Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Please Naomba 10k Viewers, 5k Likes Niachie Part Two 2.🙏🏿❤️.
Part two
Part 2 saa ngap Ivan
Ivan tunaomba no 2 mwendelezo jaman😅😅
Waisha part2 jamn kibonge aumbuke na kingereza chake Cha kudokoa
Ushaanzs kutupanga duh😂😂😂😂....
Safi sana mdogo wangu..upo kwenye ulimwengu niupendao mimi...
Kaka anajivimbisha kweli kweli, katafuteni familia yake kama hujazimia.😂
Kingeleza chake hakifanan na anaeishi marekn uongo wake
Let’s Go Maboy You Know How You Do God Bless You..!!!
😂😂😂😂 Amesahau Kiswahili baada ya miaka 5...Huo ni uongoooo 😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
Daaah
😅Ivan acha kunywa sana juice😅😅
Miaka mitano tu marekani umesahau kiswahili, umezingua
🎉🎉
Hii content umetupanga walah
Pamoja sana brother
MAKELELE KAMA MSHAMBA WA GEZAULOLE😂😂😂
Jamaa anazingua ngese kweli kweli kwenye cm alikua Ana ongea vzr sasaivi etii ajui kiswaili khaa 😂 😂
Uyu jamaa Don kasoma Iringa University marekan kakaa miaka mi5 ipi😂😂😂
😂😂😂😂 tukutane kwenye part 2😂😂😂😂English and englishing 😂😂
Sure nyingi😂jitu linyewe linene woiiiii halivutiii linaogea ujinga sna
Pamoja kaka nakufatilia sana
Content zingine kweli ila mmmh hamna sijui mmeona cm ya tajir😂😂😂
Mwaka uyo ni balaaa
Leo nimeamin kama ni maigizo hakuna uhalisia😂😂😂
kitu kama hicho asee nami naona mhhh
Jamani 😂😂😂😂😂mbona kiswahili ndo kingi mashauzi mwanaume aipendezi 😂😂😂😂😂😂
Jamaniii lakitanooo mvoisema moyo umesisimukaaaa duuuh kunawatu wanapendwa jamaniii yani apa naiwazia iyo laki tanoooooooooo
Ela imetumwa TAREHE 1/11/2024 Friday imekua received 17/11/2024Duh hahaha Bhna Ivan hii content mmeaharubu hata kama kuigiza mmekosea sana😂😂😂😂😂
Mnashindwa kuwekeza kwa family yenu mnawekeza kwa watu ambao sio damu yenu wasokuwa na huruma
MWAMBA MIAKA MITANO AMERICA KASAHAU KISWAHILI😂WENYE MIAKA 30 NJEE AWAJUI ATA WALIPOTOKA🤣🤣🤣💪
Acha ubishooo wa kijinga kak ety kiswahil ujui unavituko kweli kijan I'm following u pumbavuuuuuu
Haji mapenzi ya bongo ni noma. Bora uipende familiya Yako tu.
Shda unaongea mno,, ila kazi ni nzuri br🎉🎉❤
Ujui nn naumezaliwa hapa acha Ukike bhn
😢😢😢😢
Mmh wakina sarah tumefikiwa😢
saraaaaahhh🙌🙌🙌🙌
Nilkua naambiwa ni maigizo nkakataa leo nimeamini tunapangwa et mtu hajui kiswahili vzr anaongea kingereza cha mchongo Tutumie lugha gan? any can do! 🤣🤣
yaan kingereza chenyewe brother anaongea mm mwenyewe nipo mwanza nikiongea leo naonekan namzidi pareeeefu mmnooo
Hiyo lugha sio ya kutoka America unless umetoka Afghanistan 😅
Wee kaka acha upuuzi kwenye sim hatujasikia kiengereza lione ovooo hupendezii asaa jinga sana acha kutuektia maisha apa njaa tupu
Uyu jamaa aache maigizo miaka mitano asahau kiswahil
mpuuzi
Anatu chura tu uyo
Nikwel unachelewesha sana bn unazingua
Cameraman amekunywa juice
Jamaa msenge Sana kingereza chenyewe anaunga unga Sana
alafu ivan miaka mitano mtu asiifafaham halotel dahh mhhh
Ivan one 7 unyamani mwingi bro nakkubali 💥💥💥💥
Lakini uyo dada ajaenda kua ajili ya mapenzi kaenda kua ajili ya kazi
Mapenzi shikamoo
Iv Infinix zinatumika marekani
Kingereza cha njaa
afu mwamba et kasahau kiswahil miaka mitano
subr part 2 mpaka kizaramo kitatoka
😂😂😂
Sasa NI Kazi hata Mimi ningekuja 😂😂😂😂mmngefanya ya Yule dada WA laki tatu kwa usiku mmoja kujilimbwasa
Sas kama katoka America anawezaje kutuma pesa? Siyo kweli
Ma meeen
Pat 2 mzee
Mmmmh
Part2
Sipendi mwanaume anayejiplaud uwiiiiii
😂😂😂👌👌👌👌🙌🙌
Kweli kabisa inakuwa sio nzuri
Ahhahahahahhhahahhahahahahahhaha😂😂😂😂
Duh mbavu zangu mm sina eti kiswaili akijui duh
Hilo lijinga lilikuwaa Lina nataka sifa 😂😂😂😂
Nikweli mapenziya bonngonoma
Salio lako jumla ni 500,000Alf umetuma 500,000 ikakubali kvp acheni kutupanga banaaa
labda alikuwa na sh 0.00
Jaman mim hata miaka 10😢😢😢uwii😊
Weka part 2 bhana unakata moto
Kama mwanachuo bro apo huna chako😂😂😂
Ok
We mbwa pat 2 iko wapi😂😂😂😂
Mkiendelea nahizi challenge, mtabaki single wote
Hata hiyo English hajui … anajiuma tuu
Ivan ni mmarekani kweli huyo? Mbona kama muda Mwingine anabonda kiswahili as if anaigiza?
Hiii ni content tuuh hawa maboya hawajui hata kingereza chenyew hawana lolote majinga
ivi una mwaminije mwanamke kiivo
Tuletee ya pili
Acheni majaribu nyinyi mtu umpe pesa mwenyewe alf akatae mh sio kweri bora ingekua ya kutaj mpenz apo sawa lkn sio hio
Kiswahili kigumu
I'm following you 🌝
Mtamshi hajui vzr na anaongea ad kimakonde 😅😅 mfyuuuuuuuuu
😂😂😂😂😂
Hapo sasa 😂😂😂😂
Hamn kit hapo
Mwanaume mwenye anasfa hivi ht kwa fimbo wa nn
Mimi Ivan unaniboa kitu kimoja yan unachelewesha part2 kama nini
Yaan we acha two me sasa iv nahasila san fhuu anaboa san
😂😂
Hki tumbo laniuma ivan wewe
Mbn nyinyi mnamajalibu hvyo jmn 5k
Kiswahili mbn kimenyooka kuliko english😅
Atauponza
Kwa kua yup kweny Camera ndo anajifanya hajui kiswahili vizur kumbe wala English yenyew sasa
Anavyoongea to anaonekan anakichapa kiswahili mpk kilicho espaya Alf anasem ajui kiswahili jmn
Na mi niliwah kuwa na bwana wa utrk alikaa Turkish miak mitano ndgu 😂😂Na kiswahili ety alisahau duu😮😂😂😂😂😂
Kingereza kinalemaza
na sio Turkish ni Turkey
yani kukaa miaka mitano ndio unajifanyaujui kiswahili
Huyu chokokweli asa mtu kukaa marekani mika5 ndio usahau kishwa hili watu tuna miaka 15 natuna ongea hadi kiluga
Hahahah
Hata miaka 50 huwezi sahau lugha yenu
Sounds hizo. Kiswahili anajua huyo. Aaache sound, Tangu lini mtz akasahau kiswahili., Kingereza chenyewe chenga.Tuna wasi wasi na hiyo challenge.
😂😂😂😂🤣ndo wale wanaokataaga makwao
Sure
Kabisa anakijua kiswahili vizur huyoKiingereza hicho duuh😢😢😂😂😂😂@@DannyFabiano-p9b
Mm nashangaa hata ukae miaka 100 huwezi sahau kikwenu😏
Kweli kbs wana tuchora hawa hii ni scripted kbs hakuna uhalisia wwt
Mkaka huyo ni muhaya wa sehemu gani Ivan
Lisimu lenyewe sijui techon woiiiiiii gari atale wap mbn mntuaon wajinga sna
Pumbv wew umenichekesha sana
@EvahManoti 🤣🤣🤣🤣
Please Naomba 10k Viewers, 5k Likes Niachie Part Two 2.🙏🏿❤️.
Part two
Part 2 saa ngap Ivan
Ivan tunaomba no 2 mwendelezo jaman😅😅
Waisha part2 jamn kibonge aumbuke na kingereza chake Cha kudokoa
Ushaanzs kutupanga duh😂😂😂😂....
Safi sana mdogo wangu..upo kwenye ulimwengu niupendao mimi...
Kaka anajivimbisha kweli kweli, katafuteni familia yake kama hujazimia.😂
Kingeleza chake hakifanan na anaeishi marekn uongo wake
Let’s Go Maboy You Know How You Do God Bless You..!!!
😂😂😂😂 Amesahau Kiswahili baada ya miaka 5...
Huo ni uongoooo 😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
Daaah
😅Ivan acha kunywa sana juice😅😅
Miaka mitano tu marekani umesahau kiswahili, umezingua
🎉🎉
Hii content umetupanga walah
Pamoja sana brother
MAKELELE KAMA MSHAMBA WA GEZAULOLE😂😂😂
Jamaa anazingua ngese kweli kweli kwenye cm alikua Ana ongea vzr sasaivi etii ajui kiswaili khaa 😂 😂
Uyu jamaa Don kasoma Iringa University marekan kakaa miaka mi5 ipi😂😂😂
😂😂😂😂 tukutane kwenye part 2😂😂😂😂English and englishing 😂😂
Sure nyingi😂jitu linyewe linene woiiiii halivutiii linaogea ujinga sna
Pamoja kaka nakufatilia sana
Content zingine kweli ila mmmh hamna sijui mmeona cm ya tajir😂😂😂
Mwaka uyo ni balaaa
Leo nimeamin kama ni maigizo hakuna uhalisia😂😂😂
kitu kama hicho asee nami naona mhhh
Jamani 😂😂😂😂😂mbona kiswahili ndo kingi mashauzi mwanaume aipendezi 😂😂😂😂😂😂
Jamaniii lakitanooo mvoisema moyo umesisimukaaaa duuuh kunawatu wanapendwa jamaniii yani apa naiwazia iyo laki tanoooooooooo
Ela imetumwa TAREHE 1/11/2024 Friday imekua received 17/11/2024
Duh hahaha
Bhna Ivan hii content mmeaharubu hata kama kuigiza mmekosea sana😂😂😂😂😂
Mnashindwa kuwekeza kwa family yenu mnawekeza kwa watu ambao sio damu yenu wasokuwa na huruma
MWAMBA MIAKA MITANO AMERICA KASAHAU KISWAHILI😂WENYE MIAKA 30 NJEE AWAJUI ATA WALIPOTOKA🤣🤣🤣💪
Acha ubishooo wa kijinga kak ety kiswahil ujui unavituko kweli kijan I'm following u pumbavuuuuuu
Haji mapenzi ya bongo ni noma. Bora uipende familiya Yako tu.
Shda unaongea mno,, ila kazi ni nzuri br🎉🎉❤
Ujui nn naumezaliwa hapa acha Ukike bhn
😢😢😢😢
Mmh wakina sarah tumefikiwa😢
saraaaaahhh🙌🙌🙌🙌
Nilkua naambiwa ni maigizo nkakataa leo nimeamini tunapangwa et mtu hajui kiswahili vzr anaongea kingereza cha mchongo
Tutumie lugha gan? any can do! 🤣🤣
yaan kingereza chenyewe brother anaongea mm mwenyewe nipo mwanza nikiongea leo naonekan namzidi pareeeefu mmnooo
Hiyo lugha sio ya kutoka America unless umetoka Afghanistan 😅
Wee kaka acha upuuzi kwenye sim hatujasikia kiengereza lione ovooo hupendezii asaa jinga sana acha kutuektia maisha apa njaa tupu
Uyu jamaa aache maigizo miaka mitano asahau kiswahil
mpuuzi
Anatu chura tu uyo
Nikwel unachelewesha sana bn unazingua
Cameraman amekunywa juice
Jamaa msenge Sana kingereza chenyewe anaunga unga Sana
alafu ivan miaka mitano mtu asiifafaham halotel dahh mhhh
Ivan one 7 unyamani mwingi bro nakkubali 💥💥💥💥
Lakini uyo dada ajaenda kua ajili ya mapenzi kaenda kua ajili ya kazi
Mapenzi shikamoo
Iv Infinix zinatumika marekani
Kingereza cha njaa
afu mwamba et kasahau kiswahil miaka mitano
subr part 2 mpaka kizaramo kitatoka
😂😂😂
Sasa NI Kazi hata Mimi ningekuja 😂😂😂😂mmngefanya ya Yule dada WA laki tatu kwa usiku mmoja kujilimbwasa
Sas kama katoka America anawezaje kutuma pesa? Siyo kweli
Ma meeen
Pat 2 mzee
Mmmmh
Part2
Sipendi mwanaume anayejiplaud uwiiiiii
😂😂😂👌👌👌👌🙌🙌
Kweli kabisa inakuwa sio nzuri
Ahhahahahahhhahahhahahahahahhaha😂😂😂😂
Duh mbavu zangu mm sina eti kiswaili akijui duh
Hilo lijinga lilikuwaa Lina nataka sifa 😂😂😂😂
Nikweli mapenziya bonngonoma
Salio lako jumla ni 500,000
Alf umetuma 500,000 ikakubali kvp acheni kutupanga banaaa
labda alikuwa na sh 0.00
Jaman mim hata miaka 10😢😢😢uwii😊
Weka part 2 bhana unakata moto
Kama mwanachuo bro apo huna chako😂😂😂
Ok
We mbwa pat 2 iko wapi😂😂😂😂
Mkiendelea nahizi challenge, mtabaki single wote
Hata hiyo English hajui … anajiuma tuu
Ivan ni mmarekani kweli huyo? Mbona kama muda Mwingine anabonda kiswahili as if anaigiza?
Hiii ni content tuuh hawa maboya hawajui hata kingereza chenyew hawana lolote majinga
ivi una mwaminije mwanamke kiivo
Tuletee ya pili
Acheni majaribu nyinyi mtu umpe pesa mwenyewe alf akatae mh sio kweri bora ingekua ya kutaj mpenz apo sawa lkn sio hio
Kiswahili kigumu
I'm following you 🌝
Mtamshi hajui vzr na anaongea ad kimakonde 😅😅 mfyuuuuuuuuu
😂😂😂😂😂
Hapo sasa 😂😂😂😂
Hamn kit hapo
Mwanaume mwenye anasfa hivi ht kwa fimbo wa nn
Mimi Ivan unaniboa kitu kimoja yan unachelewesha part2 kama nini
Yaan we acha two me sasa iv nahasila san fhuu anaboa san
😂😂
Hki tumbo laniuma ivan wewe
Mbn nyinyi mnamajalibu hvyo jmn 5k
Kiswahili mbn kimenyooka kuliko english😅
Atauponza
Kwa kua yup kweny Camera ndo anajifanya hajui kiswahili vizur kumbe wala English yenyew sasa
Anavyoongea to anaonekan anakichapa kiswahili mpk kilicho espaya Alf anasem ajui kiswahili jmn
Na mi niliwah kuwa na bwana wa utrk alikaa Turkish miak mitano ndgu 😂😂
Na kiswahili ety alisahau duu😮😂😂😂😂😂
Kingereza kinalemaza
na sio Turkish ni Turkey
yani kukaa miaka mitano ndio unajifanyaujui kiswahili
Huyu chokokweli asa mtu kukaa marekani mika5 ndio usahau kishwa hili watu tuna miaka 15 natuna ongea hadi kiluga
Hahahah
Hata miaka 50 huwezi sahau lugha yenu
Sounds hizo. Kiswahili anajua huyo. Aaache sound, Tangu lini mtz akasahau kiswahili., Kingereza chenyewe chenga.Tuna wasi wasi na hiyo challenge.
😂😂😂😂🤣ndo wale wanaokataaga makwao
Sure
Kabisa anakijua kiswahili vizur huyo
Kiingereza hicho duuh😢😢😂😂😂😂@@DannyFabiano-p9b