Maua Sama feat Nandy - Poa (Visualiser)
Вставка
- Опубліковано 4 лип 2024
- Music Video by Maua Sama featuring Nandy performing "POA", a song with a vibrant and a message of confidence in whichever situation somebody is going thru nothing will change the reality of being okay and content, No HardShip or Heartbreak will come that will leave any damage in your Happylife. This Song is Dancable tune with a powerful message to also get along with Looking to getting better in life and not be bothered by nothing else. Audio produced by S2Kizzy.
Stream/Download:ziiki.media/Poa-MauaSama
► Listen to Maua Sama on Digital Streaming:
Spotify: open.spotify.com/artist/5U8jn...
Audiomack: audiomack.com/mauasama
Apple Music: / maua-sama
Boomplay: www.boomplay.com/share/artist...
► Connect with Muaa Sama on Social Media:
Instagram: / mauasama
Facebook: / mauasamaofficial
Twitter: / mauasama
TikTok: / mauasama
►Connect with Nandy on Social Media:
Instagram: / officialnandy
Twitter: / officialnandy
Facebook: / officialnandy
TikTok:www.tiktok.com/nandytz
+Maua Sama's Booking Info:
mauasamalive@gmail.com | +255713922508
+For More Information Booking Nandy:
Email:Officialnandytz@gmail.com
©️2024 Sama Music.All Rights Reserved.
#MauaSama #Nandy #PoaTu
NAWAPENDA 💜💜
POA Available in All Platforms 💜 Hit the Link ziiki.media/Poa-MauaSama
Nakulove pia❤
@@MauaSama nasi pia twakupenda sana maua flowers 💐🌹💐💐
Maua naomba corabo mama pls
❤❤❤❤
😂😂story za bae peleka mumbai lakini NENGA akilala nje siku moja unanuna mkiachana uko sure utakua poa tu😂😂
Kama unaamini_NANDY_Kauwa kwenye Hii ngoma weka like yako wafasi wa_NANDY
ua-cam.com/video/XjcnBKYA5uQ/v-deo.htmlsi=Jwypf0HOLnlpB640
❤❤❤❤
Nandy never disappoints ❤❤
❤❤🔥🔥🔥
Mhhhh maua kauwa Ila wote ni hatar
Kama unaamini hawa watu wafanye ngoma zaid ya Moja nipe Like Yangu HApa
ua-cam.com/video/XjcnBKYA5uQ/v-deo.htmlsi=Jwypf0HOLnlpB640
ua-cam.com/video/XjcnBKYA5uQ/v-deo.htmlsi=Jwypf0HOLnlpB640
araka sana ngoja wafanye kama2 ivi afu tutajua nn maamiz
my favourites❤ nampenda mauA
❤❤❤
Maua ameua bwana🔥🔥
Maua ana saut nzurii sana ♥️ na nandy pia balaa Yan wote wanajua mnoo
Waliopo hapa kwa ajili ya Nandy gongeni like tujuane, from Burundi 🇧🇮
❤ the African princess fan from Turkana county, 🇰🇪...
poa ni the best song 2024 kama unaamini like hapa
Pele limepata mkunaji ngoma Kali sana hii naomba like za Maua sama na Nandy🔥🔥🔥
Jamani kama tulivyokubaliana sisi mashabiki wa nandy tunajuana kwa like ❤❤❤ nandy kaua sana humu
wanajua awa wote mafundi kama umekubali hili gonga like apa..
ua-cam.com/video/XjcnBKYA5uQ/v-deo.htmlsi=Jwypf0HOLnlpB640
JAMANI NAOMBENI LIKES HATA KUMI TU KWAAJILI YA MAUA NA NANDY
ua-cam.com/video/XjcnBKYA5uQ/v-deo.htmlsi=Jwypf0HOLnlpB640
The African Princess Nandy and The African Queen 👑 voice Maua sama❤❤❤
Maua nakupenda ad nakupenda tena....unajua sana my
Maua sama na Nandy wanajuwaga kuzipanda iZi beat❤❤❤ this is a broom 💥 💥
❤hawa madada wameua bana African princess much love....shika other female Tanzanian artists juu wewe ndiye wa kwanza kufungua rekodi lebo kubwa kwa female artists in Tz
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri 🎧❤️
Wahooo Ngoma Kali Xana Kam Umekubaliii Hii Ngoma Gonga Likes🔥❤️🔥🔥🔥🎉🎉🎉
ua-cam.com/video/XjcnBKYA5uQ/v-deo.htmlsi=Jwypf0HOLnlpB640
kama na ww umeskiya sauti ya king kiba weka like apa.
Na mi naishi kisela maua naomba unipende nikupende😢😢😢 ... Ata tufike 1M leo
tamuu san wapi like hata moja mm from Kenya lakini sahii Niko Oman ❤❤
Ngoma ni kali sana ilichoharibu ni hapo tu kwenye video maanake umeshuti sehemu moja tu hakuna hata mambo mengi sema tunajua maokoto inazingua❤❤❤
Poa tu,🎧 loving it from #254 Kenyaaaaaaaaaaaaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimependezwa na hili kumuona nandy na maua sama mnashilikiana much love to you 🥰🥰❤🎉
Kama we ni mkenya na uko hapa kwasababu ya Nandy na Maua Sama pitia na likes hapa
jamn nime chelewa saw lakin ndy msi nipe lake ata 20 kweli ❤
ila maua sama 😂😂kama vile hayuko serious ila ndo yupo serious ivo🥰😍
Hit song ✌️ hongera sana kabisa🔥🔥🔥 wakwanza toka Congo 🇨🇩
wimbo mzuri sana kama unawakubali awa wadada gonga like❤❤
Mziki mzuri uko poa tuko poa tu kusikiza 🎉
Naomba udhamini wusimamia remix awepo Kingkiba humu alafu bit iongezwe utundu na kimambo au Nahreel any way hii ni koja kati ya kazi ambazo haziji kutokea tena ❤❤❤🎉 big up My african Queen's najivunia uwepo wenu naamini bongo freva iko mikono salama #THT. Thanks
ua-cam.com/video/XjcnBKYA5uQ/v-deo.htmlsi=Jwypf0HOLnlpB640
Tumeachana juzi tu Ex kapata na wimbo wa kuninanga😢
😂😂
Keep it up my sisters :
Nandy and flower 🌸💮💮
Tamu sana Maua Sama❤
Hii ngoma ni kali sana,yaani naona kama ndo imeanza tuu na bado haijaisha❤
Big up, Sama & Nandy!!!!
ua-cam.com/video/XjcnBKYA5uQ/v-deo.htmlsi=Jwypf0HOLnlpB640
Kwenda South Africa mulienda kutulitea ngoma za ajabu kazeni sana Canada wanadada tz mutaungusha sana mapiano munaimba kama kwaya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mm sijakubali sana hiyo nyimbo
Poa tu 😅😅
Kama umeipenda like pls
Mano motorista ndani ya Mozambique👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥🔥 niwapongeze tu Kwa kazi mzuri mumeuwa kiukweli
South Africa 🇿🇦 approves
Here for nandy❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
mbona kama ndoto zangu zinakamilika hivi 😂😂
😂😂😂😂😂
🎉
😂😂😂😂
Haya ndoto zako n zipi mwenzetu
@@user-gk9uu4rg6z ni 🔥
❤❤nataka hii Ngoma naezaipataje ..... Like it from Kenya
Naaaamm! Real Music. You've smashed it girls.
Nionzesheni huyu maua sama🎉🎉
Ngoma Kali sana 🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
ua-cam.com/video/XjcnBKYA5uQ/v-deo.htmlsi=Jwypf0HOLnlpB640
Sio kali Huu wimbo wame copy Mista Champagne Niko tu
Maua Sama I love yoo❤❤❤❤
Maua sama nipo kwa ajili yako ❤❤❤❤❤
Ruto ananikasirisha lakini juu ya huu wimbo ni poa tu😂❤🇰🇪254
Bwana bwana bwana eeeeeh #Kaskazini is in the building baby.
❤❤❤❤beib girls,,looking mwaaaah🎉🎉🎉
Mafas wa Nandy liké zenu jamana
Ila maua sama number chafu kwenye Bongo fleva industry
Watanzania imetosha Sasa hizo Amapiano rudini Bongo flavour mnatuboo sisi wakenya NKT.
ua-cam.com/video/XjcnBKYA5uQ/v-deo.htmlsi=Jwypf0HOLnlpB640
Sama nakukubaligi sanaaaa❤❤❤❤❤🎉
Hii itakua national anthem ya broken hearted ones. Otherwise, from lyrics to beat 💓 🎉
From Kenya,,,, hii ngoma ni 🔥🔥🔥🔥
This is Banger mazee, perfect combo 🎉🎉🎉. Likes 100 only
Huu wimbo wame copy Mista Champagne Niko tu
❤❤❤❤ ongereni kwa kazi 👍👍👍👍🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mausama 🎉🎉🎉🎉maua yako nakupenda sana❤❤❤❤
Nimekuwa wa kwanza ku-view
Ma queens wawili ndani ya nyumba🎉🎉🎉
Great tune ❤❤❤ from 254 🇰🇪
Weuweee madada wote wameua jamaniiii 🎉🎉❤❤❤❤
Much love ladies ❤❤🎉
Likes 10 kwa Sama please 😋🔥
BAD GIRLS ALOOO .NOMA SANA
Queens wamekutana ,ule wakutolea hits watoto ako wapi😂😂
KAZURIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII POAAAAA TUUUUUUUUUUUUUUUU
Uwezo wa madem wa bongo uko juu❤
Hata Vanesa alimmwaga jux kisela, eeeeh Poa TU.
Nandy sweta kama lilikuwa linakusumbua si ungetoa tu😂😂ila nyimbo nzuri story za mapenzi staki nataka za hela🔥🔥
Yupo poa tu😂😂😂
Kuangalia video tu ku like aaahh
Wapi wimbo korasi vesi moja mmepokezana mmeona poa tu
Sauti zao ni nzuri zaidi🎉🎉🎉❤❤❤
Poa TU on the building
Mbn mistari wameimba ile Ile wote wawili si angeimba sas mmoja sijaona tofaut
wameimba tofauti ila bridge zinafanana, inatokeaga sana mbona...sema mistari yao mifupi tu
Mimi wa Nandy mukubali mukatae mimi poa tuu❤
Huu wimbo wame copy Mista Champagne Niko tu
Huya memefunga jiji❤🔥🔥🔥🔥
Nawapenda hote yani nandy ni noma sauti saluty❤❤❤
wameanza mabwana wameua na nyie wake mnazika kabsa
Jaya bana
Dada zangu nimependa sana🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Samaaaa🔥🔥🔥🔥
Poha tu Safi.🎉🎉🎉❤❤❤
🎉🎉🎉Poa tu
WAKALI WA VOCAL 🎉🎉
Huu wimbo wame copy Mista Champagne Niko tu
Waoooo ma princess wamekutana maufundi kwa saana🎉🎉🎉
Fundi ni fundi tu❤❤🎉
💪💪
WAKUSHI NIWAONE
Hili Goma Limekosa Kiba i Say duh 🔥
Hi ngoma imetisha sana nandy nakupa maua yako imetisha sana
Mafundi wa wilii ndani ya track moj
Jamani 🎉🎉🎉🎉🎉powa2
Huu wimbo wame copy Mista Champagne Niko tu
Mko poa kweli ❤❤❤
Kali saaaaana 🔥🔥🔥🔥 why lie
Hata mi naona POA TU
nandy's top 😂😂😂😂😂
Ngoma kali kabisa shabiki wa Nandy 220%
🥰🥰🥰🥰 hii sngo ni balaa sana iko na nyamaaa like zake hapa jamani
Mbona umechelewesha UA-cam