SOMA SURAH HII NYAKATI HIZI 2 UONE MAAJABU KATIKA KUONDOA SHIDA ZAKO NA MADENI - SHK OTHMAN MICHAEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 чер 2024
  • #mawaidha #sheikhothmanmichael #youtubeshorts

КОМЕНТАРІ • 23

  • @mwanapiliabass2406
    @mwanapiliabass2406 20 днів тому

    Aslm shukran na jazak llahulkheir

  • @sheikhaswalehsalim3392
    @sheikhaswalehsalim3392 16 днів тому

    Assalam aleykum warah matuAllah wabaraqat, kweli kabisa sheikh

  • @asiamkindi7306
    @asiamkindi7306 26 днів тому +1

    Asante Sana sheikh wetu

  • @aydahjomahjomah-hc2qs
    @aydahjomahjomah-hc2qs 14 днів тому

    Assallam Allekum warahmatullah wabarakatuh shekhe naomba unisomee nipo

  • @AymanHaji-oy9iw
    @AymanHaji-oy9iw 26 днів тому

    Shukran shekhe Allah azidi ktuongoz njia iliy njema inshallah

  • @asiamkindi7306
    @asiamkindi7306 26 днів тому

    Sheikh Michael nondo madhubuti hiyo shukraaan sheikh wetu kwa kutupa mambo mazuri

  • @AbdurahimIsmail-nn5rz
    @AbdurahimIsmail-nn5rz 22 дні тому

    Asalam alaykum sheikh napend San kusikiliza na kufatilia darsa. zako ❤❤❤

  • @user-qp6ig1kx6z
    @user-qp6ig1kx6z 26 днів тому

    Inshaallah

  • @intsarysuleiman6333
    @intsarysuleiman6333 20 днів тому

    Asalam aleiykum sheikhe mm nipo oman naomba number kwa mambo ya kheri inshaallah

  • @mwajohari4385
    @mwajohari4385 25 днів тому

    Alhamdulillah

  • @BuhiteAlly
    @BuhiteAlly 19 днів тому

    Mashaallah.napenda.mafunzo.yako

  • @mabujumbe9872
    @mabujumbe9872 14 днів тому +1

    Allah akupe umre MREFU tuzid kufaidika na Elmu yako.Hakika anayosema shekhe na ukayafuata anayosema Kwa yakini kabisa NITAKUWA SHAHID WA ELMU YAKE HII NIKWELI ZINA MAJIBU NAKWELI ALLAH ANAJIBU . Waislamu tumfatilie Sana huyu shekhe anasema yalikweli nayasio na Shaka kabisa.juu anayotufundisha .Allah amuhifadhi na hasad za VIUMBE wake dhid yake

    • @rukiaissa5878
      @rukiaissa5878 13 днів тому

      Insha allah naww pia allah akuzidishie kheri kwa kuwa shuhuda wa maneno mazuri ya Sheikh wetu

  • @BuhiteAlly
    @BuhiteAlly 19 днів тому

    Naomba.uniombee.shekh.kila.ninachofanya.hakiwi.wema.wangu.wanaona.si.kitu.walimwengu

  • @user-sh7id8of5m
    @user-sh7id8of5m 21 день тому

    Shekhe mimi nipo zanzibar naomba namba yako nafatilia sana duwa zako

  • @hatibustambuli8039
    @hatibustambuli8039 18 днів тому

    Mimi huwa silali usiku mpk nisikilize clip ya shekh
    Kuna vitu vingi nimejifunza kwake

  • @AbdillahSaleh-og1gu
    @AbdillahSaleh-og1gu 15 днів тому

    Asalaam Aleikum. Na ukiisoma usiku wa manane je?

  • @aydahjomahjomah-hc2qs
    @aydahjomahjomah-hc2qs 14 днів тому

    Omani

  • @GjhBjhhj
    @GjhBjhhj 26 днів тому +1

    Sheikh twaomba utuumganishie hizo sura mama tulio slim hatunui kusoma twasikiza kwa simu yafaa

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 22 дні тому

      Tumsubiri sheikh atakujibu! In Shaa Allah kusikiliza unaweza anza kwa kuskiliza
      Kisha ukaanza taratibu za kujifunza pia🙏🙏🙏🙏🙏
      Karibu katika uislamu🙏🙏🙏🙏

  • @MamanJuma-lb8jg
    @MamanJuma-lb8jg 26 днів тому

    Namba ya sheih kama mnayo naomba jemeni

  • @SaidFupi
    @SaidFupi 19 днів тому

    Je utaratibu huu ameufundish mtume Sala na aman ziwe juu yake??

    • @bir4450
      @bir4450 16 днів тому

      Shehee unapaniki mapema sana. Unajua kitu kinaitwa tajiriba? Matendo na dua vilifanywa na wanazuon na wakaona matokeo yake sio kila kitu uwe unaskia kilifanywa na mtume (sallallahu alyhi wasalam) ispkouwa waja wema waliopita kwa ilmu waliokuwa nayo wakatia bidiii kwenye ibadat na dhikir mbalimbal na wakapata majibu.kwan hujasom tarekh ya imam abu hanifa? Watu walikua wakimfata afanye rukia, naye anatoa kiatu chake anawapa wakamuoneshe aliyepandisha na aliyepandisha akiona kiatu na anapona.nachojaribu kukufamisha ni kuwa wapo watu walifikia darja za uchamungu sio ubishi wako wa kisalafi