MAJIRANI WA BIBI WAJA NA MAPYA | NILIOGOPA KULALA NAMJUA YULE NI HATARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 39

  • @dtvonline2099
    @dtvonline2099  3 місяці тому +12

    NIOMBE SAMAHANI KWA WOTE AMBAO MJAPENDEZWA NA ILE SEHEMU TUNAYOMZUNGUMZIA YULE NDUGU YAKE BIBI TAYARI JAMBO LENU NALIFANYIA KAZI KILE KIPANDE KINATOLEWA MUDA SI MREFU ASANTENI SANA MUNGU AWABARIKI

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u 3 місяці тому +1

    Tena juba juba kweli mashallah shoga yake kaka fabi😂😂😂alichoii😅😅

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 3 місяці тому

    sawa kaka usijali

  • @omanmct135
    @omanmct135 3 місяці тому

    Hatari sana

  • @AliAli-m5k9l
    @AliAli-m5k9l 3 місяці тому

    Bibi Allar ata kulinda ata kama sio vizuri ahache iyo roho chafu ukiona mtu anajulikana ubaya basi ndio mwisho Mungu apendi ahache iyo tabia

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u 3 місяці тому +1

    Apo bomba lifungwe liwekesiku marumu Kwa wiki mala mbili apo nafuu

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 місяці тому +2

    Yani nyinyi mnawasema watu kwenye mtandao kharamu yani😢 mwenyewe akiyapata ni uhasama

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e 3 місяці тому +2

    Sio jambo jema kumzungumzia mtu jp cm hana hila kuna wapo wanotazama watamwambia ikaleta huasama futa haraka ikiwezekana maisha haya yapo ndgu wa turbo moja awapendani hila sio vzl kuliweka mtandaoni

  • @taqiyyamwijage3324
    @taqiyyamwijage3324 2 місяці тому

    Watozwe hela

  • @MamySarah-lo8gg
    @MamySarah-lo8gg 3 місяці тому +1

    Binadam atar kaaa 😢

  • @Amina-tw4iw
    @Amina-tw4iw 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂Jamn hap kwenye kitanda bib umenifurahish

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 місяці тому

      Amina soma comment huko kuna mtu ananitafuta eti ananichamba kwa nini nimemwita fabi mara 3 kwani mimi ndio ninaetowa msaada mwambie msaada natowa kama anataka nimtangazie kwa spika nakuja kutangaza

  • @aidasaidalsharji1559
    @aidasaidalsharji1559 3 місяці тому +1

    Kaka fabi na sema wema daima una ku wa uwovu wewe wapangiye kila mtu ape we doo 4 kwa siku

  • @asiamussa396
    @asiamussa396 3 місяці тому

    Hapo waambiwe kuchota mwisho ndoo tatu au tano basi yy mwenyewe atajua jinsi ya kutumia maji yake nyumbani kwake ila ukisema muweke masharti ya hivo hamutaweza kumzuia kufanya kitu akiwa nyumbani kwake

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 3 місяці тому

    Apo watalana😂tu juya maji

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 3 місяці тому

    Kumbe Dada yako gwiji duuuuuh, hatari sana binadamu mmmmh

  • @odilialazaro
    @odilialazaro 3 місяці тому

    Fabi mzima jamani hayo mambo sio ya kuongelea kwenye media

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 місяці тому +1

    Fabi Fabi Fabi nakwita mara 3 hayo mambo si yakuongea kwenye media hata kama hana simu watu watampelekea ugomvi utazidi ya hapo muwe munaongea private 😢😢

    • @dtvonline2099
      @dtvonline2099  3 місяці тому

      Sawa

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 місяці тому

      Kwani mpka umuite mara tatu kaaaa utazani wew ndo unatoaga msaada wakati wew ni mtizamaji tu

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 місяці тому

      @@kamarhelo
      Kwani wewe kinakuuma nini
      Na nikitoa msaada unataka nikutangazie ili ujue au una stress

  • @AsiaMtali
    @AsiaMtali 3 місяці тому

    Faby atawasikia

  • @KhadijaMzuri
    @KhadijaMzuri 3 місяці тому

    Fabi tuletee neema tumemmisi na pamoja na watoto wake 3 tumuone watoto wake wanaendeleaje tumsaidie

  • @zawadikasim6679
    @zawadikasim6679 3 місяці тому

    Fabi futa hiki utashitakiwa tunakupenda

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 місяці тому +4

    Fabi please tunakupenda sana ayo mambo mengine sio ya kuongea kwenye Media naomba uifute haraka sana watu sio wa mchezo utaleta uhasama.kwenye familia Allahu Akbar

    • @dtvonline2099
      @dtvonline2099  3 місяці тому +1

      Natoa ndugu yangu

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 місяці тому

      Shoga angu Amina uwepo nipo juzi unadiskasi ndevu leo upo huku niache mie 😀😀😀❤🇬🇧

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 3 місяці тому

      Me nipo 😅shoga angu zahir amesikia umeona mrejesho ombi langu kalisikia anapelekwa.saloon kashushuka mjuaji 😂😂

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 3 місяці тому

      Tusubir mrejesho shalo atakavyo pendeza😂😂😂

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 місяці тому

    Fabii huko panapo uzwa milion nne hebu tupaon

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 3 місяці тому

    Faby cha msingi ni kuuza maji hpo bac hicho kipande kisha futwa nn ? 😂😂maana cjakickia😂

  • @HadiaAme-x5f
    @HadiaAme-x5f 3 місяці тому

    Aaah fabi usiseme mambo hayo ni private akisikia mwenyewe atamkomoa

    • @SantaJumaa
      @SantaJumaa 3 місяці тому

      Waache wasutwe yeye na bibi yake

    • @MawaddaKhamis-zh3kc
      @MawaddaKhamis-zh3kc 3 місяці тому

      ​@@SantaJumaa😂😂😂 wache wasutwe kwa kigoma cha ulugwai

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 3 місяці тому

    Fabi futa hii video usije kuzidisha uhasama jaman hiyi itafanya fitna video hii tokapo sio mtu mzuri ndo atazidi jaman fabi mengine sio yakuongelea mtandaoni

  • @saudamdoe
    @saudamdoe 3 місяці тому

    Fabi fabi fabi nakwita mara3 hayo mambo sio poa kabisa