MIUJIZA FEKI IPO KWA LENGO LA KU-CORRUPT MIUJIZA YA UKWELI.. MUNGU WA MIUJIZA NI YULE YULE, JANA LEO NA HATA KESHO. MIUJIZA YA KWELI IPO SANA LEO KULIKO JANA.
MUNGU SIYO KWAMBA HAYUPO YUPO NA ANAYAONA ILA MUDA WAKE WA KUJIBU BADO ,...........WAACHE WAJITAMBE NA KUJISIFIA MAANA SIKU IKIFIKA WATALIA NA KUSAGA MENO
Mara yangu ya mwisho kwenda kanisani ni 2008 nlipokua form two ni siwez enda kanisan kamwe japo naamin katika kristo na ninaamin uwepo wa mungu ninamwomba mungu kivyangu vyangu nikiwa mwenyew
Jamani wanadamu msijidanganye kabisa, SOMA Bible ni neno lililo hai, acheni kutegemea watu. Yesu alishatuwezesha kusimama mbele ya Baba kwa ujasiri, bila woga.
Ahsante Kaka kwakufichua , karibu Sana ktk uislam ndiyo dini pekee ya haki , hata mie niliamua kuachana na ukristo leo ninamiaka 8 toka kuachana na ukristo .
AMEFANYA KAZI KUBWA SANA YAKUJITOA KTK UTAPELI , KWA TOBA HIYO..!!! NAMSIHI ASILIMU NA KUFANYA IBADA..ILI BAADA YA MAUTI YAKE, AKAISHI KTK PEPO MILELE....KWANI UISLAM... NDIO DINI YA HAKI WALIYOKUJA NAYO MITUME WOOTE. KABISA.
Ko mnataka kutuambia kuwa wote mtawadanganya wasiosoma maandiko biblia inasema hawatasonga sana fikilia yuko wapi biblia inasema shauri la Mungu.litasimama hawatasonga sana na kama wengine wanataka wafanye udanganyifu waendelee.Yesu alimaliza.yote.
KUNA WATU WACHACHE WANAFANYA UWONGO!! NA MAIGIZO, LAKINI WATAVUNA WANACHOFANYA SASA!!,, KWELI YESU KRISTO MPONYAJI HALISI YUPO ANAPONYA HALISI NIMESHUHUDIA MARA NYINGI NIKIOMBEA WAGONJWA! WAKIPONA
Ukitaka kuwaibia watu kuwa Mchungaji. Watu wengi hawatumii akili yao waliyopewa na Mungu na ukitaka kuthibitisha hilo tafakari hili, Yesu hakuwahi kupigwa picha kwa maana picha hazikuwepo lakin mtu hilo haliwazii. Hadi leo BRIAN DEACON watu wanaamini kuwa ni Yesu na picha yake inatukuzwa na kubandikwa kwenye majumba, magari, mashuleni na pia makanisani.Dah tutumie tu akili ya kawaida co lazima uwe na Elimu kubwa
Nyie doctor wenu sulle yupo freemason mara kadha amekuwa akiwatangaza freemason lakini ukweli utabaki yesu kristo ndiye mwokozi wa ulimwengu kwa maana ya watu sisi tusipotee jehanum ya moto
ndy maana namkubari apostle mwàmposa baba wa watu munu ampe maisha marefu zaid jmni hana hèka hekà kama hizo za kipumbavu. ukienda anakupiga neno hadi unaelimika
Ndiyo sababu tunatakiwa kuwa na Roho mtakatifu. Ukiwa na Roho mtakatifu maana yake Mungu anakuwa ndani yako atakusemesha na kukuonyesha mambo usiyoyajua. Hutapotea kamwe.
Uiselamu sio dini ya mwenyezi mungu nitamaduni za walabu ambayo nimuunganiko wa makabila 13 kutoka walabuni Yani kat ya watu wario potea ni waisramu izo tamaduni za walabu amkeni
Na ndugu zangu waislam wapendwa, fanyeni utafiti wenu vizuri. Nunuwa Bible na usome, kama umesoma Quran utajua kuwa wali copy na kupaste na wakabadili story almost zote.
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe. YESU lazima ashambuliwe ili ulimwengu umkatae. Kwa hiyo, YESU ni mwamba. Okoka, kaa na tulia kwenye mafundisho ya kweli utamuona MUNGU baada ya kufa. Kuhama ukristo ni kuitafuta jehunum kilazima.
Hata Ukristo uingiliwe na kitu gani sisi wakristo halisi hatuwezi kuacha ukristo kisa wapuuzi fulani .Walikuwepo wapo na watakuwepo ila ss hatutauacha ukristo ng'o! .@@SelemaniIssah-p2g
Kweli wewe ni mjinga sana 😂 😂 😂 Wakristo na Waislam ni kina nani ndio wabaya😂😂😂 kama nyinyi Waislam mnamiliki majini na mnaomba nao kwenye msikiti na mnasema ni viumbe vya mungu 😂😂😂 @@SelemaniIssah-p2g
Ni Dini lakini siyo njia ya kweli.hiyo dini ilishushwa na majini yaliyo ongozwa na ibilisi usijifariji,utamuona kiongozi wako Muhhamad katika jehanam ya moto na wakatihuo utakuwa usha chelewa no chance,Muhhamad alipotokewa kwenye pango la hila simalaika aliye mtokea alikuwa ni ibilisi aliyejifanya malaika,kwasababu hata Muhhamad mwenyewe alikuwa na mashaka na mtu aliye mtokea katka pango akasema nahofia nafsi yangu kuvhezewa na mashetani,ila aliporudi mkewake akamwambia aliyekutokea ni Giblilu,kwahiyo Muhhamad kama alitokewa na malaika mbona hakujitambulisha mpaka Muhhamad anabanwambavu nusu yakufa anaambiwa ikra asema siwezi mbavu zikabanwa nusu ya kufa.We uliona wapi?ulusikia wapi?mtume yupi au nabii yupi aliyewahi kumbana nabii mbavu nusu ya kumuua kisa kumpa utume?Ukristo ndiyo njia na ukristo niwakweli ndiyo maana unayaona hayo ni iliujue kuwa Wakristo hawatapotea,
Soma Quran5:35,mmeambiwa mtafute njia,ninyi waislamu mna dini kama wahundi,budha na dini zingine tele, majini siyo njia ya kweli na uzima.njia ya kweli na uzima ni Yesu Kristo pekee somaYohana14:6mimi ndimi njia yakweli na uzima mtu haji kwa Baba ila kwanjia y mimi.muhhamad amemkataa Yesu Kristo na ukristo aliukuta,akasema hakufa wala hakufufuka ole wenu Waisramu mlio msikiliza Muhhamad ambaye baada ya kumkataa Yesu Kristo akaanzisha Dini ya au njia yake ,ambayo hata haelewi atakachofanya olewake Muhhamad maana atapata adhabu kuu kuliko wafuasi wake,
Ukristo siyo uhuni bali wa chache ndo wanafanya ionekane uhuni hata huko unakotaka watu waingie siku vikifanyika hivi wote mnaonekana wahuni muhimu ni kukemea vitu vya namna hii kwa maana still ukristo wa KWELI upo na Yesu Kristo ni kweli anafanya kazi. Yake bila uhuni wa watu kutumika.
@@michaelsalum1037 Ukristo Si Imaan/Dini ya Kweli Kwa Uthibitisho/Kwa Uchache tu Soma Biblia; ✍️Matendo ya Mitume 11: 25.... Ukristo umeanzishwa na Wapagani wa Antokia baada ya Kuondoka Kwa Mwana wa Maryam (Nabii ISSA) ilipita Miaka Mingi pasi na Kuwepo lmaan/Dini ya Ukristo. Kabla ya Kuondoka huyo eti Yesu(Kabla ya Wafuasi wa Yesu hawajafika Antokia), je huyo Yesu na Wafuasi wake Walikuwa Waumini wa Imaan/Dini gani?! ✍️Luka 1: 1 Luka alijiandikia tu Kwa Utashi wake pasi na Kuambiwa na Mungu au Yesu Bali amejiokotezea ya Mitaani tu Wakti hata Yesu hakuwepo 🙌 Kwanza iweje Maneno ya Mungu waseme Watu/Wamsemee Mungu kwani Mungu au Yesu Mwenye asiseme Kupitia Biblia laakin/badala yake Watu (Marko, Mathayo, Luka, Petro nk) ndo eti humsemea Mungu au Yesu ! Ktk Uislamu utahojiwa ukieleza au Ukifundisha Ujinga/Uwongo. Si Unaona/unasikia Mitandaoni Kadhia ya anayejiita eti Sheikh Shariff Firdous na Wafuasi (Chawa) wake na Wa Mfano wake wanavyokosolewa na baadhi ya Masheikh na Waumini/Waislamu wengi hutowa Comments za Kuwakosowa/Kutowakubali 🙌 Japo waba baadhi ya Watu/Waislamu wachache (zaidi Wanawake) ndo hutapeliwa/hukubali Kutapeliwa Kwa Ujinga/Kwa Ukosefu wa Elimu na Imaan ya Uislamu. Muislamu Muumini/Mwenye Elimu ya Uislamu na Imaan ya Kiislamu hawezi Kutapeliwa Kijinga🙌
Wewe ninan alikwambia wislam ni dini ya kweli wacha kukashifu dini zingine ww... kwn mtu mmoja akifanya kosa ni wote wamekosea.....so waslam wote niwazuri
Mungu atuhurumie Sanaa, ubarikiwe Kaka angu na Mungu akutetee Sana najua shetani ana hasira ila hatakuweza
Asante Mungu kwa kunifanya muislam
Waisiramnimapepo
African youth let's stay stronger, and support our communities.
Utajuta kuwa mwisilamu Na utachomwa moto Hata shetani haendi kumtafuta mvuta bangi lakin anatafuta watu wzima
Umepotea ewe mwana WA joka
Sio Mungu aliekufanya mwislam n wazazi wako ndo walikufanya hivo au akili zako,maana Mungu sio muislam ili akufanye wew muislam!!!!
Kama. Kuna manabii wa uongozi basi kuna manabii wa KWELI muijuza ndo inayo wapagaisha watu , mtafuteni Mungu wa kweli MAADAM anapatikana
Kwa Sasa hakuna Nabii wa Kweli Wala mtume someni Nyakati na majirra, Hakuna cha mafuta wala Maji ,fikirin kwa nini mnauziwa
Kweli kabisa👏
Na makanisa ya kweli yapo msitutishe na uislam
MIUJIZA FEKI IPO KWA LENGO LA KU-CORRUPT MIUJIZA YA UKWELI.. MUNGU WA MIUJIZA NI YULE YULE, JANA LEO NA HATA KESHO. MIUJIZA YA KWELI IPO SANA LEO KULIKO JANA.
Hujatishwa bali uwongo hua inaenda na uwongo plus plus
Dini ya kikafiri hiyo zinduka wewe kanisani na vimini
Mm nashangaa Sijawai ona kanisa likikemea music, kujistiri mwili, kubandika kucha, nywele Wala kukazia ndoa kuacha zinaa
Ni noma
MUNGU SIYO KWAMBA HAYUPO YUPO NA ANAYAONA ILA MUDA WAKE WA KUJIBU BADO ,...........WAACHE WAJITAMBE NA KUJISIFIA MAANA SIKU IKIFIKA WATALIA NA KUSAGA MENO
Hakika
@@neemalambo9790 😥😥eti yesu ndo mungu subhanallah
Hawajui kama ninabii ty😥😥
Mara yangu ya mwisho kwenda kanisani ni 2008 nlipokua form two ni siwez enda kanisan kamwe japo naamin katika kristo na ninaamin uwepo wa mungu ninamwomba mungu kivyangu vyangu nikiwa mwenyew
African youth let's stay stronger, and support our communities.
Manabii na mitume walishakufa na mtume Muhammad alikuwa wa mwisho
Wanapigwa.sana.watu
Kama ni kweli unayoyanena basi mungu akutendee haja ya moyo wako
kila sehemu kuna feki na utapeli na vya kweli vipo
Jamani wanadamu msijidanganye kabisa, SOMA Bible ni neno lililo hai, acheni kutegemea watu. Yesu alishatuwezesha kusimama mbele ya Baba kwa ujasiri, bila woga.
Mungu ni mwema kilawakati
Unaweza kwenda kwa sister Ericka na mumuwe Baboo.. Asante sana❤❤
Hata mashekh washirikina wapo
Kwa hiyo ni mwema sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hizi kanisa zinasababisha mpaka tunadharauliwa hata tusio na hatia,,,mungu simama nasi tuepushe mambo kama haya
Mmmh jaman allah tunusuru
Ahsante Kaka kwakufichua , karibu Sana ktk uislam ndiyo dini pekee ya haki , hata mie niliamua kuachana na ukristo leo ninamiaka 8 toka kuachana na ukristo .
AMEFANYA KAZI KUBWA SANA YAKUJITOA KTK UTAPELI ,
KWA TOBA HIYO..!!!
NAMSIHI ASILIMU NA KUFANYA IBADA..ILI BAADA YA MAUTI YAKE, AKAISHI KTK PEPO MILELE....KWANI UISLAM... NDIO DINI YA HAKI WALIYOKUJA NAYO MITUME WOOTE. KABISA.
mlaaniww 😅😅😅
Kilicho na mwanzo kina mwisho
Na bado kuna watu wataendelea kubishana 😢😢
Hata mashekh matapel wapo
Aiseeeee hapoo ni atarii
Duh 😭😭😭
Mmh huyu jamaa nimwanaume
Kwakweli Mungu ni mukuu
Mngeniita mie kanisa lingejaa
Ko mnataka kutuambia kuwa wote mtawadanganya wasiosoma maandiko biblia inasema hawatasonga sana fikilia yuko wapi biblia inasema shauri la Mungu.litasimama hawatasonga sana na kama wengine wanataka wafanye udanganyifu waendelee.Yesu alimaliza.yote.
Wakiristo wanakichwa ngumu kweli vyote wanavyo danganywa Ni mifano yete wanayoenyoshwa bado hakuna Mungu yessu ama mtoto WA Mungu
KUNA WATU WACHACHE WANAFANYA UWONGO!! NA MAIGIZO, LAKINI WATAVUNA WANACHOFANYA SASA!!,, KWELI YESU KRISTO MPONYAJI HALISI YUPO ANAPONYA HALISI NIMESHUHUDIA MARA NYINGI NIKIOMBEA WAGONJWA! WAKIPONA
😂
.....Duh
Ukitaka kuwaibia watu kuwa Mchungaji. Watu wengi hawatumii akili yao waliyopewa na Mungu na ukitaka kuthibitisha hilo tafakari hili, Yesu hakuwahi kupigwa picha kwa maana picha hazikuwepo lakin mtu hilo haliwazii. Hadi leo BRIAN DEACON watu wanaamini kuwa ni Yesu na picha yake inatukuzwa na kubandikwa kwenye majumba, magari, mashuleni na pia makanisani.Dah tutumie tu akili ya kawaida co lazima uwe na Elimu kubwa
Utofauti wa kanisa na msikiti ni moja ukejenga msikiti huwezi kusema namiliki msikiti hata cku moja
Mamb kama hayo anafanyaga nabii kiboko ya wachawi ni muongo sana
Kimbieni njoni kwenye kanisa la wasabato mjifunze kweli ya MUNGU wengi tumetokea kwenye makanisa ya jumapili ila sasa tumeijua kweli
Sisi tunaombea watu wengi wame funguliwa na mapepo wako huru kwa jina la YESU KRISTO tuna mtukuza Mungu wetu alie hai
Jitahidini mufike hospital muwaokoe wagonjwa wa kweli sio hao wanaokuja wenyewe
Ukitaka kujuwa haya makanisa niya uwongo jaribu kumpeleka ndugu yako mgonjwa uwone kama atapona ila kila siku utaona wata wakipokea uponyaji tu
Makanisa yote ni Uzushi tu 🙌
Mwana wa Maryam hakuabudu Kanisani Bali aliabudu Msikitini/ktk Masinagogi
@@alhadajjmohammedsmith9042we chiz kweli
Nyie doctor wenu sulle yupo freemason mara kadha amekuwa akiwatangaza freemason lakini ukweli utabaki yesu kristo ndiye mwokozi wa ulimwengu kwa maana ya watu sisi tusipotee jehanum ya moto
Kabisa zote zinaangushs watu chini zote nizauongo kabisa matapeli Tena wachawi
Kwakweli ukristo niukafiri nanjomana mnalishwa ata mavi kwaujinga wenu
ndy maana namkubari apostle mwàmposa baba wa watu munu ampe maisha marefu zaid jmni hana hèka hekà kama hizo za kipumbavu. ukienda anakupiga neno hadi unaelimika
Ni afadhali huyu anasema ukweli, alichokuwa anafanya Mungu amrehemu.
Hakuna kanisa la kweli"ukitaka kujua yesu alikuwa dini gani na dini gani ya kweli soma bible
Kina mwamposa ,😂😂😂😂
DINI TUMELETEWAA
Mhiii maybe hata hii pya ni mbinu yako mpya sisi tutajuwaje😮
Ndiyo sababu tunatakiwa kuwa na Roho mtakatifu. Ukiwa na Roho mtakatifu maana yake Mungu anakuwa ndani yako atakusemesha na kukuonyesha mambo usiyoyajua. Hutapotea kamwe.
kama unafuata miujiza na sio ibada acha uendelee kupigwa
Kwani wanakuwa hawo watu awafaamiki wanaojifanya wanaumwa uwa awaoni mitaani😂😂😂😂😂😂😂weee kweli Masiki upokonywa Pesa aliyonayo kwa kutojitambua😂😂😂😂
kumbe ni kenya huko wapigaji ni wengi
Uiselamu sio dini ya mwenyezi mungu nitamaduni za walabu ambayo nimuunganiko wa makabila 13 kutoka walabuni Yani kat ya watu wario potea ni waisramu izo tamaduni za walabu amkeni
😮😮😮😮 kazi ipo,na ukristo je?
Nakosalaku lakusema
Unapata wapi
😂😂😂😂@@fatmaally7252
Wapo.wengi.wanamunaiyo
Na ndugu zangu waislam wapendwa, fanyeni utafiti wenu vizuri. Nunuwa Bible na usome, kama umesoma Quran utajua kuwa wali copy na kupaste na wakabadili story almost zote.
Nisikuzamwishoo
katoliki ndio ndini ya kweri achana nahawa wapigaji😑
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.
YESU lazima ashambuliwe ili ulimwengu umkatae.
Kwa hiyo, YESU ni mwamba.
Okoka, kaa na tulia kwenye mafundisho ya kweli utamuona MUNGU baada ya kufa.
Kuhama ukristo ni kuitafuta jehunum kilazima.
Ni nyakati za mwisho yote haya yalitabiliwa kwenye biblia
DINI YA HAKI NI ISLAMIC
yooooooh men😂
Kenya lazima tuchangamke
Better leave the original without translating to swahili.
HATA WAKIONA HII BADO WATAAMINI MIUJIZA YAO MAKANISANI SA BORA MAPASTOR MUENDELEE KUPIGA CHEDA MUSHAWALAZA HAWAAMKI
Hawa wasubiri moto
UISILAMU NA UKRISTO WALA SIO NJIA YA KUMPELEKA MTU MBINGUNI AMA
PEPONI BALI NI KUAMUA KUOKOKA!! YAANI KUMPOKEA YESU KRISTO!!
Sasa kwa taalifa yenu hata waislamu wanaenda kuombewa vizuri tu
😂😂hawana imani thabiti Mungu kasema jisaidie na yy atakusaidia na si umtegemea mwanadamu mwenzio akusaidie ...
Huyu nabii anatomba mademu atar
🙌😂😂😂
Wajinga ndo Waliwao
Alikuwa,
Sio sasa
Kuweni wasilamu hamtaki is kuweni kweye ngiza
Alie kwambia wislam ni dini ya kweli ninan..dini ni imani yako na kumpenda mungu zaidi na kufanya kazi ya mungu..dini haikupeleki maali
@@mapishiyetumazuri2312 uislam ndio giza zaidi. Katika ukristu hamna majini yanaamini. Lakini katika uislmam majini yanaaamini
@@EuniceShanesasa unabisha nn njoo kwenye islamu dini ambayo haina makandokando
Hata Ukristo uingiliwe na kitu gani sisi wakristo halisi hatuwezi kuacha ukristo kisa wapuuzi fulani .Walikuwepo wapo na watakuwepo ila ss hatutauacha ukristo ng'o! .@@SelemaniIssah-p2g
Kweli wewe ni mjinga sana 😂 😂 😂 Wakristo na Waislam ni kina nani ndio wabaya😂😂😂 kama nyinyi Waislam mnamiliki majini na mnaomba nao kwenye msikiti na mnasema ni viumbe vya mungu 😂😂😂 @@SelemaniIssah-p2g
Watakuja manabii wauongo namitume ilikujipatia pesa nipendekeusema kama umekubali kumpokea YESU kuwabwana namwokozi acha kupenda shotikat soma biblia
Sasa mbona hukimbila kwenye ukiristo hao manabii
Wakriso niwajinga sana tena washenzi
Siku yaja utajua tu kama wakristo ni washezi au werevu.
Mungu hanamtoto na wala Hana mrithi na issa waislamu tunamtambuwa pia ila tunamtambuwa kuwa ni mjumbe WA Allah na sio mtoto kama mnavyopotoshwa nyie
Najivunia na uislam dini ya kweli na haki dini iliyokamilika,
Ni Dini lakini siyo njia ya kweli.hiyo dini ilishushwa na majini yaliyo ongozwa na ibilisi usijifariji,utamuona kiongozi wako Muhhamad katika jehanam ya moto na wakatihuo utakuwa usha chelewa no chance,Muhhamad alipotokewa kwenye pango la hila simalaika aliye mtokea alikuwa ni ibilisi aliyejifanya malaika,kwasababu hata Muhhamad mwenyewe alikuwa na mashaka na mtu aliye mtokea katka pango akasema nahofia nafsi yangu kuvhezewa na mashetani,ila aliporudi mkewake akamwambia aliyekutokea ni Giblilu,kwahiyo Muhhamad kama alitokewa na malaika mbona hakujitambulisha mpaka Muhhamad anabanwambavu nusu yakufa anaambiwa ikra asema siwezi mbavu zikabanwa nusu ya kufa.We uliona wapi?ulusikia wapi?mtume yupi au nabii yupi aliyewahi kumbana nabii mbavu nusu ya kumuua kisa kumpa utume?Ukristo ndiyo njia na ukristo niwakweli ndiyo maana unayaona hayo ni iliujue kuwa Wakristo hawatapotea,
Soma Quran5:35,mmeambiwa mtafute njia,ninyi waislamu mna dini kama wahundi,budha na dini zingine tele, majini siyo njia ya kweli na uzima.njia ya kweli na uzima ni Yesu Kristo pekee somaYohana14:6mimi ndimi njia yakweli na uzima mtu haji kwa Baba ila kwanjia y mimi.muhhamad amemkataa Yesu Kristo na ukristo aliukuta,akasema hakufa wala hakufufuka ole wenu Waisramu mlio msikiliza Muhhamad ambaye baada ya kumkataa Yesu Kristo akaanzisha Dini ya au njia yake ,ambayo hata haelewi atakachofanya olewake Muhhamad maana atapata adhabu kuu kuliko wafuasi wake,
Acha ujinga uislamu kitu gani shetani anapambana na ukristo maana ninjia sahihi,sas uislamu shetani atapinga Nini uislamu haumwasili shetani ,ukristo ndoo unamwasili
Acha kupotoxha watu ww...mtu mwenyewe ndo anajua dini sahihi ni ipi...et uislam ndo nini
Wewe unàye karibisha watu kwa kwa uisilam huko kunalip jema huko kuabudu pamoja na majin ndo din ushidwe njia ni yesu pekeyake
We nae bila shaka utakua unapaka mafuta kwenye matako wewe na kupitishiwa kitu kizito
Jamani zindukeni ukristo sio Dini ni uhuni mtupu Karibuni kwenye uislam Dini ya haki na ukweli
Ukristo siyo uhuni bali wa chache ndo wanafanya ionekane uhuni hata huko unakotaka watu waingie siku vikifanyika hivi wote mnaonekana wahuni muhimu ni kukemea vitu vya namna hii kwa maana still ukristo wa KWELI upo na Yesu Kristo ni kweli anafanya kazi. Yake bila uhuni wa watu kutumika.
@@michaelsalum1037
Ukristo Si Imaan/Dini ya Kweli
Kwa Uthibitisho/Kwa Uchache tu Soma Biblia;
✍️Matendo ya Mitume 11: 25....
Ukristo umeanzishwa na Wapagani wa Antokia baada ya Kuondoka Kwa Mwana wa Maryam (Nabii ISSA) ilipita Miaka Mingi pasi na Kuwepo lmaan/Dini ya Ukristo.
Kabla ya Kuondoka huyo eti Yesu(Kabla ya Wafuasi wa Yesu hawajafika Antokia), je huyo Yesu na Wafuasi wake Walikuwa Waumini wa Imaan/Dini gani?!
✍️Luka 1: 1
Luka alijiandikia tu Kwa Utashi wake pasi na Kuambiwa na Mungu au Yesu Bali amejiokotezea ya Mitaani tu Wakti hata Yesu hakuwepo 🙌
Kwanza iweje Maneno ya Mungu waseme Watu/Wamsemee Mungu kwani Mungu au Yesu Mwenye asiseme Kupitia Biblia laakin/badala yake Watu (Marko, Mathayo, Luka, Petro nk) ndo eti humsemea Mungu au Yesu !
Ktk Uislamu utahojiwa ukieleza au Ukifundisha Ujinga/Uwongo.
Si Unaona/unasikia Mitandaoni Kadhia ya anayejiita eti Sheikh Shariff Firdous na Wafuasi (Chawa) wake na Wa Mfano wake wanavyokosolewa na baadhi ya Masheikh na Waumini/Waislamu wengi hutowa Comments za Kuwakosowa/Kutowakubali 🙌
Japo waba baadhi ya Watu/Waislamu wachache (zaidi Wanawake) ndo hutapeliwa/hukubali Kutapeliwa Kwa Ujinga/Kwa Ukosefu wa Elimu na Imaan ya Uislamu.
Muislamu Muumini/Mwenye Elimu ya Uislamu na Imaan ya Kiislamu hawezi Kutapeliwa Kijinga🙌
Nasisi wa kristo tusemeje hapo au napia una uhakika Gani kama uislam ndo dini ya kweli???
Kama sio din ninini uislam sio din
Wewe ninan alikwambia wislam ni dini ya kweli wacha kukashifu dini zingine ww... kwn mtu mmoja akifanya kosa ni wote wamekosea.....so waslam wote niwazuri
Uisilamu na nyie mbona mnafuga majini ni ndugu zenu au hujui uislam ni dini ya majin soma quraani vzr
Manabii na mitume walishakufa na mtume Muhammad alikuwa wa mwisho
Mhiii maybe hata hii pya ni mbinu yako mpya sisi tutajuwaje😮