Mimi ni mkulima ambaye zao hili la Tikiti nimelianza kulilima Mwaka huu wa 2023 ninalima kwa kutegemea Mvua kutokana na changamoto ya ukame kuna mkulima mwenzangu amenishauri nitumie SUPER GLO ili iweze kukabiliana na ukame ,Je ni sahii kutumia hiyo Super Glo
motivation right there...been following your channel so closely to gain the knowledge in farming industry. some great videos. please upload some more.. really appreciated.

dqwa ya ukame ni maji tu mjomba hakuna cha dawa wala mbolea
Wow Kilimo kizuri sana nami nipo Dar nataka kulima tikiti sijui hata nianzie wapi msaada jamani
A great source of motivation. Keep it up guys.
Wow what a good project
Nimeipenda sana kaz yenu. Hongera sana
Kazi nzuri sana,
Kilimo cha karanga tz
Aiseee! nikiona mazao huwa nachanganyikiwa
Happiness Francis
Tuko wengi tunaochanganyikiwa
motivation right there...been following your channel so closely to gain the knowledge in farming industry. some great videos. please upload some more.. really appreciated.
thanks , we have a lot more to be uploaded soon buckle up!!
Mdau hiyo Iko poa.
Elimu nzuri sana
Hongera kwa kupenda kilimo,asante
Kazi nzur
Uongo hakuna kitu danganya. wasiojua
kazi mzuri sana mtu anaeza pata shamba huko
Ni vyema ukaenda kufanya uchunguzi kama una dhamira ya kulima
Kilimo Biashara asantee sana
Napenda sna kilimo matkit yna stawi wapi? Kwa hapa dar?
Tatizo solo yaan wakulima wa matikiti wanaoat shida San Bei mbovu.mr yamekalibia kuiva Ila sok ndo shida jaman
Upo mkoa gani?
asanten sana ila mi naomba km mnaweza kunisaidia mm na taka lima mapapai sin ujuzi ila napeda san kilimo hicho
Tutaandaa kipindi muda si mrefu kinachohusiana na papai subscribe utajulishwa tutapoweka
Nimeipenda kazi nzuri
asante sana
Khams. Ntakupat wap
safii saana
shukran
elimu nzuri kabisa kaka lakini aujatuambia hiyo ni mbugani ya tikitikimaji naomba unijuze
natamani kukutana nae maana wengi wana agakwenda shamba kulima ila wakati wakuvuna huwaoni wakileta walicholima nawengine hulimia Kwenye madaftari
Kwanini karibu wataalam wote wa kilimo awasemagi katika heka moja zinaingia mbegu kiasi gani na no grm ngapi za mbegu?
Naipend kaz hiy
👍
SAFI SANA KILIMO KIZURI SANA ICHI ASANTE SANA KWA ELIMU
Kila biashara inalipa ukihadithiwa
shukrani kwa kuniamsha.
musmu mzuri wa kilimo cha tikit
Faida ni zaidi ya hiyo..!
yawezekana ila huwa tunajitaidi kuweka bei ya uhalisia kutokana na changamoto za mbeleni
good speach
nawapataje?
Bei ya tikiti shambani ni kiasi gani?
Kilimo kinatoa nata mshauri
Naomba unisaidie ni sehemu gani nzuri kwa Tanzania kulima aina hizi za matunda
1.Tikiti maji
2.Vitunguu
3.Mapapai
Natumai Majibu kutoka kwako
Ruaha mbuyuni,Iringa panafaa sana
Vizuri sana
Morogoro
kuna shirika kalitaja, ambalo ndo limemshauri kuhusu kilimo, amelitaja lakini halisikiki vzuri,
TAHA
Tikiti maji inakomaa baada ya muda gani??
miezi mitatu
soko la tikiti maji pasua kichwa, wakulima wanateseka sana.
Kabisa Kaka yaan mi mume wangu klima yapo vizuri san nimakubwa San Ila tatizo soko.anahangaik tu wateja amn
@@christinamelikioli9201 wewe upo mkoa gani?
Inategemea na eneo ulipo
Tafuta Soko mbona lipo tu
natamani kukutana nae maana wengi wana agakwenda shamba kulima ila wakati wakuvuna huwaoni wakileta walicholima nawengine hulimia Kwenye madaftari
Elisante Mrita mambo ayo naitaji sana nanina hitaji kukutananae