Familia ya Mhubiri GeorDavie yaonesha magari yatakayoshiriki Land Rover Festival Arusha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 184

  • @janethelly4986
    @janethelly4986 3 місяці тому +10

    NABII mkuu dr Geordavie 🔥Mungu akubariki mtu wa Mungu

    • @nelsonnyamle
      @nelsonnyamle 3 місяці тому +1

      Mwabudu shetani huyu soma maandiko utamjua yeye ni mwakilishi wa nani

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 3 місяці тому +4

    Walasio mpigaji hiz nisadaka watowazo waumini wake.wajipongeze watowao sadaka na mtumishi wa mungu anajua namna ya matumiz yake hixo sadaka

  • @danielmdachi-z9y
    @danielmdachi-z9y 3 місяці тому +5

    Aaaa ni utukufu saa kwa Mtu mkuu wa Mungu kuonyesha nguvu za Mungu kwa Vitendo,
    kupitia Magari yake.

  • @siagideon9799
    @siagideon9799 3 місяці тому

    Nabii mkuu ni Yesu Kristo peke yake! Acheni kumkufuru Mungu

  • @CharlesAntony-h2h
    @CharlesAntony-h2h 3 місяці тому +3

    Bigup pastor.. keep moving 💪

  • @angela-kd2iz
    @angela-kd2iz 3 місяці тому +17

    Mh Nabii mkuu Dr GeorDavie ni sahihi kabisa yeye kuwepo hapo alipo ni sawa kabisa mapito yake yamemstahili mungu azidi kumtunza Aishi miaka mingi

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 3 місяці тому +1

    Land Rover 110 my favorites

  • @jumambwambo
    @jumambwambo 3 місяці тому +2

    Kiukweli hapa ndio tumepigwa sadaka zinatumika vibaya dini ya ukweli mbele za mungu ni uisilam tu haina makuuu

    • @antibiotic7238
      @antibiotic7238 3 місяці тому

      Uislamu ugaidi mtupu Israel kiboko Cha muislamu gaidi

    • @hosenishani6418
      @hosenishani6418 3 місяці тому

      Uzuri wa sadaka kutumika vizuri ni vip Jamni sadaka ni terminology za kanisa sadaka ni hela tu wacheni zitumike watu tujifunze namna ya kutafuta na kutumia hela hivi kweli hatuoni cha kujifunza hapo TAFUTENI HELA WACHENI KELELE HELA HAITAKI KELELE

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 3 місяці тому

      Uislamu hauna makuu eti? Weye umeona makasri ya viongozi wa kiislamu au unajisemea tu. Basi wewe galagala kwenye umaskini wakati wenzio maskani zao na miskiti yao na magari yao ni dhahabu tupu. Khaaa! Kweli ujinga hauna kinga

    • @NelengwaKalimani
      @NelengwaKalimani 26 днів тому

      Sio kwel ndugu, binadam hebu tubadilike huwa tunakuwa na Imani ya kwamba watu wa Mungu wasifanikiwe, yaani akifanikiwa tu hatukawiii kusema sadaka zetu hizo

  • @vickgrace4487
    @vickgrace4487 3 місяці тому

    HAKIKA UFALME WAKO UJE DUNIAN KM MBINGUNI... 🌹✨✨UMELITUKUZA JINA LA BWANA SANA

  • @JosephkelvinKelvin
    @JosephkelvinKelvin 3 місяці тому +2

    Mie ngefrah san,,,kama huo mstari waefeso ungetoa kichwan,,,mtot wa nabii mkuu

  • @HajiPazzy-oc6bi
    @HajiPazzy-oc6bi 3 місяці тому

    Jamani zidisheni fungu la kumi watu tuongeze ma range kwa family

  • @maxwellayoo7138
    @maxwellayoo7138 3 місяці тому +6

    Wafuasi ndio washenzi wanaoishi Mabatini😢😢

  • @anthonygikuri
    @anthonygikuri 3 місяці тому

    Oh my God!!! Tunakwenda wapi

  • @rufusmutahi4564
    @rufusmutahi4564 3 місяці тому +1

    Hubiri YESU .... YESU yuaja tubuni hakika wacheni kujionyesha

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 3 місяці тому

      Hayo nimawazo yako tafuta pesa punguza makaziriko yakisenge,

    • @prophetislael5265
      @prophetislael5265 3 місяці тому

      Sizani kama wewe unahubili yesu kila siku hunamapumziko hulali hufany kaz

  • @alfredmubi583
    @alfredmubi583 2 місяці тому

    Naomba muelewe kuwa nabii mkuu Geodavie hayo magari siyo sadaka za waumini lakini nabii mkuu anafanya biashara ya madini (anao mgodi wa tanzanite) hivyo kupata maendeleo kwake ni kitu cha kawaida.

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂eti Mungu katubariki,,,,utakatishaji wa sadaka nako ni kubarikiwa,,,magari yoye hayo, tena ya aina moja,,,kweli imeandikwa siku ya mwisho watu wataoenda pesa, na ndivyo tuonavyo leo, hofu ya Mungu haipo hata kwa viongozi wa dini,,eti mtoto wa nabii " hovyo kbsa" ona makope hayo, maywele,, ku wapi kule kujipamba kwa roho wa kristo kusipo kwa mwili, mavazi na vitu vya thamani kwa wamchao Mungu?

    • @henryndosi2002
      @henryndosi2002 3 місяці тому

      Huyu ni nyumbu a,k,a🌈​@@kelvinfussi5210

  • @vickgrace4487
    @vickgrace4487 3 місяці тому +3

    TUMEPEWA KUMILIKI NAKUTAWALA MNAOBISHA HAMUMJUI MNAYEMWAMINI....

  • @am2323tze
    @am2323tze 3 місяці тому +3

    Sasa waalikeni kampuni ya Land Rover kwani wanafanyiwa promotion free

  • @fraterinoshao8858
    @fraterinoshao8858 3 місяці тому +1

    Hao ndio walimwona Mungu bhana

  • @meshackisaitoti
    @meshackisaitoti 3 місяці тому +4

    amina

  • @tommillia7816
    @tommillia7816 3 місяці тому

    I want that Daughter 🎉😊

    • @jamespk1154
      @jamespk1154 3 місяці тому

      unataka kutolewa kafara?

    • @mandelasamson8401
      @mandelasamson8401 3 місяці тому

      Kaolewa kitambo,,,,unadhani wewe ndo wakwanza kumuona ,,, pole sana

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 3 місяці тому

    Za kuombea kura alafu mpige kimya au mtatimiza

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 3 місяці тому

    Chadomo wanateseka😂😂😂😂😂😂

  • @noahmadali7150
    @noahmadali7150 3 місяці тому +2

    Vogue uwiiiii ugonjwa wangu huo

  • @HajiPazzy-oc6bi
    @HajiPazzy-oc6bi 3 місяці тому

    Tuseme arelulia kwa range za mchungaji

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 3 місяці тому +1

    Acheni Kulia Nendeni Mkaoe Mtoto Wake Mkichemka Naenda Mimi Kusimama Nae We Baki Kuchukia2

  • @EricUbalijoro-x1l
    @EricUbalijoro-x1l 3 місяці тому

    Gari za maana barabara mbovu yaani hazifai

  • @saidmfaume8448
    @saidmfaume8448 3 місяці тому

    Mimi naomba hii comment yangu binti yake jamani aisome. Binti maini, binti nta, mtoto kaumbika. Yaani achana na huo utitiri wa ma range, angalia binti kwanza aisee.

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 3 місяці тому +11

    Mchungaji piga fungu la 10 wakamuwe mpaka waelwe

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 3 місяці тому +3

      Ww tulisa makasiriko yaumasikini huko fungu lipi linawesa kununuwa hiso magari,fala ww

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 3 місяці тому +1

      @@SamwelMollel-br9md towa sadaka wewe umtajirishe mchungaji apate kuwanyoosha vizuri

    • @Benny318m
      @Benny318m 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂endelea kukasirika ila ushauri wan̈gu tafuta hèla, pesa humfuata mwenye pesa na umasikini humfuata masikini, hata ukitoa sadaka zako kama roho ya umasikini ipo ndani mchungaji wako hutoona akifanikiwa😂😂😂

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 3 місяці тому

      Siku ukijipata utakuwa naakili kinasho kusumbuwa niumasikini,​@@alzawahirabdallah2299

    • @vinny.morales
      @vinny.morales 3 місяці тому

      Sheikh mpaka auze majini ndio apate hela😂.. sisi tunawawezesha viongozi wetu wa kiroho kwa nguvu zetu wenyewe. Sio majini

  • @nelsonmrutu371
    @nelsonmrutu371 3 місяці тому +2

    NABII MKUU DK GEORDAVIE 🙌

  • @chacha-255
    @chacha-255 3 місяці тому +3

    Sadaka na zakaz hazina risiti 😁😁😁

  • @desderymakoi
    @desderymakoi 3 місяці тому

    kila mtu na fikra zake uzao wa Kwanza huenda

  • @EMANUELMUSHI-kk4df
    @EMANUELMUSHI-kk4df 3 місяці тому +1

    Mtego huu

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika 3 місяці тому

    Sasa Kuna faida Gani hapo badala ya kuzalisha vya kwetu nyie mna tangaza biashara za mabepari kweli afrika tunafiriku sana

  • @erickenock3198
    @erickenock3198 3 місяці тому +2

    Jamani tutafute pesa hii atar!!

    • @ibrahimngulungu
      @ibrahimngulungu 3 місяці тому

      Na na Mungu pia tumtafute ukiwa na vyote viwili piga kifua chako sema mm ni mwamba😂😂😂

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 3 місяці тому

    Mzee mpigaji anajiita nabii

  • @rosengowi847
    @rosengowi847 3 місяці тому +1

    Mimi nipungue ili Yesu aongezeke

  • @davidrulobhavako8551
    @davidrulobhavako8551 3 місяці тому +4

    Mchungaji ana range zote hizi

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 3 місяці тому

    Wakala wa ......

  • @MalikiaRecho
    @MalikiaRecho 3 місяці тому

    Nyie mnao sema mengi ya kuhukum Kwan Neno lilisemaje Enenden ulimwenguni mkamili na kutawala Sasa mnataka nn achen zenu

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 3 місяці тому +2

    Sativa yupo wapi.. Land Rover ni uingereza sio tz acheni ujinga watu wazima nyie

  • @MalikiaRecho
    @MalikiaRecho 3 місяці тому

    Mwendo tumekuja kuish na kutawa nyie ongeen wewe ata asubuhi hujui Wala nn Kaz kumsema Mtu wa Mungu mtabak Ivo ivo

  • @vickgrace4487
    @vickgrace4487 3 місяці тому

    Kila kitu n MALI YA BWANA NA SISI TU WATEULE TUPENDWAO... SS MTOTO WA MUNGU ANAYAISHI ANAYOYAHUBIRI TUNAONA ... HAKIKA...

  • @edsonpetro3754
    @edsonpetro3754 3 місяці тому

    unaweza ustoe sadaka na ukazeeka unatamia tutafte pesa

  • @lowkeybongo
    @lowkeybongo 3 місяці тому +1

    Let a man get cash

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 3 місяці тому

    MUNGU NA KOPE NDEFU KUCHA ZA BANDIA BRICH WAPI NA WAPI?AU NYIE MNAMWABUDU MUNGU GANI?

  • @rufusmutahi4564
    @rufusmutahi4564 3 місяці тому +1

    Muanguko wa imani

  • @imanmodern
    @imanmodern 3 місяці тому +3

    Endeleeni kutoa sadaka watu wanunue land rover

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 3 місяці тому +1

      Kwani tukitowa inakuusu nini,mbona unawashwa,ww malaya,

    • @eyeonnature4022
      @eyeonnature4022 3 місяці тому

      Acha ukali. Yule mwingne amemisi laki 5 zenu. Uspaniki​@@SamwelMollel-br9md

    • @jostamzxkaole3113
      @jostamzxkaole3113 3 місяці тому

      Ana mademu wengisana ❓..

  • @Monica-bz4gt
    @Monica-bz4gt 3 місяці тому

    Nope namba ya huyo mtoto wa nabii😂

  • @MussaBakar-p2p
    @MussaBakar-p2p 3 місяці тому

    Sasa kichwani umepaka Nini mtoto wakike hovyo

  • @kouswayisaidahamada9979
    @kouswayisaidahamada9979 3 місяці тому

    Kishwa shahabari kinasema
    Watoa sasa kwa devi wahaha

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 3 місяці тому +1

    Sielewi kitu mimi

  • @georgeanyosisye2182
    @georgeanyosisye2182 3 місяці тому +1

    namba za mtoto wa mtumishi nasi tune kama tunaweza

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 місяці тому +1

    Sadaka??

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 3 місяці тому +4

    Uyo dada nimempenda izo nywele kope kigauni nani ananambayake jamani

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 3 місяці тому +1

    mmeona limnyama hilo hapo... agent huyo

  • @Michealfarah-n1w
    @Michealfarah-n1w 3 місяці тому +3

    Kwaivo gari itukuzwe wacheni kuzuzuwa watu akili!.

  • @cliffdenis144
    @cliffdenis144 3 місяці тому

    Iseee haki ya nani

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 3 місяці тому +7

    Sadaka.watoa sadaka wako hoi bin taabani.

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 3 місяці тому +2

      Pungusa makasiriko yaumasikini ww malaya,

    • @vinny.morales
      @vinny.morales 3 місяці тому

      Wengine mpaka wauze majini ndio wapate hela😂

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 місяці тому

      Nafuu huyu kaonyesha sadaka yake nyee kazi yenu kufathili magaidi

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 3 місяці тому

      ​@SamwelMollel-br9md matusi ya Nini sasa

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 3 місяці тому

      @@meshacknyandongo577 wewe unalo range au baiskel

  • @rufusmutahi4564
    @rufusmutahi4564 3 місяці тому

    Wokovu wa KRISTO uko wapi

  • @justinollomy5861
    @justinollomy5861 3 місяці тому +2

    kessi yako inakujaa kibaka Wew Muuhuni utalindwa na samiha lakini mungu atakuacha salama

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 3 місяці тому +1

      Ww malaya wakiume pungusa makasiriko yaumasikini fala ww ukatafute sako,

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 3 місяці тому

      Ujafirwa mda,siyo ungetuliya

  • @frankmaligo5749
    @frankmaligo5749 3 місяці тому +3

    Kimekalia kubandika kope kinashindwa kutunza maandiko machache tu kichwani

  • @divaimafuru6844
    @divaimafuru6844 3 місяці тому

    Je,hcho kinachofanyika kina manufaa gani katika jamiii!!?

    • @silasmarandu1485
      @silasmarandu1485 3 місяці тому +2

      Ni kama ubunifu na kivutio cha biashara pamoja na utalii

    • @8pistons194
      @8pistons194 3 місяці тому +1

      Kaskazin tuna pesa sio lazma kila kitu kikupe faida

    • @divaimafuru6844
      @divaimafuru6844 3 місяці тому

      @@8pistons194 hujitambui

  • @NassoroHaji-i8k
    @NassoroHaji-i8k 3 місяці тому

    Tufanyeni ibada haya ni mapambo ya dunia tuu

  • @Ax-xpress
    @Ax-xpress 3 місяці тому +2

    Injili inalipa Bro....wachana na mambo ya quran..!

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 3 місяці тому +1

    Hapo n wapi ,ni Kwa joe Biden au ?

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla 3 місяці тому

    Guiness record come on Mjuaji unafikir kitu rahis rahis eeeh

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 3 місяці тому

      @@kelvinfussi5210 niko paleeeeeeee

  • @zawadimbwambo1091
    @zawadimbwambo1091 3 місяці тому +1

    Huyo yesu ni ndugu yenu? Maana anawaokoa nyinyi tu. Wengine ni kulalama shida kila kukicha.

    • @meikoking
      @meikoking 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 місяці тому

    hawasemi hata monyesho ni tarehe ipi..sasa mtangazaji siunongeza hiyo tarehe mbona useme tuu ni 2024 and you are not telling us the exact date? aii

    • @twotimes503
      @twotimes503 3 місяці тому

      Tarehe 12 Hadi 14 mwez wa kumi,
      mahali ni viwanja vya magereza Kisongo

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 місяці тому

      @@twotimes503 wee mzuri sana. mtu wa maana kweli kabisa. Mungu akukumbuke na kukubafriki asanre sana

    • @twotimes503
      @twotimes503 3 місяці тому

      @@jedidahbintidaudi8241 shukran 🙏

    • @PetersonJoel-v1f
      @PetersonJoel-v1f 3 місяці тому

      11

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 місяці тому

      @@PetersonJoel-v1f Oh it 11 huh?

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 місяці тому +1

    Mtoto wa pasta mwenyew ,,inaonekana anasumbukia dunia kinoma,,ni wale wale tu

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 3 місяці тому +1

      Unataka akusumbukiye ww,pungusa makasiriko yaumasikini uliyonayo

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 3 місяці тому

      @@SamwelMollel-br9md 😁😁😁😁 vipi mzae mbona unajam

    • @JumaGendeye-sv6yl
      @JumaGendeye-sv6yl 3 місяці тому

      Minachekag tu

    • @GrantMwakalambile
      @GrantMwakalambile 3 місяці тому

      Unahangaika ulitaka asumbikie Nini sasa yupo dunian ndipo anaish

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 3 місяці тому

      @@GrantMwakalambile sasa asiwe kwenye kivuli Cha baba MCHUNGAJI,,,alafu haendani

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 3 місяці тому +5

    Sasa kutana na masheikh kudaadeki, wamechokaa, wamechakaa kazi kufuga majini tu😂

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 3 місяці тому +1

    Haha😂

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 3 місяці тому

    Wajinga ndiyo waliwao......Tuendelee. yajayo yana sikitisha mnoo

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 3 місяці тому

      Kama ww nimjanja mbona umebaki natako tu ww malaya pungusa makasiriko ww malaya, yanakuusu nn,