Wimbo mzuri sana,unatafakarisha sana,hongera sana wanakwaya ya Malaika wakuu,na kongole kwako Lawrence kameja,uko vizuri tunakuombea udumu katika uinjirishaji kwa njia ya uimbaji,nawapenda
Ahsanteni sana kwa huu wimbo wa kuutukuza Moyo Mtakatifu wa Yesu. As a member of Sacred Heart of Jesus devotion group, huu wimbo umenipa nguvu ya kumtumainia Kristu katika safari hii ya imani.
Mimi naipenda sanaaa hii kwaya nauimbaji wao kama nawewe unaipenda gonga hii Alama♥️&👍
Nami pia napenda uimbaji wao na nyimbo zao.❤
Ongereni wanakwaya kwa. Kuimba. Vizuri
@@johnotto2997😢
❤EMMANUELJILUMA❤
Mungu awabariki kwa taranta
Yeees...
Kazi nzuri Sana,Na Kama na wewe umeukubali huu wimbo Gonga Like yako hapo chini.......Twenzetu Mandu..
Sweet vocals
......Twakutumainia wewe!!
Moyo mtakatifu wa Yesu uwabebe mzidi kumwimbia kwa viwango vya juu zaidi na sifa hzi zifike Katika kiti Cha enzi zikamtukuze Mungu pamoja na Malaika😍😍
Amina
❤ 0:00 😊 0:00
twabarikiwa kwelikweli
Shukurani kwa kutukuza moyo mtakatifu wa yesu
Big up Mozen productions kazi nzuri sanaa
Asante sana Regina
Hongeren saana jaman ninavopenda kwaya mimi sijui ntakuja kuimba
Wimbo mzr wa kusisimua mbarikiwe wat wa mungu kwa uimbj wenu
Ni ongera sana kwa kwaya hii kwa nyimbo za kumuabudo Mungu.
Mungu atukuzwe na mwanadam atakatifuzwe kwa karama zenu.
Waoooo,hongereni Kwa kumtumikia Mungu,hakika Tunatumainia huruma ya Moyo was Yesu
❤❤❤❤ Hongereni Sanaaaa 🥰🥰🥰
Hongera wanakwaya Wimbo unanipa matumaini Msichoke kuinjilisha Kwa kuimba.Heri Na Baraka tele
Aki inakugusa sana nashinda nikiirudia kila wakati alafu soloist uko b,a big up
Yanifariji sana
Naomba kujua jina la alieimba solo 🙏🏾 maana hii mara ya pili namuona kwenye wimbo jamaa anasauti nzuri mno
Asante sana ndugu yangu naitwa Lawrence Kameja from Arusha 🙏🙏
@@lawrencekameja9730 Hongera sana brother una kipaji halisia 🙌🏾🔥
Amen 🙏 asante sana ndugu yangu
@@lawrencekameja9730 naomba nota za wimbo huu tafadhari
Hongereni sana kwaya yangu pendwa. Mafulu umetisha Katika ubora wako, Safi sana. Fred congole Sana. Mdumu Katika Moyo Mt. wa Yesu, amina
Tunashukuru sana Adelina
Amina!!
Hongereni sana kwa kazi kubwa na nzuri
Amina mama! Hongera na wewe pia
Hakika moyo wa yesu tunautumainia
Nyimbo nzr munooo mbarikiwe sana jamani
Amina Anna
Nawapenda sana Mikael malaika mkuu. Mkabarikiwe sana katika utume huu wana mamndu wenzangu . Moyo mtakatifu Wa Yesu twakutumainja wewe....
Asante Qutte tunakupenda zaidi, barikiwa sana
Amina sana mpendwa!! Tusaidie kushare link yetu dada
nyce one kameja, mabogo jnr en the whole choir
Thaks
Hongerani sana wote hongera #Mozen Pro , Kameja Fundi
Ameni ndugu Benjamin
Asante sana Benjamin, tubarikiwe sote
Wimbo mtamu Sana,hongereni wanakwaya
Hongereni sana,,,moyo mtakatifu wa yesu ni moyo wa Amani
Hongerani sana wimbo umekaa pow sana
Asante Lucas
Hongereni Kwa kazi nzuri tuuishi ukatoliki wetu
Hongereni sana Mungu awe nanyi daima katika mazuri na magumu. Wimbo mzuri sana.
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri sana,moyo MT wa yesu utuombee waimbaji
Shukran sana Ndugu zetu
Amina
Hongereni sana watu wa Mungu kazi nzuri sana nimebarikiwa.
Hongera sana kwa kazi nzuri
Moyo mtakatifu WA Yesu utuhurumie
Moyo Mtakatifu wa Yesu Ufalme wako utufikie
Hongereni kwa kazi nzuri wote mliohusika 🔥🔥🔥
Asante ndugu Simbeye
Asnten sana na mbarikiwe sana Moyo wa Yesu ni kila kitu kwetu sisi wanadamu.
Mungu awape baraka tele mkiendelea na uinjilishaji..
Fantastic, Moyo mtakatifu wa Yesu, 👏👏👏👏
Asante Dr Dorgan
Hongereni sana
Thanks Regina
Hongereni Kwa Kazi Nzuri 🔥🔥🔥🔥
Amina Mr masteps
🙏🙏🙏
Wimbo unaonivutia siku zote,kazi safi sana
Wimbo mtamu Sana. Well done! God bless you 🙏
Hongereni Kwa wimbo mzurri Mwenyezi Mungu awabariki sana,
Mimi nimwana moyo mutakatifu was Yesu nikisiza huu wimbo nachihisi nikiwa adoration chapel pia roho yangu uhisi utulifu
Asante Sana Mr Kameja kwa uimbaji wako shikilia Sana hiyo karama kwa kweli uko vizuri cn
Hongereni kaz nzuri mungu awainue katika viwango vya juu zaidi🙏🙏
Hongereni sana ni wimbo uliotulia sana. Mungu azidi kuwabariki nyote
Hongereni sana kwa kazi nzuri🔥
Shukran ndugu Makoi
Wow❤️❤️ tamu sana🔥🔥👌
Napanda sana nyimbo za moyo mtakatifu wa yesu maana napata faraja mungu awabariki sana
Ongeleni kwa kazi yenu nzuri na mungu awatie nguvu ya kuinjilisha kwa nyimbo
Mungu Awabariki sana Kwa kutuliza moyo mtakatifu wa yesu.
Kazi ni 🔥🔥🔥🔥
Mmeutendea haki moyo mt. Yesu
Mungu abariki nyoyo zenu za majitoleo😍
Mnalipua song inaniongezea imani nikiwa mwachama wa moyo mtakatifu wa yesu, hongera hongera saana.❤❤❤
Utulivu na ulinganifu wa sauti vimewabeba. Mbarikiwe watu wa Mungu.
Ahsante
sauti nyororo, wimbo wenye baraka tele.
Mungu Awabariki Kwa kutuliza moyo wa yesu.
Hongera team ray and Laurence proud of you Mungu awazidishie nguvu ya kumuimbia sikuzote
Sauti ya pili mmetisha❤.moyo mtakatifu wa yesu ufalme wako ufike
Napenda nyimbo zenu
Wimbo wa adoration! Poa sana
Moyo Mtakatifu wa Yesu utuhurumie ❤❤
Wanaimba naunyenyekevu pia nautulivu mkubwa sana Mungu abariki kazi yao yakumsifu.
Siwezitosheka kuusikiliza na kuutazama huu wimbo. This is very consoling. Unafariji moyo. Kameja na kikosi chote Mungu awabariki zaidi
Wimbo mzuri sana,unatafakarisha sana,hongera sana wanakwaya ya Malaika wakuu,na kongole kwako Lawrence kameja,uko vizuri tunakuombea udumu katika uinjirishaji kwa njia ya uimbaji,nawapenda
Nabarikiwa sana kwa Wimbo huu Asanteni wanakwaya,Mungu awabariki
The song is really touching my soul.Be blessed and be filled with Holy spirit as you spread gospel through songs.
Mungu awabariki katika utume huu wa kwaya
Hongereni sana wanautume❤❤❤
Jamani Mungu awabariki sana wote mmenifariji sana. MOYO MTAKATIFU WA YESU uwalinde
Wimbo huu umenigusa Xana. Hongera kwa hii nzuri
Wanaimba vizuri mbarikiwe sana❤
Amina
Wimbo mzuri sana well done 👍👍
Alto mmetisha hongereni sana
Moyo mtakatifi wa yesu utupe faraja siku zote ❤❤❤❤❤❤❤❤
Tumsifu Yesu Kristo. Naweza kupata vipi mawasiliano ya viongozi wa kwaya hii? Msaada tafadhali.
Mungu awabariki sana kwa. Kazi yenu Nimebarikiwa Asanteni sana
Mungu awabariki na awazidishie nguvu na muwe na umoja wenu katika kristo bwana wetu
Kila nikisikia huu wimbo moyo wangu unafarijka sana
Mziki mtakatifu unagusa nyoyo za watu, mashairi yake ni sala tosha kabisa, hongereni sana wanakwaya kwa utume.
.
Moyo Mtakatifu Nakutumainia
Kwa kweli sa
Wimbo mzuri sana yani ni🔥mwenyezi mungu awabariki mzidi kumtumikia🙏
Good song
hongereni sana mungu awatangurie mzidi kumtumikia kwanjia yanyimbo
Napenda uimbaji wao❤❤❤❤
Waaao I like this song very very nice song and good creative from malaika mikael your nice singer l like this good job to god
Wimbo.mzuri sana, hongereni Wana kwaya
ndugu zangu wanakwaya mlifanya kazi kubwa na mungu hawape kile mkiombapo
Woooow.wimbo mzuri.
Mungu aendelee kuwainua
Ahsanteni sana! Mmejua kunibariki wapendwa! Nawapenda.
Wimbo mzuri sana,ila nimependa kinanda zaidi🎉🎉🎉🎉
Hongereni sana kazi nzuri,video ina ubora HD🔥
Big up mpiga kinanda🙏🏾✊🏽
Mungu awabariki kwa utume wenu wa kuinjlisha kwa sauti zenu tamu naitwa lightness Moshi niwapenda
Moyo mtakatifu wa YESU utuhurumie
Hongereni sana aiseee mmenibariki mno
Hiyo nyimbo imenipa matumaini sana mbarikiwr
Nipeeni hii wimbo nifunze choir yangu. Tafadhali
Ahsanteni sana kwa huu wimbo wa kuutukuza Moyo Mtakatifu wa Yesu. As a member of Sacred Heart of Jesus devotion group, huu wimbo umenipa nguvu ya kumtumainia Kristu katika safari hii ya imani.
Wimbo mzuri sana,umeimbwa kwa hisia sana