- 592
- 1 884 992
SUNRISE TZ
Tanzania
Приєднався 22 чер 2019
Mwl.salanga ndio mwazilishi wa SUNRISE UJASIRIAMALI NI AJIRA kazi yake kusaidia wajasiriamali kujifunza kutengeneza bidhaa mbalimbali kwa kutumia mtandao wa Whatsapp na telegram
🟥Pia anaweka video za utengenezaji UA-cam
Pia Tuna Madarasa mbalimbali kwa Whatsapp
1.Darasa la mchanganyiko ( sabuni ,batiki na Tiles n.k)
2.Darasa la usindikaji (pilipili,tomato sauce ,viungo vya chakula )
3.ubuyu wa vipande
4.Ubuyu wa zanzibar ( vanilla, chocolate na maziwa)
5.Sabuni za tiba ( mwani, kahawa ,manjano ,mchele n.k.)
6.Vijora vya batiki
7.Darasa la ice cream.za aina mbalimbali
8.Darasa la bidhaa za nywele (mafuta ya nywele, leave in conditioner, steaming)
9.darasa la mapishi ya aina mbalimbal
Karibu sana kujifunza kwetu kwa Whatsapp namba yetu 0682456819
Fasad Mohamed salanga
Mkurugenzi wa sunrise ujasiriamali ni ajira
Ahsante sana

JINSI YA KUTENGENEZA POCHI YA SHANGA Ni Rahisi kwa kibiashara
JINSI YA KUTENGENEZA POCHI YA SHANGA Ni Rahisi kwa kibiashara
Переглядів: 152
Відео
JINSI YA KUTENGENEZA UBUYU WA ZANZIBAR MTAMU MREJESHO
Переглядів 3819 годин тому
JINSI YA KUTENGENEZA UBUYU WA ZANZIBAR MTAMU MREJESHO
JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA KUKUZA NYWELE HAIR OIL NI NINI?
Переглядів 120День тому
JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA KUKUZA NYWELE HAIR OIL NI NINI?
JINSI YA KUTENGENEZA JIKI FORMULA MPYA 0682456819
Переглядів 22914 днів тому
JINSI YA KUTENGENEZA JIKI FORMULA MPYA 0682456819
HALIMA MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA UBUYU WA ZANZIBAR
Переглядів 99614 днів тому
HALIMA MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA UBUYU WA ZANZIBAR
UBUYU WA ZANZIBAR MREJESHO JUDITH SHIRIMA
Переглядів 65721 день тому
UBUYU WA ZANZIBAR MREJESHO JUDITH SHIRIMA
SABUNI ZA MAJI ,SABUNI YA MCHE ,HANDWASH CHRISTER MPIGIE KURA AWEZE KUSHINDA
Переглядів 45521 день тому
SABUNI ZA MAJI ,SABUNI YA MCHE ,HANDWASH CHRISTER MPIGIE KURA AWEZE KUSHINDA
UBUYU WA ZANZIBAR SALMA SAID KUTOKA MALAWI MPIGIE KURA KUWA MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA
Переглядів 1,1 тис.21 день тому
UBUYU WA ZANZIBAR SALMA SAID KUTOKA MALAWI MPIGIE KURA KUWA MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA
HIDAYA MRISHO MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA SABUNI ZA MAJI ,UBUYU ,SABUNI ZA SOFA
Переглядів 1 тис.21 день тому
HIDAYA MRISHO MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA SABUNI ZA MAJI ,UBUYU ,SABUNI ZA SOFA
MREJESHO WA RACHEL MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA DARASA LA SABUNI
Переглядів 24221 день тому
MREJESHO WA RACHEL MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA DARASA LA SABUNI
MPIGIE KURA DATIVA MASAWE AWE MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA 2024
Переглядів 1 тис.28 днів тому
MPIGIE KURA DATIVA MASAWE AWE MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA 2024
JINSI YA KUTENGENEZA KEKI ZA KUKATA KG 3 ZENYE FAIDA KUBWA | MAPISHI YA BIASHARA
Переглядів 71928 днів тому
JINSI YA KUTENGENEZA KEKI ZA KUKATA KG 3 ZENYE FAIDA KUBWA | MAPISHI YA BIASHARA
JINSI YA KUPIKA KEKI ZA KUKATA ZA KIBIASHARA ZENYE FAIDA KUBWA #CUPCKES #biashara
Переглядів 3,7 тис.Місяць тому
JINSI YA KUPIKA KEKI ZA KUKATA ZA KIBIASHARA ZENYE FAIDA KUBWA #CUPCKES #biashara
UTENGENEZAJI WA SABUNI ZA MAGADI NA MCHE MWANAFUNZI ALBERT MADAHA
Переглядів 193Місяць тому
UTENGENEZAJI WA SABUNI ZA MAGADI NA MCHE MWANAFUNZI ALBERT MADAHA
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA UBORA WA HALI YA JUU#SabuniBora #Ujasiriamali #JifunzeKutengeneza
Переглядів 3342 місяці тому
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA UBORA WA HALI YA JUU#SabuniBora #Ujasiriamali #JifunzeKutengeneza
"Jinsi Rahisi ya Kukata Sabuni kwa Ufanisi | Mbinu za Kisasa za Kufanikisha.
Переглядів 1252 місяці тому
"Jinsi Rahisi ya Kukata Sabuni kwa Ufanisi | Mbinu za Kisasa za Kufanikisha.
JINSI YA KUTENGENEZA LOTION LOSHENI #haircare #chunusi #duet #haircareproducts #skincare
Переглядів 4752 місяці тому
JINSI YA KUTENGENEZA LOTION LOSHENI #haircare #chunusi #duet #haircareproducts #skincare
Jinsi ya Kutengeneza Kashata za Karanga - Mapishi Rahisi na Matamu!"
Переглядів 1,6 тис.2 місяці тому
Jinsi ya Kutengeneza Kashata za Karanga - Mapishi Rahisi na Matamu!"
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI YA KUOSHEA VYOMBO FURSA MPYA MJINI
Переглядів 2,6 тис.3 місяці тому
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI YA KUOSHEA VYOMBO FURSA MPYA MJINI
JINSI YA KUPIKA KASHATA ZA UFUTA #KASHATA ZA UBUYU UBUYU WA VIPANDE
Переглядів 1833 місяці тому
JINSI YA KUPIKA KASHATA ZA UFUTA #KASHATA ZA UBUYU UBUYU WA VIPANDE
jinsi ya kutengeneza bar soap shampoo
Переглядів 3443 місяці тому
jinsi ya kutengeneza bar soap shampoo
CANINE SHAMPOO JIFUNZE KWETU NI RAHISI.SANA
Переглядів 2443 місяці тому
CANINE SHAMPOO JIFUNZE KWETU NI RAHISI.SANA
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA ALOVERA YA TIBA YA NGOZI
Переглядів 3593 місяці тому
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA ALOVERA YA TIBA YA NGOZI
JIFUNZE KUTENGENEZA STEAMING YA NYWELE / HAIR TREATMENT
Переглядів 2923 місяці тому
JIFUNZE KUTENGENEZA STEAMING YA NYWELE / HAIR TREATMENT
JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA KUKUZA NYWELE KUZUIA KUKATIKA FETTY MUJARAB
Переглядів 2504 місяці тому
JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA KUKUZA NYWELE KUZUIA KUKATIKA FETTY MUJARAB
Gharama za group lako la WhatsApp shngap?
Hongera kwa kaz nzur na mafunzo mazur
Mashallah
Naoba mniuge nijifuze
Kazi nzur
Je kutabu kimeandikwa na vipimo?
Mwalim naomba dallasa la batik. Na sabuni ya mche ni sh ngapi
Mwalim naomba dallasa la batik. Na sabuni ya mche ni sh ngapi
Mwalim mungu akubariki namba uniunge glp la batiki na sabuni ya mche
Hongera sana kwa kazi yako nzur 🎉🎉🎉
Mwl sijaona kama umeweka mafuta....au hatuweki
Napenda sana kazi zako mama ninakupa kura yangu
Unavutia kuula
Hongera sana uko vizuri
Hongera kipenzi kwa kazi nzuri
Mwalimu saranga nakoment kutoka kiganbon kibada
Naomba namba za simu
0682456819
Naomba namba zako
Nipo Zanzibar
Wasalimie sana Zanzibar
Hongera sana dativa
Ubuyu wako mzuri saana
Teacher hayo mafuta niyaaina gani mafuta yakula au
Mafuta ya mise
Hivo vifungashio vinapatikana wap
Naomba namba ya wtsap
0682456819
Namba yangu hiyo niunge kwa whatsap
Mbona utaji vipimo unavyotumia
Mwalimu nipo Dar kigambon
Mbona sjaona caustic nomba darasa nikweli lazima ugharamie tuonane darasani
Ubuyu mtamu halafu mtamu tena
Vipimo bosi hujatuambiya umetumiya vipimo kiasi gani
Mbona nimesema ukihitaji vipimo tutafute whatsap utalipia
Tupe vipimo mwalimu
Mbona nimesema unalipia unatumiwa kwa whatsap
Nimependa kazi yako sana wew unajua.
Ahsante sana
Maasha Allah,,unaonekana mtammm❤
Maziwa matamu ndo nini?
Ewaaa💯🙏🙏
Unapatikana mkoa gan
Hivyo vibiskut vya kuhifadhia vinapatkana wap???nipo iringa
❤iringa
Ubuyuu mzurii dadangu hongeraa
Nataka kujifunza naomba mniadd kwenye group la watsap
Sabunii nzurii sanaa
Mimi ata sijaelewa chochote hapo
Pole kama haujaelewa
Hamtoi maelezo vizuri,sasa hapo umetengeneza shampoo ya lita ngapi,na malighafi ni vipimo kiasi gani umetumia???
Ubuyu mzuri
Hiyo rangi ndio huku food colour ama
Nimejifunza nikiwa kenya
Radha ya kipekee kabisaa
Ubuyu mzr
Habari.vitabu ni bei gani.kama cha batiki
Hongera sana ubuyu mzuri na wa viwango Hongera pia sunrise kwa kutengeneza ajira kwa vijana wenye uhitaji na uthubutu