Ameen ameen , jmn natafuta Album yenu ya kwanza ile ya yerusalem, nimemisi Sana ule wimbo wenu wa tutamlaki mawinguni na nyingine nyingi zilizoko ktk album ya kwanza
Dadangu samahani kama uko nao karibu ninaomba namba za mmojawapo wa wanakwaya maana na sisi tunahitaji kurecod kwa hiyo tunahitaji producer alowarecord Audio na shuting ya vidio
Amen for good song that encourage us mbarikiwe
Amina
Aminaaaaaaaa
Best choir in Tanzania
Amen mbalikiwe sana sana kwa wimbo ulio bora
am very much blessed
Hallelujah Asante Ee Yesu nimebarikiwa sana wapendwa na wimbo huu songeni mbele kwa jina la Yesu
Your songs can make more people to return to God you have nice voices God bless you
Nawakubali sana hasa mnavyoshambulia kama nyuki,,, nabarikiwa sana kwa jumbe zenu nzuri,,, Mungu awatunze msichuje milele
Sautizimepangwazikapangika❤❤❤❤❤
Asante sana tutakaribiamairobi
Amen amen amen amen amen mungu awabariki wapendwa katika kristo yesu
Nawapenda Sana kwa kuwa mnamtumikia Mumba mbingu na nchi mfalme was wetu mbarikiwe Sana wapendwa
Mungu awabariki kwa kazi nzuri
Amen amen ameeeeeeeen
Wacha Mungu aitwe Mungu mwenye enzi
Acheni mungu airwe mungu kabisa nice song with a message,may God bless you abundantlygo on with those melodies
Ameeen sana kaziyenu ninzuri sanaa
Songeni mbele ninyi ni watumishi wa Mungu your voices are truly melodious Mungu awabariki muishi milele
Amina waimbaji mie hapa kenya nashukuru kwa ujumbe hasateni.
SDA songs are the best, feeling blessed
GOD BLESS YOU
Kweli kuna Mungu asiyesinzia......asanteni sana kwa ujumbe mzuri huo
Mungu azidi kuwatumia kw viwango vingine binasi nabarikiwa sana na uimbaji wenu
Choir leader anaonekana amechangamka nice song
Amina Amina.
Tuzadieni number zenu za mawasiliano tunawaitaji Sana Nairobi
Mungu Awajalie wapendwa
Ameen ameen , jmn natafuta Album yenu ya kwanza ile ya yerusalem, nimemisi Sana ule wimbo wenu wa tutamlaki mawinguni na nyingine nyingi zilizoko ktk album ya kwanza
Aminaa💕🙏
God z always God
Amen 🙏🙏🙏 so sweet
Mbarikiwe kwa wimbo nzuri
Namwona Joseph clemence
Amen, nice song, for sure am blessed
Mungu wa mbinguni awatumie sana
mwanibariki tu saaana
Be blessed my favourite choir ❤
Im blessed 🙏
Amen
Amina sanaaaa nawapenda sana
Wonderful. God bless you
Mbarikiwe sana watumishi
Amen.Amen
Amina welcome to our camp meeting this year 2023
AminaaaaaKubwa mko vzr
Be blessed
Amen be bleesed
AMEN 🙏 🙏🙏
Amen welcome to Nakuru
I'am so glad to hear you
Nice song ameeeen
Mungu awabariki
Ameni
amen
Mbona lili simuoni hapa
Broo kama uko karibu nao naomba namba za mmojawapo na sisi tunahitaji kurecod kwa hiyo tunahitaji tufahamu hiyo studio walorecordia
Amen so nice
Ameen
Barikiweni
💖💖💖
Nawapenda sana
Amina
Mbarikiwe sana 🙏
Nafurahi Sana mkiimba nyie watumishi wa baba wa mbinguni msonge mbele
Ameen🙏🙏
Mko sehem gan
Tuko mererani tz
Tuko mererani MANYARA tz
Wagumba tibim
Mmbarikiwe sana lili yuko wap?
Lili yupo,ila cku iyo ndio akuwepo lakini kwenye nyimbo zingine yupo
Dadangu samahani kama uko nao karibu ninaomba namba za mmojawapo wa wanakwaya maana na sisi tunahitaji kurecod kwa hiyo tunahitaji producer alowarecord Audio na shuting ya vidio
Who is your teacher?
Hii kwaya nzuri ni songembele ya wapi maana songembele ziko nyingi wilaya gani ?
Songambele ya mererani arusha
Songambele ya mererani
🤑🤑🤑🤑🤑🤑🤑
Amen mbarkiwe Kwa ujumbe mzuriii
Amen
Amina
Amen
Amen
Amina