KILIMO CHA VIAZI MVIRINGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Kwa sasa kuna msukumo mkubwa wa uzalishaji hasa ukizingatia ongezeko la walaji katika miji inayokua kwa kasi. Kwa sababu hiyo viazi mviringo ni zao muhimu la biashara na pia kwa ajili ya usalama wa chakula nchini.
    Kilimo Trust kwa kushirikiana na wadau wanatekeleza mradi wa CHIPS unaofadhiliwa na Comic Relief(rilifu) unaolenga kuongeza kipato kwa kaya zinazojishughulisha na kilimo na biashara ya viazi mviringo, kuimarisha biashara ya viazi mviringo na bidhaa zake na kuongeza ushiriki wa wanawake na vijana kunufaika na zao hili.

КОМЕНТАРІ • 16