EXCLUSIVE: MAAJABU YA MTOTO GENIUS WA HESABU, "SIJAFUNDISHWA, WAKUBWA HAWANIWEZI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лют 2021
  • Mfahamu Charles Mathias Mbena wa Morogoro Kijijini Nyingwa

КОМЕНТАРІ • 4 тис.

  • @emflashtv6211
    @emflashtv6211 3 роки тому +1218

    *Anaempenda huyu mtoto kama mimi aweke like kafanya ninunue bando kwa ajiri yake jmn yaan anakoshaa siyoo poah* 👋👋👋👏👏👏👏

  • @innocentshitindi4933
    @innocentshitindi4933 3 роки тому +146

    Mwacheni Mungu aitwe Mungu mazingira ya shule pamoja na madarasa hayafai lkn Mungu kamtumia huyu dogo ili hata shule iangaliwee, big up my son!

  • @speedreacts01
    @speedreacts01 3 роки тому +93

    Uyu atakua profesa Kama magoha
    Likes za kenya

  • @rosebelbogita7105
    @rosebelbogita7105 3 роки тому +93

    He is a genius ..Tanzanians need to support him to achieve his dreams..big up to the young boy 🇰🇪🇰🇪

  • @DpForum
    @DpForum 3 роки тому +192

    Huyu dg katisha like zake hapa 😊👍 hapa

    • @imerdambwilo6711
      @imerdambwilo6711 3 роки тому

      Jaman kipajiii hichooo ndogo wang like zakoo👋🤚✋👐

  • @majozcyber6067
    @majozcyber6067 3 роки тому +81

    the kenyan family we spread love to mathias charles may God bless him for hes family

    • @janetndungu1781
      @janetndungu1781 3 роки тому +1

      Woiye masikini mtoto wa Mungu .God bless

    • @wacheram3494
      @wacheram3494 3 роки тому

      I wish they had an M-changa. Tungekuwa tumecheza kama sisi!

  • @winnien9342
    @winnien9342 3 роки тому +16

    I love her accent.such a simple soul.humble n a choppi...we should support the whole family in anyway we all can

  • @kogalojowi6680
    @kogalojowi6680 3 роки тому +39

    Let this Genius brought to Kenya,we Support Him.

  • @irenebomani3207
    @irenebomani3207 3 роки тому +28

    Jmn kaniliza 🥰🥰machozi ya furaha...such a genius 😇 GOD be withu 🙏

  • @bujabestonlinetv
    @bujabestonlinetv 3 роки тому +61

    Only God work.
    Mungu aendeleya kubariki mtoto huyu.

  • @carrenmukolwe6197
    @carrenmukolwe6197 3 роки тому +22

    I literally cried due to happiness while watching this video. Charles nakupenda Sanaa. Mungu azidi kukulinda na kukuinua pamoja na famia yako. Much love from Kenya

  • @Healthymama79
    @Healthymama79 3 роки тому +32

    Can our Tanzanian brothers come together and support this genius boy together with his family
    It’s how we do it in Kenya
    He went viral,please let that change his and his family’s destiny
    A great asset to Tanzania ❤️
    All the best lil champ
    Love from 🇰🇪

    • @allykijanga2295
      @allykijanga2295 3 роки тому +1

      Sudimnada

    • @rajabomar6703
      @rajabomar6703 Рік тому

      Watanzania muokoeni huyu malaika wa mungu. Icu wako wapi. Mymother. Jumalokole. Kamanda. Sisi kenya twawaaminia sana

  • @athumanimrope1833
    @athumanimrope1833 3 роки тому +67

    Pongezi kubwa ziwaendee hawa Ayo TV mnafanya kazi kubwa Sana, nimetokwa na machozi ya furaha uyu mtoto Allah azid kumkuza vyema inshallah

    • @khalfanifarisy7398
      @khalfanifarisy7398 3 роки тому

      Siyo hivyo tu, awe Muislamu tena mtu wa Sunnah. Hasiwe kama wakina mazinge wapenda sifa. Awe Muislamu afe Muislamu. Waliolala ktk kristo wamepotea

    • @nyomizedon
      @nyomizedon 3 роки тому

      Waiwezeshe hiyo familia haiwezekani hiyo taarifa iwaingizie mamilioni ya pesa halafu wao wapeleke nguo,simu,na daftari tena kwenye kiroba!!!

    • @khalfanifarisy7398
      @khalfanifarisy7398 3 роки тому

      @Yphware HCo Nilishawahi kumuambia ndo nasema hivi.

    • @aggreyenock1221
      @aggreyenock1221 3 роки тому

      Kabisa

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 роки тому +95

    Mashaa Allah 💯💯💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tanzania ya vipaji nipeni like zangu

  • @purple4463
    @purple4463 3 роки тому +26

    Wow, this child is a genius. I hope he gets all the support he can get to reach his dreams.

  • @eliasonzere9665
    @eliasonzere9665 3 роки тому +11

    Absolutely amazing. These kid has king Solomon's wisdom. Keep it up for your coming future.

  • @edithashirima7278
    @edithashirima7278 3 роки тому +23

    Jamon huyu mtoto nimempenda buree❤️❤️nakupendaaa totoo Allah akujalie na akufikishe mbali mwanangu

  • @nicholusogolla2150
    @nicholusogolla2150 3 роки тому +32

    I felt for this boy and I cried seeing this boy with ability to do his best in school😭

  • @sumeyahmohammed7717
    @sumeyahmohammed7717 2 роки тому +43

    kama wampenda huyu mtoto gonga like hapa

  • @Bellanna100
    @Bellanna100 3 роки тому +26

    SUPPORT THIS KID AND HIS FAMILY TANZANIANS .HE IS GENIUS 🥺🥺❤❤❤❤❤❤❤❤❤ KENYA WE LOVE YOU 😱😱😱wish he is in kenya ata nyumba ingekua inajegwa saa hii

  • @catherinemwigereri7328
    @catherinemwigereri7328 3 роки тому +29

    Mathematician!!
    Intelligent boy, May he have a bright future'

  • @BenjaC254
    @BenjaC254 3 роки тому +17

    Millard Ayo pongezi sana kwa interview hii muhimu sana. Pongezi kwa safari yote hio kumfikia Charles Mathias. God bless you guys.

  • @youngsterdjshaz
    @youngsterdjshaz 2 роки тому +7

    My love for this little boy watching from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 he deserves to be teaching fellow students free times, mungu akuzidishie such a maths star 🌟

  • @juliethfurgence1968
    @juliethfurgence1968 3 роки тому +3

    Asante Mungu kwa mtoto Charles kumpatia Msaada.. Maombi yangu na Wadogo zake watafutiwe Shule nzuri. Wajitokeze Wasamalia, Mazingira yanaonesha wazi wote wana Akili.

  • @realreen2349
    @realreen2349 3 роки тому +364

    Team Kenya watching this genius boy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. May God bless you young champion🖤🖤🖤🖤.
    Edit; Wakenya kweli mmejaa kila channel 😂😂😂

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому +3

      🇰🇪🇰🇪😀

    • @DaudYussuf
      @DaudYussuf 3 роки тому

      the 2 year ¹¹1qiwiis¹4ddsssisij7 has

    • @gathsfamily2866
      @gathsfamily2866 3 роки тому +6

      Watoto wetu hapa chekechea, hapa Kenya, nikupura ukorofi na smartphones tu !!!!!
      Bure kabisa, wajinga, sisi !!!!

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому +3

      @@gathsfamily2866 hiii uliskia wap

    • @zipporahmoraa3908
      @zipporahmoraa3908 3 роки тому +8

      Am here from Kenya,am just shedding tears of joy of how GOD has Blessed this little angel,may he fly higher and higher 🙏🙏

  • @mellenmbaka8182
    @mellenmbaka8182 3 роки тому +48

    Team diaspora watching this little genius boy,... Mashalla! Let your drms to be fulfilled in Jesus name cute boy❤️❤️❤️♥️♥️

  • @annewekesa6724
    @annewekesa6724 3 роки тому +13

    The child has great talent and I hope she government will help nurture his God given gift. Sponsorship is needed here for the child to achieve his dream

  • @red-buoygadafi3575
    @red-buoygadafi3575 3 роки тому +22

    I love how the boy answers the questions directly,, wish he was ours in Kenya,, he would have gotten the full support,, kindly support the child Tanzania's

    • @emmanuelpaul7646
      @emmanuelpaul7646 Рік тому +1

      which kenya???
      heri uko Tz uku ata talent yake ingepotea

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya3344 3 роки тому +315

    Huyu mtoto ni tofauti sana mm ninae wangu yupo vidudu hiyo 1+ 1 ni jasho Sasa yy 5000-2000 🤗🤗

    • @anneoiso5802
      @anneoiso5802 3 роки тому +34

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣we kaka nimecheka kama falaa et wako yupo vidudu lakn 1+1jasho linamtoka

    • @caslidajosephat8912
      @caslidajosephat8912 3 роки тому +5

      Haaaaaaaaa wiiiiiiiii jasho

    • @user-eg1dr6so4c
      @user-eg1dr6so4c 3 роки тому +5

      Hhhhhh
      Aki nimechakakkkkkkkkk

    • @leylaiddy5815
      @leylaiddy5815 3 роки тому +4

      True

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 3 роки тому +4

      😂😂kabisa ndugu yangu

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 3 роки тому +123

    Mungu chukua utukufu wako. Ni wewe peke ake uliyempa huu uwezo mtoto huyu mdogo."Mlinde, mtunze, aishi Kwa kusudi lako', ili ujinyakulie utukufu wako. In Jesus name I pray. Amen

  • @dainesskissah1268
    @dainesskissah1268 3 роки тому +29

    I'm proud to be a mother, I hope my son he will be like him, God bless him

  • @lyneliz8365
    @lyneliz8365 3 роки тому +22

    Such an adorable kid ...he has found his purpose at such a young age praise the heavens now shine babyboy show the world what you are made of

  • @michaelmaingi1662
    @michaelmaingi1662 3 роки тому +33

    Despite of the child coming from a remote area... big up for the teacher who noticed him

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +64

    Mashaa ALLAH mungu akuongoze kijana mzuri akuhifadhi na hasadi za walimwengu Amiin

  • @ONLINECOMMUNITYKE
    @ONLINECOMMUNITYKE 3 роки тому +165

    Angekuwa kenya huyu angechangishiwa pesa sana na apelekwe shule bora. This talent should be nurtured. Huyu atakuwa professor wa hesabu kama George Saitoti.

    • @kibiwottvictor3493
      @kibiwottvictor3493 3 роки тому +5

      Aki Tz watu wa huruma hawapo😑

    • @sadamsamow3808
      @sadamsamow3808 3 роки тому

      Anapelekwa USA

    • @speedreacts01
      @speedreacts01 3 роки тому +1

      This will be a proffeser "#Kama" magoha

    • @jameskirathi4502
      @jameskirathi4502 3 роки тому +3

      I wish angekam huku Kenya tu aki

    • @benmbugua8814
      @benmbugua8814 3 роки тому +3

      angekua kenya tungempea I.Q test tujue anachezea wapi ama alkua amepewa mwakenya kabla kabla

  • @pstdorcasndambukiofficial8956
    @pstdorcasndambukiofficial8956 3 роки тому +38

    God bless this little angel and give him divine protection until he embraces his destiny

  • @dangotesam9845
    @dangotesam9845 3 роки тому +85

    Deep in an isolated East African village, God placed a jewel.

  • @bollboy3553
    @bollboy3553 3 роки тому +53

    6 yrs old l will b told 10 minus 6 nahesabu vidole but daah 5000-2000= 3000..great

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 3 роки тому +17

    Wenye wamedislike hii vedio hawakosi kama ni wachawi. Wakenya nawaona sana patieni huyu kijana likes

  • @christinemakori281
    @christinemakori281 3 роки тому +47

    I don't know why people dislike to this young boy who has a bright future 💕

  • @shadykimtai5834
    @shadykimtai5834 3 роки тому +36

    God has open his way through mathematics may God protect and be with you boy I watch you from Kenya kericho county

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 3 роки тому +69

    Ayotv Mnatisha sana, Yaani Mnasafiri ili Kutujulisha Habari Bomba Bomba😀

    • @susankariuki6602
      @susankariuki6602 3 роки тому

      Sasa jameni hii ni shule ya watoto na BBI ndiyo juu God of mercy forbid

  • @pstdorcasndambukiofficial8956
    @pstdorcasndambukiofficial8956 3 роки тому +16

    God of wonders bless this little soul and give him divine protection till his destiny

  • @kelvin8324
    @kelvin8324 3 роки тому +108

    Watanzania watuletee huyu genius Namanga border from there kenyans tutacheza kisisi#🇰🇪🇰🇪

    • @boscoboy573
      @boscoboy573 3 роки тому +6

      Weeeeee profesa wetu mnataka kumwiiba heeee wakenya Noma nawajua at I mcheze kisisi

    • @davidmagero6787
      @davidmagero6787 3 роки тому +3

      Waambie huyu watuleteee bana

    • @brianamoko7763
      @brianamoko7763 3 роки тому +1

      I like this boy

    • @margaretwanjiku7752
      @margaretwanjiku7752 3 роки тому +5

      @@boscoboy573 sisi hatuchezi tunaeza msomesha adi University,,, wakenya waogope🎓🎓🎓sai angekua amepelekwa boarding school,,, magufuri anafaa amtafute uyo lecturer

    • @nicholaskafu7110
      @nicholaskafu7110 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kabisa watuletee

  • @rogerhunda8616
    @rogerhunda8616 3 роки тому +148

    Licha ya kujua hesabu lakini pia anajitambua anajua kujielezea vizuri

    • @brothermoud631
      @brothermoud631 3 роки тому +3

      Yeah ..yupo smart hana khofu haogopi

    • @samwelombeni6850
      @samwelombeni6850 3 роки тому +1

      @@brothermoud631 yaani yupo smart sana halafu ametuliza ufaham yaani sijuii nisemeje Mungu amsaidie na amfukishe pale yakipo makusudi yake

    • @brothermoud631
      @brothermoud631 3 роки тому

      @@samwelombeni6850 yeah

  • @asiabeauty9851
    @asiabeauty9851 3 роки тому +154

    Chozi lanitoka. Sijui ni furaha au nini? Sijielewi yaani ubarikiwe mtoto mzuri

    • @youngyayoo2805
      @youngyayoo2805 3 роки тому +2

      Changia kitu basi

    • @asiabeauty9851
      @asiabeauty9851 3 роки тому +1

      Waweke namba mbona wa tz tunapendana tu hilo si la kuuliza wakwetu

    • @getrudapetro151
      @getrudapetro151 3 роки тому

      Nimecheka peke yangu jmn raha iliyoje

    • @asdasdg3142
      @asdasdg3142 3 роки тому

      Jamani asaidiwe huyu mtoto huenda ndo saisi wa miaka ijayo

    • @mankahalifa5623
      @mankahalifa5623 3 роки тому

      Yani Kama mm machozi yanaitoka 😭 tuu

  • @marymungai4429
    @marymungai4429 3 роки тому +6

    Glory to God. May the child be a success. God bless the teacher a million times

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 3 роки тому +2

    Mungu akuepushie mbali Macho mabaya yenye mtazamo wa radi. Na pia akupe afya njema na akuongezee kipaji chako. Aaamiin.

  • @MissM_254
    @MissM_254 3 роки тому +96

    jamani nalia tu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 sijui ni chozi la furaha ama huzuni ila huyu mtoto ni baraka

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 роки тому +116

    Mashallah Dah uyu dogo ananifanya nilie😭😭😭. I'm very happy now Millard habari umeipata. Nasikia babu tale kashampeleka shule mzuri.big up babu tale🙏💪🇹🇿.

  • @tonykithinji9055
    @tonykithinji9055 3 роки тому +14

    God continue instilling more knowledge to this kid.

  • @selifakhamete60
    @selifakhamete60 3 роки тому +6

    Braaaavo baby , i,m proud of you, keep shinning, continue excelling.

  • @ngoeupdates6698
    @ngoeupdates6698 3 роки тому +51

    Jamani Tuwezeshee kipaji hichoo .. Taifa LA keshoo.

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 3 роки тому +41

    Magufuli Pombe! Uwii! Umetisha dogo! Huna matukio! 😂😂! Hope soon shule itakuwa na muonekano mwingine as mkuu wa nchi ameiona! Kp it up Ayo!

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 3 роки тому +5

    such a gifted kid from Almighty 😍🥰 May God keep you baby boy❤️

  • @janekoi2314
    @janekoi2314 3 роки тому +4

    Nampenda Sana huyu kijana Sana heri angekuwa hapo nchini Kenya msimwachilie tafadhali... Msaidieni huenda akawa mtu WA maana Sana nchini mwenu

  • @omarisarai7699
    @omarisarai7699 3 роки тому +6

    Mashallah,Mwenyezi Mungu ampe umru mrefu na azidi kumjalia fahamu nyingi aje awe msaada mkubwa kwa familia na jamii nzima na taifa kwa jumla

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 роки тому +15

    Huyu mtoto mara ya kwanza nimemuona kwenye status za watu' daa Mungu amlinde sana'sana

  • @sandranjonge7610
    @sandranjonge7610 3 роки тому +4

    Woow!Impressive young soul. May God help him realize his dreams...he is truly a genious little boy.

  • @everlinemomanyi6784
    @everlinemomanyi6784 3 роки тому +13

    Wow amazing kama ulisikia 14+14 gonga like

  • @dodimohammad
    @dodimohammad 3 роки тому +32

    MASHA ALLAH 😭😭😭MUNGU AMZIDISHIE ELIMU NA AMFANYIE WEPESI PENYE UZITO...

    • @mename6020
      @mename6020 3 роки тому +1

      Ameen Allahuma

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 роки тому +1

      Ameen

    • @rabanusnjungan7072
      @rabanusnjungan7072 3 роки тому +1

      Namshukuru Mungu kwa hiyo zawadi ya huyo mtoto jamani, najua hiyo sehemu pamoja na familia watapata maendeleo, wajegewe shule

  • @samohazakwani6899
    @samohazakwani6899 3 роки тому +53

    Allah humpa amtakae bila ya kutazama mazingira yake. Allah ni Muadilifu anaefanya bidii humnyanyua. SubhaanAllah.

  • @tatually4855
    @tatually4855 3 роки тому +10

    May almighty Allah bless our lovely child let play for him so he can score is goals

  • @isaackasyoki2135
    @isaackasyoki2135 3 роки тому +7

    Angekua kenya huyu mtoto ata hio shule inaeza bomolewa tujenge ingine mpya,hizi talent tunasupport sana kenya

  • @gabrielmapunda6017
    @gabrielmapunda6017 3 роки тому +42

    Oyo TV kuna tuzo kubwa sana inawasubiri maana si kwa kazi hiyo,Mungu awabariki sana.

    • @shangwekamando2599
      @shangwekamando2599 3 роки тому

      Exatly!

    • @pachamalota4455
      @pachamalota4455 3 роки тому

      Kabisa si mchezo kwa kujitoa kwa hali ya juu

    • @daymoohdemularh7280
      @daymoohdemularh7280 3 роки тому

      Hii ndio chanel ya kipekee huko Tanzania. Zenginezo ni za kuonesha uzinifu wa kina kajala na harmonize na diamond na kina tanasha

    • @mwajumahamisi2006
      @mwajumahamisi2006 3 роки тому

      @@daymoohdemularh7280 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiiii umenivunja mbav

    • @godfreymbunda4743
      @godfreymbunda4743 3 роки тому +1

      Mi nnachoshukuru ni kwamba millard huwa haruhusu yale mambo ya maskendo na showoffs za kinananiliu kama kwenye machanneli mengine,it makes this channel be more displined,attractive and exclusively unique,,Keep it up brothers,,

  • @tvtv9581
    @tvtv9581 3 роки тому +66

    Please, let's support this little boy. May the lord help you and archive your dreams baby boy.

  • @Odih_1
    @Odih_1 3 роки тому +9

    this boy should be in GUNNES book of record but since he is an african... he cant make it why don't we Africans come with our own awards we have talents in Africa

  • @godfreyotsieno1228
    @godfreyotsieno1228 3 роки тому +2

    Wow....much impressed with the knowledge of charles...🙂🙂🙂🙂....

  • @leonarddeus2905
    @leonarddeus2905 3 роки тому +34

    It's so funny, May almighty God bless this little child to achieve what he want🙏

  • @stanydizzy480
    @stanydizzy480 3 роки тому +13

    Serikal tunaiomba ikaboreshe mazingra ya Shule huko jaman Elimu bure sawa lakn sio kwa hivi aise 'ila Walimu wa hapo Mungu aendelee kuwa bariki ivo ivo

  • @Arapsambu
    @Arapsambu 3 роки тому +7

    I pray every day for this child, God bless you Mathias. 🙏🙏🙏

  • @lucychege6578
    @lucychege6578 3 роки тому +86

    Ask the kid questions that are not stressful.. How to ask Him what he want to be... From this environment.. The best job he can think of is a teacher

    • @dngala6225
      @dngala6225 3 роки тому +2

      Wallai tena!

    • @abdiadamcsocko5901
      @abdiadamcsocko5901 3 роки тому +1

      He doesn't even know any other carriers outside teaching...

    • @calvinbrown5287
      @calvinbrown5287 3 роки тому +1

      Sure,, he has not exposed to other environment than that one

    • @milkakaruiru5207
      @milkakaruiru5207 3 роки тому +1

      @@abdiadamcsocko5901 Ni careers my friend

    • @wanjiruciru6237
      @wanjiruciru6237 3 роки тому

      True.The teacher at this point is the role model.

  • @sharonkandie5771
    @sharonkandie5771 3 роки тому +5

    Wow happy to see you genius young boy you will be celebrity much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪God bless you

  • @letpeacebe7666
    @letpeacebe7666 3 роки тому +18

    Wow, this child is just on another level of Smartness.... I'm proud of him, wish I could lay my support to this child...

    • @catherinenalwa9397
      @catherinenalwa9397 2 роки тому

      DON'T SUPPORT THROUGH THE TEACHER THROUGH FATHER OR MOTHER OR THE REPORTER. EVEN UNCLES AND AUNTS USE MOTHER OR FATHER.

    • @festosaidi
      @festosaidi Рік тому

      Noma sana uyo dg

  • @jacintandanu5373
    @jacintandanu5373 3 роки тому +1

    Wow.... May the lord open more doors for the this genius boy.... Am just happy for him... Blessings. Congrats.

  • @vumiliamustafa9432
    @vumiliamustafa9432 3 роки тому +5

    Mungu amkuze mtoto huyu aweze kutimiza ndoto zake, mash Allah

  • @devothamwamwezi2036
    @devothamwamwezi2036 3 роки тому +60

    I LOVE IT......Mungu amuongoze RAIS WA Baadaye

  • @Geniuckonespersonal
    @Geniuckonespersonal 3 роки тому +52

    Huyu mwerevu kabsaaa!! Kama ulisikia hafanyi matukio. Gonga like 😍😉😉

  • @roselusenaka7548
    @roselusenaka7548 3 роки тому +7

    The angel will go far God bless him & long life

  • @rostv783
    @rostv783 3 роки тому +10

    Bring this genius to Kenya,we ready to support him.Our brothers you continue with music.

    • @kefarh
      @kefarh 3 роки тому +2

      Kenyans kujichocha and our education system is a mess. So far how many geniuses and athletes and extra ordinary people have we supported?? 🚮🚮

    • @infinitemixentertainment53
      @infinitemixentertainment53 3 роки тому +1

      Hata mi na shangaa ati bring him to Kenya na ya kwenu yamewashinda

  • @anterianmohamed3213
    @anterianmohamed3213 3 роки тому +36

    He is a genius in nature may allah bless him

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 роки тому +66

    Mh magufuli mpendwa huwo mtoto lazima yatunze nashule yitengeneze yiwe shule yakisasa kama shule zengine

    • @ashamwamba9088
      @ashamwamba9088 3 роки тому

      Mungu.ampe.maishaa.marefuu.mtoto.awasaidie.wazazi.wake.jamaniii

  • @simonmhanje8251
    @simonmhanje8251 3 роки тому +1

    Dah hongera sana M/Mungu akulinde sana Mdogo wangu ila Babu Tale barabara iikumbuke ya kwenda Morogoro kilengezi ijengwe kwa kiwango cha lami hadi kisaki

  • @Deefashio5674
    @Deefashio5674 3 роки тому +18

    The child seems serious with education.

  • @carolynendossi1594
    @carolynendossi1594 3 роки тому +18

    This made me cry jamani. Mungu amtunze huyu mtoto.

    • @imanmodern
      @imanmodern 3 роки тому

      Carol you're lying bhana 😂

    • @puritywairimu40
      @puritywairimu40 3 роки тому

      This young boy needs support to reach his dreams

  • @agent48classified40
    @agent48classified40 3 роки тому +134

    Dogo yuko smart sana. Kila swali akiulizwa mara nyingi nae anajiuliza kuliweka sawa kichwani...

    • @ombenimhina8826
      @ombenimhina8826 3 роки тому +1

      we acha tu

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 3 роки тому

      Huyo dogo ana kipaji cha uelewa serikali au mtu binafsi ajitolee kumsomesha ktk shule za wanafunzi vipaji

    • @geofreysadok4823
      @geofreysadok4823 3 роки тому +2

      @@alawiali3475 babu tale kashajitolea kumsomesha shule nzuri pale moro

    • @ChrisSerengeti
      @ChrisSerengeti 3 роки тому

      Kweli kabisa. Very excellent communication skills

  • @donaldtrumpthepresident8547
    @donaldtrumpthepresident8547 2 роки тому +3

    Nyie watu wa khabari hizi mwenyezi Mungu awajazie neema mpaka mshangae 🙏

  • @theophilwilliam6906
    @theophilwilliam6906 3 роки тому

    Mungu azidi kumlinda na kumbariki mtoto GENIUS Charles. Na serikali ichukue jukumu la kuendeleza kipaji hicho adimu.

  • @Miriam760ful
    @Miriam760ful 3 роки тому +213

    Nakupenda mnoo mwanangu...yaani nimelia kwa uchungu sana ..sina kitu..lakini nawaombea familia nzima Mungu awaonekanie huyu mtoto afike mbali🙏

  • @NumberOneProductions
    @NumberOneProductions 3 роки тому +19

    Mungu ana mipango mizuri na maisha ya huyu kijana.

  • @ianlarry5460
    @ianlarry5460 3 роки тому +9

    GOD BLESS THIS WONDERFUL GENEUS KID

  • @mr.kipkiruikapchumbe4329
    @mr.kipkiruikapchumbe4329 Рік тому

    Wow,salute mdogo wetu.pokea salami kutoka huku kwetu Kenya🇰🇪

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 роки тому +6

    Mashaallah mashaallah. Jamani nahisi kulia wallah. Mungu akuongoze mtoto mzur❤❤❤❤❤

  • @levinekalikuela4916
    @levinekalikuela4916 3 роки тому +101

    This is a future engineer help him to reach the goal in his life.

    • @lovenesshumphrey4604
      @lovenesshumphrey4604 3 роки тому

      sure

    • @afyaleo8428
      @afyaleo8428 3 роки тому +1

      Why engineer? He want to be a teacher

    • @zuwskee.44
      @zuwskee.44 3 роки тому

      💯💯So it's a he😂

    • @edsonjumbe879
      @edsonjumbe879 3 роки тому

      @@afyaleo8428 Watoto wengi wanasema hivo cz hao ndo watu wanaowafundisha shule ila baadae watu atajua anachotaka
      Though wengi wanaangalia mslahi na sio passion tu

    • @patrickhauletv7263
      @patrickhauletv7263 3 роки тому

      Anataka kuwa mwalimu sio engineer

  • @mellenarasa8497
    @mellenarasa8497 Рік тому +1

    MUNGU AMPE HUYU MWANA NJIA ILIYONYOOKA KTK JINA LA YESU🙏 all the best from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zaitunrashid8706
    @zaitunrashid8706 3 роки тому +4

    Maashaallah mtoto..serikal iangalie huyu mtoto

  • @melixwonder7051
    @melixwonder7051 3 роки тому +13

    This child need a mentor so that he can achieve his dreams...i love him for free

  • @felixernesto1366
    @felixernesto1366 3 роки тому +15

    I feel this kid to the extent i want to cry 😭😭😭.
    May the Almighty God brighten his future and bless him more than he can imagine.

  • @iangitonga4732
    @iangitonga4732 Рік тому +1

    I love this boy, watching from Kenya

  • @sharlzmarycelliner3265
    @sharlzmarycelliner3265 3 роки тому +2

    May God remember the Angel,,,,na kwa walio na uwezo wakumbuke watoto kama hawa,,,letx b united if u r blessed 🙏🙏🙏tenda wema nenda zako