Quick Rocka Aliingiaje Kwenye Uigizaji?: "Nilikutana na Lamata Studio" | SALAMA NA QUICK ROCKA PT2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
    Abbot Charles ni jina maarufu kwa wanaoijua historia na wana zuoni, pengine umaarufu wa jina ndo sababu ya Baba yake kuamua kumpa mtoto wake wa kiume akitegemea na kijana wake atakua na ukubwa huo kwa lolote ambalo ataamua kufanya kwenye maisha yake, unaujua ule usemi kwa kiswahili kwamba maneno huumba? Mwenzangu, hata majina huumba, tena sana tu kwahiyo wakati mwengine utakapokua unafikiria jina la mwanao ni vyema kujiridhisha kwanza, unafanya kazi flani ya kipolisi ya kuchunguza ili mwanao asije akawa mtu fulani asiye na dira.
    Quick Rocka aka Switcher aka Baba aka Kaka Fule ni mdogo wangu, hizo aka alozojipa ni maana halisi ya uwezo wa kuishi kwenye kila character ambayo anayo na ameamua kuiishi. Ni Quick na anaweza kuku rock wakati ana rap, na anaweza ku switch na kuwa singer na mambo yakaenda vizuri tu, au aka switch na kuwa Kaka Fule, aka kufanya utake kuendelea kumuangalia tu kwenye Jua Kali au filamu ambazo amekua akifanya. Switcher pia ni producer mzuri tu wa muziki ambao anaufanya.
    Katika vijana wa kuwaangalia jinsi wanavyoelekea kwenye mafanikio yao yeye pia anafaa kuangaliwa na hii naamini inatoka kwenye kampani ambayo amekua nayo tokea siku ya kwanza alipojua anataka kufanya mziki, group aliyokua nayo kwenye Rockers ilikua imesheheni mafundi ambao pengine focus yao haikua kama ambayo Switcher amekua nayo au pengine walikua na vitu vyengine ambavyo ni vizuri pia vya kufanya na kuamua kuachana na muziki, pengine kufanya muziki haikua priority yao ila kwa Quick mambo yalikua tofauti. Ukaribu wake na Master Jay kwa kiasi kikubwa umemsaidia kuweza kuwa focused na mambo yake ya msingi na pia alikiri kwenye maongezi yetu haya kwamba kuna kipindi baada ya msiba wa Marehemu Kaka yake, alikua sehemu mbaya sana kifikra ila Master Jay alimsaidia kwa kiasi kikubwa kurudi kwenye mstari. Na kuanzia hapo sasa focus ya vitu ilianza kuwa 100% na ukiachana na kwamba Master Jay ndiye alimchomoa Quick kutoka kwenye kundi na kutaka asimame mwenyewe kama Solo Artist.
    Pia Marco Chali ndiye aliyekua anamtengezea muziki wake wote, na kamsoto flani ambako alikapitia ili kumfanye awe huyu ambaye yuko leo chini ya uangalizi wake kwa kiasi kikubwa pia yalimfanya asogee ki maisha, mambo yote ambayo tunakutana nayo kwenye njia ya kuelekea kwenye mafanikio ni lazima ilikua tuyapitie ili kutufanya tuwe bora kwenye haya maisha tunayoishi sasa. Ambacho hakiku uwi kinakufanya uwe jasiri tu. Na jasiri Quick alikua. Aliweza kufungua studio yake mwenyewe ambayo alimfanya awe huru zaidi na kujijenga zaidi, hapo studio pia alitoa nafasi kwa wenzake ambao nao pia walikua wanatafuta sehemu ya kutokea. Kwenye studio ya Switcher ndiko ambako OMG ya Salmin Swaggz, ConBoy na YoungLunya ilizaliwa, tuseme kwa Quick Rocka kuliwapa tafu ya kufika mjini. Ma producer mbali mbali pia walianzia pale na kupata nafasi ya kufanya mambo makubwa zaidi kwenye sehemu nyengine.
    Mimi na enjoy kumuona Abbot anavyokua na kujielewa na kujithamini, anavyo jibeba na kusogeza mambo yake kwa spidi nzuri. Kama kijana nna hakika ana mapungufu yake na kuna makosa alishawahi kufanya huko nyuma na probably hata mbeleni kwenye maisha, ila huwa hatumhukumu mtu kwa makosa aliyowahi kuyafanya bali kwa jinsi ambavyo alitoka kwenye hayo makosa na kuwa mtu bora zaidi.
    Yangu matumaini uta enjoy story hizi ambazo zilikua zinapigwa kwa uhuru wa iana yake.
    Love,
    Salama
    Support us through anchor.fm/yahs...
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪UA-cam Link bit.ly/UA-camS...
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

КОМЕНТАРІ • 65

  • @The7101987
    @The7101987 Рік тому +10

    Kumbe Kaka Fule ndio ana akili hivo?
    Muonekano wako, sauti yako na kichwani kupo very🔥
    Keep good work brooo
    Love you❤️

  • @annetmaua2882
    @annetmaua2882 Рік тому +1

    I like the part "am patient "....fr patient pays...let God intervene your work and journey in this industry 🤲

  • @StellaSamwel-p4m
    @StellaSamwel-p4m 2 місяці тому

    Congratulations Quick rock

  • @StellaSamwel-p4m
    @StellaSamwel-p4m 2 місяці тому

    Pole sn kwa kupoteza watu wa muhimu maishani

  • @mussamsella8560
    @mussamsella8560 Рік тому +1

    Quick rock mara ya kwanza namsikia kwenye Muziki sikio langu liliniambia yap hapa kuna kitu ....ghafla akapotea ...but nikamsikia tena kwenye bembeleza akiwa na Joe makini .....ikabidi nikae nimsikilize nan atamfunika mwenzie ....Quick he's the best and very talented man

  • @ishakafaki3501
    @ishakafaki3501 Рік тому +2

    💯❤️🤲🙌hapo kwenye maombi nime pitia hayoo Alhamdullahi KASEMA kweli 💯 Rackar HESHIMA kwako

  • @rachelpease7302
    @rachelpease7302 Рік тому +2

    I just love him,watching from USA 🇺🇸

  • @siamacha3749
    @siamacha3749 Рік тому +1

    I like it ...I learnt something

  • @emmamatemu8225
    @emmamatemu8225 Рік тому +3

    Real producer
    He produce music,ideas and talents
    Ila leo kaongea madini hadi mmesahau kula

  • @joelndowo
    @joelndowo Рік тому +2

    Aisee sister salama huyu jamaa ameattain maturity kubwa sana....

  • @allyjamal2794
    @allyjamal2794 Рік тому +1

    May his soul continue resting well Big man Gwakisa Mwayoma!

  • @hajjihadhrajeee1523
    @hajjihadhrajeee1523 Рік тому +7

    Dah nilijifunza kwako salama kua mkweli.. na hii yaleo kwa jamaa nimepata kitu zaidi watching from Sweden 🇸🇪

  • @tizomelele4424
    @tizomelele4424 Рік тому

    Real the brain is so smart huyu jamaa.. One of the best interview

  • @maedahcompany964
    @maedahcompany964 Рік тому +2

    Najifunza mengi kwenye maisha yenu

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 Рік тому

    Amesema akipenda amependa..kaka Fule atamuua Maria wetu siku mambo yakijulikana

  • @geofreymugabo1219
    @geofreymugabo1219 Рік тому +4

    Thank you for bringing a real one with great content

  • @stellah3844
    @stellah3844 Рік тому +2

    Amaizing Interview🔥🔥🔥

  • @winningcapital2313
    @winningcapital2313 Рік тому +1

    I like that last advice

  • @shangwerobert5639
    @shangwerobert5639 Рік тому +2

    Kwa hii interview na mim nitasend tip aiseee

  • @mariammbaruk8034
    @mariammbaruk8034 Рік тому +2

    Kaka fule on the beat😘😘

  • @lujobilz7482
    @lujobilz7482 Рік тому +1

    Asante karibu

  • @fridaeligius1321
    @fridaeligius1321 Рік тому +1

    Content nzuri sana,,enjoyed each second of the interview

  • @mussamsella8560
    @mussamsella8560 Рік тому

    Switcher baba...na salama
    Mmenikumbusha kitu kikubwa sana ....vijana tunavimba mapema sana na bahati mbaya tunakosa watu sahihi wa kutuongoza

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 Рік тому

    Kaka Fule🔥🔥🔥🔥🔥 kichwa kipo vizuri👏👏👏

  • @fobibook
    @fobibook Рік тому +1

    Salama umependeza maashallah

  • @eliasmshiu2600
    @eliasmshiu2600 Рік тому +3

    Dada Salama... thank you so much for bringing Switcher in.. and thank you for what you're doing... you be hitting the right spots... #1FanSinceMkasi

  • @majojo9166
    @majojo9166 Рік тому +1

    The interview was Dope 🔥🔥 lakini kwanini hamkupiga msosi jaamaani hujamtendea haki Switcher baba 😆😆

  • @msafirikilongo7429
    @msafirikilongo7429 Рік тому +1

    Be humble

  • @hancepaul3060
    @hancepaul3060 Рік тому +1

    Dope Interview 👏

  • @rosengiloi9381
    @rosengiloi9381 Рік тому +1

    Namkumbuka sana kwenye kapuni ndio tamthilia aliifanyia ukweli

  • @maryshirima1234
    @maryshirima1234 Рік тому +2

    Kwa kweli! Mabaya ya kaka Fulee namuachia mwenyewe, jua limuwakie😂

  • @encernstudios3745
    @encernstudios3745 Рік тому +1

    "live Fast Die Young"

  • @ShabaniMasaza
    @ShabaniMasaza Рік тому +2

    Among of the best Enterview ever .. Asante Salama

  • @maedahcompany964
    @maedahcompany964 Рік тому +3

    Ila dada salama umemzima msosi ndugu yangu 😂

  • @godfreyomollo9844
    @godfreyomollo9844 Рік тому +1

    Nice interview

  • @onyato
    @onyato Рік тому +2

    ⚡kali

  • @feisalmombo805
    @feisalmombo805 Рік тому +1

    Trust the process

  • @officialbekajoh3986
    @officialbekajoh3986 Рік тому

    Madini mengi sana🙏🏻

  • @mrmrsjogo8559
    @mrmrsjogo8559 Рік тому +3

    Kakaake alikua nani

  • @egnokapinga16
    @egnokapinga16 Рік тому

    Jamaa ana madini sana uyu🙌

  • @salmajumbe5205
    @salmajumbe5205 Рік тому

  • @ARAFATVSHOW
    @ARAFATVSHOW Рік тому

    ❤️❤️❤️

  • @kingcole60
    @kingcole60 Рік тому +1

    Bonge la interview

  • @jacksonmposindawa2426
    @jacksonmposindawa2426 Рік тому +1

    I"m looking foward to work with you S Jabir

  • @edwardmachaku1661
    @edwardmachaku1661 Рік тому +1

    Good

  • @benardjuniour782
    @benardjuniour782 Рік тому

    12:28 nikajiangalia nikasema ahhh OK MHHH 🤣🤣

  • @christopherjohn6092
    @christopherjohn6092 Рік тому

    🔝

  • @peninajulius8861
    @peninajulius8861 Рік тому

    💥💥💥💫💫💫

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 Рік тому +1

    Kwenye muchakato kuwa mpole

  • @benardjuniour782
    @benardjuniour782 Рік тому

    10:05 yah am just hatting that🤣🤣

  • @amazing_grace5392
    @amazing_grace5392 Рік тому

    ⭐⭐⭐⭐

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому

    Kaka fule unajua

  • @kelvinfrank8881
    @kelvinfrank8881 Рік тому

    👊🏾💪🏾

  • @heriethmichael6138
    @heriethmichael6138 Рік тому

    Kaka fule

  • @mnyamatv505
    @mnyamatv505 Рік тому

    TAZAMA MWANAMKE ALIYEZAA NYOKA ua-cam.com/video/vQOoMuR1o2A/v-deo.html