IBADA HII ITAKUWEKA KARIBU ZAIDI NA ALLAH || HAINA UGUMU WOWOTE - DARSA SHEIKH OTHMAN MAALIM 2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 кві 2023
  • Follow Us On:
    FACEBOOK:
    / aqonlinetv
    INSTAGRAM:
    / aqonlinetv
    TWITTER:
    / aqonlinetv
    WHATSAPP:
    chat.whatsapp.com/LTkso2pn287...
    TIKTOK:
    vm.tiktok.com/ZSJKAVXxK/
    TELEGRAM:
    t.me/aqonlinetv
    **
    Video credit: Said Salim
    Channel link: / @said7able
    Production: Blue OX Studio
    **
    #othmanmaalim #mawaidha #sheikhothmanmaalim #zanzibar #ramadan #darsaquran #viral
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2023 Aq Online Tv. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 44

  • @user-mt4sd6cj5y
    @user-mt4sd6cj5y Рік тому +1

    Allahu Akbar..Allah akuhifadhi n sheitani.

  • @mallulu9086
    @mallulu9086 Рік тому +4

    Mola akupe umri

  • @WardaWarda-gi2wn
    @WardaWarda-gi2wn 9 місяців тому

    Masha Allah, Jazakallahul khayr

  • @barwani890
    @barwani890 Рік тому +1

    Jazakallahu kheir tabarakarahmani shekh othman mawaiza mazuri

  • @SophiaMnguyu-ob4gh
    @SophiaMnguyu-ob4gh Рік тому +1

    Aslm alayka, allah akulipe kher

  • @salmamussa8240
    @salmamussa8240 Рік тому +9

    Shukran kwa mawaidha mazuri Allah akupe afya njema

  • @w4058
    @w4058 Рік тому +7

    Allaahuma Baarik mwanangu Allah akuzidishie umri siha afya Yaarabiy

  • @salmaalbarwani5649
    @salmaalbarwani5649 Рік тому +1

    Jazakaa Allahu kheri

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 Рік тому +1

    Allah humma mamiin shukran sheikh jazzaka Allah khery mashallah

  • @MuhammadSafari-rg4eoh
    @MuhammadSafari-rg4eoh Рік тому +1

    Shukran austhad , Allah akulinde kila usiku na mchana 😢😢😢😢😢😢😢😢ustadh umenifanya moyo wangu unaanza kufunguka sana kwa mambo mengi

  • @w4058
    @w4058 Рік тому +5

    Nimekupenda Leo umegusa waalimu wa madrasa

  • @rashidahmad-bv5wg
    @rashidahmad-bv5wg Рік тому +3

    Alhamdulillah shukran kwa ukumbusho huu. Shekhe Allah akujaliye siha njema

    • @hafiids_qanaat
      @hafiids_qanaat Рік тому

      Amiin 🤲
      ua-cam.com/video/0wDxC5f3jeg/v-deo.html

  • @YusrahJumaAbeid-hh2ud
    @YusrahJumaAbeid-hh2ud 11 місяців тому

    Asalm alaikum shikran San sh,Wang Allah akupe nguvu Zaid za kutuelewesha dini yetu Zaid Allah atakulip ujira mwema

  • @aminahassan3705
    @aminahassan3705 Рік тому +9

    Sheikh wngu kipenzi...Allah akujalie umri mrefu uzidi kutuelimisha sheikh 🙏

    • @hafiids_qanaat
      @hafiids_qanaat Рік тому

      Amiin amiin 🤲
      ua-cam.com/video/0wDxC5f3jeg/v-deo.html

  • @salimawishenga7588
    @salimawishenga7588 Рік тому +2

    Shukran Sana kwa Ukumbusho na mawaidha mashaa Allah, Allah atufanyie wepesi kwenye hili Aamiin yaaarrab 🌹🌹

  • @AnifuMlaponi-ux2mm
    @AnifuMlaponi-ux2mm 6 місяців тому

    Allah may protect lovely sheikh

  • @barwani890
    @barwani890 Рік тому +1

    Asalaam aleikum Allah atujalie tuwe waja wa kutoa kwa jambo la kheri

  • @HafsaMedy-nh8gf
    @HafsaMedy-nh8gf Рік тому +1

    Shukrani shekhei wetu

  • @user-ju1pl7rr8n
    @user-ju1pl7rr8n Рік тому +1

    Aslm alkm ww.... Subhannallah!!!! Masha Allah 🌹. Jazakallah kheir 🙏♥️❤️

  • @assinaassina1177
    @assinaassina1177 Рік тому +4

    Mansha Allah 🥰

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 Рік тому +1

    Kweli shekhe wasema kweli hakika tungekuwa twasadiana tungekuwa hapa duniani twaishi kama peponi Inshallah Mwenyezi Mungu atajalia wepesi kwa hilo Jazzaka Allaah kheri 🤲💕

  • @nayeemn9275
    @nayeemn9275 Рік тому +1

    Baraka Allahu fiiQ.

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Рік тому +2

    Maa shaa Allah. Mawaidha mazuri sana ya yenye faida kubwa sana kwa wenye kutafakkar! Ukweli jamani tuseme siku hzi wanaume wengi wapo nyuma sana kusaidia si familia zao si watu wa nje, wao kushindana kuoa tuu na wtto. Mtihani Allah awaongoze, amiin.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому

      Na w’ke kushughulika na kwenda maharusi, kufanya maharusi ya gharama na birthdays. Upuuzi mtupu kwa kweli.

    • @sikukuuchuo3093
      @sikukuuchuo3093 Рік тому

      ​@@Fear_Allah394ikiwa mwanaume atasimama sawasawa n kujua haki za mume na mke wake .akamueka katika misingi ya dini na kumuelimisha haezi kufanya upuuzi "waume ndio viongozi wa wanaume "

    • @faridaikussi
      @faridaikussi Рік тому

      ​@@sikukuuchuo3093 sahihi kipenzi mwanaume akiwakombo namke atamburuza

  • @hafiids_qanaat
    @hafiids_qanaat Рік тому +1

    Mashaallah. Ukumbusho mzuri sana. Allah akulipe kila kheri amiin 🤲

  • @rahmamohammed9678
    @rahmamohammed9678 Рік тому +1

    Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
    Alhamdhulillah
    Allaahumma salii wa saliim Ala sayyidina Muhammad wala alihi wa Ass habihi wa salaam

  • @mwanaathumani9594
    @mwanaathumani9594 Рік тому

    Asante kwadarsa lenyemafunzo ma 21:16 zur Allah akujalie Haja yamoyo wako

  • @dokadoka9426
    @dokadoka9426 Рік тому

    🤲

  • @SophiaMnguyu-ob4gh
    @SophiaMnguyu-ob4gh Рік тому

    Shekhe mm najambo alopendez kuliweka adharan naomba nipate mawasiliano nipate fatuha ktk Hilo

  • @rehemarehemamasond-et3jw
    @rehemarehemamasond-et3jw Рік тому +2

    Asalam aleykum sheikh mm junzi nimeona mawingu yamejichora mtu nini mahana yake

  • @ramadhanothmanabdalla21
    @ramadhanothmanabdalla21 4 місяці тому

    NASHUKURU NIMEFAAIDIKA NA MENGI KWA KUSIKILIIZA DARSA HII.

  • @aminahassan3705
    @aminahassan3705 Рік тому +4

    Sheikh wngu kipenzi...Allah akujalie umri mrefu uzidi kutuelimisha sheikh 🙏