Jinsi ya kupika kupika kaimati/kalimati tamu sana kwa njia rahisi /Luqaimat / sweetballs
Вставка
- Опубліковано 10 жов 2024
- Kaimati za maziwa👇🏻
• Jinsi ya kupika Kaimat...
MAHITAJI
*Unga wa ngano kikombe 1 1/2
*Iliki 1/2 kijiko cha chai
Tui la nazi glass
*moja /220ml
*Hamira kijiko1 cha chakula
*Yai (sio lazima)
SHIRA
*Sukari
Vanilla extract
Maji
Ingredients
*Plain flour 2 1/2 cups
*Cardamom powder 1/2 teaspoon
*Coconut cream 1 glass/ 220ml
*Dried yeast 1 tablespoon
*1 Egg (optional)
SHIRA
*Sugar
*Vanilla extract
*Water
...
...
Upo vizuri sana nimependa hujafuga kucha kama wengine wanakanda ngano na makucha ni uchafu halafu wanafundisha mapishi upo vzr dada
Mashallah mashallah I love kaimat .
Masha'Allah zavutia sana😋👌
Shukran 💕
Maa shaa allah kaimati zapendeza sana
MaashaAllah ahsante kwa mafunzo, Maelezo yako yametulia na rahisi kufahamika.
Asante 🙏
Sukar au chumvi
Asante sana kwa mapishi..mi nimejaribu baada ya muda sukari ya nje inayeyukaa yenyewe..wakati Nilipeta hadi ikawa nyeupe sijui nakosea wapii..Naomba msaada
Au sehemu uliyokuwepo inajoto sana inaweza kuwa ndio sababu
Asante kwa somo zuri la kalmati
Nimependa unaelekeza kwa ustadi mkubwa zaidi asante kaimati yako inavutia sana as
Asante dear 💕
Shukran pishi zury sanna honger😋😋 hlf kubwa nimependa jins unavyofundisha honger unaeleweka sana
Asante sana Dada kwa somo nimepata nilicho kitafuta kwa muda mungu akubariki
Aamin
Maa Shaa Allah
Asante kwa elimu nzuri ubarikiwe,nimepitwa kidogo tutaongeza shila waweza kurudia?
Safii !! Safi sana
Mashallah mwalimu nimekuelewa kesho najifunza na mm
Mashaallah
Asante kwa darasa
Tamu sanaaa
Asante somo nimelielewa❤️❤️❤️
Allahuma barik
Is this like puff puff kama ile ya west African recipee?
Masha Allah
Nice work
Kaimati nzuri,tamu
Ahsante
Mashallah kaimati nzuri na nimefurahi kwa recip shukran
Je hauweki sukari wala chumvi kidogo??
Hapana siweki
Hongera kipenzi nime pata somo but Jana nilijaribu Nika kukuta na mwaga unga
Kwanini dear?
So cool
Nzuri sana dada asante
Nzuri Sana hongera
Uko sawa dadangu mashallah
Salim Mbarak Shukran
Thanks my dear
Shukran😍
Asante sana
He vanilla yaunga haifai?
Nimeelewa sana
Shukran zinapendeza .
best kaimati video Masha Allah, hata me taziweza sasa kutengeneza
Shukran 💕
Ooh thanks dear, nimepata cha kupika leo nilikuwa nawaza nipike nini
Karibu dear😘 , na mapishi mema🙏
Masha Allah mamy
Nimependa sana pishi hilo jamani asante sana
Can i use milk instead of tui
A. Alkm... Anty Warda.... Leo na mm nimejaribu.. Kawaajir ya ftar.... Asante mpnz Allah akupe kila hitajio LA nafsi yako inshallah.
Waalykum salaam , MashaAllah MashaAllah 🤩 hongera sana. Ameen yarab 🙏🙏🙏, 😘😘
Daah nzuri
Shukran
Huwez weka sukari wakat wa kutengeneza
SUKARI unaweka wakati gani?
Hakueka 🐕 uyu😀😀
Shukuran
❤
mimi ni chef ila Nimebass sana kuni continental cuisine ila kuni hizi bite za nyumbani umenisaidia sana ubarikiwe
Asante sana💕
Wakati was kuchanganya unga na hamira mayai nk je hapa sihitajiki suweka sukari
MashaaAllah kaimati zavutia😍
Asante
@@wardakhalid292 habari dear naomba kuuliza hivi kuna ulazima wa kuweka tui au ni mapenzi ya mtu
🥰🥰🥰🥰
Kama huna tui la nazi, je unaeza tumia maziwa ya kawaida au maji tu??
Yes unaweza dear
Masha Allah ukhty mungu akubariki juzi nilifanya bt zilikua kubwa utasema ni mitai😂
MashaAllah hongera, mdogomdogo ukiendelea kupractice InshaAllah zitakuja kutoka vizuri ❤️👏🏼
Kama hunatui la nazi unatumia nn madame
Hata maziwa au maji pia zinakuwa nzuri
Asante
Uko vizuri sana
Asante
Kaimati zavutia sana
Nice one MashaAllah 😍👌😋
Asanti Sana dada Kwa huo upishi/mundo wa kaimati, swali langu ni "Shira" ni nini na inapatikana wapi? Asanti
Shira ni hiyo mchanganyiko wa sukari na maji ukishaichemsha ikiwa muonekano huo wa kimiminika ndio inaitwa shira
Kama hauna vanira huwezi kupika kalimati?
Dada Hongera sana ww mwl mzuri,
Asante dear 💕
Kalmati zako ni nzuri Masha Allah, ila mie nina swali kama nataka kalmati ziwe crunchy kwa nje na kwa ndani ziwe soft unawefanyaje?
Kama unataka ziwe crunchy ziwache zikolee rangi kidogo ziwe dark brown kidogo na pia usizifanye ndogo sana ili ziwe laini ndani.
@@wardakhalid292 Shukran kwa kunijibu.
@@alsam4881 maziwa mtindi husaidia kufanya crunch kwa kalmati
yummy ma sha Allah
Masha'Allah recipe nzuri sana
Shukran
Nimeelewa but wakat wa kuandaa sukari haitajiki
Me naweka nje tu
Iyo shira inapatikana wa
Shira ni mchanganyiko wa Sukari and maji ndio hiyo niliyoipika na na kuiweka juu ya kaimati💕
Zapendeza
Ukisema kikombe kimoja na nusu munavhanganya watu mbona mina mambo ya ajabu watakiwa useme kama nirobo au ninusu au nikilo mana vikombe havilingani
Sawa
Nc
Asante ,kwa somo zuri, hv huwa haziwekwi sukari?
Tui ndo nini ?
MashaAllah ila pole kwa mafua
cutie thuma Asante, nishapoa🙏
Thank you❤❤❤
You’re welcome 😘
Good recipe,hizo kaimati hauweki sukari Wala chumvi?
Sukari naweka juu tu
Nauliza ya kwamba naweza kupika na maziwa Niki kosa Nazi?
Yes unaweza dear 👇🏻
Jinsi ya kupika Kaimati /Kalimati za maziwa tamu sana
ua-cam.com/video/ItT19EoPkYI/v-deo.html
Dada kama sina nazi naweza Kuweka maziwa je nisawa au😊
Ndio unaweza
Video hii 👇🏻nimeonyesha kupika za maziwa ua-cam.com/video/ItT19EoPkYI/v-deo.html
Hongera mno 🙏 unatuokowa
Asante. Can i skip an egg?
Yes you can skip the egg
Hauwezi kuweka maziwa badili ya nazi ukhtiy ?
Unaweza habibty
Hapo hutumii sukar au chumvi
Yeah situmii wakati wakuponda , naweka juu tu
Hi just subscribed your channel . I love kaimati, I will try and let you know🌺🌺🌺🌺
Thank you 💕 &all the best 🌺
Ipate chai rangi ama kahawa thungu.... Lo!!
Nimependa utengenezaji wako
Asante 💕
Kama sina vanilla nafanyaje mamy
Weka Iliki
Asc Ramadaan kateem Masha allah
Waalykum salaam, Shukran 🙏
Hinda Said... I
Hakuna kuweka chumvi
Hapana siweki
Mapishi mazuri vitu vitamu
Da zur
Unauacha kuumka
Asanti kwa mafunzo...leo nimejua jambo natamaningi kujua
Karibu 💕
Leo nataka nizitengeneze
All the best dear💕
Waweza pika bila vanila na tui.la nazi. Au nilazima kuweka.hivyo vitu
Yes unaweza
Je yai ni lazima mumy na tuhi n waweza tumia maji
Unaweza dear ila hazitakuwa nzuri sana kama ukiweka tui au mazima
Yai sio lazima kwenye kaimati
Naomba kujua hiyo vanila inapatikana wapi? Na hiyo mashine ya kuwekea kalimati inapatikana wapi?
Vanilla inapatikana maduka viungo (spices) au maduka yoyote ya vyakula. Na kuhusu mashine mcheki huyu niliviona kwake 👇🏻 instagram.com/tasnem90?igshid=1majklhckogq6
Hi,can I use maziwa lala?thx
Yes ,you can dear 💕
great job. I love it.
Thank you
I dont mean to be so offtopic but does any of you know of a method to get back into an instagram account..?
I was dumb forgot my password. I love any tips you can offer me!
@Braylon Cohen Instablaster :)
@Khalid Alonso i really appreciate your reply. I got to the site on google and im in the hacking process now.
Seems to take a while so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
@Khalid Alonso it did the trick and I now got access to my account again. I'm so happy!
Thanks so much you really help me out :D
Sister kama sina vanila nafanyeje
Pa naulza naweza tumia maziwa badala ya nazi maana hku nazi ni shida
Unaweza kuweka iliki ya unga. Na Yes unaweza kutumia maziwa
Umenikosha
Aslm alaykum je kama hupendi mayai?
leo kamil Waalykum salaam
Usiweke dear, na pia zitatoka vizuri bila yai
@@wardakhalid292 shukran sana 🙏
@@wardakhalid292 yaaan mm nashindwa kukisia maji kweny ung jmn ila nitamuomba mungu ishaallah
Ukiweka sukari je
Kuweka sukari wap?
Hii Ni sukari ya kawwida
Salvador Baraka yeah yakawaida nyeupe ila sukari yoyote hata ya brown inafaa
Mbona mimi nikizipika sukari huwa inayeyuka zikikaa kwa muda huwa nakosea wapi
Christina Hillary nadhani inakuwa joto
Me nikipika hivyo zinakaa siku nzima lakini zikiamka siku ya pili sukari kidogo inakuwa imeanza kuyeyuka.
Kama hauna hiyo vanilla inajuwaje
Unaweza ukaweka iliki ya unga kidogo , au usiweke kitu pia ni sawa
Duu shukrani sana kwanza kwa kuwa active na fans wako na hongera kwa mapishi yako simple and best quality
Thank you 🌺
Sukari mtu hawezi changanya pamoja na unga wakati wa kukanda !
HnaweZa kuweka kidogo kama utapenda💕
Amira hauweki
Nimeweka
Leo nitajaribu na km huna mayai inakuwaje madamu
Sio lazima yai kama nazi nzuri inatosha kabisa
@@wardakhalid292 shukran madamu 🙏🙏🙏pia hapa nilipo nazi hamna kuna maziwa tu inafaa
amaly og tz yes, yanafaa kabisa
@@wardakhalid292 shukran madamu pole kwa usumbufu 🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤❤ahsante pia kwa kunielewesha vizur 🌷🌷🌷🙏🙏🙏😘😘😘😘😘
amaly og tz Usijali, kuwa huru kuniuliza chochote. You’re welcome 💕