nimejifikisha humu ndani kwetu mbalikiwe wote pongezi Kwa mwandishi ally mbetu pokea salamu popote ulipo❤❤ Anko ubalikiwe kwakusimulia Kwa sauti tamu yenye kuvutia 💗
Simulizi nzuri inayotufunza mengi Kwa mfano njia ya mwongo ni fupi vile Helen alidanganya wazazi wake bila kujua walikuwa wanajua ukweli. Napenda Helena Kwa ukarimu wake na pia Kwa kutobagua watu wa tabaka ya chini Kwa mfano Jose na Abby.. Methali inayosema kipendacho roho ni dawa inadhihirika na Helena vile anavyompenda Abby. Asante Ankojay kwa vile unavyosimulia simulizi hizi zako vizuri kwa sauti nzuri.Mola azidi kubariki timu Yako yote.
😂😂😂😂😂kuna watu wanateswa na mapenzi then kuna sisi wenye tunateswa na kutosikiza simulizi ya unko jey😂😂😂wangapi mpenzi wetu ni simulizi mikono✌️✌️✌️😂😂😂
Hongera Sana Ali kwa hadithi hiyo na Anko jay kufanya Mambo yake humo ni hatari kabisa Anko jay wewe ni noma sana Asante Sana Mungu aendelee kuwa na wewe siku zote Amen 🙏🏽🙏🏽❤❤❤
Heehe anko Jay shikamoo yako ,ungejua tulivyo wengi wala usingeongea hivyo kbs this life no balance, sitaki kusema mengi ila wanaume mm huwa tu nawaombea maana mm mama Boyz na sijui nikitamka mabaya kuwahusu wanaume sijui vijana wangu watakuwaje ila kwangu ni maombi kwn kilichonikuta Mungu ndo ajuae 😢😢😢
Jamani anko Jay wetu kipenzi hatukuwezi wewe ni kiboko cha wote aisee! Umenivunja mbavu pale kwa uchawi, mungu akubariki sana twashukuru sana anko wetu kipenzi
Jamn anko tupe Simulizi za kichawi pia tujifunze pia mapenzi yamekua mengi hatuna pakuweka mengine tumelia tumecheka mioyo zimevumjika tumeunganisha Wacha turuke na ungo kiasi 😊😊
nimejifikisha humu ndani kwetu mbalikiwe wote pongezi Kwa mwandishi ally mbetu pokea salamu popote ulipo❤❤ Anko ubalikiwe kwakusimulia Kwa sauti tamu yenye kuvutia 💗
Simulizi tamu sana Ankojay mungu hazidi kukupa maisha marafu hapa duniani 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Waoh..sauti ni mfalme wetu Anko mapesa❤❤❤❤❤
Simulizi nzuri inayotufunza mengi Kwa mfano njia ya mwongo ni fupi vile Helen alidanganya wazazi wake bila kujua walikuwa wanajua ukweli. Napenda Helena Kwa ukarimu wake na pia Kwa kutobagua watu wa tabaka ya chini Kwa mfano Jose na Abby.. Methali inayosema kipendacho roho ni dawa inadhihirika na Helena vile anavyompenda Abby. Asante Ankojay kwa vile unavyosimulia simulizi hizi zako vizuri kwa sauti nzuri.Mola azidi kubariki timu Yako yote.
😂😂😂😂😂kuna watu wanateswa na mapenzi then kuna sisi wenye tunateswa na kutosikiza simulizi ya unko jey😂😂😂wangapi mpenzi wetu ni simulizi mikono✌️✌️✌️😂😂😂
Umeona ee 😂
@@asmahassan5661 😂😂😂 weeeeeeh inauma sana kuteswa na mapenzi 🤣🤣na mm nilisahau ata neno I love you 😀😀nateswa na kutosikiliza simulizi💃💃💃✌️
✌️
Nna mwakauu wanawake mtaonga san
@@EpimackChami 😂😂😂ati what
Niko ndani ya familia ankojay mapesa❤❤❤❤❤
Nimewahi leo jamani like zenu oman 🇴🇲
zena uko oman wapi dada
Mm nipo muladdah sijui ww mwezangu
@@Jasmeni-ns9dgOman fulus iko poa ama
Kidogo alhadulillah kwan ww upo wapi
@@Jasmeni-ns9dg saudi
Mashallah anko Jay habibi Allah akupe maisha marefu na riziki
Anko j my love naipenda sauti yako naipata safii kabisa nikiwa saudia mach ❤❤❤❤❤❤💯
Hongera Sana Ali kwa hadithi hiyo na Anko jay kufanya Mambo yake humo ni hatari kabisa
Anko jay wewe ni noma sana Asante Sana Mungu aendelee kuwa na wewe siku zote Amen 🙏🏽🙏🏽❤❤❤
Heehe anko Jay shikamoo yako ,ungejua tulivyo wengi wala usingeongea hivyo kbs this life no balance, sitaki kusema mengi ila wanaume mm huwa tu nawaombea maana mm mama Boyz na sijui nikitamka mabaya kuwahusu wanaume sijui vijana wangu watakuwaje ila kwangu ni maombi kwn kilichonikuta Mungu ndo ajuae 😢😢😢
Helena roho nzuri mungu akubariki ❤
Am no. 2 thanks Kwa simulizi anko jay na mwandishi wetu ally mbetu
Wamwisho leo mie jmn ❤️🇴🇲🔥
Leo nimewahi kidogo msukuma❤
Hakuna tena mwanamke kama Helena kabisa anko jay hio nikweli kabisa❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bado tupo jamaniii mm n mmoja waooh😊😊😊
Mi pia 😆😆😆
waaaah kumbe nimeamini kuwa huwa mnalala mtandaoni sasa nimekubaliana na hali yangu ya kuwa latecomer kila siku
🤣🤣🤣bora umefika
nice storry,kong vie a toi anko j
Jamani wapili leo 😅😅😅 kusinzia kidogo tu nikapitwa
Asnt anko j😊tuko pamoj ck zote❤🇰🇪🇸🇦
Oyoooooooooo🎉🎉🎉🎉🎉 wakwanza mim like zenu tafadhali guys
Safi 🔥🔥🔥
@@ankojay_ thanks anko jay ❤️
So thanks for the work you are doing
Tunakupendasana❤❤❤❤
Asanteeee Anko J mapesa nimekaribia kusikiza smlz tamu ongera sana
Simulizi tamu sana ❤️
Love you too 💕💕 nimeipenda
Asante sana ankojay kwakazi nzuri❤️❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉🎉
mmm lla kwa dunia hii tulo nayo asee! iinabidi uyo jamaa amwangalie Helena mara 2
Anko j mimi mmoja nipo mtowaji sana lakini hao wanaopewa huwa si watu mbwa tu nimejifunza sana sasa sitoi tena upuuzi
Hisimlizi ni tamu kweli nimeipenda ❤❤❤❤🎉🎉
Asante sanaa ankojay kwa simulizi zako tamu kweli kweli jamani ❤️♥️♥️♥️♥️♥️🎉🎉🎉😂😂 from 🇮🇹🇹🇿
Duh Leo kama ndoto nimewah kushinda maelezo
HAA HAAA ,Aliwaza amechukuliwa na wachawi yaani nicheka ata kabla ujaanza kucheka,kudos uncle J
Wacha wee chizi mapenzi ikoje hii acha nitulize komwe niskizie utamu mie🎉🎉🎉❤❤,,, top 15 haloo😂
Mmi nko ankojey mbna jambo la kawaida tu ❤❤❤
Wapi kelele ya Anko j weeweee much love from Kenya ❤
Nimewahi
Nimewai❤❤🎉🎉
Vizuri mpenzi
Waooo shukran sana ❤❤🎉🎉
Asante ankojey ❤❤❤
Thanks ankojay kwa story nzuri 1:00 🧡🧡👌🤗🤗🤗
Sauti isiyochosha saut tamu saut ya kiumee ooh my God🎉🎉🎉🎉
Jamani anko Jay wetu kipenzi hatukuwezi wewe ni kiboko cha wote aisee! Umenivunja mbavu pale kwa uchawi, mungu akubariki sana twashukuru sana anko wetu kipenzi
Mapenzi haya basi tuu Aby mwambie kweli.Ankojay Asante saana ❤ from 🇰🇪🇰🇪
Anko asante usiwaze dah pamoja sana
Pamoja akojay
Kazi nzuri kaka,listening from Kenya
Mimeipenda
Anko jay nakupenda bure pamoja n kz zako nasikiliza nikiwa kenya❤❤
Anko. Ahsante. Kwaiki. Kisa. Chamapenz❤❤❤🎉🎉🎉 . Chenyemafunzo. pia. Usichereweshe. X
Abby inanikumbusha simulizi ya miiss abby wow kaz nzur
Amazing story anko jay love you so much 💖♥️❤️💝💝
Ahsante ancojay kwa December ya leo tnx ❤❤❤
Shukran
🇹🇿🇹🇿🇹🇿 is my number 1❤❤❤
Asante kaka nakuelewa sana
Asante sana Ankojay
Jamn anko tupe Simulizi za kichawi pia tujifunze pia mapenzi yamekua mengi hatuna pakuweka mengine tumelia tumecheka mioyo zimevumjika tumeunganisha Wacha turuke na ungo kiasi 😊😊
Wawoo mzigo
Ahsante sana Anko kwa simulizi mpya,bado tuko pamoya.
Simulizi naipenda
Hahahaaaaaq😂😂😂😂 jamani anko j ninafarujika kwa hisi similizi zako wow mungu akupe maisha marefu ❤❤❤❤❤❤❤
Wanawake tupo ila uwezo wa hela hatuna
I can't wait part 2
Waaaa hiyo sauti jaman tamu sana hongerazako kakangu
❤❤❤mahis itakuw nzur balaaa
Haya anko jay achilia sehemu ya 2 hii tumeimaliza🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤
Kwa kweli herana apewe maua yake ❤🎉🎉🎉
Wamwisho leo jmn🇴🇲🇴🇲
Kila sku Anko jay unasimulizi nzur ❤
ABA anko jee wachawi tn hy mn ake tafadhali mm np Belgium nimpenzi sn na hadithi na simulizi zk ank jee ❤❤❤
Wao asante anko❤❤🎉🎉
Ahsante boss❤❤❤❤😂
Tunaomba sehemu ya mwisho ankoj
wow nice ankojay unasauti tamu sana 🥰🥰🥰💓💓💞
Thanks so much 👍❤❤❤❤
Nimechelewa lakini msinisahau kunipa Lake 😢❤❤❤ nawapenda nyote anko j ukabarikiwe SS washabiki zako tunakupenda sana❤❤❤❤❤
Wao chiz mapenz ❤❤❤❤
Nimewahi leo😊😊😊😊
Hayà nimefika pia mie
Good job mashallah nimependa sana hii simuli asante anko Jay
Haya tuone mkasa wetu wa leo utatunza nn let's go anko Jay mapesa🎉🎉
Naomba x 14
Jamani helena
Mapenzi shikamoo
Mimi hapa naweza 😂😂😂😂
Aya twende kazi ❤❤❤❤
Thanks Ankojay 👍❤️
😂😂😂 kazi Safi Anko ❤❤🎉🎉
Asante ako jay
😂😂😂😂Ila anko Jay ety wanawake Wa hivi walushafarik kwenye vita ya maji maji songea anko Jay tutake radhi wanawake 😂😂😂😂😂😂yaani nimecheka kwa sauti
Asante ankoj ❤❤❤Naminia mwanangu huna kazi mbaya🎉🎉🎉
Tunaomba iendelee
Nimechelewa wadau❤❤❤❤
Mbio mbio sana ❤❤
Part 2 tunaisubir
Jamani mapenzi ni shida tu
Nimewahii leo🇰🇪🇸🇦
Dah nimechelew asant anko j
Am no 1
Umetishaaa 💥👊
Nakupenda sana anko jay
Hongera yako
Guy maua yako 🫰💙
Asante ❤
Jamn mbn tupo
Ankojay tupo Wala atujafa hila sio wengi 😂😂 pole mm hapa Niko Salma 😊