Donasi | Jinsi yakupika donasi laini kama keki | Mapishi ya donasi .

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • #mapishiyakiswahili #donasi #mapishiyadonasi
    Website:rukiaskitchen.com
    Instagram: rukias _kitchen
    Facebook: Rukias kitchen
    Cookpad: Rukias kitchen
    English recipe follow the link➡️ • Donuts 🍩 | How to make...
    For more swahili videos follow ➡️ / @mapishiyazanzibar
    ➡️ / @husna_laltia
    ➡️ / @eastafricanfoodsrecip...
    Mahitaji :-
    Unga wa ngano
    Vanila
    Yai moja
    Sukari
    Butter 🧈
    Iliki
    Bakingpowder
    Sukari yakusaga kupamba
    Mafuta yakupikia

КОМЕНТАРІ • 83

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia  4 роки тому +2

    If you would like to watch this video in English press the link ➡️ua-cam.com/video/MALZRHhLOcw/v-deo.html

    • @zainabissa7851
      @zainabissa7851 4 роки тому +2

      Hi naweza kutumia samli?

    • @guskhalid4873
      @guskhalid4873 3 роки тому

      i dont mean to be so offtopic but does anyone know a trick to get back into an Instagram account..?
      I was stupid forgot my account password. I would appreciate any tricks you can give me!

  • @mariamibrahim9855
    @mariamibrahim9855 4 роки тому +5

    You are my inspiration, ,,, i tried your cooking and recipe is wooow btw you never dissapoint with your cooking,,and I really love your presentation

  • @salhsalma9009
    @salhsalma9009 3 роки тому +1

    Mashaallah dada uko vizuri shukran sana Allah akujalie elimu nasi tujijuze pia,,,,,,ntajaribu nami 😋😘

  • @naseemnaeem7732
    @naseemnaeem7732 3 роки тому +1

    Thanx a million dear, nimejaribu na zimependwa na wote nyumbani. I really like trying ur recipes. May Allah bless u alwayz

  • @user-ju1pl7rr8n
    @user-ju1pl7rr8n Місяць тому

    Tam sanaa

  • @RaniyahAnwar
    @RaniyahAnwar 4 роки тому +2

    Ma shaa Allah they look yummy Tena Laini Sana💯💯 chai😋☕

  • @shereensalummohd6053
    @shereensalummohd6053 Рік тому

    Mashallah

  • @st.schogg6772
    @st.schogg6772 4 роки тому +4

    Wao,, very interesting recipe... I will try it..

  • @salhasaid1027
    @salhasaid1027 Рік тому

    Iam always your follower ....I love your recipe and all time food fav at my home dishes

  • @kinga.s.k7963
    @kinga.s.k7963 4 роки тому +2

    Sooo yummy best chef

  • @fatmaabdalla6488
    @fatmaabdalla6488 4 роки тому +1

    MashaAllah shukran

  • @katijamattar-cl3ny
    @katijamattar-cl3ny Рік тому

    Asante chakula chako kizuri

  • @RaniyahAnwar
    @RaniyahAnwar 4 роки тому +3

    First here Alhamdulillah 💃💃💃

  • @saidasalim5986
    @saidasalim5986 4 роки тому

    Masha-allah Allah akuzidishie

  • @ablatuny5406
    @ablatuny5406 4 роки тому +1

    Mashallah yummy

  • @mashaallahtabarakallahahma8269
    @mashaallahtabarakallahahma8269 4 роки тому

    mashaAllah 👍

  • @arabianlady6304
    @arabianlady6304 4 роки тому +1

    MashaaAllah nice niko na swali plz kama sitaki kueka icing sugar kwa juu ntaeka sukari vijiko vingapi ndani ya unga

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 роки тому

      Vijiko 5 -6 vya kula ukitaka kuongeza ni ww mwenyewe

  • @mwanamvuanassor3945
    @mwanamvuanassor3945 4 роки тому

    Ni nzuri sana nitapika daku

  • @juliegwayi6967
    @juliegwayi6967 4 роки тому +1

    Napenda mapishi yako sana Ila naomba unijulishe kwanini nikibake cake yangu inakuwa nyeupe na haaivi ndani...asante

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 роки тому

      Moto mkali

    • @juliegwayi6967
      @juliegwayi6967 4 роки тому

      asante nashukuru

    • @juliegwayi6967
      @juliegwayi6967 4 роки тому

      @@RukiaLaltia ahsante nashukuru

    • @ashaabdillahi001
      @ashaabdillahi001 4 роки тому

      @@RukiaLaltia kama ni moto Ina unguza haiwezi kua nyeupe na kukosa kuiva.naona Ana weka moto Mdogo that's why Ina kauka na kua nyeupe

    • @ashaabdillahi001
      @ashaabdillahi001 4 роки тому

      @@juliegwayi6967 una tumia oven gani na moto una weka kiasi gani?

  • @rahmaahmed2813
    @rahmaahmed2813 4 роки тому

    Mashaallah zavutia

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h 3 роки тому

    Thank you

  • @zuhurabini660
    @zuhurabini660 3 роки тому

    MaShallah donnas mzr

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 3 роки тому

    Yummy Thank you

  • @a.856
    @a.856 4 роки тому

    Thanks

  • @akhtarbegum1219
    @akhtarbegum1219 Місяць тому

    🤔

  • @namiaabdallah9476
    @namiaabdallah9476 4 роки тому +1

    Nazmia Abdullah unafundisha vivarium as antenna sana

  • @hamidagulam3558
    @hamidagulam3558 4 роки тому

    A.a,baking powder ni nusu kijiko kidogo,ama ni kijiko kidogo kimoja manake umezungumzia tofauti wa wakati ukionyesha vitu na wakati ukichanganyisha vitu.

  • @sheilahamisi6119
    @sheilahamisi6119 4 роки тому

    Nimependa

  • @abasimachano2964
    @abasimachano2964 Рік тому

    Km si mpenz wa maziw jee

  • @UMABDFATAH
    @UMABDFATAH 4 роки тому

    Asalam alaykoum wa rahmatoullah i want this recettes in French please 😍

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 роки тому +1

      Waelekum salam I don't speak French sorry

  • @neemamsuyas3084
    @neemamsuyas3084 4 роки тому

    Yummy 😜

  • @aminaomar8736
    @aminaomar8736 4 роки тому

    A aleikum dear,nikuulize waweka kitu gani zaidi ndio donasi iwe laini ya kumumunyuka mdomoni?

  • @cutiethuma9931
    @cutiethuma9931 4 роки тому

    Naeza kula the next day ama

  • @everinagodfrey5264
    @everinagodfrey5264 2 роки тому

    Apo kwe sukari sjaelewa inakua kavu au imelowa,baada yakuiva apo

  • @judithleonard8842
    @judithleonard8842 4 роки тому

    Ba
    Baada ya kuiva donat sijaelewa hapo kwenye sukari, inakuwa kavu au unalainisha na maji?

  • @halimamuhammed1201
    @halimamuhammed1201 Рік тому

    Je unaweza kutumia samlii? Or lazm siagi I mean butter?

  • @philipsphil6505
    @philipsphil6505 3 роки тому

    Kama Niko na unga wa self raising bado tu naeka baking power

  • @ashamidello8298
    @ashamidello8298 4 роки тому

    😘

  • @supamaridadi6588
    @supamaridadi6588 4 роки тому

    Nauliza hizo donasi zitakuwa kama zile za siku kuu ama coz ninavyojua hazitiwi maziwa lkn anyways Michele mmoja mapishi mengi ningependa Tu uniambie hizo donasi huwa ni sanaaa watu wala

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 роки тому

      Ndio hizi donasi za eid waeza tumia maji or maziwa

    • @supamaridadi6588
      @supamaridadi6588 4 роки тому +1

      @@RukiaLaltia Mimi najua huwa wablend siagi pamoja na sukari na iliki na vanilla kisha hio mixture yako itakywa maji maji sio hapo utaengeza unga wako alafu na baking powder utaanza kuchanganya vizuriiiiii ohhh sorry pale kwa kublend siagi watia mayai sio alafu ukimaliza utafanya shapes zako na unaenda kufry kwenye mafuta yasiwe baridi wala Moto saanaaaa ili ipate kuiva kwa ndani Mimi najua hivyo kama nimekosea mahali ningependa unirekibishe na pia ilikuwa naongoja jibu lako unijibu zitakuwa kama za siku kuu ili niende kujaribu

  • @hadijaidrisa4567
    @hadijaidrisa4567 4 роки тому

    MashaAllah habibty.!VIP badala ya maziwa waezakupika kwa nazi?

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 роки тому

      Sijawahi jaribu na nazi better uweke maji basi

    • @hadijaidrisa4567
      @hadijaidrisa4567 4 роки тому

      @@RukiaLaltia OK shukran dear...

  • @haikamgonja3871
    @haikamgonja3871 4 роки тому

    🍩🍩🍩

  • @spelinakisumbe9305
    @spelinakisumbe9305 3 роки тому

    Sugar yakusaga inapatikana wapi

  • @fatmam8365
    @fatmam8365 4 роки тому

    Butter grams ngapi, kupima kwa kijiko itakuwa melted butter or soft only

  • @UMABDFATAH
    @UMABDFATAH 4 роки тому

    how many cup of flour

  • @iddim.bakuli9395
    @iddim.bakuli9395 4 роки тому

    Nmependa hio recipe ila niligaka kuuliza katika hio sukari unayopaka nje, je naweza kutumia Shira Kama ile ya kamati yenye sukari ya nje? Na kwenye maziwa, naweza kutumia ya unga Kisha nikafuatilia Maji ya uvugu? Otherwise Niko Rada najifunza kutokana kwako

  • @hawaasaidi2246
    @hawaasaidi2246 4 роки тому

    Je kama nataka vikombee vitatu mayai mangi na blue band vijiko vingapi

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 роки тому

      Mayai 2
      Blueband vijiko 8-9 vyakula

  • @pandaisfine__5727
    @pandaisfine__5727 4 роки тому

    Dada umenunua wapi hilo bakuli?? Nimelipenda sana

  • @jasminomary2168
    @jasminomary2168 3 роки тому

    Kwan kunaulazima wa kupaka hiyo sukar

  • @said-gc3eq
    @said-gc3eq 3 роки тому

    Rukia ww waishi wapi

  • @salmasalim-uz9ep
    @salmasalim-uz9ep Рік тому

    Mashallah

  • @everinagodfrey5264
    @everinagodfrey5264 2 роки тому

    Apo kwe sukari sjaelewa inakua kavu au imelowa,baada yakuiva apo

  • @samanthapunch792
    @samanthapunch792 3 роки тому

    Mashallah

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 роки тому

    Mashallah