MGONGO KWENYE BED MACHO KWENYE DALI NAWAZA MBALI, SOME TIMES LAZIMA UFOSI NDO UTUSUE NA KUNA MUDA LAZIMA UISHI KAMA SLAVE NDO UTUSUE BONANZA AND TILL I DIE WA BIG INSPARATION TO ME , KIPINDI NIKO CHUO NAHIO ILINIPA HAMU KUBWA YA KUPAMBANA NILIPO MALIZA NA KUPATA DEALS 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Ukifanya interview na con boy presenter yeyote jiandae kupata views za kutosha sanaaah kama umeelewa nilichomanisha tuweke likes hapa
Interview zake uchomi bando una learn
Msanuaji bonge mojaaa la presenter
Con boi yupo real sana ,,,,,na naomba watoto wengi wa kiume tuwe iv coz tutaishi kweny amani ya moyo ,,,cjui kama unanielewa
Mastermind Binooo❤ Real Nigga.
Msanuajiii 🤝🤝
Bonge moja la interview
Unyama sana👊
Msanuaji nkbr 🙏🙏❤❤
Appriaciate bro. Con boi
uyu jamaa nakosa ata Cha kucomment
Editing haiko poa unasikia beat zaidi kuliko mazungumzo inaboaaa
Zilla🙌🏽 RIP
Wa kwanza👌👌
🔥🔥💥
Ndiyo muandike Coin Boy
N makosa t madogo madogo🙏🙏
Bro tupatie part 2 ya hii interview con alikua na mengi sana kuongea lakini muda mfupi. A good work tho.
Life . Everything animal
Con amazing
binno I feel you real G
💪
Nice interview
Yoo broo iyo co coin boy ni con boi
Binno unyama sn👊✌️
MGONGO KWENYE BED MACHO KWENYE DALI NAWAZA MBALI, SOME TIMES LAZIMA UFOSI NDO UTUSUE NA KUNA MUDA LAZIMA UISHI KAMA SLAVE NDO UTUSUE
BONANZA AND TILL I DIE WA BIG INSPARATION TO ME , KIPINDI NIKO CHUO NAHIO ILINIPA HAMU KUBWA YA KUPAMBANA NILIPO MALIZA NA KUPATA DEALS 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Sasa msanuaji mbona editor amemwandika conboi >coin boi
👊👊👊
Binno Jackson
Cannabino 🙌
❤❤omg
Hiyo beat naweza ipata wazee..
Mzee malindingu
Canbino ✌🏿
Siyo coin boy ni con boy editor umezingua apo
INABIDI EDITING IBORESHWE, JINA NI CONIBOI SIO COIN BOY
Bonge la content
Siyo coin boy ni kon boy editor umefail apo
BINNO MAN🔥🪐
Siyo coin boy ni con boy editor umezingua apo