Napoifatilia movie hii inanikumbusha darasani tulipokuwa tunajifunza vitabu Humu ujumbe nimeupata ni Imani za kishirikina Huduma mbovu za afya Umasikini Mapenzi
Mazingira ya kijiji hiki ni magumu sana Kituo cha afya kipombali hakuna huduma ni ngumu maji kuni hata njia wanazopita ni ngumu na hatari milimani 💔 kwa wajawazito na wagonjwa ni mbaya sana
Asante sana,Mr kitale kwa kututumbuizaaa ,tumefurahia sana,na pia nyoyo zetu kumakinikaaa, tukooopamojaaaa jaaa,kazi nzuri ila tunasubiria tena muendelezooo ,tafadhalii,kwa heri ya krisimasi,,,,Kila la heri niwatakienii,shukran
Nawakubali sana, mko makini ktk sekta zote, mzee Kama unatisha kwa kweli hongera, ila nawaombeni sana ongezeni muda na mjitahidi sana kumaliza huo muda mpaka mwisho wake na wala siyo kuukatisha, Ahsanteni; mimi nipo Mozambique
HERI YA SIKUKUU YA CHRISTMAS
Heri na kwako pia
Unachelewa mnoo mzee baba toa goma kila siku maana ili tamthilia aina mpinzani
Nakwako pia
❤❤❤
Kwako pia
Mzee Kama apewe Maua Yake 🙌🙌
Anajua sana
Siyo kama Tu hata ww Kwanza nimefurahi kukuona tena
Sanaa tunamkubari sana Mzee wetuu anajua mnoo
Mzee kapendezesha saana hii movie
Nimetazama haraka nikizan utaishusha
Napoifatilia movie hii inanikumbusha darasani tulipokuwa tunajifunza vitabu
Humu ujumbe nimeupata ni
Imani za kishirikina
Huduma mbovu za afya
Umasikini
Mapenzi
Mazingira ya kijiji hiki ni magumu sana Kituo cha afya kipombali hakuna huduma ni ngumu maji kuni hata njia wanazopita ni ngumu na hatari milimani 💔 kwa wajawazito na wagonjwa ni mbaya sana
Mzanzibary halisi nimechelewa ila msininyime like kwahii move hunambii kitu😘😘😘😘
Brother unajua mpaka unaumiza akili inafundisha ina elimisha Big up 🎉
Tunaangalia move mpaka tunajiskia laa sio zawale wengine tukiangalia kidogo tunapeleka mbele wewe brother kitale wewe ndio kiboko yao sema salut
Tuna tazama kutoka Kenya bt mnakawia sana kutoa movie hii
Kuwa na subra jirani😂
Mama salam umemkula mtoto ww 😢😢. Ila salam unajua kuigiza kustuka shoga Ang pokea mauwa yako🎉🎉🎉🎉
Napenda anyoshtukaga🎉🎉
Ilibaki kidogo nikupigie simu Bro bahati yako umeiachia kabla sijakupigia 😂😂, twendeni mjini sasa #Samahani_Asante #KitaleMkudeSimba 💥💥🙌
Asante sana,Mr kitale kwa kututumbuizaaa ,tumefurahia sana,na pia nyoyo zetu kumakinikaaa, tukooopamojaaaa jaaa,kazi nzuri ila tunasubiria tena muendelezooo ,tafadhalii,kwa heri ya krisimasi,,,,Kila la heri niwatakienii,shukran
Jamaani nyie mambo mazuri sana😂😂 tunomba msikae sana kutulushia
Mzee kama Ramadhan kama 🎉🎉angekua babu yangu ningeringa sana😅😅😅
Nimepata kipengele..
Yalimshinda Adam na hawa. Basi namie yamenishinda juu yako wew binti unaesoma hii comment
Kazi nzuri sana kaka mungu awa bariki sana 🎉🙏
SIWEZI KUISHI BILA MZEE KAMA RAMADHAN KAMA❤😂😂😂😂
Ukoo mhona kama bwakila juu 🎉😅❤❤kisaki
YALIMSHINDA ADAM NA HAWA SEMBUSE SISI😅😅😅😅
Sembese sisi na waganga wetu😂😂😂😂😂
@FatmaBakar-up7jv balaa tupu
Tuliotoka kwenye Dunia na mission impossible tupo?
Dunia on 🔥
Tupooo
😂😂😂😂😂2po
Tupo apa🎉
MJINGA KITARE😅😅😅 UMECHELEWA
Mzee Kama unahatari! Ntakupa Bibi😇
Weeeeee nikuone
Cio dad😂
Leo nimekuwa wakwanza like jamn ❤❤❤
movie tunazisubiria kama mshahara 😂😂😂😂😂
Kweliii waukaaee anachelewa sana tunasubili mpaka tunasahau
Nmewahi.leo ckuchelewa snaa vile😂
🎉🎉🎉kitale namkubali sana mzee khama anajua vizuri sana
Kitale hongera sana,kwa kazi hii nzuri❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Namkubari sana uyo mzeee namuombea Melina arudi Duniani
Mashallah kazi mbukwaa❤❤
Natoka Moçambique nampenda sana mzee kama 🎉❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Acha uwongo😂😂
Estamos juntos
Daaaa yaaani hii move nzuri sana ,yule babu yake naAisha namkubali sana
Hoyooo mkuje ukuu 🔥🔥🔥🔥🔥 kumewakaa❤❤❤
Imeishia patamu 😅badi usichelewe sana kitale
🎉🎉🎉tupo nayo mzee
Kaz mzuri sana❤❤
Ww usomaye hii comment Mungu akutangulie kwa jambo na akupe haja ya moyo.
Na kwako pia Kila la heri na liwejuu yako
Na kwako pia❤😊
Asanteee😊
Mzee kama ramadhan rama❤❤❤❤
Wakwanza leo kuiona from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Munachelewa sana
Dah unatukomoa,chuma nzurrrr unaweza sahau kula vipande vichache,Mzee anajua ni fundi
Leo jungu la wali utajua ilikuaje na kitale 😂
Kaka wallah mzeee anajua
humuuuuu tu 1st of all🎉🎉🎉🎉 merr christmas
Mzee kama🔥🔥
Niliisubili kwahamu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mnachelewa sana jamani mnanikosea hamjui tu😢😢😢😢 ukisikia kikulacho kinguoni mwako ndo hii sasa
Nime chelewa sana jamani 😊😊
Unabaya kitale ❤
Huyu mzee anibamba kweli ❤
Mkiwa mnacherewa kutoa movee kunasababish washabik kupata mmomonyoko wa ubongo kwaiyo muwe mnajaribu kuwai
😂😂 na hii kitaalamu tunaiitaje
@@noelahyera1304 Mmomonyoko wa akili! ila Manyanya kitaamu🤣!
Wa3 na mie😅😅 good job
❤ Leo nitalal kwa amani
Happy Christmas 🎄 and happy year wa kwanza leo naombeni like na mm😂❤ au bc mpeni kitale😂😊
Ila uyu Babu mchawi ongea yake sasa😂😂❤
jamn mnachelewa sana kutuma hiv vipande,,,,but good job🥳💐
Mnakaa sana 😮😮😮
Mko vizuri 🎉🎉🎉
mapema ❤❤❤❤❤❤
Kama kiboko yao wapi like za wakenya
Niko hapa
Hapo kwenye ubebwaji aisha sijapenda 😁😁
chonde naomba mtuongezee dakika vituvenyewe vinachelewa tunaomba
Hya bc kitale ep 16 isifike mwaka ujao😢......maua yko🎉🎉🎉🎉🎉❤ unajuwa sana
Wa kwanza naomba like japo 3 jmn😢
Mnatuletea usiku usiku ili tukutane nayo ndotoni au sio😢
Watu mpo fasta kweli mpo rede sana
Iko poa sana 🔥🔥🔥🔥
Wa kwanzaaaa ❤️❤️❤️❤️❤️
Oi wadau tukutane hapa kama ramadhan kama
Ni nzuri shida vipande ni vifupi sanaaaaa si itaisha 2025 sasa
Vipo vpande 50 😅 aiseee ndokwanza tupo 15
😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅 kaka punguza haraka mbona hujaandika ep ya ngap😅😅😅😅😅😅🎉
Samahani Ahsante 🙏 ❤
Wakwanza leo😂😂
Ay asnte kwa move kipis kingine mbak mwaka mpya
Yn kumbe imetoka jana m ndo napata taarifa Leo?!!! hili lmeniliza sana😢😢😢😢😢, ila ahsanten Kwa zawad ya chrstmass
Mzee Kam 🔥
Tupo live from sumbawanga Town
Home boy
😂
Bro, I love to watch this episode can you bring more of this episode?❤
🎉🎉🎉🎉Much love mkude and team
Sio kwa kumbeba ivyo aisha duuuh
Hiv ndy tunapenda kaz ztoke kwa wakat
Movie inachelewa afu dk chache 😢😢😢😢
NAKUKUBALI SANA MKUDE SIMBA UNATULIA SANA KWENYE KAZI YAKO👏👏👏
Mzee kama keshamtuma mtu chumvi kwisha habar yao sasa😂😂
Babu aisha nakukubari 🎉🎉🎉❤
kama ramadhan kama🌹🌹🌺🌺🌺🍄🌾🍄mauwa yako pokeaaa
Hongera sana kaka kitale
Mnachelewa sana kuachia kazi mpaka kero😡😡
Good Kwa kutubless
Nawakubali sana, mko makini ktk sekta zote, mzee Kama unatisha kwa kweli hongera, ila nawaombeni sana ongezeni muda na mjitahidi sana kumaliza huo muda mpaka mwisho wake na wala siyo kuukatisha, Ahsanteni; mimi nipo Mozambique
Mungu awashindie kila magumu. Eeeh hoi duwa atali. Waliosikia kama mimi tujuane
Kitale kaka unamakusudi 😂😂. Watu I nakuja hapa mara hapaa wee hatar
Nilikua naisubiria kwa hamu❤❤❤
Babu yake aisha apewe mauwa yake❤
Mko vzr lkn hamtoi mapema mpaka tunasahau episode tuliyoishia jaman tunawaombea kila la kheri muwahi
Aliyesikia unamuangalia Kwa macho makali a like apa 😂😂😂😂
Jaman nyie hii movie n maisha halisi
Ila anatucheleweshea jmn 😂😂
Mkombozi wa sires za kibongo unajua kaka umefanya mapinduzi makubwa sana
Aisha mlimdharau babu yako Sasa matokeo yasubir usimdharau alie anajuwa wa mwanzo
kazi imeingia mjini usichelewe kuachia mapema kaka jambazi