SAKATA LA MKATABA WA CHAMA KUNA UWONGO MWINGI/CHAMA HAWEZI KUCHEZA NA KIUNGO PUNDA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 42

  • @user-pw8pi1ev9u
    @user-pw8pi1ev9u 3 дні тому +18

    Uko sahihi kabisa maana wachambuzi kama Wilson oruma,salehe jembe, Geoff lea, jemedari, Alex ngereja ,marco mzumbe ni wachambuzi ovyo ovyo ovyo ovyo kabisa maana wanajifanyaga much knows mwisho wa siku wanaishia kuwadanganya watu na kuishia kwenye aibu kubwa

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 3 дні тому +3

    Yaan Diego na msemaji wwtu uwa wanapenda sn na anajisikia raha akimuoji Inshaallah M/Mungu akujaalieni Kheir Inshaallah

  • @maxmia100
    @maxmia100 3 дні тому +4

    Kweli kaka hao wachambuzi uliowataja hao mimi huwa siwasikilizagi kqbisa

  • @ecostats51
    @ecostats51 2 дні тому +1

    Msemaji wetu uko bright sanaa. Yaani unamaarifa na idara yako mpaka unaboa😎😎✊✊

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 3 дні тому +2

    Mana wale sio wachambuzi ni chambaji 😊

  • @EliakimuBura
    @EliakimuBura 3 дні тому +2

    Shemej kama semajiii

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 3 дні тому

    Kuna watu yanawatoka mapovu humu ngoja msimu uanze 😂😂😂😂😂

  • @BeniYaredy
    @BeniYaredy 3 дні тому +1

    Makope acha matusi mjinga ww

  • @HassanZiroy
    @HassanZiroy 3 дні тому +1

    Selikali yetu inawapenda watanzania ndio mana imetujengea vituo vya afya pamoja na shule nahii yote kuwawezesha wagonjwa pamoja na wapombavu nisiende mbali mfano ali komwe uyu ni mpombavu asie jijua na hajui kuwa nimpombavu voz anasema yanga ndio kilub kubwa ivi naface ya 12 nanaface 5 ipi iliyopga atua? Uyu bwanamdogo sio bule nazani ana upungufu wa akili

    • @EdwardJeremiah-bd8rl
      @EdwardJeremiah-bd8rl 3 дні тому +1

      Hata kuandika hujui alafu uko bize kukosoa walosoma na uko bize na bando la buku😂😂

  • @blandinafransis3366
    @blandinafransis3366 3 дні тому

    Kweli yanga ni timu kubwa lakini wote tunakula robo hivi kweli

  • @starboyocal5393
    @starboyocal5393 3 дні тому

    Dhaa nimechk kisengee ety PUNDAA😅

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 3 дні тому

    Unachekaaa unadhani weye ndo unayemlipa jamaa!

  • @petermboye5284
    @petermboye5284 3 дні тому

    Simba nguvu moja

  • @dullamuso6955
    @dullamuso6955 2 дні тому

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NassorSalekhe
    @NassorSalekhe 3 дні тому

    Sasa kubwa kati y kiatu na Simba mna ndio yatano afrika mwehu we

  • @petermboye5284
    @petermboye5284 3 дні тому

    Subirini ujao, no makosa ya kibinadamu

  • @joshuaerasto8677
    @joshuaerasto8677 3 дні тому

    Wewe semea timu yako utakuja kuumbuka asubui, au utakuja kuzima uwanjan

  • @satarantonio3077
    @satarantonio3077 3 дні тому

    yanga sikuizi ni nssf sehemu ya mafaoo

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 дні тому +1

      Hujakosea ... Makolo tuliwapa mafao pia ... Na msimu mafao yataendelea
      Madunduka wali faidika na mafao ya yanga 🤣🤣🤣

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 3 дні тому

    Chama miaka 33 Uto kunguruu wa mizogo

  • @BeniYaredy
    @BeniYaredy 3 дні тому

    Ahmedi fala ww acha kutukana mjinga ww

  • @nicodemusmemba1402
    @nicodemusmemba1402 3 дні тому

    Hai kina jembe ni wachambuzi wenye,chuki sana na Young Africans

  • @mjuaelias3681
    @mjuaelias3681 3 дні тому +2

    Ameisha huyoo,miaka 33,Simba haiwataki wachezaji wazee kwa sasa.

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 3 дні тому

      Msijimalize ndugu zangu mtakuja umbuka.

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 3 дні тому

      Kamtoeni Ngoma mwenye miaka 38 kwanza km hamuwataki wazee

    • @godfreymabula6858
      @godfreymabula6858 3 дні тому

      Kwanza ncheke😂😂😂😂😂 sio nyie mnamlilia chama kila siku kwenda Yanga kawa Mzee?? Wabongo bhana 😂😂😂😂

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 3 дні тому

      @@godfreymabula6858 Tuwaambie tu kuwa tumekubali kumchukua na uzee wake,halafu km mzee huyo babu ngoma na chama nani mzee?

    • @khamisally9559
      @khamisally9559 3 дні тому

      Dooohhh! Watu mmekuwa mambumbumbu sana ndio maana Mo anawageuza kama chapati. Hivi unajua nguvu walizotumia viongozi wa Simba kutaka kumbakisha Chama? Usichokijua ni usiku wa kiza. Muda ni hakimu nzuri sana. Tupo hapa.

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 3 дні тому

    Tunza maneno yako wewe, Hana muda huyo Mzee, kagundua pa kupiga hela ya kumalizia na Kwa vile mamatu ya kuliwa yapo. Hapo chama nakusuport. Piga hela muda wako mafupi. Wacha wakusomeahee watoto. Wajinga ndo waliwao

  • @petermboye5284
    @petermboye5284 3 дні тому

    Huna lolote, wastaafu fc

  • @ahmedimakope
    @ahmedimakope 3 дні тому

    Anavyojisifia huyu kuma lazima uamini kwl alikuwa form four failure 😂

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 дні тому +1

      Kwa hiyo unajiona umeongea sense? You sound like a fool!

    • @simpleboytz255
      @simpleboytz255 3 дні тому +1

      Wewe ndo huna Elimu maana huna hoja maana unatukana, kuwa na staha mtandani

  • @NassorSalekhe
    @NassorSalekhe 3 дні тому

    Ww Ali komwe unazarau wezako shingo y ngamia na machoyaurojo

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 3 дні тому

    Hawo ni mashabiki mandazi

  • @athumanmsuya2688
    @athumanmsuya2688 3 дні тому

    Kasemaji hakana uzalendo zarau nyingi,hakuna kitu hapo eti punda hapo anamzau mzamiru ka k kweli