Hao ndyo wanaadam wa leo, kila mda wanasambaza mabaya licha ya kutowa msaada. Wanaukumu bila huruma na kusambaza ujinga. Pole sana kwa hii familia Mungu Awafungulie milango ya riziki. Ameen
Pole sana young girl strong unastaili tuzo bora ya binti shujaha mwenye mapenzi ya dhathi kwa mzazi wako.jamani kuliko kwenda makanisani kutowa sadaka kwanini msimsaidiye huyu binti na baba yake inafaa arudi shuleni.acheni unafiki toweni sadaka.
Mungu akutokee kwa jina la Yesu .hayo yote yataisha niseme tu yameisha . Hivi naongea mbingu imeanza kutatua utatokewa na watu watakufanya ucheke na kumshangaa Mungu kwa atakayoyqtenda. By pastor fro tz
MUNGU akubariki na ukitie nguvu na ushujaa wakusaidia baba yako pia Mungu awape maisha marefu , usijali maneno ya watu hawana wema, msaada wangu nimaombi ili Mungu awaonekanie kwa kila jambo
MUNGU AKUBALIKI NA ATAZIDIKUKUBALIKI KWA MOYO ULIOKUA NAO KUZIBA MASIKIO NDIO NJIA YAKO YA PEPO MSICHANA POLE SANA MUNGU YUPO PAMOJA NA NYINYI👏🙏👍🇹🇿♥️♥️♥️♥️
God have mercy on this family and intevien and provide for them. Also help the young lady for the big heart she has in aid of her father's condition. barikiwa sana
Aki pole dadangu. Mungu akulinde na usisahau,, hizo n baraka unapokea. Manake haijakua kupenda kwako kufanya hivo. Mishale itakuja lakini wewe jitie nguvu. Soma isaya 43 na uwerafiki wa maombi.
Sijawai ona mtoto aliye na upendo na moyo kama huo waah may God bless you my daughter if you're doing this from your heart may God bless and protect you in Jesus name
Mungu akupe maisha marefu na afya njema binti una pepo yako
Hao ndyo wanaadam wa leo, kila mda wanasambaza mabaya licha ya kutowa msaada. Wanaukumu bila huruma na kusambaza ujinga. Pole sana kwa hii familia Mungu Awafungulie milango ya riziki. Ameen
Baraka kubwa sana kwa huyo msichana mungu amusaidie na ampee nguvu na maisha marefu ❤
May God hear this 😢😢😢 prayers
atakuja kufanikiwa baada baba amesha kufa .....mungu hawezi akamuacha hivo
Pesa hizi angesaidiwa kutumia asivamiwe,hongera dada🌹🌹🌹
Mungu akulinde mwanangu usijali mungu atakupa
ameni ameni ameni
Pole sana young girl strong unastaili tuzo bora ya binti shujaha mwenye mapenzi ya dhathi kwa mzazi wako.jamani kuliko kwenda makanisani kutowa sadaka kwanini msimsaidiye huyu binti na baba yake inafaa arudi shuleni.acheni unafiki toweni sadaka.
Pole sana dada Bwana yesu akutie nguvu.
Pia binti amua kumpa Mungu maisha yako.kila umapopokea msaada Mtaje Mungu kwa maneno ya shukrani usiishie tu asante.
Karembo kweli " hongera mwanangu kwa moyo huo
Mungu awabariki sana kwa hii huduma mnayofanya Afrimax
Pole sana dada kwa walio kutusi nakuombea mungu mungu azidi kukupa riziki. Namba yako nikusaidie dada
WEWE NI MKE BORA SANA SANASANA SAAANA HAPO BAADAE,UMEPITIA DARASA HALISI NA UMEFUZU MAISHA,LONG LIVE
Mungu wa mbinguni akizidishie maisha marefu mamaa❤❤❤❤🎉ww ni mwanamke bomba
Mungu mnyooshee mkono🙏🙏😭😭pole binti MUNGU atakusaidia
Baraka nyingi Sana, Kwanza ya mungu na Baba yake❤❤
Hongera sana kipenzi , Mungu anazidi kuwalinda❤
Pole saana Mungu Akusaidie
Hongera sana dada....Mungu aweze kukubariki kwa huo moyo safi
Mungu akufungulie mlango mrembo ,roho yako ni ya kipekee,❤
Mungu akufanyie wepesi akushike mkono.Binti huyu ana upendo wa hali ya juu sna.Mungu atakushangaza sna.
Mungu akubariki dada na akwongezee miaka mingi
ameni ameni ameni
Keep it up, c wengi kama ww❤
Mungu akulinde na aenderee kukubaliki, mungu atakujalia na utfanikiwa
Mungu akutokee kwa jina la Yesu .hayo yote yataisha niseme tu yameisha . Hivi naongea mbingu imeanza kutatua utatokewa na watu watakufanya ucheke na kumshangaa Mungu kwa atakayoyqtenda. By pastor fro tz
Mungu akubariki na akutie nguvu
Mungu akusaidie na akup maisha marefu
God bless you my sis
Mungu akubariki sana mrembo
Mungu akubariki sana na awe upande wako na baba yako 🙏 🙏🙏
Mungu anakupenda utapata baraka nyingi kutoka kwa mungu
Ndugu zangu mubarikiwe saana
Aki mungu amtuze sana akae maisha marefu
Pole sana Dada mungu akutie nguvu ipo siku baba tarejea katika hali yake
Pole bint mungu akusimamie
Stay blessed dada❤
MUNGU akubariki na ukitie nguvu na ushujaa wakusaidia baba yako pia Mungu awape maisha marefu , usijali maneno ya watu hawana wema, msaada wangu nimaombi ili Mungu awaonekanie kwa kila jambo
Mwenyezi mungu yupo pamoja nae
Asante Sana school VP mtotp
Pole Sana sister nmeshangaa Sana huyu mtoto na babake anateseka uku Kenya aibu Sana
this is pure love for dad
Tena ni kazuri kenyewe Mungu akubariki kwa moyo huo mzuri 🥰🙏
Wooi strong girl may the lord provide you
Hongera sana afrimax jamani
MUNGU AKUBALIKI NA ATAZIDIKUKUBALIKI KWA MOYO ULIOKUA NAO KUZIBA MASIKIO NDIO NJIA YAKO YA PEPO MSICHANA POLE SANA MUNGU YUPO PAMOJA NA NYINYI👏🙏👍🇹🇿♥️♥️♥️♥️
MUNGU akubariki zaidii
Mungu akubariki
Umefundisha sana wewe inafaa kuigwa nakukuombea bara za Mungu ziwe nawemilelenamilele amen naomba no niko tunduma songwe Tanzania
Ukweli huyu bint ni wa kipekee sana mungu ampe nguvu na maarifa, ana huruma sanaa
God have mercy on this family and intevien and provide for them. Also help the young lady for the big heart she has in aid of her father's condition. barikiwa sana
Pole sna 😂😂
Mungu atakulipa hapa dunian na akher bint
Pole sana binti
Aki pole dadangu. Mungu akulinde na usisahau,, hizo n baraka unapokea. Manake haijakua kupenda kwako kufanya hivo. Mishale itakuja lakini wewe jitie nguvu. Soma isaya 43 na uwerafiki wa maombi.
😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏
Bwana akubariki sana binti yetu.
Binti mungu akusaidie akupe neema
Hao wanaomtenga wakitaka kumchezea kumuharibia maisha Mungu akutunze binti
Huyu binti ni jasiri sana 😢😢Mungu azidi kumtunza amlinde
Pole sana mschana kwa hayo magumu unapitia Mungu akutie nguvu jamani
Pole sana
MS NJOROGE MUNGU AKUBARIKI NA AKULINDE UMEFANYA JAMBO LA MAANA SANA HATA MAOMBI YA BABA MZAZI YATAKUA BARAKA KUBWA SANA AMEN & AMEN !!!
Mashallah jmn allah kukinde mdigo angu na akupe mwanga mlee baba ako kunabaraka kubwa zj
pole baba Mungu ninae mwamini atakuponya.
Uyu mtoto ni yota💥💥💥
Mungu Ata kuzidishia mwanangu mtunze baba yako mungu atakulipa
Amiin
Mungu simama na waja wako awa 🤲🤲🤲
Pole sana mdogo wangu kwa maisha magumu ulipitia ubarikiwe zaidi ya sana😢
Umebarikiwa sana mwanangu waschana wengine wajifunze kwake
Dada huyu MUNGU amu bariki sana ampe mume mwema saana tena wote wanao changiya kwakusaidiya jamaa hii
Mungu akusaidie
Mungu amuongezee fikira
Mungu awatie nguvu sana kwa maisha hayo binadam maneno ndio shida tunaongea mno bila kujua ukweli
Goodgirl❤😢😢
Hongera afrimax
Roho wa mungu I've ndan ya bint huyu
Mbona Kama Kenya
Mungu akusaindi dada na amponye Baba yako
Allah awaifadh
Nauku niwapi jamani naomba namba ya uyu mtoto nje nimusaidea kumutunza baba yake eli ayendelea shule
Nikenya huku
Good my baby you my god I gevu you
Kwani wewe ni doctor hadi uwende kumtibu baba yake huyo bint?
God blessings
Mungu awabariki jmn kwa kumsaidia huyo binti roho inauma sana
Kwaiyo mamaake aliimzaa pekeake mungu ampe subra
MUNGU awasaidie sana ameni ameni ameni
Wakenya Leo mnasemaje" maana mkiona ya tañzania mnasemaga hoo ingekuwa Kenya angekuwa hayoko hapo ee
Mungu akubarikiye sana nakushaka sana🙏🙏🙏🙏🙏
Binti huyu ako wapi mimi nimjengee nyumba na ni mule akuwe mwanamke wangu wa ndoa juu amehitimu uwanandoa anajuwa mungu
Pole sana bunt..endelea kumtunza baba...tunaomba contact yke Ili tuweze kumsaidia chochote kitu
Naomba nipate namba yake niongee nae nimchangie chochote
Hii nyumba nayo haiko sawa inafaa wajengewe pia
Good heart ❤
Dah mungu akutunze Shetan akusikuchezee
ameni ameni ameni
Ka GeZ kenye huruma. Don’t care about what people say. Count yr blessings my girl.
Glory to the LORD
Take care of your sick Dad hizo zingine ni kelele za maadui hapana skiza wao. Jeremy Damaris where are you my big brother 😢😢
Sijawai ona mtoto aliye na upendo na moyo kama huo waah may God bless you my daughter if you're doing this from your heart may God bless and protect you in Jesus name
God help this family🙏🙏🙏
Mungu mkubwa akupe nguvu mamaafrica
Allah karim
Yaani huyu hata akija kuolewa atakae oa hapo atakua kapata mke
Kuna sabubu mwanangu mungu Ana mipango na ww
Naomba namba ya kumpatia msaada hata kama ni kidogo