Yammi feat Nandy - Lonely (Visualiser)
Вставка
- Опубліковано 21 тра 2024
- Music Video by Yammi featuring Nandy performing "LONELY" (c) 2024 The African Princess Ltd, Audio produced by Mafeeling & Mix/Mastering by Mixing Killer.
Get it now:ziiki.media/Lonely-Yammi
All profile link Yammi:linktr.ee/yammitz
Listen to Yammi on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/yammitz
Apple Music: / yammi
Spotify:open.spotify.com/artist/6yV5H...
Boomplay:www.boomplay.com/share/artist...
Deezer:www.deezer.com/us/album/38618...
Connect with Yammi on Social Media:
Instagram: / yammitz
Twitter: / yammi_tz
TikTok: / officialyammi
Facebook: / itsyammitz
Connect with Nandy on Social Media:
Instagram: / officialnandy
Twitter: / officialnandy
Facebook: / officialnandy
TikTok: / nandytz
+For More Information Booking Yammi:
Contact:yammymanagement@gmail.com
©2024 The African Princess Ltd.All rights reserved.
#Yammi #Nandy #Lonely
Mm katika nyimbo za Yammi na Nandy sijawahi pewa like naombeni kwahiyo hiyo wimbo Hata like 10 tu
😅😅😅😅😅
wow 🇨🇩🇨🇩 njoooni muni followers jameni
Mwanaume unaomba likes? watakushona 😂
@@ibrah4862😂😂😂😂😂😂😂
Kwani ulisaidiaga kuandika wimbo?
Kawaida wakenya🇰🇪🇰🇪 tunakuaga kila mahali. Any Kenyans in the house?
🙋🎉
Very true
Yoooh
Yes we're here ❤
Tupewee kamnywesooo!!🍻
Kama umeelewa ngoma ya Yammy Na Nandy gonga like hapo
❤❤❤❤❤❤ goma kali sana
Nipewe zawadi jaman Nimekua wakwanza kucoment kulike na kuvew pliiz Nandy
This is what we missed
Pure bongo fleva
jaman tumpe maua yke yammy alf kwan like mnakula tuambizane bas😂😅😁😁😁😁
Yani aka ka nyimbo wala akachoshi kukasikiliza nakasikiriza all time❤❤❤🤗🤗
Kama kuna mtu anapenda muungano wa awa watu wawili ashuke na like apo
nawakubali san tena wametish
Ngoma Kali Xana Kweli The African Princess Ongereni Kwa Kazi Kubwa Kam Umehelew Hili Goma Gonga Likes Hapa❤❤🎉🎉🎉
Kama umeeyaelewaa mashati waliyovaa nandy na yammy gonga like hapa❤
Two african princess much love from 254
Laaah! @yammy tzMalizia na viuno flan hv.....
Afu we African princess taratibuu 🔥
Naomba namba za zima moto cz hili songiii litateketeza bongoflavor yoteee
Heri nikae lonely❤ wee
Nandy pokea upendo❤ kutoka kwngu mie mkenya mzalendo🙏😘
Yaaan hata chakusema Sina apliciate 🎉❤❤❤
Me nasoma comment nione maoni yenu kuhusu hii Ngoma nyiee mnaomba tu like
All the way from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪, I vybe with Yammy and Nandi combination in this song and let it be a duo forever in industry. Anyone from Kenya and Tz to drop a like to this comment and Yammy to drop a bombshell of love emoticon.❤
Ikienda , muongeze konde for a remix, it will be game over
Haka Kawimboooo🔥💯😍😍😍🙌
Yammy killed it 🔥🔥
This gal ❤️ Yammi is so talented.....WoW!😍
Hii nyimbo nimesikiliza zaidi ya Mara 20 Nzuri Sana
Unishindi mimi nimeisikiza zaidi ya 💯
Naomba like jamani 😢
Kama unakubali ngoma kali kuliko ya zuchu raha like hapa i love you nandy ❤
Sidhanii kama hii comment yako ina tija,,hakuna anyefanya mziki kw akushindana. Keki ya sanaa ni kubwa sana haina haja ya mashindano📌
@@neemamashauri1043m mwenyew cjamwelewa cjui zuchu katokea wap tena kwny account za watu wengn
💯💯
Another good music is from eminem, his new song houdini
Beautiful Song
Wimbo nzur aisee❤️❤️❤️❤️❤️
Mbona kila mtu anaomba like kwani zanakazi gani😂😂
Kuma wee
😁@@KitunganoJohn-vr4zn
😂😂😂😂😂😂 wanaomba Like kwa ajili ya kupikia Mandazi
Natafta pia comment isiyokua na "nipeeni like" nakosa
@@KitunganoJohn-vr4zn😂😂😂😂ndo ume jibu
So lonely!! 💖💕💕💕💕💯😍
Kali sana❤️
Nandy katisha dah ❤❤
Kwani mmejuaje wengine usingle unatusulubu hukuu mtaani 😂😂 thanks love wangu Yammy and sst nandy
Imoya hainiishi hamu kabisa❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuriiiiiiii sana
Jamni naenjoy pia kua lonely wangapi wanaenjoy kama nandy na yammy❤❤❤❤
Nandy anatuongopea hayupo lonely😂😂😂
@@magrethmalobola5470 why dear 😂😂😂
Wimbo mtamu san hauna matusi hata kidogo unaweza sikiliza na kucheza hata shughulini,,,ohh mashaall. ,Yammi na Nandy mmeweza aiseeeeee 💓💓🌹🌹🌹🌹🌹hongereni sana🌹🌹💓💓💓💓
The real meaning of Bongoo frevaa ❤bhn these two really Amazing 💥🔥
Goma kariiiiiiii sanaaa ila mmi na diri na comment
Nainjoi kuwa lonely
yammy amua hapa kumshinda nandy❤
Wimbo mzur ❤❤❤
Yami ni vile ulisema uko single🥰
❤❤❤fireee
YAMMY UNSTOPABLE
Mtoto wa Motoo kwanzia muonekano mpk talent unaua sana we mdada nakupenda buree 😂😂😂😂😂
Good job ❤❤
Our two queen ❤❤❤
ka mwili kanafeel vibe na hili song❤❤❤❤
Nice work, love it ❤❤❤
Mtu na Tajiri yake mmetisha 🙌
Yammi yammi ❤❤❤❤❤
baba levo saizi anajisikia aibu kipindi yammi ananza kuimba alikuwa anamcheka nakusemq hana sauti chakushangaza ,,,mtoto anasaut kali duuuu kuliko yule
Go yammi 🔥💜👑🚀
Kutoka DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩
nipeni mahuwa yangu🎉🎉🎉
Nyimbo imetulia jmni tunaomkubali yammi n Nandy tujuane💖💖💖
Nyimbo Tamu sanaaa ❤
France 🇫🇷 we are here ❤️
Nyimbo noma sana kama unamkubali yammy nipe like
Sauti ndugu😊
Huyu mtoto anaimba!!! 🙌🙌🙌🙌🔥
Yammy mama hii sio tyu kali bali ni kali sana nae nandy mama❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ajabu ❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🌏 #Lonely
Mmeua Walai love from 🇰🇪🇸🇦🥰🥰🥰🥰 team strong ❤️♥️♥️
Naenjoy kuwa lonely kadama oyeee🇰🇪🇸🇦💃🥰
Haka katoto n kanajua sana ❤, Always gave a hit song
Yammi ni Fundi kwel kwel nimeona tangu mwanzo sasa ni hii melody amazing sana weka like hapa zote za yammi ft nandy Lonely ❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Hili dude la kwenda
Ngoma Kalii Sanaa❤ ilaa...Nandy na Yammi Yangeulizana...Maana Ya MashaAllah na Alhamdhulillah...
Kweli wangeulizwa maana ya Mashaallah na Alhamdulilah. Wanaitumiya lakini hawaijuwi maana yake itakuwa.
Anything Yammi touches turns to gold. African Princess never let this gem go. Perfect Combi! Love from Kenya.
The vocals 🙌🏾🔥
The lyrics 🔥
The voices 😩🔥🔥
maana halisi ya African princess label 🎉❤️
Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Iyi song 🎵 nzuli jameni ❤
Nasbria likes zang wapendwa🎉❤❤❤
Ngoma tamu sana ❤❤African princinces
Love from Rwanda 🇷🇼❤❤❤, wimbo huu unapendeza kweliii❤
❤❤❤crashy wangu huyo nampenda sana ngoma kali vibe tamu ,,much loving. And appreciating🎉🎉
Sipendagi nyimbo za wanawake I don't ila naenjoy hii iko lonely 🎉❤
I love you Yammy please can someone give me like aki more love from 🇰🇪
Nyimbo Kali sana nimeipende
Nandy and Yammi,💪🙏much love from Messi kadenge 254🇰🇪🇰🇪
Ngoma Kali.....Beat Kali kazi Nzuri kina Dada wa East Africa❤❤❤❤❤
Daah hii Ngoma hatari sana ni Ngoma Yangu bora kwa wasani wakike iliyo uwa zaidi 2024 hakuna ningine... ❤️❤️❤️
The Princesses 👸 hizo sauti jameni hazitakiwi kuwa single🙏👌👌
😂😂😂😂😂
Great song ! Issa hit 🔥🔥🔥 congratulations The African Princess
Goma kali sana uanakubali nikikubalishwa
My favorite ❤️ yammi
Wowo❤❤
Nyimbo tamu ajab ❤❤❤ma sha ALLAH
Great song Yammi. Nimeipenda. Uku Nairobi imetufikia
Wow nilikuw nikisubiriya hii song kwa hamu ❤❤ ni kali sanaaa
Gb zangu zote namaliza apa apa hii nyimbo tamu bhn 🔥🔥
Mungu akubariki ww na kizazi chako
Naomba nandy atu support na sisi huku
Nilikua natamani hii colabo atimae Mungu kusikia kilio changu🙏 ngoma kali sanaaaa
Ongerani sanaaaa na wapenda sanaaaa ❤❤❤
Burundi 🇧🇮 we are here to show love ❤️
yammy ni fundi saaana
Kama muziki mzuri gonga like za kutosha❤❤
Just Imagine Hii Collaboration ungeimba na Zuchu🥇🥇🥇🥇
Hongeren sana kwa nyimbo hiyo mmetisha Sanaa
Nice one
Good work nandy,hiyo ndo mana ya kukuza kipaji cha msanii wako sio kumuacha❤️
🔥🔥🔥wimbo nimeupenda
Liverse la Nandy🔥🔥🔥
Wow this awesome ❤❤❤❤❤this ladies rock it