MC LUVANDA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA/KUHUSU USALITI/MKE WANGU NI MBISHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 42

  • @veronicajmunseri8733
    @veronicajmunseri8733 11 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂 ila Luvanda mdg wangu hiiki kipindi Nimechekaaa mpk nimecheka tena🙌🙌🙌

  • @hildaminja5148
    @hildaminja5148 Рік тому +11

    We mtangazaji ujitafute kwenye uimbaji. Una sauti nzuri sana KUIMBA SIFA za Mungu wetu

    • @itNeza
      @itNeza Рік тому

      Dhuuu Za Mungu tena 🙄🤭

    • @neemamaballa2344
      @neemamaballa2344 Рік тому +1

      Ni mwimbaj mzr sana karibu kinondoni revival church utamwona

  • @upendokariro4252
    @upendokariro4252 Рік тому +2

    Safi sana MC Luvanda umejibu vizuri sana hasa swala la kumuokoa nani, mwanao wa kiume ndio murndeleza ukoo upo sahihi

  • @hellenismail4351
    @hellenismail4351 Рік тому +6

    Suzzete such a great presenter ....International presenter🥰🥰🥰🥰🥰

  • @janethdavidsanga5999
    @janethdavidsanga5999 Рік тому +5

    Dah huyu kaka anachekesha nyie😀😀😀😀😀😀😀😀😀hahahaaaa nacheka kama chizi

  • @gracejosephy2242
    @gracejosephy2242 Рік тому +5

    Mkeo ni mostly beutifully

    • @belak999
      @belak999 Рік тому

      Ndio mnavyomdanganya?

    • @gracejosephy2242
      @gracejosephy2242 Рік тому

      @@belak999 angekuoa wewe sasa

    • @belak999
      @belak999 Рік тому

      @@gracejosephy2242 unafikir kila mwanaume ni mume, anaishi nyumba ya upande wa ukweni,Hiyo ni mfano mmoja tu

    • @belak999
      @belak999 Рік тому

      Na video zake za conn zitafute uzione

    • @hendrylema5640
      @hendrylema5640 Рік тому

      @@belak999 za nan

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 Рік тому

    I love u luvanda my brother,

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 Рік тому +2

    Luvanda uwa yuko sawa kabisa

  • @ndavadumayai4250
    @ndavadumayai4250 Рік тому +1

    Mc Luanda umenifurahisha kwenye kujibu maswali aisee

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Рік тому +2

    Hahahahahaaaaa Luvanda umeua

  • @veronicajmunseri8733
    @veronicajmunseri8733 11 місяців тому

    Nacheka mimi na hii talk 😂😂😂

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Рік тому

    Mtakuja kutengeneza simu alovera muarubain tikiti mhhhh kujua kwinhi huko kkk

  • @aoman5214
    @aoman5214 Рік тому +7

    Kwani huyu ni comedia 🤣🤣🤣🤣 tatizo Lilian ana ujuaji mwingi

  • @aoman5214
    @aoman5214 Рік тому +2

    Hapo Kwa Lili ni mtani wake na kuhusu kuokoa angeokoa mke wake

  • @christinaonditi9341
    @christinaonditi9341 Рік тому +1

    Luvanda,mke wako ni mzuri zaidi then. mh Rais,. Wanakufata ni vyovyote

  • @gracejengo1344
    @gracejengo1344 Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣umemuwezaaa Sanaa

  • @irenemichael5140
    @irenemichael5140 Рік тому +1

    Kwa swala la mtoto wa kumuokoa umeyumba .......ht mtoto akiolewa bado ni wako ni ukoo wako...swala la kubeba jina la familia hiyo si issue cha msingi ni upendo na kujali kwa mtoto ....tena mtoto wa kiume atalibeba hilo jina sawa ila moyo na Akili vyote vIPO kwa mke na familia ya mke wake. Tena kwa asilimia kubwa Hawanaga mchango kabisaaa kwa familia zao....labda apate mke mwenye huruma aseme basi mrushie mama mkwe ht 10000 haahaaa

  • @zuhuramuyinga5953
    @zuhuramuyinga5953 Рік тому

    Safi Mc Luvanda

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 Рік тому

    Kwa swali la wachungaji,ningejibu
    😀😀😀😀

  • @ebenezerchurchsupremetv9490

    Kipindi chenu chagueni lugha Moja tu ili kiwe sawa

  • @evasonlushaka767
    @evasonlushaka767 Рік тому +1

    Ili takiwa we ndo unywe

  • @anajohn8132
    @anajohn8132 Рік тому

    leo umepatikana na sumu zako

  • @joachim_brendapanga-minde3518
    @joachim_brendapanga-minde3518 Рік тому +1

    Mungu awapiganie mwanangu.

  • @rhodalameck5722
    @rhodalameck5722 Рік тому

    We mtangazaji uache kujichekesha kwaa mume wa mwenzako kujichekesha huko ndio nini mfyuuuu

  • @SalsabeelLtd
    @SalsabeelLtd Рік тому

    Kwan luvanda ni mume wa Lilian mbona sielew

  • @janethdavidsanga5999
    @janethdavidsanga5999 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Рік тому +1

    Nimecheka sana

  • @johnnsekela6474
    @johnnsekela6474 Рік тому

    Pia tambua kwamba anayejua kuwa ni mtoto wako halali ni mama peke yake.

  • @edithmende1975
    @edithmende1975 Рік тому

    Jmn mbavu zangu

  • @mainethwella9504
    @mainethwella9504 Рік тому

    Kajikaza kiumw

  • @jeybullaz9323
    @jeybullaz9323 Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @eunicearicky7582
    @eunicearicky7582 Рік тому

    😂😂😂😂

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 Рік тому +1

    Kipindi kizuri mnoo