Njia rahisi ya Kuitambua Siku ya Kubeba mimba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 2,4 тис.

  • @Toptenherbs
    @Toptenherbs  Рік тому +58

    Kama unatamani Kujifunza zaidi kuhusu masuala haya ya Uzazi jipatie kitabu changu cha SULUHISHO LA UGUMBA... Huko ndani utajifunza Hadi Staili 😃 za kupiga show!! Gharama yake ni 10,000/- tu. Wasiliana nasi kwa +255676298270

    • @SporaYosia
      @SporaYosia Рік тому +4

      Ukweli mm nikishafikia siku ya kumi nakuwa muoga sanaa mpaka zitimie siku kumi na tano ndo najiachia 🤣🤣 weeee. Sina masihara kabisa kwenye hizo siku ahsante doctor

    • @SimonMuia-xz6ei
      @SimonMuia-xz6ei Рік тому +2

      Je na sisi tuli bali

    • @GwaxGwax-rr8ob
      @GwaxGwax-rr8ob Рік тому

      @@SporaYosia dasitani kibiki

    • @annemutuku-zc6vm
      @annemutuku-zc6vm Рік тому +3

      Naomba unambie dawa ambazo naeza tumia Ili mzunguko wangu utulie

    • @GislaMdimi
      @GislaMdimi Рік тому +1

      Mapacha jee?

  • @niyonzimanadegenadege393
    @niyonzimanadegenadege393 3 роки тому +30

    kusema kweli ww ni mwalim mzuri unamalizia vizuri sana UBARIKIWE MPAKA USHANGAEEEEE

  • @dorcusdaudi8810
    @dorcusdaudi8810 Рік тому +15

    MUNGU akubariki sana doctor unafundisha vitu vya maana na hasa kumtanguliza MUNGU Kwa Kila jambo MUNGU akuinue 🙏

  • @rahabumartin9877
    @rahabumartin9877 2 роки тому +6

    Asante sana doctor.ubarikiwe.somo zuri umetuelewesha.ubarikiwe na wewe zaidi.

  • @wilsonsegesa9594
    @wilsonsegesa9594 Рік тому +3

    Amina,Bwana azid kukutia nguvu kwa mafundisho mazr juu ya afya zetu kwaajil uzaz na family kwa ujumla kiukwel Mungu tu ajuae sisi wenyew hatuwez, by Renatus chikulugu

  • @bibasulesh7866
    @bibasulesh7866 3 роки тому +4

    Hakika
    Asante
    Nimekuwa nikijifunza sana hiki kitu mpaka nimezoea nimekuwa mwalimu pia nakielewa sana hichi kitu.

  • @rosejames7301
    @rosejames7301 4 роки тому +15

    Nimekuubali sana pale uliposema mtoto ni baraka Mungu ndyo anapanga akupe jinsia ipi,Asnate kwa somo Na kumtanguliza Mungu

  • @shadracknoah1140
    @shadracknoah1140 Рік тому +5

    Asante sana doctor,, MUNGU akutunze kwa huduma

  • @MatildaFrank-bp5oq
    @MatildaFrank-bp5oq 9 місяців тому +3

    Wewe ni mwalimu mzuri saana,unatufundisha vzuri saana,wengne hawawezi kufundisha kama wewe.

  • @zabibuwazir9078
    @zabibuwazir9078 3 роки тому +2

    Hongera sana,miongoni wanatuelimisha cc wanawake wasuala ya uzazi wewe namba 1 unaeleweka sawa.naomba

  • @NuratiIsmail
    @NuratiIsmail 10 місяців тому +1

    Jamani sawa naamini Mungu ndiye mtoaji IRA nasisi atuone sichoki kufuata ushauri ewe Mungu tubariki amina ,🙏🙏🙏

  • @Erickbernad
    @Erickbernad Рік тому +41

    Namimi pia natamani jaman nipate mtoto naamini mung u atanibariki🙏

  • @gracejoseph6381
    @gracejoseph6381 Рік тому +5

    Ubarikiwe doctor nimekuelewa Mungu akubariki

  • @janethgatoni5981
    @janethgatoni5981 4 роки тому +6

    Na mapacha je? Asante kwa funzo hii ubarikiwe sana Mr doctor

  • @peterfanyeni3134
    @peterfanyeni3134 2 роки тому +1

    Ubarikiwe sana. sijawahi kumuelewa hili somo pengine popote zaidi yako. point ya Mwisho umenena vyema. Nashukuru mno

    • @Toptenherbs
      @Toptenherbs  2 роки тому +1

      Ahsante sana kwa kutumia muda wako wa thamani kutazama video zetu

    • @samsonsimon9131
      @samsonsimon9131 2 роки тому

      Je kama mwanmke kutoka kwenye CK amalize siku ngp ndo ashike miimba

    • @JemsAmosi-x4j
      @JemsAmosi-x4j 6 місяців тому

      ​@@Toptenherbseti naomba kuuliza ivi mfano mtu anaingia talee 13 nitoe izo 14 jibu apo ni 1 sasa nikiongeza siku moja mbele inakua 1 2 asa izo siku mbili nyuma zinakaaje apo tafazal nielekeze apo niweze kuelewa

  • @annathomas784
    @annathomas784 11 місяців тому +1

    Santee San doctor ngoja NIANZE kufuatilia mzunguko wangu Yaàan unaelewesha vizuri sana

  • @asharwanyangoma3090
    @asharwanyangoma3090 3 роки тому +7

    Ahsante sana
    Dr kama mtu unaingia kwenye siku zake mara mbili kwa mwezi je siku za kubeba mimba ni zipi

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 4 роки тому +11

    Hii elimu ni nzuri sana hasa unapokuwa na mke.. Inabidi wanaume nao tujue maumbile ya wake zetu

    • @damarisa1399
      @damarisa1399 4 роки тому

      Kabisa kaka ilo ulilolisema ni kweli

    • @TINNAJOSOPH-df6mk
      @TINNAJOSOPH-df6mk Рік тому

      Mimi naitwa Tina docta naomba nikuulize swali Mimi katika mzunguko wangu wa hedhi unaenda hivi tangu nilipo vunja ungo mbaka sasa nimezaa watoto wawili natumika siku Saba tano natoa damu sita name Saba nasafisha sasa naomba unipe siku nzuli yakupata mtoto wakike alafu Sina tare maalumu Mimi naenda kila tare katika mwezi naomba nieleweshe vizuri docta

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql 7 місяців тому

      ​@@TINNAJOSOPH-df6mk😢😢😢 pole mamy Allah akupe wepes uwe saw love you

  • @AgnesZakaria-t2d
    @AgnesZakaria-t2d 10 місяців тому +10

    Ee mung naomba nibariki na me nipate mtoto maan mmewang kabadilika sana naomba tenda miujiza yako mungu wangu,mlio pata watoto tuombeeni na si ambao tumeolewa nahatujabahatika kupata mtoto tuweze kupata mtoto.

  • @revinajonathani3133
    @revinajonathani3133 Рік тому +2

    Doctor Mungu akubariki unafundisha vizuri sana na vitu vya maana ubarikiwe sana 🙏😍

  • @evalinekimario7883
    @evalinekimario7883 5 місяців тому

    Nimekupenda Bure kwa maneno Yako ya mwisho kila kitu ni kumtegemea mungu maana mungu ana mipango mingi na maisha yeti.

  • @rekxlijahla8324
    @rekxlijahla8324 3 роки тому +8

    Precise advice....I do second that, because it's true....

  • @annachales9623
    @annachales9623 4 роки тому +18

    Umefundisha vizurii yaani hata kilaza anaelewa sanaa

  • @malikialupyo
    @malikialupyo Рік тому +10

    Mwalim mm ninaswali kwann nikikutana na mwanaume kimapenz napata maumivu yamgongo shida nnn nataka kujua

    • @winniepemela-tt4vb
      @winniepemela-tt4vb 22 дні тому

      Mkimaliza awe ana kumassage dihaa😂

    • @maulidimpili698
      @maulidimpili698 16 днів тому

      Ni U.T.I hiyo nichek kama upo dar nikuelekeze dawa za miti shamba

    • @Stiven-t1y
      @Stiven-t1y 7 днів тому

      Inawezekana ikonayamurefusana inafikakuuzazi

  • @sophykivuyo
    @sophykivuyo 8 місяців тому

    Ww ni doctor mzuri sana unafundisha vizuri sana

  • @AtfishaMkubwa
    @AtfishaMkubwa 9 місяців тому

    Docta asnte Kwa darasa zuri mungu atujaliye kizazi chaheri 🙏🙏

  • @achayorosemary8289
    @achayorosemary8289 4 роки тому +11

    It's true, without God yote ni bure.

  • @eldamasikamuhangi3344
    @eldamasikamuhangi3344 4 роки тому +6

    Aksante sana kwa somo inanipa mwelekeo muzuri n'a ni kweli kabisa

  • @nakajaimengoru3826
    @nakajaimengoru3826 3 роки тому +8

    Barikiwa sana docter maneno ya mwisho mazuri

    • @selinakessy9975
      @selinakessy9975 Рік тому

      aisee nimekuelew san dokta mungu akubarik nasi tunazidi kuomb mm haswaa nahitaji wa kike

  • @elizabethjonas2906
    @elizabethjonas2906 2 роки тому +2

    We noma sana, mungu akupe maisha marefu, hatimae nimefanikiwa now ni mjamzito

  • @braysonmajani8129
    @braysonmajani8129 2 роки тому +2

    Wewe nizaidi ya doctor. Barikia na Yesu. Mtumishi wa Mungu

  • @BiisheBugao
    @BiisheBugao Рік тому +4

    Hi mi mzunguko wangu hauendi sawa utanisaidiaje na uwaga sina UTE wa uzazi nisaidie tafadhalii...

  • @teclabenjamin5322
    @teclabenjamin5322 2 роки тому +5

    Maneno ya mwisho azuri Sana factor ubarikiwe na mungu .

    • @winniewangarinjoki9979
      @winniewangarinjoki9979 Рік тому

      mm doctor kwamzunguko cjui kutumia ju hauna mzimamo umesema Kuna dawa ntapataje izo dawa tafathali

    • @AzahBakari-lw2kc
      @AzahBakari-lw2kc Рік тому

      mimi natumia dawa za omoni libalasi naweza kupata mimba

  • @lilililian575
    @lilililian575 4 роки тому +4

    Wouh😍 kweli apa nilikuwa class....Shukran sana

  • @ValeriaBazili
    @ValeriaBazili 3 місяці тому

    Ahsante sana mwalim kwa somo hili asante sana namuomba sana mungu kwa hilo nimeipenda🎉🎉🎉🎉

  • @LilianChiduo-cf8do
    @LilianChiduo-cf8do Рік тому +1

    Ongera sawa tchr wangu daaaah nimeerewa somo mungu hakutakie maisha marefu napy uwe na usiku mwemaaaaa

  • @emmyallex2149
    @emmyallex2149 3 роки тому +4

    Asante sana doctor mungu akubariki

  • @queenoxachy
    @queenoxachy 4 роки тому +5

    Asante sana kw hili somo,nmesoma mengi!!
    Barikiwa sana

  • @theodosiajohn2424
    @theodosiajohn2424 4 роки тому +11

    Dr Mimi mzunguko wangu wa siku 26 au 27 lakini nilipata mimba siku ya 18 wa kike.Basi Mungu naye ana nafasi yake

  • @HappinesJonathan
    @HappinesJonathan Рік тому

    Asante kwa SoMo Ila nashindwa kuutambua mzunguko Wang maana Mara naingia kumi na tatu Mara sasa hiv imkuja kumina moja je cku ya hatar utaijuaje hapo

  • @MAGRETHMKUMBO
    @MAGRETHMKUMBO 6 місяців тому

    Wewe nimwalimu mzuri kuliko wote ambao nimewasikia, mwenyezi MUNGU akubariki sana

  • @nyangeawari8335
    @nyangeawari8335 4 роки тому +30

    Nimpenda doctor alivyo malizia na neema ya mungu.

    • @yoladabaga5993
      @yoladabaga5993 4 роки тому +2

      Nakama Siku zangu zimekoma nafanyaje dk?

    • @rachelelia914
      @rachelelia914 4 роки тому +1

      Ilipata dawa zakuona siku zako

    • @ashurasudi5724
      @ashurasudi5724 Рік тому

      Habari kwajina naitwa ashura Mimi napata siku 10 11 jesikuyangu yakubeba mimba hipi naomba kujuwa

    • @ashurasudi5724
      @ashurasudi5724 Рік тому

      Natamani sana mtoto

    • @ashurasudi5724
      @ashurasudi5724 Рік тому

      Naomba msada waok

  • @mwanahamisimashauri7405
    @mwanahamisimashauri7405 3 роки тому +5

    Thanks doctor for your education

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 3 роки тому +8

    Amen asante umeongea jambo zuri la Mungu ameen baba

  • @DoricaEmanuel-ns7ut
    @DoricaEmanuel-ns7ut 4 місяці тому +1

    Mwalimu hongera kwa semina nzuri🎉

  • @JohaliAbduli
    @JohaliAbduli 2 місяці тому +2

    Duh kwa hakika napenda sana somo lako asante ubarikiwe

  • @badlandz6673
    @badlandz6673 4 роки тому +12

    I have learned a lot thank you !!

  • @rosestephano326
    @rosestephano326 Рік тому +15

    Eee Mungu Ni bariki na Mimi Amen🙏🙏

  • @catherineguga9873
    @catherineguga9873 2 роки тому +10

    Hivi ukitoka period mfno leo alfu kesh ukafany hivi unawez pAta mimba

  • @ummyremmy-pc9cy
    @ummyremmy-pc9cy Рік тому

    Umefundisha vzr mashaAllah ila nnaswali mie mzunguko wangu sijawai kuruka tangu na balekh ila mwezi huu nimepata hedhi mara mbili baada ya siku tano tu kumaliza hedhi ikarudi tena huenda ikawa ni sababu gani labda ama nini tatizo haijawai kutokea kabsaa katika maisha yangu

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql 7 місяців тому

      Sorry dear cheki mwezi ujao mahi ikijiludia tatizo pia tumia tangawizi ukiingia itakusaidia mno

  • @FurahaMayinda
    @FurahaMayinda 10 місяців тому

    Thank you doctor nimekuelewa sana doctor wangu mi mwenyw nataman NAMI nipata ujauzt

  • @alphonsinesingirankabo6274
    @alphonsinesingirankabo6274 3 роки тому +13

    God-bless you doctor I love this

    • @martharhobi4563
      @martharhobi4563 Рік тому

      mm mzunguko wangu ni talehe 20 na ninatamani nibate mtoto imeshandikana

    • @ViceMusuha
      @ViceMusuha 11 місяців тому

      Asante. Doctor nakuerewasana

  • @zamdahhossen4434
    @zamdahhossen4434 3 роки тому +4

    Thanks for your explanation 💯

  • @danielbato1895
    @danielbato1895 4 роки тому +4

    Much thanks must go to you Dr. As u have taught us

  • @mc-stephenmasome6553
    @mc-stephenmasome6553 2 роки тому +1

    Dr. Mungu atukuzwe kwaajili yako. Nimepata matokeo chanya, ntakupigia simu

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 2 роки тому

      Mimi sijaelewa

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 2 роки тому

      Hizo siku za kupata mimba zinakuwa ndani ya siku za mzunguko?. Maana siku ya mzunguko si anakuwa anatokwa na damu ya hedhi!?. Kama anayoka damu ya hedhi unamuingiliaje!?.

  • @RichesseRobert
    @RichesseRobert 6 місяців тому

    Mwalimu tuna shukuru kwa musahada wako mungu akubariki na akuzidishiye ma harifa

  • @josephinewanjiku9434
    @josephinewanjiku9434 4 роки тому +4

    Be blessed Mtoto Ni baraka.Mungu kwanza

  • @danielatakobelanwa5792
    @danielatakobelanwa5792 4 роки тому +6

    Mwalimu m2 naitwa Daniel, ok kwa swala lá somo lako hili nimekupata kabisa, s2 swali langu nikama nailo: ktk siku zote izi ulizozitaja za mwanamke kupata ujauzito inafaa kufanya tendo lá NDOA mara ngapi kwakila siku?

  • @mishiomaromarabdhallah7580
    @mishiomaromarabdhallah7580 4 роки тому +10

    Sasa doctor mm sina tarehe moja nabadilisha terehe kila mwezi sasa nafanyaje hapo mm mana sielewi hapo

    • @Africancommunit-y1
      @Africancommunit-y1 4 роки тому

      Mishiomar Omarabdhallah ndio atu saudie dawa💚💚 🙏🙏

    • @mdaberash266
      @mdaberash266 4 роки тому

      @@Africancommunit-y1 ,hakunaga dawa ya mzunguko maana hata mimi niko hivo niliamuwa kuacha km ilivyo tu

  • @ModestaNindi-mo1qv
    @ModestaNindi-mo1qv 5 місяців тому

    Asante docta mungu awe nawe katika kazi nzur na Zaidi kukupa kibar katika ufundishaji wako

  • @HappySteven-f4f
    @HappySteven-f4f Рік тому

    Asante nimejifunza kitu kikubwa sana Mungu akubariki saaana

  • @irenemauti883
    @irenemauti883 3 роки тому +4

    Mm period yangu aisimami tarehe moja Kila mwezi na date yake so hpo shida inaweza kuwa ni nn ??? Be blessed doctor

  • @ishuretv7393
    @ishuretv7393 2 роки тому +22

    Mwalimu asante kwa somo zuri ila nina swali la mda mrefu: Nashindwa kutofautisha ni mda gani mwanamke ananasa ujauzito maana kuna period mbili za muhimu, period ya kuona damu na period ya ovulation,umetufundisha kuwa hizi siku za ovulation ndo siku za kubeba ujauzito. Je unaweza kufanya tendo la ndoa siku ya kuona damu au siku moja kabla au baada ya damu na mwanamke akawa salama asishike ujauzito? Naomba unisaidie kwa ufafanuzi zaidi.

    • @Eliwaza-fh2ze
      @Eliwaza-fh2ze Рік тому

      Ndy

    • @PROTUSNICOLAUS-pw8cf
      @PROTUSNICOLAUS-pw8cf Рік тому

      Je, anaingia tarh1

    • @BitiaMwalongo
      @BitiaMwalongo Рік тому

      Hili swali jibu lake lipo ukurasa wa ngap😂😂😂😂

    • @GoldenMxang-je4rn
      @GoldenMxang-je4rn Рік тому +1

      Mwalimu naomba niielekeze nijue mzunguko wangu ni siku ngapi

    • @GetrudaSamwel-u4h
      @GetrudaSamwel-u4h 10 місяців тому +1

      Samahani Mim ningependa kujuautamsaidiaje mwanamke anayesex uke wake ukiwa mkavu hata akiandaliwa vipi, maana inasemekana inasababishwa na uzallishwaji mwwingi wa estrogen hormone inayoacti kama acidic in nature sasa utamsaidiaje kupunguza uzallishwaji WA huyo hormone

  • @ndigitimercy6263
    @ndigitimercy6263 Рік тому +3

    Amen...thanks God is able.

  • @Julianawillson-s9w
    @Julianawillson-s9w Рік тому

    Asante San doctar somo lako zuri mungu awe nawe sikuzote

  • @anaamandi1239
    @anaamandi1239 4 роки тому +7

    Nimependa sana somo lako unafundisha vzr na wala huongezi mbwembwe

  • @hudaaahmed657
    @hudaaahmed657 4 роки тому +16

    Hi mambo naulizaje mtu akimaliza damu kama tuseme ameanza tarehe moja akamaliza siku yatano akiwa namume siku yasita kuendelea anaweza kushika mimba kweli

  • @vivianmbiro6866
    @vivianmbiro6866 4 роки тому +7

    Nimekupata Sana chief

  • @salama2625
    @salama2625 2 роки тому

    Shukrani sana Dr umenisaidia asaivi mm ni mjamzito nimekaa kwenye ndoa kwa miaka mi3 bila kapata ujauzito Dr

  • @Mike_Sonferix
    @Mike_Sonferix 4 роки тому +5

    Thanks alot. God bless you.

  • @veronicalyakurwa350
    @veronicalyakurwa350 4 роки тому +4

    jaman mm mwenzenu kuhesabu mzunguko wangu bado ni changamoto sijuagi kuhesabu

    • @hildahlawison7444
      @hildahlawison7444 4 роки тому +1

      Uko sawa na mm cielewag yaan

    • @damah8431
      @damah8431 4 роки тому +1

      Kumbe tuko wengi🤣🤣

    • @terryjost2320
      @terryjost2320 4 роки тому

      yaan mwez uliopita umeanza kuziona siku zako tarehe ngap ile tarehe ya mwez uliopita unaanza kuhesabu mpka huu mwezi ukianza tena kuona siku zako ndio jibu kuwa mzunguko wako ni wasiku 28 au 30
      Alafu kujua siku ya mimba, wachukuwa 28 toa 14(28-14=14) au 30 toa 14(30-14=16)

    • @monicastivin6062
      @monicastivin6062 3 роки тому +1

      @@terryjost2320 asante wewe nimekuelewa 👏

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql 7 місяців тому

      😂😂😂😂 biology mliikimbia

  • @lydiasikuku3023
    @lydiasikuku3023 4 роки тому +5

    Thankx teacher God bless u

  • @DBrownstain
    @DBrownstain 2 роки тому

    Sikuwaza wala sikupanga kucomment. Lakini maneno ya mwisho kwakweli yamenibariki na kunitia sana moyo. Barikiwa pia kaka.

  • @VivianWilly-g2u
    @VivianWilly-g2u 2 місяці тому

    Naaaam mungu Kwanza, lakn pia walim ni malaika mlotumwa kutuelimisha zaidi ahsante sana kwa somo

  • @graceagape2807
    @graceagape2807 4 роки тому +13

    Wow everything ni mungu

  • @lindahmrema9281
    @lindahmrema9281 4 роки тому +4

    Nimependa somo👌🏿

  • @zipporahogechi2836
    @zipporahogechi2836 4 роки тому +15

    may the Lord bless you

  • @justinetongi1991
    @justinetongi1991 Рік тому

    Asante brother nashukuru Sana kwa kuelezea vizuri kabisa aky

  • @hasinarashid5059
    @hasinarashid5059 2 роки тому +1

    Mwanzoni nilikuaa sijui jinsi ya kujua siku yangu ya kubebe mimbaa ilaa kwa somo lako asantee nimetumiaa maelekezo yako na Sasa mm n mjamzito🙏🙏🙏

  • @congratulationmayunga414
    @congratulationmayunga414 4 роки тому +12

    Doct. Kama mzunguko wa mwanamke haueleweke anatakiwa afanyeje ili apate ujauzitoo:??

  • @kavataf7408
    @kavataf7408 4 роки тому +6

    Superb!!!!

  • @magdalenandele1183
    @magdalenandele1183 4 роки тому +11

    Mwanamke anapo umwa tumbo la chini kwanzia siku ya 13 hadi 16 baada ya hedhi hizi ni dalili za mini?

  • @MajuvaMajuva
    @MajuvaMajuva 5 місяців тому

    Asant sana nimefurahi sana nimejifunza mengi mungu akulipe mema

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 2 дні тому

    Alihamundulih . Asante sana doctor ❤❤❤

  • @mohamedpembe5887
    @mohamedpembe5887 4 роки тому +4

    Samahani daktar kwanini siku yahatari umeongeza siku moja wakati yai lamwanamke linauwezo wa kusurvive siku mbili kwenye oviduct?

    • @Toptenherbs
      @Toptenherbs  4 роки тому +1

      Kwa uhakika mkubwa yai huishi masaa 24 tu mara baada ya Ovulation ndio maana tunaweka siku moja mbele. Nenda kafanyie utafiti tena utaelewa hilo

    • @hassanzuberi9019
      @hassanzuberi9019 4 роки тому

      Yai huishi siku mbili bro c moja

  • @irine8353
    @irine8353 Рік тому +2

    Kiswahili ni kigumu asante mwalimu

  • @sallys3229
    @sallys3229 4 роки тому +6

    Asante sana Kwa mafunzo

  • @MonicaMagesa
    @MonicaMagesa Місяць тому

    Asantee doctor kwa ushauri mzunguko wangu ni wa siku 30

  • @erickmollelmollel904
    @erickmollelmollel904 2 роки тому

    Umewafunza watu wengine kitu hawajui barikiwa Sana brother

  • @agripamwakapesa386
    @agripamwakapesa386 4 роки тому +4

    Doctor me nimeumwa tumbo la bleed siku mbili ila me bleed aziatoka bado

  • @rosetedomir8760
    @rosetedomir8760 4 роки тому +17

    Be blessed Doctor

  • @alicekanyange773
    @alicekanyange773 4 роки тому +4

    Doctor mm nilipiga sindano ya uzazi tarehe 30 zamwezi wa 12 mwak ulopita nikaja kufanya tendo landowa tarehe29 za mwezi wankanza sasa mpaka ivi sijaona damu kuna uwezekano wakushika mimba naa nilipiga sindano??plz nijb

  • @NsajigwaMkwesi
    @NsajigwaMkwesi 5 місяців тому

    Munguuuu namshukuru doorckt kwa somo zuri kuhusu uzazi wa mpango asante sana mungu awe pamoja nae jamani amina❤❤❤❤🎉

    • @Toptenherbs
      @Toptenherbs  5 місяців тому

      kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa +255 676 298 270

    • @5googleuuu727
      @5googleuuu727 2 дні тому

      ​@@Toptenherbsokay sawa doctor

  • @SporaYosia
    @SporaYosia Рік тому +1

    Ni kweli. Mimi natumia iyo lakini mimi nikishaianza siku ya 10 sifanyi mpaka siku ya kumi na sita 😂. Naogopa sanaa izo siku. Mimi mzunguko wangu ni wa siku 28 😂😂😂 ahsante doctor kwa kunielewesha

  • @mimanassor7078
    @mimanassor7078 4 роки тому +4

    Je maziwa kuvimba cyo dalili ya kubeba mimba ? Au ni period?

    • @bintiiddy7043
      @bintiiddy7043 4 роки тому +1

      Kumbe tunavimba matiti wengi nlijuwa me mwenyewe nikikarbia siku zangu navimba matiti kama wiki hivi Ndio dam inakja

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql 7 місяців тому

      Mimi nanawiri kupita maelezo ndo nabrid adi watu wananishangaa mbona unabadilikabadilika shida nn😂

  • @thumaabuu4972
    @thumaabuu4972 4 роки тому +12

    Hzo dawa n gani mm pia Nina matatizo ya mzunguko haupo swa

  • @mwajumajumamwajumajuma593
    @mwajumajumamwajumajuma593 4 роки тому +4

    Na wanaobrid tarh 21 siku za hatar ni zipo?

  • @onkundidiana7402
    @onkundidiana7402 11 місяців тому

    Be blessed I followed your way ❤❤❤am now carrying a babby boy

  • @allyjuma3120
    @allyjuma3120 3 роки тому +2

    Mashaallah mungu akuongeze ilmuu ya dunia na kesh akherah

  • @saranambuye5986
    @saranambuye5986 4 роки тому +4

    Mimi calendar yangu inaruka mwezi huu 20 mwingine tarehe18ikirudi nyuma