Na nilivyo chakulia si nitalia sana.wacha nifatiliye.lla bro Lumbas hali yako ya kiafya haija tengemaa .pona kwanza ndio.undelee na kazi.😮😮afya mtaji dear
Asante Kaka Lucas kutuletea simulizi nzuri lakini sauti yako na ya anko jay zinafanana kabisaaaa mashabiki tunawaombea mjikaza na KAZI nzuri❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪
Shetani Yuko kazini wakati wote,sala inatakiwa iwe kama chakula,kikikosekana mwili huwa dhaifu na hatimae kufa,na roho ni hivyo hivyo,ikikosa sala hufa na kuoza kama unavyoona kwa huyu baba Alice😢😢
Kuna sehemu inahuzunisha saaana😔😭😭 kwahiyo mlio na machozi ya karibu mtavumilia😢😢
Sawa ngoja niandae machozi 😣
Na nilivyo chakulia si nitalia sana.wacha nifatiliye.lla bro Lumbas hali yako ya kiafya haija tengemaa .pona kwanza ndio.undelee na kazi.😮😮afya mtaji dear
Sawa mpendwa wetu kipenzi pole sana kwa homa mungu azidi kukupa afueni upoe haraka ❤❤🎉🎉
Mie ni kuliatu kila mda jamani nikiskiliza
Acha niskie maana kitu chahudhuni lazma nitalia tu😢
Waooh!!
Ahsante sana kaka Lucas na nakuombea pia Upone vzr
Asante Kaka Lucas kutuletea simulizi nzuri lakini sauti yako na ya anko jay zinafanana kabisaaaa mashabiki tunawaombea mjikaza na KAZI nzuri❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪
❤❤❤❤❤❤❤😂😂
Waooh finally bro lucas👏👏👏👏👏👏natumai waendelea nanafuu
Yeap Priscilla, enjoy bonge moja la simulizi kuwahi kutokea😊
Ahsante ndugu Lucas kwa mafundisho mazuri mungu akubariki ❤❤❤❤
Kazi nzuri kaka,listening from Kenya🇰🇪 much ❤
Asante sana Kwa burudan
Pole sana broo inaonekana sauti bdo haijakaa sawa utakua xw tu tunakuombea
Asante sana kaka Lucas Lumbas Allah akupe maisha marefu inshallah
Amen🙏 🙏 😊😊
Asante sana kaka Lucas Lumbas mungu akubari kwa kazi nzuri
Nimeipend sana hii
🎧🔥🔥pamoja😘😆
Tupo tunasikiliza kaka Lukas🌹🇧🇮
Ubarikiwe sana anko Lucas kwakutuletea simulizi mpya🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
ALICE ❤❤❤🔥🔥🔥
Nimeipenda sana hii
Napenda kazi zenu sana
🎉🎉🎉maua yako bro lkn ujapona frexh
Jamani mimi natokeya Congo RDC tunakupe dans sana merci bocour
❤❤🎉🎉 ipo bomba sana
Thanks Lukas kwakutupa raha❤❤🎉
Kaka Lucas Sauti yko imebadilika Sana bado unaumwa
Kwanza kwenye maisha hupaswi kukataa tamaa haijarishi ni mgumu mangipi unayo pia jana sio kama leo kama jana 😞😞
😅
😅😅l😊
Hv huyu ni baba gani jaman😢😢😢
Very stor so much ❤❤
Hongera sana kaka yetu
Asantee sna kak lucas daaa!!! Nimemaind❤❤❤❤❤❤❤
inauma sn jaman
😢😢😢😢mungu hazidi kututatea sisi wanawke
inahuzunisha sana KAKA LUMBASI
Qr 🎉🎉 nautulete pia za kutisha za majini😊😊❤❤❤
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙄🙄🙄eti wat 🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Wakigoma hatukqtagi tamaa kwanin Angel jaman😂😂
Waoooo
Duh.. kawia ufike jamaniy 😂😂
Thank youuuuuuu so much ❤🎉
Waoooooh
Woooook❤❤❤❤
Mh,hadi huruma,kweli usimshutumu mtu yoyote kwa maisha mabaya anayoyaishi bila kujua sababu ya kuishi hivyo,Ee Mungu utusamehe🙏
Wao Lucas simulizi kali sana ila inatowa macho ❤❤❤
Hivi baba kama Huyu wapo kweli inauma kabisa
nimejifunza kitu
Huyo baba ameomba Mungu mdamrefu akapewa mtoto halafu unabaka mwanao tena kilasiku ulaaniwe
Yaaan jaman
Shetani Yuko kazini wakati wote,sala inatakiwa iwe kama chakula,kikikosekana mwili huwa dhaifu na hatimae kufa,na roho ni hivyo hivyo,ikikosa sala hufa na kuoza kama unavyoona kwa huyu baba Alice😢😢
😂😂😂 mm ndo nachelewa kila SKU sio lkn nko
❤❤❤
Janani kwanini nachelewa kila siku Loh 😂
Jaman Alice mimi 😢😢
❤️❤️
Wakwanza
ʸᵉˢ ʰᵉʳᵉ ʷᵉ go
Oooooo my unamafua pole🎉🎉🎉
Mhmm,kazi ipo jamani siri imekuwa wazi,kifo kimebumbuluwa yote daa! unatakiwa kuvuta subira sana, Janet 😢😢
❤❤❤❤🎉🎉
❤❤❤🎉
Kwa nn baba Ana mubaka mwanawe simulizi hii Ina nitowa 😭😭😭😭 jamani
Wakwanza leo asante
Hongera😊😊😊
Mh,ina maana huyo baba Alice alimharibu binti yake hata kabla hajavunja ungo,hakika shetani hana mzaha 😓😓😓
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
❤❤😂
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kongele kakangu
❤❤❤❤❤😂
😢😢😢😢😢😢
🎉🎉🎉🎉
😢😢😢😢
😢😢
Nasikiza alafu comment nitatoa
Sawa Melissa😊😊 utaipenda saaana
❤❤❤😂😂🎉🎉🎉🎉🎉😢
🇰🇪🫶
❤❤❤🎉
❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤