Binafsi Janabi ni mwalimu bora sana nimepunguza kula wanga na nimeacha kula mchana kabisa, nimepata matokeo haya 1. Uzito umepungua 2. Tumbo limepungua 3. Nguvu zimerudi sichoki ovyo ovyo 4. Sura imekuwa na mvuto au muonekano
Duh kweli mwenye nacho anaongezewa yaan umeambiwa ufike Hospital halaka sana ukadhalau lkn Doctor mwenyewe akakufuata na Ambulace adi kwako Mungu wabariki wote wenye uwezo mdogo wafanikiwe waweze kumudu mahitaji na maradhi🙏🤲
@@allyomary4230 Umeelewa lkn comment au umeivamia kwa mihemko?nimesema juu ya afya yake yeye mwenyewe ameleta pozi na akafuatwa vile vile na Ambulace sasa hapa nipo na wale wenzangu kama mimi tunaenda hospital wenyewe lkn unaweza ukashinda kutwa nzima na usipate huduma alafu kuna ameambiwa njoo halaka hospital akapotezea na akafuatwa adi kwake elewa comment hakuna aliebisha kuwa sio boss tulia soma kwa makini comment kwanza
@@allyomary4230Naona upo kishabiki ndugu yangu elewa comment inamaana gan?maana yangu mimi kuu sio kuwa Meya yeye ni binadam kama wewe tu hoja yangu kubwa sisi wenye hali ya chini tunajihim alfajili kuwahi nahasi za mbele kupata huduma ya afya lkn tunaweza kuwahi lkn tusifanikiwe kuhudumiwa kutokana na mambo magumu ungekuwa nazo kwa kalne tulio nayo ungemtafuta Doctor unaemjua kwa kumpoza upite lkn Mbunge ameambiwa afike halaka Hospital afanyiwe matibabu ya halaka lkn hakwenda Doctor akaona amfuate mwenyewe bila kuambiwa njoo unifuate na Ambulace ameenda mwenyewe kwa utashi wake wakati watu wanatamani kuambiwa kama hivyo na hawapati iyo nafasi
asante kwa elimu ... ila kama kiongozi jaribu kuchambua gharama za kuimudu sukari hasa upande wa chakula ukiona ni kubwa ona namna ya kumshauri mama aangalie cost of living hasa kwa watu wa hali ya chini .. ugali na wali..+ mihogo na ngano ndio daily routine food kwa sisi masikini mboga mboga ni bei nafuu lakini haziliki peke yake ... zinatakiwa ziede na white meet kama samaki na kuku ndio afya... hongera kwa uwezo wako umeishinda ila sisi tunaangamia..
It is not all that easy as you describe Mheshimiwa. Poor people hard to choose foods, asiookula ugali na wali Atakula nini? monitoring machine is very expensive.! I agree with you about sugar, we should learn not to use sugar. Shortage of sugar should be a blessing, we do not need sugar Hon Bashe. Chai bila sukari ni nzuri sana. The sad thing not everybody can talk to the Professor. Ni nchi ya matabaka hiyo. Also note that diabetes can actually be reversed by following very strict diet, exercises etc. Nakupongeza for sharing with us such an important thing. Professor alituambia uko para kidonda kwenye mogul hakiponi as blood circulation is poor, ndiyo masna watu hukatwa miguu nchi za wenzetu. Thanks again the Hon MP with 2 or 3 wives? Hongera hapo, watoto 20?
Ninakupongeza mwanangu, mwanafunzi wangu Mhe. Mhandisi Abdallah Chaurembo (Mbunge) na mdogo wangu Profesa Muhammed Janabi kwa elimu ya ziada niliyoipata leo. Sisi waswahili huwa tunasema hakuna ziada mbaya. Mimi nina kisukari lakini sijawahi kutumia dawa bali ninakudhibiti kwa chakula (diet controlled). Siku ya kwanza nilipopimwa kuonekana nina kisukari mashine ilisoma "high". Nikalazwa ikashushwa kwa siku mbili ya tatu nikaruhusiwa nikarudi nyumbani. Ninampa tabu mke wangu (ni muajiriwa) anaamka saa 10 alfajiri kila siku aniandalie chakula cha siku nzima. Kiwango cha sukari kipo kati ya 5 hadi 7. Kwa maelezo yako Mheshimiwa Chaurembo tumeweza kuongeza vyakula kwenye orodha tuliyonayo ya vyakula pia na suala la dawa ya meno (mswak). Niwatakie mafanikio kwenye shughuli zenu. Ninawashukuru. Mwalimu Felix.
Daaaaaa moyo wako na ushuhuda wako unaonyesha Mungu amelubariki nafasi na pesa ,sasa impelement kwa wanaohitaji msaada Mungu atakubariki,sisi tusioweza kwenda hosp na tusio weza kuambatana na doctor tutahesab namba mapeeema
Hongera Kwa hilo, Kuna mtu naye alitumia dawa za asili,na mpaka Sasa Hana sukari kabisa ila aliyempatia hiyo dawa alikufa,NAMI naomba msaada wa namba yako tafadhali
Kuna watz wanambeza sana dokta janabi ila wangejua madini anayotupa yana thamani gani kwa afya za watanzania wasingethubutu kutamka negatives. #TUENDELEE KUJIFUNZA
Huo ndio uheshimiwa, professor ana kufuata na mini hospital, uchumi wa bluu? Iko kazi. Wabunge wako na free health, wapiga kura wanalipa? It is the opposite in other countries! Nothing personal, but you still need to shed some kilos mheshimiwa. Tell Bashe, we don’t need sugar!
Pia nakushauri ukiweza funga Jumatatu na Alhamis kama sunna na futari yako iwe mboga mboga na samaki bila ya uwanga kwa miezi ya baridi na hali ya hewa nzuri .
@@josephmasanja8584 Umepatia mkuu Ninachoona hapo huyo mkaka hapo kazungumza lafdhi za kimalezi tu sawa na ndugu wa imani ya kikiristo akisema tufunge Kwarezma na mfano wake Kwa Imani nyingine Kama Hindu na nk ( Maana na wao Wana funga za Kiimani ) Ila kikubwa ni kufuata maelekezo sahihi ya kidaktri kama Wanavyotushauri
Mungu akubariki Kwa Elimu mzuri!Kubwa na muhimu ni kumtegemea Mungu na Bwana Yesu Kristo Aliyeangikwa pale Msalabani! Amina
Asante Sana Dr Janabi nafuatilia masomo Yako Mungu akubariki kwa elimu unayotoa kwa jamii.
Shukurani sana Allah akihifadhi endelea kutoa elimu pi ushauri kuhusu vyakula hatarishi na anavyotakiwa kutumia mwenye dalili na mwenye sukari❤
Hongera sana Professa Janbai kwa elimu hii ambayo umekuwa ukkitoa kwa jamii
Pole mh chaurembo kwa msiba wa Mh Mkombozi....Allah ampe nuru na maghfiraa amin
Magonjwa mengi chanzo ni wingi chakula mwilini,,,,, TUJIFUNZE KUFUNGA MARA KWA MARA🎉🎉🎉
Wow...what a great story....Am so much moved by this.
Nakushkuru sana kiongozi kwa kupenda kutushirikisha,Mungu akutunze
Binafsi Janabi ni mwalimu bora sana nimepunguza kula wanga na nimeacha kula mchana kabisa, nimepata matokeo haya
1. Uzito umepungua
2. Tumbo limepungua
3. Nguvu zimerudi sichoki ovyo ovyo
4. Sura imekuwa na mvuto au muonekano
PROFESSOR JANABI MUNGU AKUJAALI KHERI INSHALLAH! ENDELEA KUTOA ELIMU USIWAJALI WATAO KUBEZA MITANDAONI!
Dahh asante mh Abdalla chaurembo rafiki yangu wa zamani pale muembe chai kwa bimachumba kwa darasa lako zuri kwa ugongwa wa sukari
Asante sana kwa kuieleeesha jamii. Leo nimefaidika na elimu hii bure. Ninakutakia na kukuombea baraka za mwenyezi mungu
Umebadilika sasa?
Ahsante mueshimiwa ubarikiww kwa SoMo zuuri mnooo
Mungu akubariki sana ❤
Allhamdulilliah maashaallah tabarakallah. Allah kabila. Allah kunufaya kunu
Alhamdulillah Mungu ni mwema
Asante sana.umenielimisha.
Mungu akubariki Prof. Janabi kwa kutoa elimu ya bure hata kwenye magazeti.
Sorry Prof. Janabi na sio Jamani.
Asante sana Mh
Hongera kwa kuimudu sukari Mungu akuzidishie imani.
Barabara mbovu hku shida tupu hebu utukumbuke mbunge wetu jamani
Duh kweli mwenye nacho anaongezewa yaan umeambiwa ufike Hospital halaka sana ukadhalau lkn Doctor mwenyewe akakufuata na Ambulace adi kwako Mungu wabariki wote wenye uwezo mdogo wafanikiwe waweze kumudu mahitaji na maradhi🙏🤲
Alikuwa Meya WA TEMEKE ambaye ni Bosi wa DAKTARI TAJWA....
Kufuatwa na Ambulance ni sawa
@@allyomary4230 Umeelewa lkn comment au umeivamia kwa mihemko?nimesema juu ya afya yake yeye mwenyewe ameleta pozi na akafuatwa vile vile na Ambulace sasa hapa nipo na wale wenzangu kama mimi tunaenda hospital wenyewe lkn unaweza ukashinda kutwa nzima na usipate huduma alafu kuna ameambiwa njoo halaka hospital akapotezea na akafuatwa adi kwake elewa comment hakuna aliebisha kuwa sio boss tulia soma kwa makini comment kwanza
@@allyomary4230Naona upo kishabiki ndugu yangu elewa comment inamaana gan?maana yangu mimi kuu sio kuwa Meya yeye ni binadam kama wewe tu hoja yangu kubwa sisi wenye hali ya chini tunajihim alfajili kuwahi nahasi za mbele kupata huduma ya afya lkn tunaweza kuwahi lkn tusifanikiwe kuhudumiwa kutokana na mambo magumu ungekuwa nazo kwa kalne tulio nayo ungemtafuta Doctor unaemjua kwa kumpoza upite lkn Mbunge ameambiwa afike halaka Hospital afanyiwe matibabu ya halaka lkn hakwenda Doctor akaona amfuate mwenyewe bila kuambiwa njoo unifuate na Ambulace ameenda mwenyewe kwa utashi wake wakati watu wanatamani kuambiwa kama hivyo na hawapati iyo nafasi
Ni hatari sana ndugu yangu Mungu anatusimamia si maskini
asante kwa elimu ... ila kama kiongozi jaribu kuchambua gharama za kuimudu sukari hasa upande wa chakula ukiona ni kubwa ona namna ya kumshauri mama aangalie cost of living hasa kwa watu wa hali ya chini ..
ugali na wali..+ mihogo na ngano ndio daily routine food kwa sisi masikini mboga mboga ni bei nafuu lakini haziliki peke yake ... zinatakiwa ziede na white meet kama samaki na kuku ndio afya...
hongera kwa uwezo wako umeishinda ila sisi tunaangamia..
Haina umaskiniii walann kunavitu hatupaswi kukufuru
Alhamdulilah nashukur sana kwa kupata somo lako na mm ni muathirika twna inanisumbua sana sukari lkn nimejua wapi nimekosea
It is not all that easy as you describe Mheshimiwa. Poor people hard to choose foods, asiookula ugali na wali Atakula nini? monitoring machine is very expensive.! I agree with you about sugar, we should learn not to use sugar. Shortage of sugar should be a blessing, we do not need sugar Hon Bashe. Chai bila sukari ni nzuri sana. The sad thing not everybody can talk to the Professor. Ni nchi ya matabaka hiyo. Also note that diabetes can actually be reversed by following very strict diet, exercises etc. Nakupongeza for sharing with us such an important thing. Professor alituambia uko para kidonda kwenye mogul hakiponi as blood circulation is poor, ndiyo masna watu hukatwa miguu nchi za wenzetu. Thanks again the Hon MP with 2 or 3 wives? Hongera hapo, watoto 20?
Wewe nyenyewe ni mtabaka namba moja kutuandikia swanglish maana yake nini?Watz wengi ni maskini na hawajui hiyo swanglish yako.
Ninakupongeza mwanangu, mwanafunzi wangu Mhe. Mhandisi Abdallah Chaurembo (Mbunge) na mdogo wangu Profesa Muhammed Janabi kwa elimu ya ziada niliyoipata leo. Sisi waswahili huwa tunasema hakuna ziada mbaya.
Mimi nina kisukari lakini sijawahi kutumia dawa bali ninakudhibiti kwa chakula (diet controlled). Siku ya kwanza nilipopimwa kuonekana nina kisukari mashine ilisoma "high". Nikalazwa ikashushwa kwa siku mbili ya tatu nikaruhusiwa nikarudi nyumbani. Ninampa tabu mke wangu (ni muajiriwa) anaamka saa 10 alfajiri kila siku aniandalie chakula cha siku nzima. Kiwango cha sukari kipo kati ya 5 hadi 7. Kwa maelezo yako Mheshimiwa Chaurembo tumeweza kuongeza vyakula kwenye orodha tuliyonayo ya vyakula pia na suala la dawa ya meno (mswak). Niwatakie mafanikio kwenye shughuli zenu. Ninawashukuru. Mwalimu Felix.
Daaaaaa moyo wako na ushuhuda wako unaonyesha Mungu amelubariki nafasi na pesa ,sasa impelement kwa wanaohitaji msaada Mungu atakubariki,sisi tusioweza kwenda hosp na tusio weza kuambatana na doctor tutahesab namba mapeeema
hii imekaa sawa.
Ni kweli nami ni shuhuda ndugu yangu
Tuzitafute pesa wenye pesa ambulance zinawafuatilia mpaka Nyumbani
Mh nimependa sana somo lako la Ugonjwa wa Sukari
Mtoto wa M/KITI wa CCM mzee Chaurembo
dk 2:42,43???
Mimi kuna dawa ya kiasili nimetumia haipandi mwaka wa 2 sasa
Dawa gani umetumia ya kisukari
Dawa gani ya kiasili uliotumia naomba utaigizie nasi tuko nairobi kenya nitashukuru sana ndugu yangu
Naomba namba yako tuwasiliane tafadhali
Hongera Kwa hilo, Kuna mtu naye alitumia dawa za asili,na mpaka Sasa Hana sukari kabisa ila aliyempatia hiyo dawa alikufa,NAMI naomba msaada wa namba yako tafadhali
Nina shida ya sukari naomba nisaidie plz
Kuna watz wanambeza sana dokta janabi ila wangejua madini anayotupa yana thamani gani kwa afya za watanzania wasingethubutu kutamka negatives.
#TUENDELEE KUJIFUNZA
Una mwili mkubwa mno mheshimiwa punguza ulaji mbovu
Naomba namba ya profesa janabi nahitaji ushauri na kama kuna hospitali niambie iko wapi?
Habari Prof. Janabi anapatikana Hospitali ya Taifa Muhimbili karibu
Asante nashukuru
Angalau kwa hilo umekuwa mtu mwema kwa kutufundisha
kaka Chaurembo inabidi ulifanyie kazi hilo tumbo
Dawa sukari ni kubadiri mfumo wa chakula acha nahao wanatangaza madawa wanaibia watu
Ni kweli kabisa.
Upo kama haupo goroka tunateseka na mitaa na barabara
Dawa zipo ila watu wa ki gunduwa hamuwamini mpaka aseme mzungu
Iko wapi tupe jamani
Huo ndio uheshimiwa, professor ana kufuata na mini hospital, uchumi wa bluu? Iko kazi. Wabunge wako na free health, wapiga kura wanalipa? It is the opposite in other countries! Nothing personal, but you still need to shed some kilos mheshimiwa. Tell Bashe, we don’t need sugar!
Elimu ya huyu mbunge tafadhali kama kuna mtu anajuwa
huyu bwana ni form six tu na hakufanya vzr form six sijui mambo ya injia alisomeaga wapi?
Ana diploma ya fani ya ujenzi (civil Engineering) from Dar es Salaam instute of Technology 2003- 2006.
@@musa-v3f Nikweli kabisa hata darasani hakua vzr sana. Ujanja ujanja tu nchi yetu hii. Ndio maana kuna shida serikalini huko.
Usiwalazimishe na wasio wagonjwa kula km ww mgonjwa
Ucjaribu kuongea hvyo
Ww ni mgonjwa mtarajiwa
jaribu kula hivyo vitu .usidhara kadri umri unavyoenda magonjwa yanakuja
Pia nakushauri ukiweza funga Jumatatu na Alhamis kama sunna na futari yako iwe mboga mboga na samaki bila ya uwanga kwa miezi ya baridi na hali ya hewa nzuri .
Ugonjwa hauna sunna wala futari, hauna uislamu wala ukristo. Muhimu in kuacha chakula tajwa na kula chakula tajwa!!!!
@@josephmasanja8584
Umepatia mkuu
Ninachoona hapo huyo mkaka hapo kazungumza lafdhi za kimalezi tu sawa na ndugu wa imani ya kikiristo akisema tufunge Kwarezma na mfano wake
Kwa Imani nyingine
Kama Hindu na nk
( Maana na wao Wana funga za Kiimani )
Ila kikubwa ni kufuata maelekezo sahihi ya kidaktri kama
Wanavyotushauri
Da nataman ila mm mkulim wa vijijin katavi uwez wa Samak sat ni shida au matunda du kweli masikin tunakuf tu
Maskini kazi kibao..majasho kila siku.., wengi hatuna hizo changamoto
Mkulima anakula kwa siku mara moja au mbili vyakula ambavyo vya asili icho kisukar anakipatia wap? Mkulima hata kitamb hana