Hakika huu wimbo ni mtamu, wimbo wa marejeo. Ni wimbo pendwa hapa shuleni Elite - Kisongo arusha. Asanteni sana temeke SDA choir. Bila shaka Elite SECONDARY SCHOOL choir tuna jambo la kujifunza kutoka kwenye muziki wa kiadventista. Mungu awabariki. Tujiandae sote Bwana yukaribu.
Ningeomba makanisa yote ya Sda yangerudi katika utaratibu wa uimbaji huu. Ila ndio kwanza yanazidi kupotea!! MBARIKIWE SANA SDA TEMEKE Kwa kubaki kwenye Uimbaji wa KRISTO 🤝
Kuna vitu vingi sana vya kujifunza kutoka kwenye hii Kwaya: 1. Mwonekano mzima- Uniform ni nzuri, lakini pia hata wanakwaya wenyewe wamependeza pasi na mapambo ya nyongeza. 2. Kuuvaa wimbo...furahi panapostahili kufurahi. 3. Utamkaji mzuri wa maneno., 4. Mpangilio mzuri wa sauti.. Unaweza kuendelea ukipenda.....Temeke SDA Choir inastahili kuwa Reference ya Muziki wa Kiadventista.
Dr kwa Unyenyekevu na heshima sana, tunapokea maneno yako kwa utukufu wa Mungu wetu aliye juu. Sita zote zimrudie yeye Baba wetu wa Mbinguni. Asante sana
Tena tena kila jicho litamwona. Mumenibariki sana Temeke. Mumeutendea haki huu wimbo. Hongereni sana nawaona na wakina John bado wakimtumikia Mungu kwa uimbaji
Mliumba wimbo huu kwenye makambi yetu Doonholm Nairobi siku ya sabato. Ulinigusa sanaa. Baraka tele ❤
Barikiwa
Hakika huu wimbo ni mtamu, wimbo wa marejeo. Ni wimbo pendwa hapa shuleni Elite - Kisongo arusha.
Asanteni sana temeke SDA choir. Bila shaka Elite SECONDARY SCHOOL choir tuna jambo la kujifunza kutoka kwenye muziki wa kiadventista.
Mungu awabariki.
Tujiandae sote Bwana yukaribu.
Asante sana
Ningeomba makanisa yote ya Sda yangerudi katika utaratibu wa uimbaji huu. Ila ndio kwanza yanazidi kupotea!! MBARIKIWE SANA SDA TEMEKE Kwa kubaki kwenye Uimbaji wa KRISTO 🤝
Ubarikiwe nawe pia.
This is the pure SDA choir amen the remnants
Asante sana na Amina
Yes for sure
Ishara zote sasa hivi zaonyesha kwamba Yesu yu karibu kurudi je tuko tayari kumlaki amen waimbaji🙏
Amina Amina
Naombeni no za walimu jaman
Blessed Sabbath 6th April 2024. Please upload more.aven audios with do 😂🎉🎉🎉❤❤❤❤😅😅😅😊😊😊
🙏🙏🙏
Mko juu Mungu azidi kuwainua
🙏🙏🙏🙏🙏
Yaani hata ubungo hill hawafui dafu. Ninachowapendea kwaya hii, ni kule kuimba na watu wazima na heshima zao.
Acha mashindano wewe..Kila kwaya ina kitu chake unique kinachoitofautisha na nyingine..
Kwa ajili ya Mungu, mbarikiwe sanaaaaaaaa
Amina nawe Ubarikiwe sana
Hongereni Sana Temeke. Sijamuona Julita sauti ya pili
Ubarikiwe pia. Julitha yupo na ameimba hapo, muangalie vizuri utamwona.
The best song ever..Am blessed..Endeleeni kupaza sauti kwa nguvu
🙏🙏🙏
Temekeeeeeeeeeeeeeeeee oyoooooooo solo listi hatareeeee
🙏🙏🙏 Asante sana
Kuna vitu vingi sana vya kujifunza kutoka kwenye hii Kwaya:
1. Mwonekano mzima- Uniform ni nzuri, lakini pia hata wanakwaya wenyewe wamependeza pasi na mapambo ya nyongeza.
2. Kuuvaa wimbo...furahi panapostahili kufurahi.
3. Utamkaji mzuri wa maneno.,
4. Mpangilio mzuri wa sauti..
Unaweza kuendelea ukipenda.....Temeke SDA Choir inastahili kuwa Reference ya Muziki wa Kiadventista.
5. Kumbe kuna uwezekano wa kufanya Video shooting nzuri na yenye viwango vizuri kwenye same location!!
Dr kwa Unyenyekevu na heshima sana, tunapokea maneno yako kwa utukufu wa Mungu wetu aliye juu. Sita zote zimrudie yeye Baba wetu wa Mbinguni. Asante sana
@@dr.alexmagufwa9131 kweli inawezekana sana kama ulivyoona kwenye kazi yetu hii.. Ubarikiwe sana
Amen amen, Yesu atarudi tena
Amen na kila jicho litamwona
Asante sana kwa wimbo mtamu kama na huu wimbo wa tumaini kwetu
Amina
tena tena yesu anakujaaa
GOD BLESSING🙏
Amina sana
you have no idea how my heart is blessed by this song! God bless you
🙏🙏🙏🙏
Tena tena 🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana mbarikiwe mnoo
Amen, ubarikiwe pia
Nice song Temeke songa mbele
@@deborahmgolemasatu8505 🙏🙏🙏🙏
Thanks brethren for singing the really Adventist way without dancing.
Amen! Amen.
💯 I agree with you
Kabisa Yesu anakuja, tujiweke tayari🙏
Amina
Aminaaaa🙏🏿🙏🏿🙌🏿🙌🏿
Amina sana sana sana
Kila nikidownload sauti na mdomo vinaenda tofauti. Aliyeupata vizuri nauomba jaman
Pole sana. Hakikisha unalike na kusubscribe
Safi sana songeni mbele
🙏🙏🙏
Wooow🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏
Wasabato oyeeeee
🙏🙏
again jesus returns to fine song
Yesu anakuja ❤
Na kila jicho litamwona
Namuona silas onditi apo mama love nawapenda jamani
Naam, ndio wenyewe wanamuimbia na kumtukuza muumba wao. Asante sana kwa upendo wako kwetu. Karibu tuimbe wote Kwaya yetu
Tusaidie pia kuusambaza kwa wengine.
Be blessed ...huu ndio uimbaji wa watakatifu wa Mungu
Asante sana na Amina sana
Huu wimbo hua unanisisimua Sana hisia zangu
Burudika na Yesu
Huu wimbo unanibariki sana ubarikiwe tena tena yesu atarudi Hallelujah
wow nice god blessing all
🙏🙏🙏
Wow wow wow
@@maureenkerubo6347 🙏🙏🙏
The best song ever for me!, Mbarikiwe sana Temeke SDA Choir!!
Asante sana, nawe Ubarikiwe sana
Thank you for maintaining our Adventist standards.. keep up. Don't be swayed na mitindo ya kizasa
Asante sana mtumishi. Tuombeane
Mbarikiwe sana
🙏🙏🙏🙏
Mbarikiwe 🙏
Amen
AMEN
Amin
Its clear you have Adventist ethics very very rare now let your local church keep it up
Asante sana mtumishi
Praise jehovah God
🙏🙏🙏
Mbarikiwe sanaaaaa 🥰🥰🥰
Bwana apewe sifa
Amen
Wow Huu wimbo Aisee🙏🙏
Naam
Amen
Amen
Wimbo mzuri sana
Bwana apewe sifa
Praise God
🙏🙏🙏
Temeke SDA choir well done 👍 may GOD BLESS you all team
Asante sana nawe Ubarikiwe sana. Karibu sana
Bravo
🙏🙏🙏🙏
Napenda idadi yenu, mvumo, mahudhui, ubunifu neno tena tena, nidhamu, uchangamfu, matamshi, good
@@erastochingoro7128 Asante sana mtumishi
Tena tena hakika atarudi
Atarudi tena, Asante sana
Mbarikiwe
Amen sana
Amen.
Amen
Amen🙏🏽🙏🏽
Amen
Amen YESU analudi soon
Amina anarudi tena
Hallelujah
Hallelujahaaaaaa
🎉🎉🎉
👍
nazipataje kazi zenu?
Unapatikana wapi? Ni kwa mawasiliano ivi tukiendelea unapata
Amina🔭🔭
Mungu awabariki
Amina sana Dada
@@geofreyirumba186 Amina sana nawe ubarikiwe sana
Tena tena kila jicho litamwona. Mumenibariki sana Temeke. Mumeutendea haki huu wimbo. Hongereni sana nawaona na wakina John bado wakimtumikia Mungu kwa uimbaji
@@zanzibarhebronchildrenchoi1756 Asante sana, bado wapo wanamtumikia muunba wao pumzi ingali ingalipo
💥💥💥💥💥
Am blessed. Kindly upload more
🙏🙏🙏🙏
Yaani hata ubungo hill hawafui dafu. Ninachowapendea kwaya hii, ni kule kuimba na watu wazima na heshima zao.
Amen watu wangu and God bless you
Amen
🙏🙏🙏