Mnashindwa kuongea ukweli kwamba steps walikuwa wanawapiga,,,unapewa mil 10 unaona nyingi mwenzio anaenda kutengemeza 100,,,afu mnauza hadi hati miliki😊,,
@@HASSANBAKARI-q9c huo ni ukweli ila mabig fish km akaina kanumba walikua wanawakomalia sana wahindi ndo mana wahindi walikua wanawahofia akina kanumba na ray walikua wanajua madau yao makubwa kwa underground km duma ni ngumu apeleke movie yake auze milioni 20 kwa muhindi
@ nyoo hta uanze kupambana ukiwa mkiwa mdogo vipi kwa mazingira yetu ya kibongo bongo huwezi kuwa drive tax ukiwa na miaka 17 labda ulaya mzee acha na ww fix mpya
@@frankngoloka5416 weee mwenzio nipo kwenye baridiii huku saizi tupo kwenye winter time na ndani tuna heater lakini bado tunavaa masweta sembuse nyie kwenu joto aki nitakaa ndani na chupi tu
Mm naamin baraka ni za wazaz tu kwenye maisha hasa mama ndio kila kitu
Kipindi kizurii sana na story ya Duma nzurii sana❤
Jamaa anafanana na LeBron James
Ukipambana Mungu anakuona anakupa kazi nzuri 👍
Salehe Amna kipindi chako nakosa your the best 🎉🎉❤
❤❤❤❤
@ nikija dar nakutafuta I want to see you jmn 🥲
Mmbo
Saleh leo kapatikana hakuna msosi😂😂😂😂
Sema duma mnyamwezi sanaa yuko realy sanaaa 👑
Nimependa sana
Nimeipenda history ya huyu kaka.
Fanya uende kwa wema sepetu na diamond
Hilo ndo jumba la kifahari ahahaha😊
@@DINASSOUR kimfaaacho mtu chake
Yako hiyo isiyo ya kifahari iko waaap shenzi😏😏😏😏
Sasa hilo ndio jumba la kifahari 😂😂😂😂😂 acha kupamba watu dogo tembelea watu huone majumba
Kimfaacho mtu chake
Ukute hata kibanda huna mxieeew
😂😂😂 salehe una deserve all the best
tunataka nyumba ya peter msechu na aristote
Huyu kaka nilikua nampenda hadi nalia nikitazama movie zake nilitamn awe wangu ila ndio simuoni 😂😂😂ila kaniliza saña kipindi nasoma
TATZO NN
Tako unalo???
@mlyuka-p6q saivi basi nimeolewa alhamdulillah
@@Fathasssane-vs2th 👏👏👏👍👍💪💪
Ngoja nikupigie salehe nikwambie how ilove u😂😂
Nipigie hara ila uje na zawadi ya xmass😊😅😅😅
@@salehcllassic2325 usijali😆😃👌🏿
@@GiftAbduly😋😋😋
Duh! Msaidie sasa Bambucha yuko Arusha anapata tabu
Kweli yuko Arusha anataabika sana
Story nzuri ila duh! Anaongea sana jamani
Tunaomba nyumba ya Peter msechu na aristote
Kwa gari hiyo ya corona lazima inywe maji mengi😀
Uyu mwamba sana nilikua namkuta tip top na tax yake safi.... nakuaminia sana
Saleh unapenda Raha 😂 ukikaa unajiachia kweli kwenye makochi ya watu
Fanya uwende kwa mama kanumba.
Mnashindwa kuongea ukweli kwamba steps walikuwa wanawapiga,,,unapewa mil 10 unaona nyingi mwenzio anaenda kutengemeza 100,,,afu mnauza hadi hati miliki😊,,
@@HASSANBAKARI-q9c huo ni ukweli ila mabig fish km akaina kanumba walikua wanawakomalia sana wahindi ndo mana wahindi walikua wanawahofia akina kanumba na ray walikua wanajua madau yao makubwa kwa underground km duma ni ngumu apeleke movie yake auze milioni 20 kwa muhindi
Wote walinyonywa hakuna big fish Wala wote kiwango Cha kulipa ni lazima kuwe Kuna utofauti kutokana na ustaa na movie Kali @@ChoroTesla
2007 alikuwa dereva tax baada ya miaka mitano ukimuuliza atakwambia ana miaka 35 eti
Kuna watu wameanza kupambana na maisha wakiwa bado wadogo mno.So usichanganye umri wa mtu na mapito ya maisha yake ndugu
@ nyoo hta uanze kupambana ukiwa mkiwa mdogo vipi kwa mazingira yetu ya kibongo bongo huwezi kuwa drive tax ukiwa na miaka 17 labda ulaya mzee acha na ww fix mpya
Salehe sio kimara hap ni temboni saranga
Wakwanza Leo kwani like zina kazi gani?
Wananyweaga chai
Ivi mtu uko Dar na joto lote hili unavaa sweta mnawezaje?
Huku amna joto mzee
Tunatumia A.C babu feni la watu wa kimbangulile huko
Joto kwako wewe tafuta hela,joto utaliona
Tafuta hela
@@frankngoloka5416 weee mwenzio nipo kwenye baridiii huku saizi tupo kwenye winter time na ndani tuna heater lakini bado tunavaa masweta sembuse nyie kwenu joto aki nitakaa ndani na chupi tu
Mbona hatujaona jikoni na chumbani
unavyojitupa kwenye makochi ya watu
Vodacom & Airtel wamekula tangazo la bure😮😮😮😮😮😮 ,🎉
Ko umeumia ww
Zamaradi anafanya kazi na vodacom
@@Manswabu cjaumia wala namaanisha warusha maidhui wawe makini kila kitu business sasa hvi ushawah kuoma voda wanaipa promo bongo starsearch
Sale tunakuomba umtembereyechado masta
Kabisaaa kabisaa
Salehe nawew utuonyeshe kwako tukufahamu........🤔🤔🤔