NABII MKUU AJENGEWA SANAMU, ASHINDWA KUJIZUIA MACHOZI YAMTOKA - GeorDavie TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 254

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 Рік тому +7

    Ila Wote tutakufa InshaAllah Mtakwenda kuufaham ukweli wakat ambao hakuna biashara 🙏

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Рік тому +4

    Nyie jitoeni fahamu Kiama kinakuja mtajua hamjui Mana naona mnajisahau kumwabudu Mungu mnamwabudu Mtu sasa

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 Рік тому +2

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini YESU na Uokoke na Ulithi UZIMA WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @loycealute8283
    @loycealute8283 Рік тому +1

    Ishiiiii miaka mingi mwamba royal prophet kutoka kisongo arushaa🔥🔥🔥 maneno machache Kaz kubwa🤝🌹🌹🔑🗝️👈

  • @MansouryVanman
    @MansouryVanman Рік тому +6

    Njaa zitawauwa 🙈 ila msisahau tu siku za mwisho zimeshafika, M/mungu nijaalie mwisho mwema 🤲

  • @elizabethnamwinga3210
    @elizabethnamwinga3210 Рік тому +1

    Mungu anawajua walio wake.mungu akutetee zaidi mti wenye matunda ndio upigwao mawe.

  • @jacklinepeter4158
    @jacklinepeter4158 Рік тому +3

    Eeeh Mungu nionyeshe njia sahihi ya kukuabudu niepushe na manabii

  • @LoveAron
    @LoveAron 3 місяці тому

    Hongera sn Baba Geodave God bless you ❤❤❤🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 💯

  • @MoksMokah
    @MoksMokah 4 місяці тому

    Waaah!!!!Wana msujudia binadamu,na kumuita baba!!Ole wao

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 Рік тому +27

    Aisee dunia imefka mwisho watu wanamuamin binadam na kumsujudia na kumsahau mungu hariewaumba eti wanamuomba awafungurie burand ikuwe

    • @preciousjohn9405
      @preciousjohn9405 Рік тому +12

      Hawa siyo kwamba anamwamin sema njaa ndo tatizo anataka hela tu

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 Рік тому +2

      ​@@preciousjohn9405 wengi wanawaza wafanye nini waonekane na huyu nabii sio kumtumikia Mungu aliyewaumba 😏😏😏

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Рік тому +1

      ​@@preciousjohn9405 kabisaa

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 Рік тому

      @@preciousjohn9405 🤣🤣🤣

    • @charlesnyaga8225
      @charlesnyaga8225 Рік тому +1

      Kweri kabisa

  • @EvalineMollel-g5c
    @EvalineMollel-g5c 10 місяців тому

    I love my dady ❤❤❤ishi sanaaa wenye wivu wajinyonge

  • @renatusaugustine3410
    @renatusaugustine3410 Рік тому

    Mungu akupa kwa wakati wakee

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +7

    Subuhanallah. Inalillahi wainailahi rajuun

  • @shalomkubali4884
    @shalomkubali4884 Рік тому +4

    Mungu awafungue macho nyie watu khaaa😢😢😢 mtu unaona kabisa ushetani uhu tupo mwishoni wa dunia

    • @estherimbotsi7553
      @estherimbotsi7553 Рік тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @japhethcharles5791
      @japhethcharles5791 Рік тому

      Wanaelewa ila ni njaa Kali sana wanayo ,machawa wamejaa sana nchi hii 🧐🧐

  • @Estherm309
    @Estherm309 3 місяці тому

    😢😢😢usijifanyie sanamu ya kuchoga Wala chochote Kile kilicho mbinguni Na duniani

  • @mtabevilaini6527
    @mtabevilaini6527 Рік тому +2

    Ipo siku mtatolea hesabu na kila goti litapigwa Mbele za Mungu wa Mbinguni 😢😢

  • @floraeliasi1865
    @floraeliasi1865 Рік тому +3

    Duh sitamni haya maisha ya duniani

  • @john-cg9qu
    @john-cg9qu Рік тому

    Fanyeni yote kwenye haya maisha ila musi jaribu kugombana namtu anaye mtumikiya mungu. Jihazareni sana tena sana.

  • @michaelkivaria6011
    @michaelkivaria6011 Рік тому +7

    Ila hata yeye anajua hawa watu wanalenga hela tu hapa Yesu hayupo kabisa.

  • @saldinthegreat2264
    @saldinthegreat2264 Рік тому +2

    Kazi mnayo... tuendelee KUABUDU MASANAMU, Mbuyu pia ulianza kama mchicha

  • @clementinamalaki7796
    @clementinamalaki7796 Рік тому +7

    Asomaye na afahamuu ✍️

  • @paskaliasuwi
    @paskaliasuwi Рік тому +1

    Yesu anakuja Kwa mara ya pili wateule kaeni macho.nadhani kila kilichotabiriwa mumekwisha kuona

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 Рік тому +2

    Naona Jamaa kakaa mbele anasubiri mtaji

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 Місяць тому

    Mungu tusamehe😢

  • @FredOdhiambo-he1rw
    @FredOdhiambo-he1rw Рік тому +1

    niyupi atafunza watu kweli? ya mungu, visazi wapotea kwa sababu elimu ya mungu imeto makanisani, ata mwalimu wa kidunia anafunza nidhamu, anglia kanisa 80% wanawake trouser vijana pipe trs, bibilia imefunza kuhushu mav 6:31 azi pastors onyeni wasirika, iyo ndiyo kazi mungu alitupa, tuzifanye jina la kristo yesu ikadharauliwa na dini singine

  • @silasnatir7915
    @silasnatir7915 Рік тому

    Mungu anachukia sanamu wewe ni nani ukakubali sanamu soma kutoka 20:4-5

  • @mtabevilaini6527
    @mtabevilaini6527 Рік тому +1

    Kila nikimwona huyu nabii nazidi kuwaombea wanaohubiri kweli ya Mungu # Mungu amrehemu

  • @stewardandika4286
    @stewardandika4286 Рік тому +1

    Jameni mwache kumwabudu binadamu, Jehovah atosha kuabudiwa pekee yake

  • @EmmanuelSimkwai
    @EmmanuelSimkwai Місяць тому

    Nabii wewe na watu wako mmelaniwa pamoja na watu wako kama lisemalo andiko hili Kumbukumbu la Torati 27
    26 Na alaaniwe asiyeyaweka imara maneno ya torati hii kwa kuyafanya. Na watu wote waseme, Amina.

    • @EmmanuelSimkwai
      @EmmanuelSimkwai Місяць тому

      Mtumishi wa mungu au shetan Wagalatia 1
      8 Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.
      9 Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.

  • @marekliba
    @marekliba Рік тому +10

    Thus saith the LORD; Cursed be the man that trusteth in man, and maketh flesh his arm, and whose heart departeth from the LORD.
    Jeremiah 17:5 KJV

    • @apostlef.f.masala3255
      @apostlef.f.masala3255 Рік тому

      Sio Kila jambo ulitafasiri kama uonavyo wewe,acha kuona hivyo,Kuna watu unaweza kuwakuta msibani wanalia,kwasababu ya mpendwa wao aliyefariki,lakiniukashangaa mtu mmoja anakwambia Huyo halii anajifanyisha tu,!!,how did you know?kwani hicho alichokifanya Huyo kuchonga sanamu ya geodevi,amemwabudu,kwani wewe hukusoma ktk biblia Kwamba usihukumu usije ukahukumiwa,au hujui unapoanza kuingia ktk vita na watumishi wa Mungu,unakuwa unapigana na Mungu mwenyewe,?usifate mkumbo,uje chochote unachokifanya Kwamba ni kizazi au Kwamba ni kibaya utakitolea hesabu siku ya mwisho mbele za Mungu.

    • @floramongi1410
      @floramongi1410 Рік тому

      @@apostlef.f.masala3255 Acha upumbavu Huyo Pepo unamtisha had nani? Eti unashindana na Mungu watanzania njaa itawauwa

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 Рік тому

      Uko sahihi... cursed is the one who puts trust unto a man

    • @apostlef.f.masala3255
      @apostlef.f.masala3255 Рік тому

      @@floramongi1410 ok Asante matukano yako,we are all human being,take care

  • @nicholaakonkwa9911
    @nicholaakonkwa9911 Рік тому +2

    This is too much 😢

  • @wilberforceetuku1994
    @wilberforceetuku1994 Рік тому

    Waaaaaah

  • @MagretyAthuman
    @MagretyAthuman 7 місяців тому

    Hivi watu mbona mnada fanyika baada ya kumpa Mungu utukufu lakini binti mnawapa binadamu utukufu

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 Рік тому +1

    Duuh Usilie Baba yangu Nabii Mkuu GeorDavie. Umetuzaa natunajivunia wewe Dad. GITEGA BURUNDI tuko nawewe Senior Prophet GeorDavie

  • @elgringo8592
    @elgringo8592 Рік тому +2

    God have mercy mmefungua vilinge mnadai ni kanisa poor

  • @Torono_95
    @Torono_95 Рік тому

    Jamaa kashindwa tu kusema kusema nipe kazi nikutengenezee masanamu sample hii apa

  • @glaury9938
    @glaury9938 Рік тому

    Nasema tena nakupendaaaaaa baba mungu azidi kukuinua

    • @jastinsospiter1113
      @jastinsospiter1113 Рік тому +2

      Mwenyez Mungu akupe ufaamu akufungue macho ya kiroo ujue uko wap unaenda wap

    • @floramongi1410
      @floramongi1410 Рік тому +1

      Eeeeeeeemungu tusaidie roho hizi chafu ziangamie

  • @terryjohnartist7555
    @terryjohnartist7555 Рік тому

    Pongezi kwenu .....umefanya kazi nzuri sana......wengine wanaona ni kusifiwa lakini sio hivyo mnavyoona.....huyu mtumishi wa Mungu watu wanampenda sana kupitia kwa ile neno anayotuhubiria...kwanza mimi imenijenga ki Imani sana...nilikuwa muonga Sasa hivi Nina nguvu kupitia nabii dr Geodavie Mungu akubariki sana.....mimi ni muimbaji kutoka Kenya...asante

    • @amanididas7660
      @amanididas7660 Рік тому +1

      Hmn co kwel

    • @floramongi1410
      @floramongi1410 Рік тому

      Shetani hakosi wafuasi hata alipo Tulsa nchi alikokota theluthi hivyo hatushangai mnavyo mtukuza Huyo Pepo geodev

    • @stanleyguthia7771
      @stanleyguthia7771 Рік тому

      THIS IS IDOLATRY WHICH IS DEVIL 😈 WORSHIP

  • @glaury9938
    @glaury9938 Рік тому +1

    Ila mbona nadhindwa kujizuia nakuta nakupenda sana baba mungu akutunze baba yangu mpendwa wa moyo nakupendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yani acha tu

  • @NkunzimanaJeanMarie-d5x
    @NkunzimanaJeanMarie-d5x 10 днів тому

    Baba naomba number yenu ya sim nasisi tuko mbale sana

  • @prophetjoshuarawlings4261
    @prophetjoshuarawlings4261 Місяць тому

    Can someone interpret what is been said to me

  • @callmelwizz553
    @callmelwizz553 Рік тому +3

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
    Ufunuo 12:12b Ole wa nchi na bahari!
    Kwa maana yule ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi, akijua ya kuwa ana wakati mchache tu

  • @margaretwinnie7133
    @margaretwinnie7133 9 місяців тому +1

    What a shame, this is idolatry., God have mercy upon us

  • @JONAISMARTINESAM-vs4jy
    @JONAISMARTINESAM-vs4jy Рік тому

    MPAKA MTU anatoa machoz jaman WANADAMU tuna MANENO,,,, mmmh mungu awasaidie watumishi wanaohubiri katika ROHO na kweli..

  • @lawrencengarega5440
    @lawrencengarega5440 Рік тому

    Kutoka 20:4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, , , ,,,,,,,,

  • @verynicemonyo8671
    @verynicemonyo8671 Рік тому

    Abarikiwe sana kijana na ujuzi wake afike mbali

  • @FrankElias-u9i
    @FrankElias-u9i Рік тому +1

    Yan jamaa kila kukicha anatafuta kutrend daah na wajinga wanaoshindwa kusoma bible Au kuruhan 😢😢😢

  • @dorcasonyango3957
    @dorcasonyango3957 Рік тому

    Mapepo

  • @hastatz
    @hastatz Рік тому

    Sawa si sanam MUNGU ni mwema ipo siku

  • @MussaDaud-r7k
    @MussaDaud-r7k Рік тому

    Natakakufika kwa nambii mkuu nataka namba zake

  • @ayubufumbuka3233
    @ayubufumbuka3233 Рік тому

    Mchungaji huyu anapendwa sana mungu ambaliki

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 Рік тому +1

    Wanakusema vibaya ila unagusa mioyo ya wanyonge mungu akubaliki sana

  • @dorcasonyango3957
    @dorcasonyango3957 Рік тому

    Mwaminini mungu peke yake siyo binadamu

  • @deborah5550
    @deborah5550 Рік тому +1

    Mtu ako naliya mweye mnampigiya makofi 😂😂 akose mumuinbiye kanyimbo kafaradja 😢😢😊😊

  • @ahmadalisharif847
    @ahmadalisharif847 10 місяців тому

    Baba jondev nakuomba san jaman mie ninashda nakuomba jaman nisaindie

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 Рік тому

    Monomento Ndio nn toa njaa zako hapo

  • @zerahaguti5675
    @zerahaguti5675 Рік тому +4

    Usijifanyie sanamu ya kuchonga😢😢😢😢

  • @shejamy06
    @shejamy06 Рік тому

    Good work kaka❤❤❤

  • @rehemajoel7094
    @rehemajoel7094 Рік тому

    NIMEMWAMINI NABII MKUU BABA YANGU WA KIROHO, NIMEMJUA YESU KRISTO KWA USAHIHI ZAIDI.
    ASANTE YESU.

  • @edwinmtei5786
    @edwinmtei5786 Рік тому

    mimi napenda tu hilo jina nabii mkuu, kuna na yule wa yanga nabii nani sijui jina lingine ngumu lakwake

  • @betinalupembe5820
    @betinalupembe5820 Рік тому

    Duniiaa imekwishaaa

  • @marywayuwa5867
    @marywayuwa5867 Рік тому

    Amen🙏🙏🙏🙏

  • @danny__0718
    @danny__0718 2 місяці тому

    Njaa mbaya

  • @iambaizo
    @iambaizo Рік тому +3

    Ibada ya kugawa fedha

  • @alicejumaa89
    @alicejumaa89 Рік тому +2

    Huyu jamaa anapenda kusujudiwa aisee!!

    • @monicalaithon482
      @monicalaithon482 Рік тому

      Usiseme hivo unakosea sanaaa

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 Рік тому +1

      @@monicalaithon482 nakukosea wewe na yeye but sio Mungu aki. Im sure hata God hapendi hii design ya Geodavie kupigiwa magoti ...so hiyo ni opinion yako mazee.

  • @yusuphmruma1232
    @yusuphmruma1232 Рік тому

    Pesa ilimuuza yesu na mm naend kw Jo Devi kutoa ushuhuda niliacha bangi kw kuona vituko vya waumin.wake

  • @augustinemainde2730
    @augustinemainde2730 Рік тому

    Amen

  • @kelvinmwandiga6883
    @kelvinmwandiga6883 Рік тому

    Asee mungu turehemu

  • @Emmanuel-b4g1n
    @Emmanuel-b4g1n Місяць тому

    Yani watu wame changanyikiwa kabisa.ole wenu🥺🥺

  • @stanleyguthia7771
    @stanleyguthia7771 Рік тому +1

    THIS IS IDOLATRY AND GOD HATES IDOLATRY

  • @sadikfarhansadik6096
    @sadikfarhansadik6096 Рік тому

    Acheni ujinga nyiny wakiristo mbona mnaendelea kudanganywa tu kila siku

  • @clasclass
    @clasclass Рік тому +1

    Enyewe siku za mwisho zimewadia,unabii ushatimia yy pamoja na wafwasi wake ambao wamekataa kufungua machi jehanamu watakwenda

  • @mrs.belindastephenmagula9858

    Dady cku zote mti wenye matunda mazuri lazima upigwe mawe.ww ni shujaa songa mbele usisikilize wafa maji

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Рік тому

    Haya bana awee, wasije wakafunga siku 100 sasa

  • @midnight_12
    @midnight_12 Рік тому

    Pumbav, sinema hii. Huyo amelipwa ili atengeneze hilo sanamu na hio sinema.

  • @ElizabethMtambo-pv2ql
    @ElizabethMtambo-pv2ql Рік тому

    🙏🙏

  • @adkajisi4536
    @adkajisi4536 Рік тому +1

    Biblia ingebaki tu kwa kilatini, watu wangeenda shule wenyewe

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 Рік тому

    👏👏😭😭 Daddy 🥰

  • @wardawarda6109
    @wardawarda6109 Рік тому

    Hiu ni upendo mkuu

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n Рік тому

    WEHU KATIKA VIWANGO VYAO.

  • @aminabhaya
    @aminabhaya Рік тому +2

    😍😍😍

    • @nabiiwaisharaonlinetv9863
      @nabiiwaisharaonlinetv9863 Рік тому +1

      WAKO SAHIHI WAABUDU SANAMU WOTE MIUNGU YAO HUICHONGEA SANAMU YUKO SAWA KWA DINI YAO HATUSHANGA

    • @RahelKiswaga
      @RahelKiswaga Рік тому +1

      Nashukuru Mungu wetu hakuna ajuae sura wala mwili wake na huyo ndie kiboko ya fani na karama zote

  • @gracemwangi-c9m
    @gracemwangi-c9m 9 місяців тому

    Nebuchadnezzar wa leo

  • @sabinaamboko6449
    @sabinaamboko6449 Рік тому

    Shindwe kabisa,,someni neno binadamu,,tunaangamizwa kwa kukosa ufahamu

  • @maryupendo8706
    @maryupendo8706 Рік тому

    Mmmh

  • @SanziNzige
    @SanziNzige Місяць тому

    Nawashagaa upofu mlopigwa na Hawa watu wanaojiita manabii.jamani MUNGU wetu hasema manabii Kama Hawa alisemea manabii Kama akina ezekieri Sasa hawaa.mhuu kweli watu wa MUNGU wanasngamia kwa kukosa maarifa

  • @nicholaakonkwa9911
    @nicholaakonkwa9911 Рік тому +1

    Mwana Adam,ni mubaya tanguzamani mpaka leo kabisa😢

  • @abdalahsuleman2791
    @abdalahsuleman2791 Рік тому

    Makafir jiandaeni kwenda mtoni

  • @luhizomkombozi5763
    @luhizomkombozi5763 Рік тому +2

    Chukua zawadi hiyo baba!! Kazi yako inaonekana MUNGU wa mbinguni akuongezee miaka mingi! Tukuone wengi

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 Рік тому

      Mjinga mkubwa unasaport ujinga Sanam hazitakiw soma bible uelewe hizo ndo nyakat za mwisho

  • @yohana1242
    @yohana1242 Рік тому

    itafika mda na nabii mkuu nayeye atakujakuabudiwa

    • @annehk8185
      @annehk8185 Рік тому

      muda ndio huu anaabudiwa hujaligundua hilo?

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Рік тому

    Sasa hapo mtihan, wakija wajuu zao wa hawa watu waliopo humo ndan wao hawatasema ni nabii Bali ni Mungu wao kwasababu hawatakuwa wakijua huu ni mfano kama zama za nabii nuhu,..

  • @honestkisoma4931
    @honestkisoma4931 Рік тому +1

    Jaman na mayele atengenezewe sanam yake taifa pale

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆atatowa mkwanja? mie nipo razi kuondowa yaleataa ya taifa nikaweka round about yenye sanamu yake katikati

  • @luluezekiel2088
    @luluezekiel2088 Рік тому

    Polen watu bado mnapotea

  • @PeterNjeru-ye6bn
    @PeterNjeru-ye6bn Рік тому

    Watu wangu wamekua kama kondoo waliepotea wachungaji wao wamewapoteza yeremiah 50_6

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 Рік тому

    This is demonic...msiabudu miungu mingine ila MUNGU..
    msijichongee sanamu.

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 Рік тому +2

    🤣🤣🤣🤣kuishi kwingi kweli ni kuona mengi njaa inatufanya tuone vituko

  • @nicholaakonkwa9911
    @nicholaakonkwa9911 Рік тому

    MUNGU atu ulumiye saana sisi bi umbebyake ,tuko watu wabaya , kwabudu w
    Wana Adam

  • @mathiasswai7006
    @mathiasswai7006 Рік тому

    Pole baba unasitahili usilie hadi machozi ya me nilenga

  • @floramongi1410
    @floramongi1410 Рік тому

    Hata maandiko yanasema shins Moja la mabaya ni kupenda pesa ole wetu watanzania

  • @elishamwakibinga538
    @elishamwakibinga538 Рік тому

    Daniel meshaki na Abednego tuna wakumbuka si kwa sababu walichonga sanamu bali kwa matendo yao makuu

  • @salmasalim3525
    @salmasalim3525 Рік тому

    Wakristo naona mmechokaa na manabii wenu😅