Upande wa Polisi hauna hoja na wala hakuna sbb ya kuwasikiliza Polisi kwa sbb nguvu walioitumia ni dhahiri wamevunja sheria,wameumiza watanganyika, wamevunja vyombo vya wanahabari na huu ndio ushahidi,unataka Polisi wajieleze nn
Oscar upo sawa kabisa mie sizani kwamba hatuwezi kuendelea bila y vyama vingi kwani us wana vyama viwili tu na mambo yananyooka Sera ya vyama vingi iondoshwe hatuwezi tunaumizana tu
Kuna siku Oscar huwa anaamka akiwa na akili timamu kwa asilimia 1000. Leo ameongea point sana. Hata mimi huwa kuna muda najiuliza maswali haya. Kama nchi Haihitaji Vyama vingi Bora tuviondoe tubaki na chama kimoja maana CCM na Jeshi la Polisi wanahisi mtu kuwa mpinzani ni kuwa adui wa serikali na Nchi
Mambo ya vyama vingi duniani yamefeli,asilimia kubwa hasa africa wapinzani ni wahuni tu hata kama sio wote.wewe bro umeongea vizuri sana👍,angalieni cina,corea,nk,mfumo wao umewasaidia vipi wananchi hasa masikini🤔
Oscar mimi naona kama ikatokea tumeondoa vyama vingi basi ujue ndio kutatokea na vita kubwa sana ya kisiasa kwani wasomi wa siasa wengi waliopo ndani ya vyama vingi nchini wanauhitaji sana uongozi ndani ya selkali na hapo ndipo utakapoona vita ya wasomi ndani ya selikali
Bora ww unajitambua,nahisi utafika mbali.Polisi.bado hawana haki ya kuwapiga wapinzani,hao ni viongozi kama viongozi wengine mf Akina majaliwa.Mbowe ni kiongozi tena mzito kuliko hata hao wao polisi wanawatuma
acha kutetea ujinga!!hakuna uhuru usikuwa na mipaka,upinzani siyo kufanya unavyotaka,lazima ufuate sheria!! kama wanekataa kutii sheria bila shuruti;eti unataka kupambana na polisi kwa kisingizio cha UPINZANI!!
Mungu akuweke Oscar unaongeaga point sana bro
Oscar mwamba wetu wakutusemea nae 👊👊
Vijana watz mjitambue mmelala sana hongera Oska kwa kuongea ukweli bila uwoga
Salute Kwa wasafi TV chukueni 🎉🎉🎉🎉yenuu.
Inaonyesha jeshi la polisi halipo kwaajili ya wananchi bali kwaajili ya watawala!
Upande wa Polisi hauna hoja na wala hakuna sbb ya kuwasikiliza Polisi kwa sbb nguvu walioitumia ni dhahiri wamevunja sheria,wameumiza watanganyika, wamevunja vyombo vya wanahabari na huu ndio ushahidi,unataka Polisi wajieleze nn
Saiv kama nimegundua oscar unaakili kubwa mno akika ni mwandishi wazaza awajuti kukulipia ada 👏
Oscar nyosha maelezo acha uoga,polisi sio kwamba wanaingilia maswala ya vyama ,polis ni vibaraka wa chama tawala.
Wewe ndio mtu wamaana oscar
Oska uko vizuri sana. Hii nchi ni vema ikawa ya chama kimoja tu . Kwisha kabisa
Kaka unautashi mkubwa sana. Mungu kakujaria fikra safi.. keep it up
Hongera mkuu umesema ukweli
Bigger than🎉🎉🎉 ,unaupeo wa mbalisanaaaaaa
Oscar upo sawa kabisa mie sizani kwamba hatuwezi kuendelea bila y vyama vingi kwani us wana vyama viwili tu na mambo yananyooka
Sera ya vyama vingi iondoshwe hatuwezi tunaumizana tu
✅
Jamaa hyu kabadilika xanaaa watagazaj wte wagekuwa kama huy jamaa ngez ya Tanzania igeaza kaz xo mda
Mwamba wa Kaliua nipe namba yako nikutumie vocha,
Umenifurahisha mno
👏👏👏
Sawa
yaani polisi wajewaseme ni kweli tuliwapiga tena tuliwapiga vibaya sana we unazani awazi atasema ujinga huo
Nyamongo tarime hatuna wandishi wazalendo ndugu zetu wameuawa sana
Naacheeeeka kama mazuri. ila uhuru bila sheria ni fujo🏃🏃🏃
Kuna siku Oscar huwa anaamka akiwa na akili timamu kwa asilimia 1000. Leo ameongea point sana. Hata mimi huwa kuna muda najiuliza maswali haya. Kama nchi Haihitaji Vyama vingi Bora tuviondoe tubaki na chama kimoja maana CCM na Jeshi la Polisi wanahisi mtu kuwa mpinzani ni kuwa adui wa serikali na Nchi
oscar nimekuelewa kabisa
JESHI LA POLISI HALINA AKILI. WANAHITAJI WAKAPIPWE MACHIZI KABISAA
SASA TANZANIA TUNAANZA KUPATA WATANGAZAJI WALIOLETWA NA MUNGU
Mambo ya vyama vingi duniani yamefeli,asilimia kubwa hasa africa wapinzani ni wahuni tu hata kama sio wote.wewe bro umeongea vizuri sana👍,angalieni cina,corea,nk,mfumo wao umewasaidia vipi wananchi hasa masikini🤔
Oscar mimi naona kama ikatokea tumeondoa vyama vingi basi ujue ndio kutatokea na vita kubwa sana ya kisiasa kwani wasomi wa siasa wengi waliopo ndani ya vyama vingi nchini wanauhitaji sana uongozi ndani ya selkali na hapo ndipo utakapoona vita ya wasomi ndani ya selikali
Hao police wamefanya. Lkn sio kweli yanayofanya. Watathibitisha nn Sasa hapo wakati ushahidi wa kufanya hayo upo
Bora ww unajitambua,nahisi utafika mbali.Polisi.bado hawana haki ya kuwapiga wapinzani,hao ni viongozi kama viongozi wengine mf Akina majaliwa.Mbowe ni kiongozi tena mzito kuliko hata hao wao polisi wanawatuma
Jibu ni hapana
Ngoja tumsikie rais wetu atasemaje
Katika hii rendo huyu oscaoca ndo sio chawa
Police wa Tanganyika wapo au wa cm
Kaka polisi wataongea nn zaidi yakujitetea alafu polisi hawatetei mwananchi
Oscar unaongea vzr unategemea polisi watoe taari😂fagani kwa kuuniza viongozi wa chadema????????? 3:37
Haki. Na. Ubaya. Vita
Mwamba wa Kaliua unanafasi yako Mbinguni. Kazeni hapo hapo
Sidhani chama kimoja tu ccm
Oscar mdamwingine unaongea kama mtu
Oscar gombea ubunge
Mhuni ni Yule aliyelala na mama yako.
acha kutetea ujinga!!hakuna uhuru usikuwa na mipaka,upinzani siyo kufanya unavyotaka,lazima ufuate sheria!!
kama wanekataa kutii sheria bila shuruti;eti unataka kupambana na polisi kwa kisingizio cha UPINZANI!!
Huyu anaongea sana. Na wasipokuwa nae makini iko siki Wasafi itakuja fungiwa tena kwa sababu yake.
Ww mweu mavi ,usiejitambua pumbavuu zako we kenge
Hayajakukuta NDG yangu .usiombee ukakamatwa
@@aaa64sa13hivi nyie mnatokeaga wapi...nchi imekaa kiuwoga kwasababu ya watu kama nyie