SASA HII NDIO PEMBA MPYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 8

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 Рік тому +1

    Hawa wanaoogelea ndio wanapaswa kuajiriwa katika kikosi cha kmkm💯💪💪💪💪

  • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar

    Mashaallah alfatah tv kwakujitolea

  • @bausaboy24
    @bausaboy24 Рік тому +1

    Kwanza niipongeze alfatah TV kukuza maendeleo ya Pemba kwa kuitangaza pemba na kujulikana kitaifa. By Bausa professional tour guide from Pemba island Zanzibar

  • @Dullahfakih-hd7re
    @Dullahfakih-hd7re Рік тому

    hongereni sana alfatah tv kwa kujitowa kwenye matukio ya jamii

  • @abubakarishaka129
    @abubakarishaka129 Рік тому +1

    So spectacular 🤩. Big up Al-fattah

  • @abdallamohd9231
    @abdallamohd9231 Рік тому

    Tunaomba mashindano yetu yawe ya Zanzibar TU yasishirikishwe Tanzania bara Pemba na Unguja

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv Рік тому

    Hawana haja na Wapemba hao wanajitowa kimasomaso tu.

  • @HumudAlmaawaly
    @HumudAlmaawaly Рік тому

    Kwalip lilofanyika hata iwe pemba mpya lkini upande momoja kweli ninmpya mana kila kitu kimeharibika hata neema za Allah zimetoweka Kwa ufisadi na ubaya ya watawala sadaktaa shk