SERIKALI YAENDELEA KUWANYIMA WANANCHI ZAN ID, WAMLALAMIKIA MAKAMO WA KWANZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 чер 2024
  • Makamo wa Kwanza wa Rais na Mwenyekiti wa ACT Taifa akizungumza na wananchi Pemba.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 25 днів тому +1

    Iko cku haki itasoma

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 25 днів тому +2

    Eti mtu unakamata mashafu una apa una muapia nani kama sio kutaka kujitia motoni maksudi maana kiapo unacho apa ukienda kinyume na mungu wako

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 25 днів тому +1

    Kiukweli ccm hatuitki na Kila siku zikienda mbele ndo kuzid ndo inatuchosha kabisa

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 24 дні тому

    Bahati nzur wazanzibar tunajitambuwa. Na tunajua kaingia madarakan kwa kuuwa ndugu zang

  • @user-qz2cs5wm5u
    @user-qz2cs5wm5u 24 дні тому

    Uwondio ubola wakua namwanashelia kiongozi

  • @Mahirwazanzibar
    @Mahirwazanzibar 24 дні тому

    Duh, duh kumbe hivi vitambulisho vimeandikw mzanzibar mkaazi na sio Mzanzibar dah jaman alikua siyajui.
    Kwaiy alokibadilisha nan?

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 25 днів тому

    Dhulma haidumu na ikidumu itaathiri ndio haya ya leo tunayoyakuta