Mungu awape nguvu za kumtumikia ktk kueneza neno kwa njia hii ya uimbaji ..nabarikiwa sana kila ninaposikiliza nyimbo hizi hongera sana mwalimu pamoja na waimbaji wote...tutangaze neno milele AMEEEEEEEN
mwl mzuri had waimbaji kwa kweli wote wanaimba kwa kujiamini sana ,na kumaanisha Mungu awabariki sana ,ila naomba kama itawezekana nije tu dar siku moja niimbe nanyi hata wiki mzima,me ni mkkkt na ni mwimbaji japo kwa mnavyo imba kwa kweli hatuwafikii hata robo
To God be the glory. Temeke choir, you have nailed this song. The person or team who arranged the music, you are truly blessed; the skill is on another level. 👏 Kudos! This is a true reflection of determination, hard work, and consistency. Keep up the good work, Mwalimu Mussa and team. It pays to serve the Lord. I'm extremely inspired and blessed. 🙌'
Now I fil you guys. Unajua kwa idadi yenu ya wanakwaya hizo ndio nyimbo mnastahili kuimba. I love you guys sana sana sana. Tumuimbie Mungu hapa kisha mbinguni. Love love love yoy guys
Asante sana mtumishi wa Mungu, Asante sana kwa upendo wako kwetu na Asante sana kwa ushauri wako, nawe Ubarikiwe sana na tunakutakia pia utumishi mwema na uliotukuka katika shamba la Bwana. Amina sana
Such a Classical Masterpiece!! I can feel that it took several months to create this jam and other several months to teach it. May God bless this team. Amen
Mmekosa yale mafile tu mngefanana na wale Handel chorale mass, lakini na policy ya kanisa nayo kuwa ngumu, kama mngeandaa concert wazungu wangejaa na tukapata mafedha ya uhakika na kufyatua kitabu cha tungo za kiafrika, watu wetu wakasomwa ulaya kama akina Odhiambo,Mdemu na Mzee Mapunda sijui kama yupo na Malima.
Naam, hii Kwaya ipo hapa Tanzania, Mkowa wa Dar es salaam. Ni Kwaya ya Kanisa la wasabato Temeke. Iko wilaya ya Temeke mkabala na kituo Cha polisi Cha Chang'ombe Temeke. Karibu sana kanisani kwetu Temeke.
Apart from the he movements in this song that really carry me...am so happy that it is being sung to God almighty in Swahili our local language,huu unaoimbwa kwa Kiswahili unafutia sana sana sana
Sasa SDA hapa ndipo penyewe, mmenigusa Sana. Mimi ni Musician na haya nimeyasomea kabisa. Padre Mkatoliki nawapongeza Temeke SDA
Asante sana mtumishi, Ubarikiwe kwa kuguswa na uimbaji wetu.
Ooòhoooo Amen Haleluya .huuu ni muziki wa injili na usanii mkali mno uliotukuka..chukueni hizi nyota tano 💥💥💥💥💥👉👍🌎
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Uimbaji huu huwezi jiita star wa kusolo hapa NI akili na nguvu
Mungu AWABARIKI Mungu atukuzwe
Ubarikiwe nawe pia Amina
Mungu awabarikiii saaana,najuta kuchelewa kuwafahamu.Utumishi mwema mnaoufanya Mungu asiwaache...Beautiful melodies ever❤
@@wingracealfred1978 Amina sana mtu wa Mungu, nawe ubarikiwe pia. Asante sana
Najivunia kuwa member wa SDA..Hengera 👏👏👏👏
Amina sana. Tusaidie kushare pengine
Sijuwi kwanini sikuwafahamu mapema nimebarikiwa na uwimbaji wenu Mungu awabariki. toka Africa ya kusini Estcourt KwaZulu-Natal
Karibu sana Temeke
Mungu awape nguvu za kumtumikia ktk kueneza neno kwa njia hii ya uimbaji ..nabarikiwa sana kila ninaposikiliza nyimbo hizi hongera sana mwalimu pamoja na waimbaji wote...tutangaze neno milele AMEEEEEEEN
🙏🙏🙏🙏
Hongereni sana Temeke SDA kwa uimbaji huo wa viwango. Ninaomba nipate nota za huu wimbo ili kwaya yetu nayo tupate kujifunza
Asante sana. Tuwasiliane tu ili uweze kuupata
Utqnitumia namba yako ya whatsup ili tuwasiliane
Hongereni Sana jamani nisaidieni mawasiliano ya mwl basi
@@edinashigela4422 0767630658
Wow.. mwalimu mkatoliki ...mmeguza ndipo....those vocals.... moto sana
@@PATRICKKYALO.SacredVoicesKenya 🙏🙏🙏
Kwa kweli nyie ndo wa sabato mko vizuri Sana nimependa Sana uimbaji wenu
@@JofreyDaudi-w7y 🙏🙏🙏🙏
Hizi ndiyo nyimbo sasa, hongereni sanaaaaa kwa kumsifu Mungu kwa akili.
Asante sana na Amina sana
nazidi kuwapongeza sana temeke sda
mwl mzuri had waimbaji kwa kweli wote wanaimba kwa kujiamini sana ,na kumaanisha Mungu awabariki sana ,ila naomba kama itawezekana nije tu dar siku moja niimbe nanyi hata wiki mzima,me ni mkkkt na ni mwimbaji japo kwa mnavyo imba kwa kweli hatuwafikii hata robo
Amen.Amen.What more can I say other than Amen.Mbarikiwe sana for such powerful singing.Being blessed here in🇰🇪
@@felixdumu254 🙏🙏🙏, Asante sana
Amen is all I can say because I am so blessed with this timely message from Temeke wahubiri wa kwanza Mungu awabariki sana Wahubiri wa kwanza.🙏
🙏🙏🙏🙏🙏
hongereni sana temeke kazi nzuri
🙏🙏
Halleluya, Bwana Yesu asifiwe, Nimebarikiwa, Wimbo mtamu injili kweli
@@joyceobwocha5961 🙏🙏🙏
To God be the glory. Temeke choir, you have nailed this song. The person or team who arranged the music, you are truly blessed; the skill is on another level. 👏 Kudos! This is a true reflection of determination, hard work, and consistency. Keep up the good work, Mwalimu Mussa and team. It pays to serve the Lord. I'm extremely inspired and blessed. 🙌'
@@christonciaeliazer7625 🙏🙏🙏🙏
Tanzania is exceptional on all music levels in Africa
Amen Brother.
Very very true
Mungu awabariki kwa huduma yenu. Sabato njema.
🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri, hongereni sana
@@shanelkomba1887 Asante sana
Amen Mungu awabariki sana
@@KimilaSayi 🙏🙏
Mungu awabariki sana Temeke mnanibariki sana na uimbaji wenu
Amina sana na endelea kubarikiwa mtu wa Mungu
aise jaman hii kwaya Iko kiwango kikubwa sana du
🙏🙏🙏🙏
Amina mbarikiwe sana 🎉
@@joycemanza 🙏🙏🙏 nawe ubarikiwe sana
Hongeraaaa.....
May God's name be praised now and forever ❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏
Much love from Zambia
🙏🙏🙏
Mungu ametukuzwa kweli kweli mbarikiwe sana 😊
Amina sana
This is awesome Mungu awabariki temeka
Asante sana 🙏🙏🙏
Waaaoo hengereni sana temeke, kw wimbo mmeimba kwa kiwango. Mwalimu ubarikiwe na Bwana awaongoze.
Asante sana na ubarikiwe. Amina
Now I fil you guys. Unajua kwa idadi yenu ya wanakwaya hizo ndio nyimbo mnastahili kuimba. I love you guys sana sana sana. Tumuimbie Mungu hapa kisha mbinguni. Love love love yoy guys
Asante sana mtumishi wa Mungu, Asante sana kwa upendo wako kwetu na Asante sana kwa ushauri wako, nawe Ubarikiwe sana na tunakutakia pia utumishi mwema na uliotukuka katika shamba la Bwana. Amina sana
Nimependa Sana huu ndo uimbaji Yesu ameinuliwa naamini hata malaika mliimba pamoja nao barikiwa sana
This is owesome ..we did it english but mmeiva
@@julius795841 Asante sana, uko wapi mtumishi wa Mungu
Mko vzriiii sana 🎉
🙏🙏🙏
Amina
Hii ndo yenyewe barikiwa watoto wa yesu
Amina
I'm blessed 🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Such a Classical Masterpiece!!
I can feel that it took several months to create this jam and other several months to teach it.
May God bless this team. Amen
😂😂😂😂 🙏🙏🙏🙏🙏
Kwaya yangu tangu utotoni. Nabarikiwa sana.
Amina sana Ubarikiwe sana na Kwaya yako ya tangu utotoni.
Hallelujah...nimependa sana uimbaji wenu.mbarikiwe sana
🙏🙏🙏🙏
Aiseee😮🔥🔥🔥❤️
Asante sana
🙆🏾 Speechless 🔥 🔥
🙏🙏🙏
Mnanibariki Niko NGF naomba mawasliano na mwlm
Asate saa, endelea kubarikiwa. NGF ndo wapi mtumishi. 0767630658 namba ya mmoja wa walimu
Am blessed with the song .... stay blessed my church
🙏🙏🙏🙏
Temeke mnapiga Muziki wa shule, hongereni sana. Mmekuwa mkinibariki tangu kitambo
Asante sana mtumishi, barikiwa sana na karibu sana
Tangu enzi za "umhofu nani, Bwana yu mbele.......Omba Asubuhi omba mchana......"
@@dr.alexmagufwa9131 Asante sana
Dada ever Mungu akubariki
Amebarikiwa na anaendelea kubarikiwa nawe Ubarikiwe sana. 🙏🙏🙏🙏
Mnafuata sana uimbaji wa kimziki
Amina sana na Ubarikiwe sana
I love this be blessed Temeke
🙏🙏🙏
Kama taa...exceptional swahili version! Mungu awabariki.
Amina. Nawe Ubarikiwe
MUNGU AMETUKUZWA KUPITIA WIMBO HUU,MBARIKIWE SANA,NAWAPENDA SANA
Asante sana na iwe Amina. Tubarikiwe sote nawe Ubarikiwe sana
Amina Mungu awabariki mfike mbali Sana
Amina
This is it. You have nailed it. Glory to our God!
🙏🙏🙏🙏
Exact....Handel would be very proud
🙏🙏🙏
Aseee!!🙌🙌
Naam
This reminds me a lot
Ok
Fantastic i love temeke . good singing wow!❤
Asante sana
Praise God! This is Classical music
Amina
Wooow...imeweza....Handel
Asante sana na Amina
Wow! Kudos
🙏🙏🙏🙏
nikisema Sana nitaharibu. it's fanastic
Tunapokea kwa Unyenyekevu, Asante sana
Binafsi napenda uimbaji wa aina hii
Amina sana, Ubarikiwe kwa kuenda uimbaji wa aina hii kama ya kwetu
Amen and happy Sabbath
Hongera sana
🙏🙏
Such a rare and exceptional music in our region. Hongereni sana.
Asante sana
Wow, wow, awesome!
Beautiful singing! Hongera! To God be the Glory!
Asante sana 🙏🙏
Hizo nondo
Amen
🙏🙏
Barikiwa sanaaa kwa kuimba vizuri
Amina na Asante sana
Powerful. Beautiful.
Asante sana na Amina
🔥🔥 Hongereni sana watu wa Mungu..
Asante sana mtu wa Mungu
I love it...amen
🙏🙏🙏
This is music wow! Thank you temeke
Asante sana, barikiwa.
from soprano mpk bass wako kiwango kikubwa sana
Niko Arusha boss
Amen Amen Amen
🙏🙏🙏
Hii song unaweza tolea posa haki
🤣🤣🤣🤣🤣 we jamaa. Barikiwa na wimbo
Wow wow….
🙏🙏🙏🙏🙏
Amen amen
🙏🙏🙏
Wow so heart touching 🙏i can't feel when watching
🙏🙏🙏🙏
Hizi tunazihitaji pia
Utazipata tu mtumishi
Mmekosa yale mafile tu mngefanana na wale Handel chorale mass, lakini na policy ya kanisa nayo kuwa ngumu, kama mngeandaa concert wazungu wangejaa na tukapata mafedha ya uhakika na kufyatua kitabu cha tungo za kiafrika, watu wetu wakasomwa ulaya kama akina Odhiambo,Mdemu na Mzee Mapunda sijui kama yupo na Malima.
Walimu wote hawa unaotaja rafiki naomba hats no ya mmoja wao tafadhali
So amazing❤
🙏🙏🙏🙏
So sweet song
🙏🙏🙏
Safi
🙏🙏🙏
Amen.
🙏🙏
Safiiiiiii
sifa kwa Bwana
nakuja kujiunga na nyie walahi mnaimba Hadi napatwa na upako
Karibu sana. Uko wapi Ndg yangu
Wonderful
🙏🙏🙏🙏
hii kwaya ipo hapa hapa Tanzania jamn ?
Naam, hii Kwaya ipo hapa Tanzania, Mkowa wa Dar es salaam. Ni Kwaya ya Kanisa la wasabato Temeke. Iko wilaya ya Temeke mkabala na kituo Cha polisi Cha Chang'ombe Temeke. Karibu sana kanisani kwetu Temeke.
mko vzr sana du
Asante sana
Amen 🙏🏿 🙏🏿
🙏🙏🙏🙏
Vizur
Bwana apewe sifa
Dahh
Naam
Mungu mwema nafarijika sana kusikia nyimbo za temeke ✋✋✋✋✋✋✋✋✋
@@samsonmkongwi7134 karibu sana Temeke
Mbarikiwe watu wa Mungu
❤❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏
Woi woi
Naam, Naam.
Amina
🙏🙏
great
@@opiyobryan2436 🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏🙏
Tunaomba kwenye fainali mkaimbe huu wimbo Yanga 😂😂😂
Hahahaha!
Tukipewa mwaliko tutawaimbia tu, neno la Mungu litakuwa limezidi kupenya kwa namna hiyo pia.
Apart from the he movements in this song that really carry me...am so happy that it is being sung to God almighty in Swahili our local language,huu unaoimbwa kwa Kiswahili unafutia sana sana sana
Asante sana sana kwa kuvutiwa na wimbo vile tulivyouimba na kuufanya uwe hivyo ulivyo, zaidi kubarikiwa sana hata na nyimbo zetu zingine pia.
What!!!!!!!!!!!!!
Nisaidie kuusambaza kwa magroup zingine huko. Wape link
💓💓
🙏🙏🙏
Awesome 👍. Was this a live performance??
Asante san
👏👏
🙏🙏🙏
Uimbaji wa biblia
🙏🙏🙏🙏
Mko vzriiii sana 🎉
🙏🙏🙏🙏