Hongera sana Thobias unaitendea haki Kazi yako..Interview zinatufikia kwa Wakati..up date ni all the time ..big up sana kwako una Deserve kuwa mmoja wa Watendaji kwenye Sector hii..ila nikuombe sasa hivi ujifunze Lugha zote za Wachezaji mchanganyiko walioko Simba...😀😀 sa Sijui KIHA kama utakiweza Maana Kifaransa kinasubiri.
Alama 3 muhimu Mungu ni mwema Tupambane Game ijayo vs Bravos tupate Alama muhimu tufuzu Robo Fainali Kisha Tumalizane na Constantine ili tuweze kuongoza Kundi 🙏🙏 Nguvumoja
Watoto wangu nawapenda sana mnajituma kuibeba tim yetu hongereni sana huwezi kufunga mpe pasi ndugu yako afunge muhimu point tatu tunaomba sita Ilizobaki kwa uwezo wa Allah tuzitie mkononi
I think the time comes now to honor Abasi Ali aka Vasco Da Gama for his work. He has been doing an outstanding job of making sure simba is in right place at the right time on away games for sometime now 👏.
M nashaur uongoz wa Simba wampelek huyu huyu kijana course ya ata mwaka mmoja ya french na lugha Moja ingine ambayo ni international sio kutafuta mtu mwngne ..tunampenda bado kijana wetu
Lugha ya Football ni English kisha nyingine sasa Mwandishi yuko sahihi cha muhimu ali hofanya yeye ni kutotaka Kiswahili akiamini Wanasimba wanajua anachotafsiri Ateba
Hongereni sana simba, ongezeni juhudi mpaka wakome❤❤❤❤
hongereni vijana wetu kwa kupambana mmejituma sana hongereni sana
Asante Mungu tumeshinda. Na umewalinda wachezaji dhidi ya majeruhi.
Leonel ateba , Charles ahua and both players congratulations
fantastic valuable goli⚽ Ahoua 🦁💪🏻
Ubaya ubweraa Simba nguvu MOJA🦁💪
Asanteni sana wachezaji wote,na asante thobias unafanya kazi nzuri.
Hongera sana Thobias unaitendea haki Kazi yako..Interview zinatufikia kwa Wakati..up date ni all the time ..big up sana kwako una Deserve kuwa mmoja wa Watendaji kwenye Sector hii..ila nikuombe sasa hivi ujifunze Lugha zote za Wachezaji mchanganyiko walioko Simba...😀😀 sa Sijui KIHA kama utakiweza Maana Kifaransa kinasubiri.
we msenge sana kiha tena cha nini saaa😂😂😂
Hahhaa😂😂eti kiha
Asante Mungu umejibu maombi yetu
Simba nguvu Moja,ubaya ubwela🎉🎉🎉
Ateba alimu-assist Jean uwanjani na amekuja kumu-assist kwenye translation 🔥🔥
Hahahaha😂
@@VictorWilly-v6p sindiiooo 🤣🤣🤣
Classic comments🔥🔥🔥🔥
Hongera timu yangu kwa ushid
Ahoua ubaya ubwera
Simba nguvu moja🎉🎉
Thanks alot guys for good work
Mshukuru Mungu.
@jumamangombe6493 🙏🙏
Simba nguvu 1🎉🎉🎉🎉
Asanteee Munguuu
Hongera sana Simba
Nguvu moja simba sc mbele
Ahsante sana Mnyamaa kwa ushindi huuu, kweli stress leo mmezitoa, hapalaliki leo🎉🎉🎉
Alama 3 muhimu Mungu ni mwema
Tupambane Game ijayo vs Bravos tupate Alama muhimu tufuzu Robo Fainali Kisha Tumalizane na Constantine ili tuweze kuongoza Kundi 🙏🙏 Nguvumoja
simba nguvu moja ❤
Kabla hawajazunguza dhambi zao nipewe Mimi kwanza 🦁💪♥️♥️♥️♥️
Hongera sana Wana lunyasi , ahsante sana timu yangu
Sio laisi kufunga ugenini hogera sana Simba ❤
mungu awaongezee uwezo vijana wetu mzidi kupambana
Hongereni sana aisee mmejua kutufurahisha👏👏👏 ubaya ubwela🦁🦁🔥🔥🔥💪
Asante mnyama kwakutupa furaha❤
Ubaya ubwela Simba nguvu mojaaaàaaaa
Hongereni sana wachezaji wetu mnatuheshimisha sana❤
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys, Ubaya Ubwelaa❤🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
I love ateba wangu
Hongera sn wachezaji wetu tunawapenda sn
Ubaya ubwela Simba nguvu moja
Thank you ahoua
Ubaya ubwela simba nguvu moja🎉🎉🎉🎉
Good job ma team ❤❤ jean ahoua
Simba hongereni sana
FIREEEEEEEEEEEEEEE
Ubaya ubwela🎉
Alhmdhulillah❤❤
Mnyama popote pale iwe mvua juwa mnyama huwa hapelei,ongeleni wachezaji wetu kwa kutufulahisha ma🎉🎉🎉🎉 yenu pamoja viongozi kuwa pamoja na wachezaji
Simba ❤msalimie semaji la caf
We love our players, we are greatful that you joined our team open heartedly👌🫶
Hii ndio Simba Ninayo ijuwa Ushindi ndani Inje Hongereni.
Watoto wangu nawapenda sana mnajituma kuibeba tim yetu hongereni sana huwezi kufunga mpe pasi ndugu yako afunge muhimu point tatu tunaomba sita Ilizobaki kwa uwezo wa Allah tuzitie mkononi
Simbaaaaa nguvuuuuu mojaaààaaaa
🔥🔥🔥
Thank you Jesus tem ytu tukionbea Dua Duwa mungu anajibu ubarikiwe mnyama ❤
Simba nguvu moja
Ushindi ni muhimu kwa mnyam❤❤❤
Alhamdulillah nguvu moja
❤❤ Aisha makopa hongera
❤❤❤❤
❤
Hongera mnyamaaa
Ateba❤❤❤❤
Ubaya ubwela 🙏🙏🙏
Dhambi za AHOUA apewe PRIVADINHO na ALI KAMWE kama kifungashio😅😅😅😅
Dhambi ya Mzize wapewe washambuaji wote wa Simba😂😂😂😂🙌🙌🙌
Unajua nacheka kwann😂😂hii ni maajabu ❤❤❤
Thank you Allah 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yani wale vyura wangeongea leo dahhh😂 allhamdulilh 🙏
Simbanguvumoja ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Alhamdulilah
Ubaya ubwelaaaa 🦁😅🦁
kikosi cha ubaya ubwelaaaa!!!!!!!! safi sana
I think the time comes now to honor Abasi Ali aka Vasco Da Gama for his work. He has been doing an outstanding job of making sure simba is in right place at the right time on away games for sometime now 👏.
Mungu ni mwema😂😂😂🎉🎉
Tunawapenda sana mnapambana
I will learn frace for you AHOUA ❤😢. Love youuu 😅😅😊😊
Asante
Mh Ateba kama baunsa hongela kaka
Good job Ahoua
Nguvu moja
M nashaur uongoz wa Simba wampelek huyu huyu kijana course ya ata mwaka mmoja ya french na lugha Moja ingine ambayo ni international sio kutafuta mtu mwngne ..tunampenda bado kijana wetu
Ushindi muimu kwetu❤
❤❤❤❤
Wachezaji wetu tumewaelewa mno na Kikubwa kinachowapendezesha zaidi ni Nidhamu, Fikisha Kongole zetu kwao.
❤❤🦁🌹🥰🥰👍🤲🤲🤲
Lugha ya Football ni English kisha nyingine sasa Mwandishi yuko sahihi cha muhimu ali hofanya yeye ni kutotaka Kiswahili akiamini Wanasimba wanajua anachotafsiri Ateba
Ubaya ubwela. Hatucheki na wowoteeeee pumzi ya moto mpk kwao 😂😂😂😂😂
Hiyo lugha ya Ahoua tumeielewa
japo lefa katubania san penati ila ubaya ubwela simba nguvumoja
Ubwela nguvu moja
🎉🎉❤
🔥🔥🔥❤💪
Mboona ateba anazid kuwa bonge hvyo inamaana hawamuon😅
Thank you too
🎉🎉🎉❤❤
🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉
UBAYA UBWELA IYO NDO SIMBA
Hakika Mungu ni mwema amekuwa upande wetu
Mungu akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu
Kweli
❤❤🎉
Ayo macho sasa daaah❤❤❤
Ume anza tamaa zako
Una taka uwe kama amisa mobeto kutu haribia wachezaj wetu
Macho ya nani sasa hapo Kitoto Cha 2000!??
Jamani wanasimba nisaidie I kitu hivi hawa utopolo wanasema wao wameshinda goli nyingi point na magoli kipi muhimu haya majinga hayanaga akili
Point kwanza, magoli baada ya point
💪💪💪
Nasikia Raha yakupitiliza
Tobias kajifunze na kifaransa ili Uwe na uwanja mpana wa kuuliza maswali wewe mwenyewe bila kutafsiriwa
Simba kuna umuhimu wa kumsajili mwandishi anae weza kuongea kingereza na kifaransa kwa sababu timu yetu ina mchanganyiko wa lugha kupitia wachezaji.
lugha yetu hii hii inatosha acha roho mbaya kaka haya maisha tu
wakisajili wareno, n. k
The good thing thobias anajua kingereza that's enough ❤🎉🎉
Kikubwa tunachohitaji ni ushindi lugha pembeni
Hahaha sio roho mbaya mtangazaji unatakiwa ujue rugha nyingi unyama ni mwingi
❤
Nawapongeza.wachezaji.viongozi.washabiki.na.wanachama.kwa.kuendeleza.umoja.ndani.ya.timu.hii.ndio.maana.ya.nguvu.moja.ubaya.ubwera
Simba nguvu Moja ubaya ubwela
Ubaya Ubwera 💪🩸❤ nguvu moja