Mbarikiwe watumishi wa baba. Hakika, sauti zimetulia. Video bora. Hongereni kwa kweli. Mwenyezi Mungu aendelee kuwatumia kwa kadri itakavyowezekana. Endeleeni kufanya kazi ya Mungu kwa juhudi zote.
Am happy to see some faces that have been consistent in this choir since 2003,am also happy to see new faces in 2023.l pray God give you more energy,resilience, unity in serving Him.
Others from 1995! When one sings,hazeeki! The reason why mwalimu Kibasu looked younger than his real age! The word of God is like oil that nourishes His pple.
Long live the King.....the narrative used for kings and those in power.....but for Samson his legacy in singing lives on.....be blessed for doing justice to this song. There is no other way he could have sang😅 it. Be blessed
Haleluya, Haleluya, Haleluya! Bwana Awabariki siku zote pamoja na vizazi vyenu katika jina la Bwana Yesu aliye hai
Oh hallelujah nimebarikiwa na wimbo huu! Mungu anatutoa mbali ! Hakika
I'm happy kuona sura ngeni ngeni. Aminaaaa..siwezi peke yangu. Mbarikiwe.....
Ila Mimi sitaridhika endapo sitapata NYIMBO ya ninapata furaha kuitwa mwana wa mungu
Bwana nimwema sanaa karibuni wapendwa kwa nyimbo nzuri ubarikiwe
Haleluya
Siwezi siwezi peke YANGU nanga YANGU naiweka kwa YESU
Mbaririkiwe
Mungu awabariki nakumbuka mbali Sana nikiwa PF... Dada Ritha hongera, salaam kwa mdg wako rafk yangu wa cku nyingi Angel
Siwezi kwenda peke yangu nikumbatie Mwokozi
Nanga yangu naiweka kwako... Amen. A sincere prayer from the late Kibaso S. 😞😣
Mungu awabariki mnapoomba kwa ajili ya kwaya hii
Sina sababu yakunyamanza kimwa bado niko hai,Amina mbarikiwe sana
Amen Kurasini kwa wimbo mzuri hakika hatupaswi kusahau wema fadhili na Rehema za Mungu
Nisisahau Wema na Fadhiri Zako kwangu Jehova...
Nje kuna mbwa mwitu wa kali,siwezi kwenda pekee yangu. Amina
Ooh glory to God tunashukuru sana wapendwa mnatutia moyo, hakika jina la Bwana litadumu kuinuliwa. Bado tuna video kali zinakuja
"malaika wafanye kituo ndani yangu" inamaanishaje...naomba nielezewe
Hongereni sana kwaya yangu Pendwa kwa ya kimataifa,kazi nzuri sana wimbo mzuri sana.
Quality Video,Quality Vocal Bwana Na Awabariki sana
Nikumbeshe Yesu,parna Nyasaye
Mmeimba vizuri mbarikiwe
Amen Amen Amen 🙏 God bless our choir even the spirits of mwalimu r happy more so God loves u as u kip blessing us with songs
Mungu ni mwema sana tunawashuuru kwa kutuombea
Tutubu dhambi zote naye Jehova atatuhurumia
Tukumbushe Yesu ulipotutoa
Amen mtumish
Kurasini my all time choir since early 90s Mungu azidi kuwabariki .
Mbarikiwe watumishi wa baba. Hakika, sauti zimetulia. Video bora. Hongereni kwa kweli. Mwenyezi Mungu aendelee kuwatumia kwa kadri itakavyowezekana. Endeleeni kufanya kazi ya Mungu kwa juhudi zote.
Nikumbushe Jehova uliko nitoa
Am happy to see some faces that have been consistent in this choir since 2003,am also happy to see new faces in 2023.l pray God give you more energy,resilience, unity in serving Him.
Others from 1995! When one sings,hazeeki! The reason why mwalimu Kibasu looked younger than his real age! The word of God is like oil that nourishes His pple.
In Africa your only in my ❤️
Bwana awabariki mafark zangu Bwana asiwapungukie
Mungu awabariki Sana mnapoiombea kwaya hii
A consistent choir,l love and get blessed whenever l listen to your songs
May God continue to bless this family 🙏
Mungu awabariki kwauhimbaji
Hongereni sana wana Kurasini Mungu atukuzwe
My favorite and powerful song. Mbarikiwe🙏
This choir is a blessing to me. Keep it up working for the Lord.
Amina, nikumbatie nisiende peke yangu Yehova 🙏🏽...mubarikiwe wanakurasini
Barikiweni sana, watu wa Mungu kwa kazi nzuriiiiii
Aminaaaa siwezi siwezi nangaa yangu iko Kwako ....❤❤❤
WIMBO SAFI SANA
Malaika wafanye Kituo kwangu Bwana...
MUNGU awabariki Sanaaaaaaa Kurasini jmn❤
Thank you so much kurasin for doing another of kibaso's songs. You speak to the heart through your singing. Love from kenya
This far it's you Jehovah 🙏
ELOI. Nashukuru.
Bwana awazidishie❤
Asanteni.
Mungu asifiwe ndunia yote
Every time a new style from you guys. Mungu atukuzwe
Amina🙏
May God continue using this ministry zaidi na zaidi
Am blessed
safi sana nice video keep it up
Barikiweni sanah❤
Amen, msonge mbele
Amen 🙏 🙏
My favorite song
Thank you for the video
Sabato njema kutoka 7777777
Long live the King.....the narrative used for kings and those in power.....but for Samson his legacy in singing lives on.....be blessed for doing justice to this song. There is no other way he could have sang😅 it. Be blessed
Wow! Am happy enjoying songs from the old kurasini,come one come all we renew the church of God
Mwache Mungu aitwe Mungu
Tunabarikiwa sana
My favorite song this year
Aminaaa waimbaji mungu awabariki sana waimbaji
Halleluya Bwana jina lako litukuzwe milele
I must listen to this song each morning before leaving the house. A powerful prayer
Mbarikiw sana
Mbarikiwe mwe na sabato njema
🙏🙏🙏🙏🙏
Bwana awabariki sana
Mmenibariki sana
Glorious to God, barikiweni sana kwaya pendwa, adumu nanyi katika utume
Amen amen such wonderful 🙏 song 🎵 mbarikiwa kurasini
Mungu awabariki sana waimbaji
Bwana awabariki sanaa
Glory to God. Nanga yangu naiweka kwako🙏
My all time choir God's blessings
Amen,",Nikumbushe baba."very powerful message,be blessed saints for that,glory be to God.I'm watching from kenya.
Nimebarikiwa
Mbarikiwe watu wa Mungu
Mungu awabaliki sana
Mungu atukuzwe; hongereni sana
Nice song
Aminaaaaaaa barikiwa waimbaji
Utukufu Kwa Mungu juu, haleluya
The only problem I have with this song is, it ends❤❤
Amina mbarikiwe sana.
❤ Aminaaa
How I love this song, remind me sweet Jesus lest I forget
Glory be to God ,mwalimu amerudi
Be blessed kurasini
Nawapenda sana
Consistency and powerfull message for each song make most of us to admire your beautiful songs keep it and God bless you
Happy Sabbath from 7777777
beautiful,mnaweza kunambia Kuna member wa hii choir alikuwa mwalimu nadhani alikuwa na cheo gani maana kaongelewa sana
member gani huyo rafiki
@@johnsonsebastian3248 kafariki nadhani siku za karibuni!!
Mungu awabariki
Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
❤❤❤
What a heavy blessing (the rythm,the sound,the meaning though l don't know the language aaa it's full of holy spirit
Amen and amen be blessed
One of my choirs that Iloved most , God be with you brethrens
What a blessing Kurasini
🙏🙏
God bless you my all time choir.
This song really blesses me.