Professor Jay Feat Ndelah - SHEMEJI SHEMEJI (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 10 гру 2023
- #ShemejiShemeji #ProfessorJay #Ndelah
Shemeji Shemeji by Professor Jay Feat Ndelah (C) 2023
Shemeji Shemeji OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
BoomPlay: www.boomplaymusic.com/share/ar...
MKITO: mkito.com/artist/1111
iTunes: itunes.apple.com/us/artist/pr...
Spotify: open.spotify.com/artist/1Q5oC...
Dezeer: www.deezer.com/us/artist/4096310
Written & Performed by: Professor Jay & Ndelah
For Bookings: ProfessorJaytz@gmail.com
Follow Professor Jay on:
/ professorjaytz
/ professorjaytz
/ professorjaytz
Ishi myaka yote Mwamba,, Niko upande wako ,, Mwenyezi Mungu azidi kukuponya
Pro❤
nyimbo nzuri sana
Good music 🎶👍
Wapi wale wa pr jay 🎉🥳🥳👑 like zenu zije
Hiii ni Kali zaidi kiba ingebidi akae kwenye hili Ngoma but jamaa kauwa 🙌🎧
Support from kenya
Pole sana mh: Josephu Haule na hongera sana kwa kuanzisha foundation yako hakika unastahili kuingwa katika Taifa letu mungu aendelee kukulinda
Wa kwanza like zang
❤❤❤❤❤
Let's Go To Support Our Legend Is Back And Listen More Time This Album Is Another Level 🎉🎉🎉🎉
Big up sana nguli mungu yupo na wewe na sisi fans wako tunakuombea
prof mungu akuponye chief hii sauti inahitajika bado kwenye game
Shemeji anataka mdufureeee
Mungu ataku saidia
❤❤❤
Tulimiss Xan Laza Yako Our Legend Kikubw Uzima Tushkr Mungu Kwa Kukusimamisha Tena Natunaomb Kwa Mollah Uzidi Kuhimarika Zaidii🙏🙏🙏🙏🙏🙏
gggggggggggggggooooooooooooooooooooooooood music !!!!lall we need
Mistari imekaa vizuri na yenye kuelimisha.. dah
Good music
Goody my brother. Pole pia Kwa maradhi yaliyokukumba
Safi sana
Mungu akuponye sana zaidi ya yote urudi Kama zamani professor jay
Mwenyezi Mungu akuponye mh. Mbunge wa binadamu na wanyama
jay is a vibe
Big tune
Ngoma Kali na Ujumbe ni mzuri xaaana 👊👊Jay keep it up
Good Music
Congratulation professor jay
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥get well soon Jay
Mr Professor, The remaining Legend I know kwa game Ya Hip HOP
Professorr wewe ndio Shujaa wa Hip Hop umebakia
Lots of love from Kenya🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Remember this Professor Jay sound is after the throat suggery.Definition of a real legend.
Mr.heavyweight🎉
Wooow!! saut iko na mabadliko makubwa mno kutoka siku 462
Daah nimefarijika kusikia sauti ya mkuu 🙏🙏
Legend never die🔥🔥🔥🔥✊✊✊✊
Nkbl jay unajua
Kazi mzuri bro🎉🎉
Very nice song congratulation bro
Chorus is anoteher level
Ndelaaaa ni nomaa
Huyo Ndellah ni mtu mbad sana anachelewa wap
Profesa kama kawaida kuua
The story music
Being professor jay is not easy.....LEGENDARY💥💥💥💥
welcome anytime pr j
Legends never die.....welcome back Prof J❤❤❤❤
🎶🎶🎶🎶
Daa Prof uko juu..God mponye kabisa❤
Mungu nimwema siku zote hakika nimeuona mkono wake ishi sana kaka Mungu aendelee kukuponya 🙏🙏🙏 big song💣💣🔥🔥
Legend
Nyimbo Nzuri
Amennn❤❤❤❤🎉
Mungu anampang mwem na ww broo kilichobaki ni kumtumikua tuu mung akusimamish tena
Legend is always a legend what great song 254 ndani kabisa
All the way from Zenji#Marashi ya Karafuuu....🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌❤
🦅
Kuanza upya sio ujinga😢kazi safi mwamba
🔥🔥
NDELAH's voivce❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Legend is back congratulations prof.jay
Imekaa poa, big up sana prof.j mungu atazidi kukulinda
Respect legend
Sifa na shukrani zimwendee jaalia,Yaani hakuna alieamini ungesimama na kutoa ngoma Tena ..Mungu mkubwa
Kwel Kbs Mungu Mkubwa
Kongole sana kwako mkuu. Proj
Hip hop hii tuliikosa miaka mingi sana. Elimu kubwa
Pr....😂😂shemejiiiiii
🔥🔥🔥🔥
What a message
The living legend #professor_Jay ni shule mzima
Old is Gold, Nice Track❤
Mwana muziki muze waku njuwa ku tunga ma neno kama harmonizi ni wewe uli mu zaa hamo mungu akupe maisha muze nina ku penda sana ni EL KACH tokeya DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Respect
God has a reason to make sure. You're alive
I C O N ✌
Nyimbo yangu pendant from now imenigusa sana.
The real talent from above. Live long Prof
Shemeji shemeji Ndo habar ya Mjini Imenikusa Hatar sna😢
asante sana
hii ngoma kali kinoma
Daaah unyama ni Mwingi umu ndani mungu akupe maisha marefu prof jize
What a way to deliver the Much Needed information in our Societies...Big up prof..na dogo kwenye chorus ameweza...
Prof Jize🔥🔥 Music = Therapy
mwanalizombeeeeeee
King 👑👑👑
Legend ⭐
Kipaji halisi
Legend......💪💪💪Professor Jay............WELCOME BACK!!!
This is what we call content
🎉🎉🎉🎉💯🔥
😢😢😢😢😢😢😢😢 inshallah 🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Timeless message 💯🎯. Nuff Respect Prof Jizee, Mzee wa Mitulinga. Mwenyezi Mungu azidi kupaa shufaa uzidi kutuelimisha.
👑 of hip hop
Long live the living legend,proffesor j the hit is a dope....upo juu mzazi.
Mungi akuponye professor
MUNGU azidi kulipa maisha marefu tuendelee kusikia music mzuri
Long linve professor jay Long live professor jay
🔥🔥🔥
I love you professor from congo 🇨🇩
Heavy track massieve one ☝️ Big up Jay and Ndelah 🙌🏿🫡
Safi sana! Hii ndio maana ya kuwa Baba wa Bongofleva. Una stoo ya nyimbo nyingi ambazo bado hazijatoka na unaweza kuziboresha kulingana na wakati, mazingira na muktadha. Heko sana Baba wa Bongofleva!
So much love from 254...prof jay, you're the legendary in the entire sub sharan Africa kwa hip hop music. Happy to hear from you. We wish you full recovery kaka
Hongera Jay wa Mitulinga. Mungu akuponye kaka