WEWE RAFIKI WA ANNA MPUMBAVU UNAJITOA SAMANI KWA ALUFU AMSINI MBELE YA SHEMEJI ALUFU UNAMBEMBELEZA NA KUMREMBA SHOGA YAKO PELE KAKATAA UNGEMALIZA WACHA TAMAA MADAM
Sasa shida ya Ivan Iko wapi? Maana hajalazimisha wamekubali wao kwa hiari yao naona mnalaumu Ivan kakosea wapi? Hapa tunajifunza mengi juu ya mahusiano nyie mnaoumia ndo wenye hizo tabia washenzi nyie
Wew shoga ake mtu ungetumia akili wakati mwenzio amekubali ungeishia hapo hapo ungelamba iyo 50k na patty yenu ingeendelea lakin hujui kusoma alama za nyakati...ila demu anampenda mshkaji asimuache
Mim ni shabiki wako mkubwa sana Ivan ila katika content umenith ni hii hawa watu walikuwa na furah sana kufanya part yao ya birthday ila wew ndo chanzo umeharib kila kitu aisee kama shetqn kautumia bas ni hapa..hata kama unaangalia maslahi yako ila ungeangalia pia madhar ya hiyo kitu inaenda kutokea
Part Two Niachie Lini Wakuu Mcheke mtu anatoa machoz kabisa😂📌
Tunamshkur sana big brother kwa kutup mafunzo kupitia watu kun vit Ving tunajifunz 😅😅😅
Van usishushe iyo mpaka views 1000😂😢😢😢
Sema we Nae Ivan Unazingua san Hzi Chalange mzee znaharib xna mahusian ya watu
Saivi
@@Ivan17_tz mpaka wafike views 1000
Kazi nzuri...ila tafta camera nzuri
Kichaa uyo dem
😂😂😂😂 mwanamke kwa pesa , Asie mahusiano yataharibika
Sijapenda hata kidogo 😢 hz challenge za kumshawish mtu mtakuja kusababisha watu wajiuwe
Alaf ivan mnafik kwel et kma hamtak bc tuishie hapa😂😂😂
Huyu shoga mnafik sana amejarib kumcomvice alkuw hatak
Hivi ivan hizo nguo zako kama,brother,k, c uwe unapiga pamba
😂😂😂😂
WEWE RAFIKI WA ANNA MPUMBAVU UNAJITOA SAMANI KWA ALUFU AMSINI MBELE YA SHEMEJI ALUFU UNAMBEMBELEZA NA KUMREMBA SHOGA YAKO PELE KAKATAA UNGEMALIZA WACHA TAMAA MADAM
Yaan kanikera mpk m kanikera tena
Ushoga wa sikuiz sijapenda kabisa anajua kabisa kwenye pesa hakuna anaeweza kukataa yaan 😢😢
😂😂kume anza kuchanga mkaa
Sema mwanangu hizo challenge zenu miyeyusho kinoma. Unawatafutia watu matatizo. Tafuten content nyingine bana
Hawa watu msiwajaribu jmn, ni wana nenge😅 ya hatari🙌🙌😝 ila kw upande wang mm uyu shem miyayusho kwel 😅
Dahh aisee namhurumia broo wangu huyo dahh wanawake
Badae shemeji atatembea na uyo dada
Huo ijinga wakuwa challenge wTu mtasababisha watu wauwane shauti yenu
Marekani UK😂😂😂elfu 50 zimemchanganya
Kaka angu nakukubali sana na ninakufatilia sana ila hapo umezingua sana ivan dah sijapenda kabisa dah inauma sana
Kama wewe ulivyo kubali kufanya challenge kupesa na yeye atakubali tu😅😅
Wewe uyo rafiki hapana kwann. Uweke mkazo et katoka marekani
Fanyaneni kama wakenya wanaweka challenge yote ilivyo nnyi mpk siku nyingine hainogi sana
Ivan bro kwa staili iyo dah inasikitisha sna kuharibu mahusiano ya watu kwa upande wangu mm hii imeniumiza sna nigga!
Wee kelo yangu umalizage video vizuri. Bhana😂
Kabs sis
Jamaa nakuhurumia nataka part 2 nione yani mwili ote unajihisi kuchoka
Ivan mbona hivo sasa part two ya kule goba mbona hujaleta
Aivan na alivobonge uyo mrefu utaweza kumbeba alizimia shaur yko 😂😂😂😂😂😂😂😂
Ivan umenichekesha kinoma,
ila pesa shikamooo
Let’s Go Part Two🔥🤝
😂😂😂😂
Wanawake ovyoo jmn.khaaaa tamaaaa
Ivan hio imeniuma minilijuwatu kama yatatokea umekosea sana ungesikia Wana party hio ungeachana navyo tu
Mbona ile ya msanii hujaimalizia
Itakuwa alipigwa😂😂ikaishia hapo
Heee xixi Wanawake tuna tamaa
Mwamba kasha sema atakubali
Izoo Challenge me naona Zina alibu tyu mahusiano ya watyu
Uyu mwanamke sio mtu mzuri atakuwa anampenda shemeji yake wanawake tutafika mbinguni tumechoka😢
😂😂😂 jmn tutawaogopa wadada masikini yn bila kumuona mtu 😢😢
Nataka challange na madem zangu woteee😂😂😂
Utalia. Mzeee😊😊😊
Uyo dada kwanza tayari kaingia tamaa na iyo elfu 50
Angalieni challenge zenu mnapata faida gani sasa
Bora nikae single tu
😂😂 mwamba mpk ameishiwa nguvu
Weee ata me nakubali kuja 😅laki tatu mchezo
Baba achia part 2 mwanang
Ivan huyo big ukampandisha floo ya ngapi kachoka balaa😂😂😂
Endelea kutupa content za ukweli mkuu...
Aisee imeniuma sana jaman kaka ameumia sana wanawake tuache tamaa😢😢😢
😂😂😂😂😂 nilli liya sana 😂😂😂😅
Naww baba muwe mnaakili banh yakujiongeza
Hapa unaweza kuta pumbu ziko chin tayar 😅
Ivan ww achia part two tuone mwanag
We Ivan Ivan Ivan na huyo shoga mnafiki moto unawahusu
Jamaa alikakatalia simu na mdada alisema atafuata vyombo vya sheria
Ndo maana mambo ya marafik wakujuana maisha yangu sitak
Siwezi muingiza shoga angu kwenye huo mtego juu ya 50k 😂😂😂😂💔
Huyo dada alikuwa kwenye challenge nyingine nahis hizi challenge smtyms wanapanga watu,haiwezekani kila siku awe anakutana na hao challengers
Mkiambiwa tafut ela nyie mnatafuta uchiii😅😅😅😅 n yatawaliz saaan😢😢😢
Kwakweliii 😂😂😂
@JasmineMsofe 😎😎
Sasa shida ya Ivan Iko wapi? Maana hajalazimisha wamekubali wao kwa hiari yao naona mnalaumu Ivan kakosea wapi? Hapa tunajifunza mengi juu ya mahusiano nyie mnaoumia ndo wenye hizo tabia washenzi nyie
Yan wew unauliza et pesa inanafas yakuhalibu mapenzi wakat pesa inanafas inatoahad uhai
Nikitoka apo ushoga unakwisha yaan ndo maana mimi sinaga shoga 😮
Hii sijapenda kwakweli
Oyaaa weka mzigo baba
Hata inge kuwa ako ka bff yake 👯 kange kubali 😂ni kana zugatu 😂
Sa urafikigani hu, etc bff bff wa nyokwe, unakubali vp kumchoma bff wako😏😏
Mwanaume kaanza kuvuta Mdomo 😂😂😂😂
Ira ukweli uko wazi lvan 17 kama shoga tu yani ana bonga so pow kama Chala wa uswazi
Kuna vishawishi vingine mtu atoboi
Wew shoga ake mtu ungetumia akili wakati mwenzio amekubali ungeishia hapo hapo ungelamba iyo 50k na patty yenu ingeendelea lakin hujui kusoma alama za nyakati...ila demu anampenda mshkaji asimuache
Me mwanamke lkn hii imeniuma sana kaka wawatu jmn😢
Tuwaishie part 2
Tupe part 2 haraka
Ila nyie wa dada 😢😢😢
Shoga mnafiki angemtumia ata sms usije ni challenge na usipige
Achia leo
Huu usenge mtakuja kuuana😂
Pesa hiyo hiyo inanafasi ya kuharibu urafiki pia
Ila shoga wanaponza ivoo mhmmm ushaharibu ushoga wenu
Oya ixhuxhe leo bhn
Jamn Ivan mbona Ile hujamaliza😢😢😢😢
Ivan mbona humalizag challenge
Atakubali tu
Kaka mpolee
Tunaomba part 2 ya grace
Da
Sema mmemfoce uyo dada
Broo part 2
Ivan Mimi sijapenda bwana😢
Ila hii mbaya inaacha urafiki wenu uishie
Hiyo shoga ake ameshidwa hata kumtonya kwa msg tu
Aivan unazambi jaman 😂😂
Pesa Ina nguvu sana
Yani nimetumia sms Kwa Siri kuwa asije
Mimi sija pend ivani 😢😢😢
Marekani then UK 😂😂
Van ww 😂
Part 2unatoa lini
Lete paty2
Huyu dada nae mnafki sn
Mim ni shabiki wako mkubwa sana Ivan ila katika content umenith ni hii hawa watu walikuwa na furah sana kufanya part yao ya birthday ila wew ndo chanzo umeharib kila kitu aisee kama shetqn kautumia bas ni hapa..hata kama unaangalia maslahi yako ila ungeangalia pia madhar ya hiyo kitu inaenda kutokea
Mbn Ile fumanizi ujamaliza jmn
Pesa inahalibu Sana tu bila shida
Mapenz ya mliza big aivan 17 paty 2
Hii challenge ni hatar balaa