Pacha wangu - Benjamin's Friends: Composed by Paul Mike Msoka ( Official Video
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Hongereni Eng. Benjamin Kasheku & Madam Consolatha Medard kwa kufunga ndoa takatifu siku ya leo, tarehe 06/01/2024, katika Parokia ya Bikira Maria Afya ya Wagonjwa, Sengerema, Jimbo Katoliki la Geita.
Mungu awajalie ndoa yenye Furaha, Amani na Mafanikio tele, Mkapate kupendana siku zote za maisha yenu, huku mkiendelea kushuhudia baraka zake Mungu zikimiminika ndani ya nyumba yenu!
Hongereni sana kwa ukurasa huu ambao mmeanza. Mwenyezi Mungu awatangulie kwa kila jambo 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Mungu awatangulie wanandoa...
Hongera Msoka kwa utunzi mzuri
Thank you Mr. Deule
Wimbo mzurii sana....hongera kwa mtunzi na waimbaji wote.
❤❤🎉🎉🎉🎉
Safi sana kazi nzuri na hongera sana Eng. Kasheku
Asante (kwa niaba)
Nyimbo nzuri, video tamu❤🎉🎉
Asante
Utunzi mzuri sana. Hongera baba Paul
Amina 🙏
Utunzi mzuri jmn hongereni sanaaa maharusi
Licha kuwa hauoni kwa miaka 30 hilo halijakuzuia kutunga nyimbo tamu tamu sana. Wewe ni shoka ambalo halitapata kutu kamwe.
Amina 🙏
Amina 🙏 Tumshukuru Mungu na tumrudishie sifa
Congratulations Mr & Mrs Kasheku
Kazi nzuri, hongereniiiiiiiiii
Asante
Asante
Msoka wewe Jembe lisilo pata kutu… jembe linalolima mpaka mawe bila kelele 😂. Mungu azidi kutukuka kupitia tungo zako!
Amina mdogo wangu mpendwa 🙏
Hongera sana komredi Msoka! Kazi nzuri sana. Hongereni kwaya kwa kuutendea haki wimbo huu, nimefurahi kumuona dadangu Elizabeth, mama Kaizi mwenyewe katika ubora wake👏
Shukrani Dr. Eusevius Mikongoti (Pacha wake mtu 😊)
😀 Naaam sisi ndo mapacha haswaaa
@@dreusebiusjmikongoti248 hakika inapendeza sana 😊
asante sana
Woow..Just Woow
😊
Jambo jema sana hili Mungu awatangulie wanandoa hawa 😊
Amina
J'aime surtout suivre les cantiques seulement la connexion me fait défaut
May God strengthen your bond each day,each time🙏🙏... Congratulations 🎉👏
Thanks (on his behalf)
Favourite song ❤