Bongo Movie waanzisha Kampeni ya Kusaidia Vijana TZ

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Wasanii wa filamu wameungana kwa pamoja kuanzisha kampeni ya kuwajaza maarifa vijana wa nchi nzima huku mkatano wao wa kwanza ukitarajiwa kufanyika Jumamosi hii mkoani Iringa.
    Wamesema hayo Jumanne hii wakati wakizungumza na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyikia Brake Point Kinondoni jijini Dar es salaam.
    Steve ambaye ni mratibu wa kampeni hiyo, amesema wanafanya kampeni hiyo ili kuwaambia vijana fursa mbalimbali ambazo zinapatikana na nchini na kuacha kukaa vijiweni.

КОМЕНТАРІ • 40

  • @veronicakisandu3173
    @veronicakisandu3173 6 років тому +3

    Nakupenda bure dada jak unajitoa kwenye shughuli mbali mbali, mungu akuzidishie baraka na mafanikio tele dada yangu.

  • @alikomwamundela6264
    @alikomwamundela6264 6 років тому +1

    Namkubali sana JB ile style yake ya kuongea kwa ukali! Katika movies!

  • @ngalamasilongoi5834
    @ngalamasilongoi5834 2 роки тому

    hongera sana Dada yanhu jaklini mngu akujaliye kwauwezo was mngu uta toboa

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 6 років тому +1

    Hamna kitu hapo wengi wenu mnapenda camera!!cha msingi tafuteni kazi maisha hayo, mtachelewa sana 20/20 hiyo hapo!!

  • @rachellebahati6510
    @rachellebahati6510 6 років тому +1

    Aceeni wongo.wasani wabongo movi hamtaendereya mbere.kwasababu hamna mapezi.mnapingana.muko wanafiki.movi yabongo imekufa zamani.imeenda namwenyenayo kanumba

  • @mohamedimhina618
    @mohamedimhina618 6 років тому +1

    safi sana msikatishwe tamaa

  • @jaikokikoti2419
    @jaikokikoti2419 6 років тому +1

    mtusaidie.wadau

  • @rashidmasoud6939
    @rashidmasoud6939 6 років тому

    Best female actor@wema sepetu yupo ap

  • @ngalamasilongoi5834
    @ngalamasilongoi5834 2 роки тому

    ongereni kwa kushikamana nasiya washsboki tuna wasapoti kama washabiki au wafatiaji wawasani

  • @musamwapinga361
    @musamwapinga361 6 років тому +1

    Mmefanya Jambo Zuri Sana

  • @aggraypeter.5008
    @aggraypeter.5008 6 років тому +1

    Wasanii Wenyewe Hapo Mmetengana Mbona Walio Pewa Tuzo Hamna Hata Mmoja Hapo

  • @ccyuutz8358
    @ccyuutz8358 6 років тому

    tunataka series

  • @aggraypeter.5008
    @aggraypeter.5008 6 років тому +1

    Hilo Neno Industry Kwanini Usiliseme Kwa Swahil

  • @timzjack8538
    @timzjack8538 6 років тому +1

    Una typing error nying

  • @pigapesa1013
    @pigapesa1013 6 років тому +4

    Kama umeona wigi kichwani tia like yako hapa chini!

  • @zuhurabeduu8345
    @zuhurabeduu8345 6 років тому +3

    naobeni namba y'a wopr jamani

  • @faridahangedo5554
    @faridahangedo5554 6 років тому

    Selu wengu aka Rebecca mbona mlikatisha kipindi njiani Auf wapi wema wangu.

  • @naj5228
    @naj5228 6 років тому +1

    walio pewa tunzo wamejitenga sijui wameona watachabwa

  • @britonngale365
    @britonngale365 6 років тому +1

    Ila Bado siamini

  • @rachellebahati6510
    @rachellebahati6510 6 років тому +3

    Nampenda wema.yuko wapi?

  • @carenasharif7115
    @carenasharif7115 6 років тому +6

    Mbn wema hayupo

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 6 років тому +3

    Kwenye mapenzi ungekua una akili kama point uliyo iyongea hapo wolper ungekua mbali sana

  • @mohamedimhina618
    @mohamedimhina618 6 років тому

    mmeniongezea kitu kikubwa sana jamani,hatua inaendelea

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 6 років тому +1

    MM NAPENDA SAAAAANA KU ACT ILA SINA SUPPORT NIFANYEJE???????????????

  • @ashamlosi1899
    @ashamlosi1899 6 років тому

    Wema wapi?

  • @dogonyau4078
    @dogonyau4078 6 років тому

    KANUMBA simuoni !

  • @sadickrajabu4536
    @sadickrajabu4536 6 років тому +1

    Wauwa game mmekaa biashala aziendi nn

    • @naj5228
      @naj5228 6 років тому

      nobe we mwenyewe inatakiwa uboreshwe kabla ya bongo move

  • @homsapili6486
    @homsapili6486 6 років тому

    Yani bongo movie mnanichekesha mim jamani duhhh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nyie wenyewe show off but hamna hela nyie kwenye sanaa mwachieni majuto na tausi na riyama

  • @mariammwarizo2230
    @mariammwarizo2230 6 років тому

    Uzalendo kwanza umeishia WaPi hata Hamna umoja

  • @mourinerichard9297
    @mourinerichard9297 6 років тому

    mbona Uwoya simwoni?

  • @hasmadimpoz3562
    @hasmadimpoz3562 6 років тому

    afàdhal

  • @gracedelence9163
    @gracedelence9163 6 років тому +2

    Wapi wema?

  • @jaybchaponda6886
    @jaybchaponda6886 6 років тому +2

    Wema mbona ayumo

  • @abdalahmohamedi1806
    @abdalahmohamedi1806 6 років тому

    Kila siku makuja na kampeni mpya nyie wenyewe hamna kazi ndio maana mnaangaika

  • @zuhurabeduu8345
    @zuhurabeduu8345 6 років тому

    naobeni namba y'a wopr jamani