Nawahic pamoj na kusih nafs yang ndug zangun waislam hizo zote ni dalil za kiham naomba turud kwak Allah tutubu atusameh dhamb zetu ameen na tumswalie mtum Muhammad s w a in shaallah allaah atuongoze😊
Ukitaka kujuwa dunia no mapito ndyo Hilo kikubwa IBADA ndy kila kitu kwa binadam na kuamin kifo kinamkuta yeyote yule na akihodish hodi Anza leo kuridi kwa Allah subaahan waataahal na kitu kingine tukisikia mtu amefalik tuseme tu IN LLILLAH WAHN LLILLAH LAAJUUN bc tusiongeze neno lolote Lile kwani kazi ya mungu Haina makosa #🇹🇿 by nashfaa baby
@@NoorynMody 🤣🤣🤣 ni kweli swali gani sasa hili taarifa ya msiba ilikukuta wapi na uliipokeaje kwani mtu akipewa taarifa ya msiba anaipokeaje mbona inajulikana au wanataka kuambiwa taarifa ilinifikia nikiwa kitandani na mume wangu au na mke wangu 😂 yaani wanakera kisha swali lao wote ni hilo hilo
Allah Akbar poleni sana bro,umeongeya maneno mazuri sana
Nawahic pamoj na kusih nafs yang ndug zangun waislam hizo zote ni dalil za kiham naomba turud kwak Allah tutubu atusameh dhamb zetu ameen na tumswalie mtum Muhammad s w a in shaallah allaah atuongoze😊
Ukitaka kujuwa dunia no mapito ndyo Hilo kikubwa IBADA ndy kila kitu kwa binadam na kuamin kifo kinamkuta yeyote yule na akihodish hodi Anza leo kuridi kwa Allah subaahan waataahal na kitu kingine tukisikia mtu amefalik tuseme tu IN LLILLAH WAHN LLILLAH LAAJUUN bc tusiongeze neno lolote Lile kwani kazi ya mungu Haina makosa #🇹🇿 by nashfaa baby
Mungu atamlipa Dida kwa mema alioyafanya
😭🙏 mwenyez mungu hatugehiye roho ya Imani na subira
Innalilahi waina ilaihi rajiuu 😢😢😢
Innalillahi wainna ilayhi rajiun,pole mtt wng/poleni Wasafi media,Rabbi awajaze subra nyote.
Innalillah wainna illah rajiuuun
Pole dj roja kiss
Waandishi kiazi sana hawa taarifa za msiba unapokeaje swali gani hilo
😂😂😂😂
Pole roya ks wanatanga twakumic
Pole mtu wangu
Subhanallah
Basi hebu yaacheni hayo mambo😢
Sipend swal la taarifa za msiba umezipokeaj swal gani kwa wafiwa
Wanataka kujibiwa nilifurahi sana nikaruka ruka na kucheza kwa furahs
@@fatmaabdallah7709 kwakwel upuuz tu mana cc tu huku tunaumia vp kwa watu wake wa karibu
@fatm😂😂aabdallah7709
@@NoorynMody 🤣🤣🤣 ni kweli swali gani sasa hili taarifa ya msiba ilikukuta wapi na uliipokeaje kwani mtu akipewa taarifa ya msiba anaipokeaje mbona inajulikana au wanataka kuambiwa taarifa ilinifikia nikiwa kitandani na mume wangu au na mke wangu 😂 yaani wanakera kisha swali lao wote ni hilo hilo
Halafu kuna swali la UMEJISIKIA VIPI BAADA YA HABARI ZA KIFO??😂😂😂
Daaaa jamani duuu jamani
Kweli
Mwanangolo
Polen san
Daaaaa
Pore sana
Waandishi wa Habari mjirekebiahe na hili swala la ulilipokeaje hili swala la msiba mnakera
Watu wanasema juma alikua anajua kinachoendelea maana freemason hutoa kafara mwisho wa mwaka
Hebu acha DHANA ni dhambi kubwa
Mpuuzi wewe
Uko sawa ww watu why usiongee kuhusu ww umbea tu
Duh😂😂😂😂😂
Roho muaguzi
Tafuteni content acheni kumzushia uongo