapata Mtoto , Mungu ni muweza wa yote. Huwa me napenda sana watu wanaotumia Bongo zao vizuri ,Tunda, wema na ,Baba mtoto big up guys.

  • @user-pm7kj6zv8z
    @user-pm7kj6zv8z 9 місяців тому

    Utapata mtoto wema mungu yupo

  • @rosejoely4518
    @rosejoely4518 Рік тому +5

    Tunda mzugu🥰🥰🥰🥰

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 місяців тому

    Tunda yupo kama mimi

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 Рік тому +1

    Tunda she's smart

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 місяців тому

    Wema akija kuzaa watu tutafueah sana na atakuwa kama nuru

  • @elineswai2933
    @elineswai2933 Рік тому +1

    Had raha jaman,wema mungu atakujalia mwaya

  • @FatmaMohammed-ry8yo
    @FatmaMohammed-ry8yo Рік тому

    Allah barik Allah atakupa mwenye kheir naww

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 місяців тому

    Mwenyewe qnalilia sqna mtoto pala qnqaema aombewe

  • @yfhff5268
    @yfhff5268 Рік тому

    Ila waandishi mnakua wachochozi sana.

  • @ghostg8400
    @ghostg8400 Рік тому +1

    Usijali kabisa wema utapata mtoto wako

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 Рік тому +3

    Mtoto hana hatia pili mume akiamua kwenda kwa mwanamke mwengine huwezi kumrudisha kwa hivyo Tunda hana la kufanya

  • @aishambagi7371
    @aishambagi7371 Рік тому +1

    Atampa mungu IPO Siku

  • @selinatogolai3314
    @selinatogolai3314 Рік тому +1

    Lazima ampost wema kafanya vizuri sana ila watu wanawaza ugon vi kati ya wema na tun da ila tunda anaakili sana ameona alichofa nya wema ni kitu kizur i sana

  • @ScolaKazungu-hi3vb
    @ScolaKazungu-hi3vb Рік тому

    Singo muvu

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 місяців тому

    At

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Рік тому

    Nenda kwa mwamposa. Utazaa

  • @swesschao3095
    @swesschao3095 Рік тому

    Icho ndo chauma mwanaume zaidi wake kupendana

  • @aishambagi7371
    @aishambagi7371 Рік тому +1

    Mungu hajaliya ila IPO Siku mungu atamlipa

  • @aishaisha-ph4pi
    @aishaisha-ph4pi Рік тому

    Tunda anaelewa ujafa ujaumbika

  • @user-sv6zy3hc8o
    @user-sv6zy3hc8o Рік тому

    Jamani badala hii stori juma yumo Haina ukwer😅😅😅😅

  • @zainabbukheith
    @zainabbukheith Рік тому

    Acheni umbea bwanaa akhaaa wanaume wazima🚮🚮🚮