LILIAN MWASHA;KWA MARA YA KWANZA AJIBU KUHUSU KUIBA MUME WA MTU/NAUMIA/WATU BADO HAWANIAMINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 97

  • @reginaringia7080
    @reginaringia7080 2 роки тому +13

    Hongera sana Lilian Mungu akutunze aasnte kwa kkufanyika kuwa baraka katika maisha yetu.Natamani kukuina siku moja.Unanibariki Sana mpendwa

  • @Mingler_Skimmer
    @Mingler_Skimmer Місяць тому +1

    4:12 ~ 4:20 Lilian umetoa mfano 💪💪

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 2 роки тому +12

    Da Liliane ni mrembo pia intelligence 🥰👏🏾

  • @rayahnaz162
    @rayahnaz162 2 роки тому +7

    I LOVE YO LILIAN MWASHA MY ROLE MODEL WA TANZANIA

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 2 роки тому +8

    Awapi alilolipanga mungu mwanadamu hawezi kulijua unakuta mwingine walikutana pasipo mpango mungu wakaleteana shida kila mtu anahaki ya kwenda kuanza maisha mpya .

  • @hellenmawere9284
    @hellenmawere9284 2 роки тому +3

    Mungu atusaidie daLilly.. usijihukumu tuu, furahia familia yako mpenzi. 🥰🥰🥰

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 2 роки тому +3

    Nice interview jmn,Asante dada lilian na suzi pia

  • @tinamon7913
    @tinamon7913 2 роки тому +7

    Huyo Dada unaemuhoji nampenda ananiponyaga sana maneno yake.

  • @AggiesVine
    @AggiesVine 2 роки тому +1

    I'm taking quite a liking to this lady Lilian Mwasha. Great points.

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 2 роки тому

    Duuuh Hongera Sana mtumushi liliani mwasha

  • @rehemakajabu1317
    @rehemakajabu1317 2 роки тому +2

    NAKUPENDA SANA DADA LILIAN UMEKUWA BARAKA SANA KWANGU,NAKUFATILIA SANA

  • @suzanakesmil
    @suzanakesmil 2 роки тому +4

    Nakupenda dada mwasha

  • @ummukuothumndakize
    @ummukuothumndakize Рік тому

    Nakupenda sana lilian

  • @rosemsemwa2226
    @rosemsemwa2226 2 роки тому +1

    Kiukweli nampenda da Lily na sauti yake😘

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 2 роки тому +4

    Nakupenda sana dada Lillian

  • @judythasiko8648
    @judythasiko8648 2 роки тому +11

    Love this woman ❤️

  • @josephchuwa1285
    @josephchuwa1285 2 роки тому +8

    Lilian usijalaumu kwa kuolewa hukukosea na hakuna mwanaume anayestahili kuwa single
    Huo ni uoga wa maamuzi ukiamua pambania maamuzi yako as long as uko sahihi màana mlishadivorce what next don't be hard on yourself
    Na kwa wengine out there msiogope ukweli na uongo upe muda

  • @Nicholas12061974
    @Nicholas12061974 2 роки тому +5

    Am glad someone is talking about our boys,it has been my dream

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 2 роки тому

    Girl i love you, Lilian Mwasha i see my self in you. We don't have to be selfish as women. God bless you.

  • @mundelejudith3940
    @mundelejudith3940 2 роки тому +2

    Nakupenda sana dada

  • @joycekimario4542
    @joycekimario4542 2 роки тому

    Nimependa sana ujumbe

  • @beatrice3671
    @beatrice3671 2 роки тому +1

    She's touched my heart ❤ natamani kukuona one time lily

  • @leahchalresi5632
    @leahchalresi5632 2 роки тому +2

    Nakupenda sana dada liliani

  • @gimbanantavyo5217
    @gimbanantavyo5217 Рік тому

    You are such an amazing lady, receive a bunch of love.

  • @sheckycobb5240
    @sheckycobb5240 2 роки тому +6

    Lilian Sasa ukisema uogope watu wanaowatazama na ujikute unaumia Sana utajijaza tuuu??? Tafakari kumhusu Osinachi mydear.... But km uko na Furaha na hukwaziki ni sawa

  • @mwanrique
    @mwanrique 2 роки тому +2

    I love you Suzette, keep doing you!

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 роки тому +1

    Mwanamke ndio sababu ya kumkandamiza mwanamke. Kwn huyu kaka ni mtoto kuibiwa na wengi wanaosema hizi kauli ni wanawake wenzetu. I wonder why? Tukubali upo wakati mapenzi yakiisha kati ya wawili waachwe wakatafute maisha mengine. Kwnn si mwanamke katiba mwanamke wa watu? Tuache kujikandamiza
    Lili nakupenda sana dada

  • @jacklinemwita4173
    @jacklinemwita4173 2 роки тому +1

    Hiyo Hofu ikutoke kwa jina la Yesu

  • @happinesskitali164
    @happinesskitali164 2 роки тому +1

    Mm nampenda sana Lilian

  • @Kidotii
    @Kidotii 2 роки тому +3

    I love you Lilian!

  • @priscaphedrick5970
    @priscaphedrick5970 2 роки тому

    Nakupenda dada wewe Lilian yaani hatasijielewi kabisa nakupenda tu

  • @ubongosahihi
    @ubongosahihi 5 місяців тому

    Aleluya 🧎🏾‍♀️🙇🏽‍♀️👏🏾

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 роки тому +3

    Hapana akitokea naolewa tu aiseee kila mtu na bahati yake siwezi acha bahati yangu kisa alishawahi kuoa labda Mungu ndio njia aliyo mpangia apite ili akutane namm

  • @chosentv742
    @chosentv742 2 роки тому

    Waooo I love the host🥰

  • @samiakikwete1762
    @samiakikwete1762 2 роки тому +2

    Kwani wakiristo wanaachana?

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 8 місяців тому

    Kwanini asiitwe Lilian Luvanda?

  • @fridakaishaza1032
    @fridakaishaza1032 2 роки тому

    Much love ❤️

  • @christinamwakibolwa3000
    @christinamwakibolwa3000 2 роки тому +4

    Lilian unaponya Moyo na nafsi yangu

  • @rahma6189
    @rahma6189 2 роки тому

    Dada lili nakupenda ila kwanini unachanganya na kingeresa

  • @saidaramadhan2099
    @saidaramadhan2099 2 роки тому +6

    Ukiamini mwenyewe inatosha ukisibili watu utakesha

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 6 місяців тому

    dada lili punguza misifa punguza uperfect

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 2 роки тому +1

    Kweli tena unaitwa baby 🤣🤣 namuelewa huyu dada 😍

  • @tunsumegideonmwamboneke9639
    @tunsumegideonmwamboneke9639 2 роки тому +1

    “hakuna kitu mume wangu atafanya kinifanye nimuache “ haya maneno sio sahihi kwa mwanamke kusema mbele ya hadhara. Its a reason why wanawake wengi wanakufa kwa kuuwawa na waume zao. Ni sababu tu hauna kitu cha kukufanya uondoke, real?!

    • @esthermwambene6975
      @esthermwambene6975 2 роки тому

      Lakini kama umemsikiliza vzr kasema mwanamke usikae kwende ndo ya mateso kupigwa nk so pengine hayo yote yeye hayapitiii

  • @Lifestylek2l
    @Lifestylek2l 2 роки тому

    Jaman nipate no yke

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 2 роки тому +1

    Me hata nilikua cjui kama luvanda alikua kaoaga nalili alikua kaolewaga

  • @bintisayuni6634
    @bintisayuni6634 2 роки тому +1

    Real

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Рік тому

    Mhhh kumbe walewale tuu kkk

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 2 роки тому +2

    Nawapenda Sana Hawa wadada jamani.

    • @verasikawa6382
      @verasikawa6382 Рік тому

      Animekupenda sana kwa hekima yako Liliani mungu akubariki pamoja na uzao wako.

  • @iddaadams7351
    @iddaadams7351 Рік тому

    Lilian kama Lilian.......

  • @irenechobaliko9599
    @irenechobaliko9599 2 роки тому +3

    Your story could be different, but most men will lie that it’s not working and blame the woman or say we processing a divorce & blah blah blah, yet he is just a womaniser 😢😢😢. Ladies be careful

  • @aoman5214
    @aoman5214 2 роки тому

    Umeongea ukweli kabisa wanawake wa siku hizi hawana hofu ya Mungu wakina Christina shusho wanaachika na kuacha watoto wao kisha makanisa jaman hmmm

    • @jackmacha6057
      @jackmacha6057 2 роки тому

      Kwan shusho alishaachika

    • @esterpaul3146
      @esterpaul3146 2 роки тому

      @@jackmacha6057 ndio

    • @veeJesus
      @veeJesus 2 роки тому +2

      Kuongea ya shusho ni rahis ila hujui chochote kuhusu ndoa ya shusho
      Alafu aliekuambia kuwa na hofu ya Mungu ni kukaa kwenye ndoa??

  • @evangelistmcsarahmvungi3626
    @evangelistmcsarahmvungi3626 2 роки тому

    Wewe ni mrembo na unaponya wengi

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 2 роки тому +1

    Halafu Isack alimwambia mwanae Essau na si Yakobo. Sema Rebecca akamwambia Jacob jinsi Isack anavyowish kumbariki mwanae wa kwanza kutoka" Mind you that Jacob na Essau walikuwa mapacha "Yacob akajiwahi na akafanya yaliyotakiwa kufanywa na Essau. Jacob akajifanya Essau na akapata baraka. Essau alivyokuja it was too late baraka zilikuwa zimeenda kwa Jacob.Ingawa huko mbeleni baada ya Jacob kwenda kwa mjomba wake na kuoa Leah na Rahel na mpaka kuzaa na vijakazi wake,alirudi na kumuomba msamaha Essau.

  • @ndugutv5417
    @ndugutv5417 2 роки тому

    Giza unaliogopa alafu roho Mtakatifu Humwogopi?
    Hivi vitu sielewagi

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 2 роки тому

    Best interview

  • @lucyemichael7814
    @lucyemichael7814 2 роки тому

    👏🏼

  • @bikozikomo9496
    @bikozikomo9496 2 роки тому

    Anajionanga mtakatifu huyu dada,

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 роки тому +10

    Wabongo wananishangaza sana, are you really doing boy child because you want to shine and make money or you are really passionate about that cause...it is all about you and your family just using poor children from acutely poor background

    • @sharewithhope1229
      @sharewithhope1229 2 роки тому +6

      It takes caurage kufanya hicho anavhokufanya kama ingekuwa rahisi kila mtu angefanya ,it's time tuwapigie makofi wengine pale wanapojaribu kufanya kwa ajiri ya wengine huku na sisi tukijitafuta tufanye nn na vile Mungu ametubariki navyo

    • @lydiathomas2905
      @lydiathomas2905 2 роки тому

      Don't judge if you have no evidence, this is why people afreid doing good things. Be positive my dear it will do you good, trust me.

    • @tukuswigaikasu5227
      @tukuswigaikasu5227 2 роки тому

      Acha makasiliko jamani..

  • @fridahiminza8659
    @fridahiminza8659 2 роки тому +2

    If the first marriage didn't work,second ,third , won't work,there is this spirit called, spirit of divorce that is tormenting people.read ?malachi 2:13 kuendelea,the wife/husband of your youth. 😭

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 2 роки тому +6

    Khaaà Yakobo tena??? Sio isaka aliyemwambia Esau aende nyikani akawinde mnyama, amfanyie chakula kizuri ili apate kula AMBARIKI,

    • @magrethmollel1078
      @magrethmollel1078 2 роки тому

      Ni yakobo ndugu siyo Isaka

    • @williammweta5539
      @williammweta5539 2 роки тому +2

      Ni yakobo dada

    • @winfridagama5832
      @winfridagama5832 2 роки тому +1

      Isaka alikuwa nawatoto wawili Isau na Yakobo aka yakubuu

    • @florencebudoya3814
      @florencebudoya3814 2 роки тому

      Isack alimwambia Esau,ila Rebecca ndo akamwambia Jacob afanye hivyo ajifanye yeye ndo Yacob

    • @esthermalamsha2847
      @esthermalamsha2847 2 роки тому +1

      Ni Isaka sio Yakobo, Yakobo ni pacha wa Esau & Isaka ni baba yao...

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 2 роки тому

    Mimi mwenyewe yamenikuta !

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 2 роки тому

    Dada jifunike

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 2 роки тому +4

    Na komaa ata waseme nimechukua ! Walipeana taraka miaka 2 nimeingia kwenye mausiano hyo naambiwa Mimi nimeiba mmewamtu

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 2 роки тому +1

      Olewa mwaya dada! Km lipaka limeachika,mume aache Kuoa? Uliiba alikuwa ni gunia?endelea kuishi na mumeo,Mapaka yackusumbue.

    • @nolimittvonline6822
      @nolimittvonline6822 2 роки тому

      @@yukundapeter8200 umeonaeee yani kwenye dunia hii ukitaka kufurahisha watu utachelewa

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 роки тому +1

      Hakuna mume wa MTU endelea my

    • @nolimittvonline6822
      @nolimittvonline6822 2 роки тому

      @@jescajulius8023 nasonga mbele my

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 роки тому

      @@nolimittvonline6822 haya mpenzi

  • @silviagustavo416
    @silviagustavo416 2 роки тому

    Kingereza cha nn 😏😏

  • @sakinanaftali7929
    @sakinanaftali7929 2 роки тому

    #TUNAMWAMINI KARIBUNI KUITAZAMA
    ua-cam.com/video/ZhY-T8wk4Do/v-deo.html

  • @Mundi-oz7os
    @Mundi-oz7os 7 місяців тому

    Learn to cover your legs PLEASE

  • @zuhuraally4146
    @zuhuraally4146 2 роки тому

    Nakupenda sana dada mwasha