Maa shaa Allah,sema daah waliomo humo ndani nahis walkiua wanaomba dua sana wafike salama maana hayo mawaidha ukiangalia upo ndani ya chombo roho inadunda sio poa
Ameen ustadh bachu siwaona ukiwa waongea kama hivi mm mwenyewe nahisi raha sasa lamuhim kukusihi ndugu yangu na mm pia najisihi tusiwe wenye kukejeli waislamu wenzetu
Hili bachu ni toto chokozi halina elimu yoyote . Nakukejeli watu ndio sifa halisi ya maruwaibidhwa . Na hoja yakuwambia watu kweli hakufanyi usitumie hekma na maneno pole na kuepuka fitna
@@Superbasil-h3x we fanya maisha yako achana na kumfatilia mtu ndugu ukiona unamfatilia xana mtu huenda unamkubali au hukumbali kwa vile kunavitu anavigusa we ni mshiliki wa hivyo vitu tafuta maixha acha kuwasema sema watu
Kisha pia ukitaka raha na radhi basi furahisha waislamu na uwe mwenye kuwa na heshma katika kukhtalifiana shukran sanaa pole kama nimekosea mie mwanadamu nakutakia safar njema
Hakki itabainishwa batwil ikae mbali na hakki hatuwezi nyamazia uzushi ukasema ni ikhitilafu mtume akuogopa kuongea hakki kisa kuna watu watanizania vibaya laa hiyo haipo
makhurafi hawana chochote zaidi ya inadi tu na chuki,kwa mfano sasa huyo sheikh kwa lipi amelisema vibaya,tunaona comed,mwengine eti anasema huyo ng,ombe huyo kadhaa ebu tazama makhurafi walivyo na chuki,huyu sheikh yupo sahihi kabisa ,na akiingia kwa munakasha basi makhurafi uchachiwa sana na wanalijua hilo huyu sheikh yupo vizuri sana wala huwa hana wasi wasi wala kupigwa na roho,wao waingee wanavyo ungea ikifika munakasha watakazane kwenye mambo ambayo hayana msingi kama munajasha ulofanyika mombasa,sasa sheikh ata anawasikiliza lakini anajua porojo tu za makhurafi na si huyu tu bali watu wasunna wote wako vizuri sana na wanatembea kwa hoja,rena za kimsingi za kiusomo,huko utasikia cjui kakosea nahau kakosea balagha kajosea manthwiki kakosea swarafa,vitu kama hivyo lakini ukweli makhurafi hawaba hoja za msingi.
Soma dini ndugu yangu ungejua ubaya ya mawahabii munadanganywa atii nyinyi ni ahlu sunaah 😂😂😂. Mawahabii hawajui elimu wala.hawako.katika haqq bali wanepotea Allah awaongoze
@@osmanmanbile9327 awaongoe ninyi wazushi mnaozusha katika dinni ya Allah kusoma hamsomi kazi yenu kukata mauono sikitini na mdufu na dhikri za kunguruma kama wendawazimu Fulani hivi ilmu hamna uwezi kuta madrasa za masufi za somesha wattoto wakamtambua vzr Allah na tawwed zaidi mntowa waganga wa kienyeji tuu kama kina yusufu diwani wfuga majini ushirikina kuabudia makabuli yte hayo masufi mijitu ya bidaa na dwalala ndomana imamu shafii alisema kuingia katika usufi mchana fika asubuhy utakuwa mpumbavu
Jitu la upotevu huko bidaa unazifanya unaona mukeongoka kumbe ibilisi anawachezea akili urongo tuu tupu umewajaa kina doctor sule wale masufi wenzenu kufuga majini namxhukuru mungu kuniongoza katika sunnah Mana kufa ningekufa katika bidah Ni hatari xana
Allah awahifadhi masheikh wetu
MAASHAA ALLAH ALLAH awahifadhi vipenzivya umma
Masha Allah,Tabaaraka Allah
Maa shaa Allah,sema daah waliomo humo ndani nahis walkiua wanaomba dua sana wafike salama maana hayo mawaidha ukiangalia upo ndani ya chombo roho inadunda sio poa
Sheikh
Allah akuhifadhi
Shukran sheikh kwa nasaha
Maa sha ALLAH..salmia ustaadh yusuf wa mambrui..
Allaah awahifadhi nyote ktk safari yenu
Ameen ustadh bachu siwaona ukiwa waongea kama hivi mm mwenyewe nahisi raha sasa lamuhim kukusihi ndugu yangu na mm pia najisihi tusiwe wenye kukejeli waislamu wenzetu
Kwani kuna mtu kakejeliwa tatizo watu waleo hamtaki kuambiwa ukweli ukiambiwa kweli wasema natukanwa
Hili bachu ni toto chokozi halina elimu yoyote . Nakukejeli watu ndio sifa halisi ya maruwaibidhwa . Na hoja yakuwambia watu kweli hakufanyi usitumie hekma na maneno pole na kuepuka fitna
@@Superbasil-h3x we fanya maisha yako achana na kumfatilia mtu ndugu ukiona unamfatilia xana mtu huenda unamkubali au hukumbali kwa vile kunavitu anavigusa we ni mshiliki wa hivyo vitu tafuta maixha acha kuwasema sema watu
MASHA ALLAH
MASHEIKH WENGINE WANAOGOPA KUSAFIRI KWA BOTI KWA KUIPENDA DUNIA WANAHOFIA MAUTI MWENYEZI MUNGU AKULIPE
Waalekum Salam Waramatullah Wabarakatu haya safari njema
Dawaa imefika vizuri
Kisha pia ukitaka raha na radhi basi furahisha waislamu na uwe mwenye kuwa na heshma katika kukhtalifiana shukran sanaa pole kama nimekosea mie mwanadamu nakutakia safar njema
Hakki itabainishwa batwil ikae mbali na hakki hatuwezi nyamazia uzushi ukasema ni ikhitilafu mtume akuogopa kuongea hakki kisa kuna watu watanizania vibaya laa hiyo haipo
حفظكم الله
Si sawa kumutukana mtu kumuita ngombe una ustarabu una elimu mwenyenzi Mungu awaifadhi maustadhi wetu wote
Aifai kumtukana shakhe kumuita gombe nimakosa makubwa
UKITAKA KUWAJUA WASHIRIKINA AMBAO WANAMPIGA VITA ALLAH NA MTUME SAW INGIA UTUBE ANDIKA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA
TUKO PAMOJA SHEIKH NA TUNAKUELEWA NA WASIO KUELEWA WASIKUREJESHE NYUMA HAO WANA MARADHI NYOYONI MWAO
,MUNGU AWAONGOZE
makhurafi hawana chochote zaidi ya inadi tu na chuki,kwa mfano sasa huyo sheikh kwa lipi amelisema vibaya,tunaona comed,mwengine eti anasema huyo ng,ombe huyo kadhaa ebu tazama makhurafi walivyo na chuki,huyu sheikh yupo sahihi kabisa ,na akiingia kwa munakasha basi makhurafi uchachiwa sana na wanalijua hilo huyu sheikh yupo vizuri sana wala huwa hana wasi wasi wala kupigwa na roho,wao waingee wanavyo ungea ikifika munakasha watakazane kwenye mambo ambayo hayana msingi kama munajasha ulofanyika mombasa,sasa sheikh ata anawasikiliza lakini anajua porojo tu za makhurafi na si huyu tu bali watu wasunna wote wako vizuri sana na wanatembea kwa hoja,rena za kimsingi za kiusomo,huko utasikia cjui kakosea nahau kakosea balagha kajosea manthwiki kakosea swarafa,vitu kama hivyo lakini ukweli makhurafi hawaba hoja za msingi.
Hili bachu ni toto chokozi halina elimu ni ruwaibidhwa
Nashangaaa mawahbaii wanmsifu huyu ngombe vichwa vitano ndio huzidii kupoteza umah
Pole kwa maradhi ulio nayo ila namuomba Allah akuondolee kabla ya kifo chako

Na wewe ni nguruwe Osman,!! Unajua kwann nimekuita nguruwe??
قال ابن القيم في مدارج السالكين: ومن الناس من طبعه طبع خنزير يمر على الطيبات فلا يلوى عليها....
Kuna maneno ni bora kuliko kutukana mtu sawa allaha akuongoze kijana
SHEIKH IZUDIN AKUSUBIRI AU UNAOGOPA MUNAQASHAA
Hawezi niaqassh huyu
Izudini khurafi yule jitu la bidaa litaweza Nini kwa bachu
Kama ww hapo saii kibri kimeisha lakini ukiteremka tu watu hawatosalimika na ulimi wako
Acha ujinga wako wewe
Wataka kusema hapo Bachu roho ilikua juu juu? 😂 Bachu si mgeni wa Bahari hata Unguja kwao wanayo
@@Khalid-mf3iu bahari haina mwenyeji
Lijitu limoja hapo juu linacomemt ujinga acha chuki ww kama ayakuhussu so uache adi ucommen
Arafu watu wa bidaah wanatafuta Nini kwenye hizi comment mkakoment kwa mashekhe wenu wanaotetea bidaah huku hakuwahusu izudini yupo mkakoment huko
Tunamshukuru allah katuepusha fitana ya wahabiii mawahabiii hawatii haqq elimu pia hakuna ni porojo 😂😂😂😂😂😂
Ww unachekesha kweli untufosi tufate bidaah zako kufa nazo mwenyewe 😂😂😂et wahabi amtki hkki haki gani mlokua nayo huko zaidi ya uzushi yani unatuitia maulidi au kuabudu makaburi ya masharifu ww jamaa wa wapi ww kama umeshindwa kuacha bidaa zako kufa nazo mwwenyew wongofu gani mlokuwa nao masufi
Soma dini ndugu yangu ungejua ubaya ya mawahabii munadanganywa atii nyinyi ni ahlu sunaah 😂😂😂. Mawahabii hawajui elimu wala.hawako.katika haqq bali wanepotea Allah awaongoze
@@osmanmanbile9327 awaongoe ninyi wazushi mnaozusha katika dinni ya Allah kusoma hamsomi kazi yenu kukata mauono sikitini na mdufu na dhikri za kunguruma kama wendawazimu Fulani hivi ilmu hamna uwezi kuta madrasa za masufi za somesha wattoto wakamtambua vzr Allah na tawwed zaidi mntowa waganga wa kienyeji tuu kama kina yusufu diwani wfuga majini ushirikina kuabudia makabuli yte hayo masufi mijitu ya bidaa na dwalala ndomana imamu shafii alisema kuingia katika usufi mchana fika asubuhy utakuwa mpumbavu
Jitu la upotevu huko bidaa unazifanya unaona mukeongoka kumbe ibilisi anawachezea akili urongo tuu tupu umewajaa kina doctor sule wale masufi wenzenu kufuga majini namxhukuru mungu kuniongoza katika sunnah Mana kufa ningekufa katika bidah Ni hatari xana
nyinyi hadi hadithi maudhui mnatumia au ushasahau
Masha Allah