Kwa kwel kaka na mdogo wake nimependa mulivopatana Kaka yako ana moyo mzuri kwa kwel licha ya kukaa kimya mda mrefu aliposikia hali ya mdg wake kaacha yake kukufata una bahati prisila
@doricedaniel3563 Urafiki wa mwanamke kwa mwanamke mara nyingi unakuwaga sio wa kweli. Pili kabla hajataha rafiki na boyfriend wake alitakiwa kuanza kutaja mtu ambae ni blood related kaka ,dada au wazazi then baadae wanafuatia boyfriend na BFF zake. Nahisi lakini kajifunza kuwa alitakiwa kumtaja nani.
Ndugu ni ndugu tu mpenz ni mpenz anaweza pata mpenz mwingine Lakin ndugu nindugu awez kukutupa dada ukwel vile amesema Kaka ako utafuzwa na ulimwengu ndio hii imekutokea
Much respect Ivan na Muuuh
Msanuaji
Kazi yenu n njema sana wakuu
Bless up
Wadada tutafute pesa msipende kusema mwanaume wangu anapesa angali si zako utateseka
Kazi nzuri Ivan.
Eti bwana Ake unamjua eliki😂😂😂😂😂😂
Bora ndugu😢 pole dada
Kwani huyo mzee Hana ndugu ??
Nakukubali sana kakà ❤
Ivani unafanya kazi nzuri sana pia huigizi safi kabisa 😂😊
Huyo kaka nimempenda tu jamaniiii 😭😭
Iyi nimeipenda sana kaka na dada❤
Tunaitaji video mingi bro mbona unaleta mchezo kwa kazi brother ❤️😅
Pole San dda apo una watu kbs kaa peke yako
Kaka hii nimeipenda Kwa uyo bro kuja kumuangalia mdogo wake.hao ndio Aina za makaka tunaowaitaj
Damu nzito kuliko maji
Kaka anabusara sana apewe maua yake 🎉
Huyo dada hana rafiki, wala mpenz
Mnamaelezo mengi
Hata kuigiza hamuwezi jua limepanda kidg afu kafka mbagala ipi hiyo c mngesema ata chuo cha sayansi 😂
Dah majamaa bhana
Mashaallah huyo kaka nimempenda bure
Kwa kwel kaka na mdogo wake nimependa mulivopatana
Kaka yako ana moyo mzuri kwa kwel licha ya kukaa kimya mda mrefu aliposikia hali ya mdg wake kaacha yake kukufata una bahati prisila
imetisha sanaaaa❤❤❤
Umetish San👍
Dada yuko sahihi wapigieni wazazi wake .
Alitakiwa hata afike ajue hali ya rafikiake na kama hana hela ndo awapigie yeye wazaz wa rafikiake kuomba msaada..hajafanya sawa
@doricedaniel3563 Urafiki wa mwanamke kwa mwanamke mara nyingi unakuwaga sio wa kweli.
Pili kabla hajataha rafiki na boyfriend wake alitakiwa kuanza kutaja mtu ambae ni blood related kaka ,dada au wazazi then baadae wanafuatia boyfriend na BFF zake.
Nahisi lakini kajifunza kuwa alitakiwa kumtaja nani.
Kweli kabisa huyu dada hadi huruma kweli
nyie mnyifunze kitu apa dhaman ya ndugu nikubwa sana kuliko chochote
Ndugu ni ndugu Ata mkosani
Mh atari
We ivan unajiresi sana,yaan hta mtu kukushtukia ni haraka sana.yaan hta mbinu za kuongea na mtu hujui.
Sasa mnamuuliza yeye kama Godi yupo busy kwan ameshika simu yake aliko 😂😂😂?
Saivi umesahau kupin sauti pale namba za simu zinapotajwa
Ni bora angesem han wallah
Ndiomana sitakagi kuwaamini binadamu wengine tofauti na mamaangu na nduguzangu watumbo
Mtapigwagwa siku moja haya watu busy mnawapigia na mhamjui wapo katika ubusy gani😂😂
Uyo elick alijua cjui mataper
Hizo ni simu za kitapi kwa sasa, hawezi mtu kuamini
mwambie uyo blo amenifunza kitu kikubwa sana nimtu mwenye busala sana nampa maua yake
Km m2 kasema saw nakuja mwambie ni challenge msipotezee wa2 mda
Ila challenge zingine watu wataacha kuaminiana wakidhani challenge imejirudia
Dda una mtu apo achana nanye kbs akupendi eti iko nawazazi wake
Ndg ni ndg tu
Pale unapogundua kuwa watu ulionao ni idadi tu na sio watu
Ndugu ni ndugu tu mpenz ni mpenz anaweza pata mpenz mwingine Lakin ndugu nindugu awez kukutupa dada ukwel vile amesema Kaka ako utafuzwa na ulimwengu ndio hii imekutokea
💪
Damu ni nzito kuliko maji
Et B hef hef 😂😂😂
Ela ngumu paka wa2 wamepoteza uwezo wa kusaidiana
Kibaha arushaa😂😂😂😂😂😂
Milango ya aina gan hiyo tuion wallah tunaitaka
Siyo tusameane sema naomba kakaangu anisamehee matako ww Damu ni nzito kuliko maji
Anaekima sana uyo kaka yake
Unagombana na ndugu kisa mwanaume kakukan kweupe nyoo
B hefu hefu umeyavaa unagombn na ndugu zako huku nako mwa ma be hef hef mtihani😅 pole san ishi msisha yko mdada
Sas ambacho hujakiamn nikp wakat umeskia anakukan kwamaskioyako.
Et kakosea namba w bora kubaki na watt wako tuy wallah
😂😂
Zingatia 95😂😂😂😂
B hef hef🙆
😂😂😂😂
@@keanlean7154 Itajulikana tu ni hefu hefu au ni biii hefu hefu
😂😂😂😂ila Ivan
😂😂😂
😂😂😂😂 Zingatia B hef hef
Sasa badala mngetoka apo kwa fundi amuoni kama kuna kelele jaman why
Unatumia jina gani hista gram nataka nije DM kunakitu nataka nikuambie
Ivan 17 ongera sana kwaku onganisha undugu.
We nae umehalibu ungempgia huyo god ukamwambia kuna mchongo
Mie nahitaji namba ya huyo dada
Mi ndo maana siitaji mashoga kabisaaa siwataki
Mbon kma ya maelewano leo ivan
Ivan tulia bas
Km m2 kasema saw nakuja mwambie ni challenge msipotezee wa2 mda